Vaileth Mwaisumo - Piga picha (Official Music Video)

  Рет қаралды 36,693

Vaileth Mwaisumo

Vaileth Mwaisumo

Ай бұрын

Piga picha ni nyimbo inayoelezea Imani, tumaini, uhakika na Ahadi za MUNGU kwamba bila kujali Khali niliyonayo kesho ni kubwa na nzuri mno Ajabu. ni nyimbo ya baraka ambayo itainua moyo wa Kila mtu aliyekata tamaa. #pigapicha #evidence #vailethmwaisumomusic

Пікірлер: 186
@Godfrey_lusekelo
@Godfrey_lusekelo Ай бұрын
Leo naomba nione like kutoka Kenya please wapige picha
@Zainah3G
@Zainah3G Ай бұрын
Like ndo hiyo
@Godfrey_lusekelo
@Godfrey_lusekelo Ай бұрын
Safi sana
@adlightandambi9013
@adlightandambi9013 Ай бұрын
Hapa mie ni mkenya nampenda sana mama yetu❤😊
@Godfrey_lusekelo
@Godfrey_lusekelo Ай бұрын
Kumbe tupo Wengi tunao mpenda Mama Yetu jamn tujuane kwa like
@AtlyneKhamete
@AtlyneKhamete Ай бұрын
Wakenya tupo nampenda huyu dada abarikiwe sana
@norahpatrick
@norahpatrick Ай бұрын
Likes za vaileth jamani.....sauti Iko safi na nyimbo pia ziko safi❣️❣️
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Amina
@florencegordon818
@florencegordon818 13 күн бұрын
Hii nyimbo mbona haijagonga 500k? tufikishe kwa kugonga likes kwenye huu wimbo❤
@emmanuelmwakyelu1815
@emmanuelmwakyelu1815 Ай бұрын
Yani kadri siku zinavozidi kwenda unazidi kumchimbia shimo shetani kwa utukufu was mungu❤
@solomonmuvia6961
@solomonmuvia6961 Ай бұрын
Nyimbo zako zote ni sawa,Kila wakati. Lazima nicheze, Kenyans we love you
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Thanks much
@aleyohellen5182
@aleyohellen5182 Ай бұрын
Wimbo wako ,`Baba yangu atafanya njia` ulinitia nguvu nikiwa kule saudi ,nashukuru kwa kuniwezesha kurejea nyumbani ,niliimba hadi mungu akanitetea❤
@florencegordon818
@florencegordon818 13 күн бұрын
Nyimbo zako zote ni poa kweli kweli, Mungu aendelee kukubariki Dada.
@SarahPhotinatus-ic4hq
@SarahPhotinatus-ic4hq Ай бұрын
Nyimbo zako zinanibariki sana hongera sana mama , nilikuwa Sijui kama unaishi ninakoishi Mimi nilifuraha siku moja kukuona
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Amen
@TheorasthobiasKyamwiru
@TheorasthobiasKyamwiru Ай бұрын
Vaileth akika unatishaa, mungu azidi kukutia nguvu uendelee kuitangaza kazi ya mungu
@violetambunya953
@violetambunya953 Ай бұрын
Uko na nyimbo tamutamu mum za kubariki mtu kwanza hile ya uliyo sema siendi mbali hapa n wapi😂😂🙏 ubarikiwe mum pamoja na uzao wako
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Amina
@YuniahJoshua-nb7xy
@YuniahJoshua-nb7xy Ай бұрын
Wimbo mtamu kweli wanadamu lazima waongee
@lindasum85
@lindasum85 Ай бұрын
Mum nyimbo zako zinanichenga sana, mungu yupo 😢😢😢
@ChristineNdinda-mv8pk
@ChristineNdinda-mv8pk Ай бұрын
Wimbo mtamu kweli kweli♥️♥️♥️wanadamu hawakosi cha kusema ila hio usitusumbue Mungu ako upande wetu
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Amina
@fanuelngalawa9311
@fanuelngalawa9311 Ай бұрын
Nice song never give up,!!!
