Wakenya wale tunataka dada yetu Vayo aje Garden city 31 Dec tujuane kwa likes
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Nawapenda ndugu zangu Wakenya mjue tu hilo
@faithkomen2258 Жыл бұрын
@@vailethmwaisumotwakupenda pia mtumishi ❤❤❤
@victorwazuia4369 Жыл бұрын
Twakupenda pia
@sotailo3148 Жыл бұрын
Akuje kabisa
@sotailo3148 Жыл бұрын
@@vailethmwaisumohata sisi twakupenda zaidi
@agnasqqq8800 Жыл бұрын
Wapi likes za wakenya wenzangu tumeyapitia mengi miezi 11 na bado tupo hapa kumshukuru mungu na ndio maana tunaimba🙏🙏🙏🙏
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina
@Catherine-ne4zd3 ай бұрын
Amina amina
@EmmilyMorara2 ай бұрын
Sauti nzuri jamani❤❤kma umetoka tiktok nipe like
@carolyneanyango20869 ай бұрын
Napenda huyu dada mtanzania saana. Nyimbo zake tamu saana
@vailethmwaisumo9 ай бұрын
Shukrani
@marymaish6355 Жыл бұрын
Those if us from TikTok please gather here ❤❤❤❤ I'm already addicted to the song 😢😢😢😢
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina
@queenspinegacheri35842 ай бұрын
I can't even think of my life without God😭😭😭
@MonicaNjer2 ай бұрын
😢😢😢 ni God
@MonicaNjer2 ай бұрын
😢😢😢 ni God
@rispaqueen Жыл бұрын
Kweli huu ni Wimbo wangu wa ushunda 😢😢God you have done it to me,asante dada vayo,team Qatar 🇶🇦 like tukisonga.
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
🙏🏼🙏🏼
@tumainielmshomba376810 ай бұрын
❤❤
@mrembowachelsea789416 күн бұрын
Is this lady a teacher?
@anitawashington3827 Жыл бұрын
Amen Sisi wengine tukimtoa mungu maisha yetu yanabaki tupu ooh hallelujah 😢😢
@skilindaissa5441 Жыл бұрын
Asante Mungu Wngu kwa kunichagua.Watoto wngu kwa kuwachagua family yngu Mungu Wngu Asante 🙏🙏
@SAMIRAH-e5j Жыл бұрын
❤❤❤❤❤amen nimebarikiwa na nyimbo zako sana dadangu niko Saudi Arabia ❤❤❤❤❤
@ritahmayumi4767 Жыл бұрын
Pia mm nikimtoa mungu kwa maisha yangu nabaki hakuna kitu
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina
@SoniNacy4 күн бұрын
Praise God hii nyimbo inanigusa sana Sina wakutegemea ila wewe MUNGU maisha yangu ni wewe MUNGU nisaidie MUNGU wangu
@vailethmwaisumo3 күн бұрын
Amina
@rispermageto8486 Жыл бұрын
Ndio maana ninaimba.
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina
@upendodingupo11059 ай бұрын
Huu wimbo unanibariki sana Ameen
@Mimiy4Ай бұрын
This song deserves million views🎉love love looooove this song❤sisi wengine ukimutoa Mungu kweli maisha yetu yanabaki tupuuu!!Ametukumbuka🎉my grandkids will come testfy to this song too..theyll b here..2054🎉 JESUS TO THE WORLD🕊
@vailethmwaisumoАй бұрын
Amina
@nancydawo573516 күн бұрын
Bila Yesu siwezi.Mungu abaki kuwa Mungu milele,🙏🙏🙏🙌
@vailethmwaisumo16 күн бұрын
Amen
@carolmoraa4931 Жыл бұрын
Dadangu nishike mkono tafadhali kwa kufanya nawe wimbo moja na Mungu akubariki 🙏
@AminaBlessed5 ай бұрын
mimi bila yesu si kitu, yale nimepitia ni mengi na machungu 😭😭😭😭😭 lakini sababu ya mungu ndio maana ninashukuru 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼 wengine wetu kama mimi nikimtoa mungu nabaki tupu. wacha niihau na wewe mungu wangu🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@vailethmwaisumo5 ай бұрын
Amina
@JanetNjobvu-xf4vq2 сағат бұрын
Ee Mungu zidi kumuinua dada yangu
@vailethmwaisumoСағат бұрын
Amen
@emaculathammbando3 ай бұрын
22/9/2024 jumapili moja nzuri sana kwangu na yenye baraka teleee barikiwa dada yangu vaileth
@vailethmwaisumo3 ай бұрын
Amen
@jobashikoye84034 ай бұрын
Karibu saaana Kenya dada yetu Vaileth Nyimbo zako zatubariki. Ni kweli kabisa Sisi wengine ukimtoa Mungu kwetu ,tunabaki utupu.