@yusuphmbugi8594
@yusuphmbugi8594 Ай бұрын
sijawahi kua na shaka na wewe mtumishi wangu happy birthday
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Shukrani sana
@sarahmakhanu491
@sarahmakhanu491 Ай бұрын
Wimbo safi kabisa, I like the message in the song, Vailethi may God Bless you for being a vessel to us❤
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Amen
@SofiaSamweli
@SofiaSamweli Ай бұрын
Ameeen dadaangu mungu azidi kuinia viwango vya juu maan nyimbo zako zinautukufu
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Amen
@AtlyneKhamete
@AtlyneKhamete Ай бұрын
Wasipo piga pic tutawalazimu nimependa sanaa hallelujah 🙏🙏🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Amina
@user-nb1ru2qc6z
@user-nb1ru2qc6z Ай бұрын
Unapendwa mama kutoka Kenya ubarikiwe 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 wimbo umenijaza piga picha alaaaaaaah💪💪💪💪💪💪💪
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Amina
@paulmuyanga3445
@paulmuyanga3445 Ай бұрын
Nyimbo safi sana❤.
@dancanbarasa5596
@dancanbarasa5596 Ай бұрын
Pongezi ma'am. Keep pressing on. Feel loved, appreciated and rejuvenated woman of mandate. Love from Kenya 🇰🇪.
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Amen
@smethe.3688
@smethe.3688 Ай бұрын
I love ❤❤you mum.. your message . Your Dressing and nice dance the best... Mungu akubariki uendele na kumtumikia... Yes wa pige picha... Na hilo litapita tu
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Amina
@user-vt5ic1zy3l
@user-vt5ic1zy3l Ай бұрын
jamani mama nyimbo zako nzuri kweli na mafudisho pia❤️❤️❤️👌
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Amina
@NiceMuro
@NiceMuro Ай бұрын
Kwa kweli nyimbo ZAKO nazipenda sana barikiwa mtumishi
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Shukrani sana
@essykitawa9652
@essykitawa9652 Ай бұрын
My favorite gospel minister has done it again.Nakupenda sana mama❤❤❤ 🎉
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Shukrani sana
@bahatadof5543
@bahatadof5543 Ай бұрын
Wimbo mzuri Mwanangu ,Mungu azidi kukutumia mrembo wangu .
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Shukrani sana mama yangu 🥰🥰
@user-ls4jk2wp5n
@user-ls4jk2wp5n Ай бұрын
Perfect song dear, glory be to God
@wafulajoshuaofficial5638
@wafulajoshuaofficial5638 Ай бұрын
Piga picha,asifiwe yesu aliye juu,ndio huyu#🇧🇾🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Barikiwa
@wafulajoshuaofficial5638
@wafulajoshuaofficial5638 Ай бұрын
Asante mama,sijawahi kutana na mtumishi wa Mungu ana uwezo wa ku reply,nitaendelea kupa sapoti
@scolakiwale2055
@scolakiwale2055 Ай бұрын
Nzuri sana mywii, tunabarikiwa mno na nyimbo zako, Wimbo unaleta raha ya kuungalia, Mungu aendelee kukuinua zaidi❤❤🎉
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Shukrani sana
@colkiwale4973
@colkiwale4973 Ай бұрын
Nimepiga selfie. Hongera sana kwa ubunifu.
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Shukrani sana wifi yangu
@CentrineMuhele
@CentrineMuhele Ай бұрын
A POWERFUL ONE VAILETH .... thanks for always blessing our souls
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Amina
@user-ne9mg2wc2f
@user-ne9mg2wc2f Ай бұрын
Piga picha. Barikiwa Kwa wimbo safi
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Amen
@adlightandambi9013
@adlightandambi9013 Ай бұрын
Wow amazing mum, piga picha kia evidence wow a good advise
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Thanks
@charitymaina6210
@charitymaina6210 Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉wow
@emerancekakozi8688
@emerancekakozi8688 Ай бұрын
Amen mamy wimbo muzuri sana tume barikiwa sana
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Amen
@vanemomanyi6808
@vanemomanyi6808 Ай бұрын
The fear of the Lord is the begging of wisdom 🙏 🙌 hakuna kuogopa binadamu 🤳💪🏻@BlessedQueen 😊😇more grace mummie 💙💙💙😇✨️✨️✨️.
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Amina
@SiwajibuJeston
@SiwajibuJeston Ай бұрын
Madamu Vai barikiwa sna kwa kazi nzuri ya kumtukuza Mungu
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Amina
@JoanMwende-zk6ms
@JoanMwende-zk6ms Ай бұрын
Napenda nyimbo za huyu dada sana God bless u.
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Amen
@eglayfred5731
@eglayfred5731 Ай бұрын
Wow wow ujumbe tuu utukufu Kwa Mungu❤❤❤
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Amina
@StarJosh8-zw9zo
@StarJosh8-zw9zo Ай бұрын
Some one from Jamaica
@faithkomen2258
@faithkomen2258 Ай бұрын
Very y good message indeed more blessings to you mtumishi ❤️❤️
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Thanks much
@peninnahchepoisho861
@peninnahchepoisho861 Ай бұрын
Thanks my sister may God bless you
@christinemuseni6482
@christinemuseni6482 Ай бұрын
God Bless torching indeed ❤❤❤❤
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Amina
@aleyohellen5182
@aleyohellen5182 Ай бұрын
Nyimbo zako ,mam nikama unabii kwangu,nakupenda ,..mungu akuinue zaidi
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Shukrani sana
@grezeldamwanyika2106
@grezeldamwanyika2106 Ай бұрын
Amazing grace❤ keep moving mum
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Thanks much
@JoanMwende-zk6ms
@JoanMwende-zk6ms Ай бұрын
Mungu akutie nguvu zaidi na zaidi much❤pia ile wimbo ya vita vyangu.
@edmondbyamungu9757
@edmondbyamungu9757 Ай бұрын
Amen balikiwa maman nagupenda sana nanyimbo zako zote ❤❤
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Shukrani sana
@MaryWafula-yn8nu
@MaryWafula-yn8nu Ай бұрын
I can't wait to watch this 🎉🎉🎉🎉❤
@zakariamsumba-gr8vr
@zakariamsumba-gr8vr Ай бұрын
Let's take a picture 📸📸🎉🙌😁
@elizabethbwayo
@elizabethbwayo Ай бұрын
Keep going mum lazima kieleweke waweke evidence 💃💃
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Amina
@twishimephocas
@twishimephocas Ай бұрын
Urakoze pe
@marcybarasa254
@marcybarasa254 Ай бұрын
Amen 🙌🙏 picha nayo lazima tupige kwa na filter 😂 waiting
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Tena mpost kabisa🤣🤣
@Esther-rm7fg
@Esther-rm7fg Ай бұрын
Thank you Jesus amen
@newjerusalem_chc
@newjerusalem_chc Ай бұрын
KAZI KUBWA SANA
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Shukrani sana
@happygw6930
@happygw6930 Ай бұрын
Nyimbo nzuri.....🎉
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Shukrani
@JulianaEmanuel-yi6pf
@JulianaEmanuel-yi6pf Ай бұрын
❤❤❤ God bless you
@enockmwambepo
@enockmwambepo Ай бұрын
Barikiwa Sana
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Amen
@Valvale65879
@Valvale65879 Ай бұрын
Woow, very nice
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Thanks
@nyamburagachagu8317
@nyamburagachagu8317 Ай бұрын
Woow, very nice❤
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Thanks
@user-ln2hv3ur5e
@user-ln2hv3ur5e Ай бұрын
Napenda nyimbo zako Sana zina baraki sana❤❤❤
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Amen
@kibetamon1855
@kibetamon1855 Ай бұрын
My God bless you mum for what you are doing
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Amina
@florahmurombi
@florahmurombi Ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Amina
@theexperienceshow35
@theexperienceshow35 Ай бұрын
Huyu mama hunibariki sana😊
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Shukrani sana
@EstherMongare-re7dj
@EstherMongare-re7dj Ай бұрын
🎉kazi safi🎉🎉🎉🙏🙏🙏🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
🙏🏼
@janechengula6057
@janechengula6057 Ай бұрын
Piga picha Good song 💯✅
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Amina 🙏🏼
@fhshdhshs-yf1hc
@fhshdhshs-yf1hc Ай бұрын
Be blessed dear when I'm stressed your songs make me stress free ❤️❤️❤️
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Amen
@aleyohellen5182
@aleyohellen5182 Ай бұрын
Been waiting since 11 am
@aleyohellen5182
@aleyohellen5182 Ай бұрын
Aaiiii ,hapo Ni napata ujumbe . Siionei Haya mapito yangu😂😂
@catherinebarasa4467
@catherinebarasa4467 Ай бұрын
This song is so sweaty
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Amina
@bonnieinyangala4665
@bonnieinyangala4665 Ай бұрын
nakukubali Sana mummy
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Shukrani sana
@evemuindi
@evemuindi Ай бұрын
❤❤❤ kazi Zuri mummy
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Shukrani
@NtiatiSakimpa
@NtiatiSakimpa Ай бұрын
Pongezi mum imenitia moyo ❤❤❤
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Amina
@NtiatiSakimpa
@NtiatiSakimpa Ай бұрын
Mi pia nimwimbaji wa nyimbo za injili lakini maasai tayari nikono volume 1 je utanishika mkono niimbe kiswahili collabo
@Mwendwa254-
@Mwendwa254- Ай бұрын
Nashukuru Mungu Kwa kutupa wewe mama, ubarikiwe na uishi miaka mingi kulitukuza jina la Yesu
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Amina Shukrani sana
@enockmwambepo
@enockmwambepo Ай бұрын
Ubarikiwe Sana Dada Nataka Mawasiliano yako dada Yangu
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Karibu 0719821032
@elvinangumbao9745
@elvinangumbao9745 Ай бұрын
Hongera sana 🙏🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Amina
@RodahLichuma-bk8ex
@RodahLichuma-bk8ex Ай бұрын
Wow nice vocals with a deep message
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Thanks
@morinesayo
@morinesayo Ай бұрын
You have blessed me may God bless you mama
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Amina
@faithchelangat726
@faithchelangat726 Ай бұрын
Wimbo mzuri,umenisaidia sana mum❤
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Amen
@mercychepkirui9716
@mercychepkirui9716 Ай бұрын
My lovely artist , nakupenda mama from kenya
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Thanks much
@mercychepkirui9716
@mercychepkirui9716 Ай бұрын
@@vailethmwaisumo welcome,I follow you everyday keep it up♥️♥️💋
@faridamachunda6826
@faridamachunda6826 Ай бұрын
My mom loves you much ❤ utasikia niwekee nyimbo za vaileth uko na saut nzr walahi! Also m i love your voice ❤
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Thanks much
@justerkamala3933
@justerkamala3933 Ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu nyimbo zako ZOTE ziko🎉🎉
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Shukrani sana
@janepherkutemile4432
@janepherkutemile4432 Ай бұрын
Waooooh hongera sana Mama kazi nzuri MUNGU aendelee kukuinua kwa viwango vya juu zaidi ❤❤❤❤❤
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Shukrani sana
@lucykagendo7073
@lucykagendo7073 Ай бұрын
Amen
@EdithaDedan-Emall
@EdithaDedan-Emall Ай бұрын
Ubarikiwe mom
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Amen
@olivaeniko6360
@olivaeniko6360 Ай бұрын
🔥
@susanonyangi-lh6yn
@susanonyangi-lh6yn Ай бұрын
Amen 🙏🤲
@JusterKathambi-vl2et
@JusterKathambi-vl2et Ай бұрын
Amen ❤
@LouqueLouque
@LouqueLouque Ай бұрын
👏👏👏
@JoanMwende-zk6ms
@JoanMwende-zk6ms Ай бұрын
Mungu akutie nguvu zaidi na zaidi much❤
@edwardboaz5572
@edwardboaz5572 Ай бұрын
Mungu akubariki Zaid dadaang🎉
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Amina
@faustinaalukungu8511
@faustinaalukungu8511 Ай бұрын
🙏🙏🔥
@erickomwocha596
@erickomwocha596 Ай бұрын
🙏🔥🔥🔥
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Barikiwa
@liliannjambi8339
@liliannjambi8339 Ай бұрын
❤❤❤❤❤🎉
@MonicaJavan
@MonicaJavan Ай бұрын
❤❤
@user-lv7ul1hw1d
@user-lv7ul1hw1d Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@user-iu2xx3ev1f
@user-iu2xx3ev1f Ай бұрын
❤❤❤❤❤
@nellyambani6456
@nellyambani6456 Ай бұрын
Massive Massive congratulations ❤mama mashallah keep up the good work by the way hii nayo si tufikishe 500k Views ni 2days na mwenye aja subscribe afanye ivyo ❤
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Amen
@lukasmaro4280
@lukasmaro4280 Ай бұрын
Hapa kuna VAILETH. Pemben BAHATI BUKUKU naisubiri hiyo siku sijui itakujalini🎉🎉🎉💐🙏
@LeilaAthumani
@LeilaAthumani Ай бұрын
🥰🥰🥰🥰 much love my sister 🫂🫂🫂
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
❤️❤️❤️
@user-yp5un8kl4t
@user-yp5un8kl4t Ай бұрын
Amen, jina ya nyimbo please
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Hii inaitwa Piga picha
@cathrenekasila6718
@cathrenekasila6718 Ай бұрын
Weka evidence 😅😅
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Amina
Vaileth Mwaisumo - Kama si wewe Mungu (Official Video Music)
4:20
Vaileth Mwaisumo
Рет қаралды 5 М.
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 37 МЛН
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 10 МЛН
Reaper Tutorial for Beginners | FREE COURSE
3:37:17
Envato Tuts+
Рет қаралды 359 М.
Vaileth Mwaisumo - Atafanya Njia ( Official Video) SMS SKIZA 8089705 to 811
7:40
Vaileth Mwaisumo - BEST OF VAILETH MWAISUMO | NEW PLAYLISTS
48:01
Vaileth Mwaisumo
Рет қаралды 70 М.
4hrs 44min Nonstop Best of Guza Worship Mix
4:44:41
𝗚𝘂𝘇𝗮 𝗧𝘃. (𝑻𝒐𝒖𝒄𝒉𝒊𝒏𝒈 𝒍𝒊𝒗𝒆𝒔)
Рет қаралды 916 М.
PAULINA JEANETTE FT FAIDA CHARLES- SIO JAMBO RAHISI
5:23
Paulina Jeanette
Рет қаралды 3,6 М.
Vaileth Mwaisumo - Mtasubiri sana(Official Music Video)
4:23
Vaileth Mwaisumo
Рет қаралды 88 М.
Vaileth Mwaisumo - Mama (Official Music Video)
4:30
Vaileth Mwaisumo
Рет қаралды 130 М.
Vaileth Mwaisumo -  Nazunguka (Official Music Video)
4:35
Vaileth Mwaisumo
Рет қаралды 224 М.
Annoint Amani - Msizike bado yuko hai ( official music video )
8:54
Annoint Amani
Рет қаралды 198 М.
Serik Ibragimov ft IL'HAN - Жарығым (official video) 2024
3:08
Serik Ibragimov
Рет қаралды 247 М.
Dj Jack SpaRRow - Akbar Ghalta Bahiati ( Slap Remix Arabic ) #TIKTOK
2:21
Dj Jack SpaRRow
Рет қаралды 2,1 МЛН
Taxi
3:06
Sadraddin - Topic
Рет қаралды 253 М.
Jaloliddin Ahmadaliyev - Kuydurgi (Official Music Video)
4:49
NevoMusic
Рет қаралды 12 МЛН