@vailethmwaisumo4 ай бұрын
Amen
@ruseremagu782310 ай бұрын
Imana ukuvushe sana susita yetu ❤amen
@alexmacharia85969 ай бұрын
Ispokuwa ni Mungu kwanza Mimi sijui ningekuwa wapi surely all glory and honor belong to him
@RuthWanjiruKamau-zw6zc Жыл бұрын
This my jam for 2024 indeed God has been faithful. Baba nashukuru🥺🥺🥺🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@linetcheruto37353 ай бұрын
Someone's ringtone iimefanya nikatafuta huu wimbo na mwimbanji pia Barikiwa sana @Evah Kip's nimepata
@elizabethwaswa3 ай бұрын
Ukweli mtupu,sisi wengine tukimtoa Mungu tunamalizwa,asante Mungu ujawai niacha🙏
@annayuda6158 Жыл бұрын
Hatimae mda umefika🥰
@LucasMuiya6 ай бұрын
Sisi wengine kweli bila Mungu maisha yetu inabaki tupu
@ivonebikehi1584 Жыл бұрын
Hakika ni mungu tu kwetu wengine,,,barikiwa mum
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina
@Regyjack2 ай бұрын
Ndio maana namshukuru huu ni mwaka wangu I manifest and affirm what I prayed for is coming to me😊
@vailethmwaisumo2 ай бұрын
Amen
@RhodaKhasoha6 ай бұрын
Kweli maisha yangu ukimtoa Mungu maisha yangu yanabaki tupu
@annayuda6158 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana dada,video nzr sana
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Shukrani sana
@bettyadhiambo-vs9zv Жыл бұрын
Ndio maana tunamshukuru tukisema Asante maana ametukumbuka
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina
@marymbutha876614 күн бұрын
I do love her songs....Ndio Maana naimba.kwa hii umbali ni Mungu
@vailethmwaisumo14 күн бұрын
Amen
@TABBYHEAVEN-kg1qo Жыл бұрын
Hallelujah 🎉❤❤Asante Mungu wewe pekee ndio kila kitu kwangu..Ntakusifu milele🙏
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina
@Jesi41010 ай бұрын
More grace ❤❤❤🇰🇪🇰🇪
@tracywaigwe67513 ай бұрын
asante kwa huu wimbo na Mwenyezi Mungu atukuzwe milele
@faithkomen2258 Жыл бұрын
Hakika, ndio maana tunaimba, maana ametulinda frm jan to December more blessings ma darl, u never disappoint much love from Kenya 🇰🇪🥰🥰🥰
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Thanks dear🥰🥰🥰
@faithkomen2258 Жыл бұрын
@@vailethmwaisumo Always welcome my 🥰
@LambertAuka11 ай бұрын
Kama sio mono wa mungo kwa maisha yet wengine wetu hatujui tungekua wapi ,,,,,nitazidi kumsifu mungo,🙏🙏🙏🙏
@vailethmwaisumo10 ай бұрын
Amen
@violetnafula49486 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 kweli mm bila Mungu nimeisha I have only God
@JaneMungore Жыл бұрын
Soon i will be singing this song nikiwa kwa shamba langu,huyu Mungu amenitoa mbali sana,huu wimbo n ushuhuda wangu,asante mum Mungu akuvushe akuweke viwango vya juu zaidi
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina
@dianagervas-gg9xz Жыл бұрын
Amen akika nasisi Leo tunaonekana watu
@rogasialagho Жыл бұрын
Hallelujah.... nakupenda sana mamangu endelea kufanya kazi ya Mungu 🙏🙏
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Shukrani sana
@CatherineWangui-pr6xo5 ай бұрын
Sisi wengine tukimtoa Mungu maisha yetu yanabaki tupu😔😔😭😭
@vailethmwaisumo5 ай бұрын
Hakika
@rebeccatiema6732 Жыл бұрын
Tuliimba mwaka umepita 'unisaidie' Nikiwa Kwa machozi ya uchungu sana. Lakini Kwa Sasa nimepanguzwa machozi Na Yesu ndiomaana naimba Kwa machozi ya furaha. Asante dada Violeth
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina🙏🏼
@SerenakaremboDzombo Жыл бұрын
Nitaendelea kupambana najua mungu Ako on on my side one day I will stand and say thank you Lord for your grace and mercy to me huku machozi ikinitoka ya furaha kwakweli atukuzwe juu yako pia mum🙏🙏🙏🙏✨💫❤️🇸🇦team strong likes tukisonga mbele🎉🎉🎉
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@Browniecarole2543 ай бұрын
show yako ya kuvuka mwaka we need to attend kwa wingi Come bless us with your songs ❤❤❤
@vailethmwaisumo3 ай бұрын
Thanks much
@AyoubLyandala-mf2iq Жыл бұрын
Nimekua wa ngap kuiona
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
🤣
@Nacy-vt5yb26 күн бұрын
Praise God mimi nasema maisha bila mungu ni bure kabisa sifa na utukufu zirudie huyu mungu kwa mapito nimepitia najuwa mungu unanipenda sana nisamehee dhambi zangu mungu
@sussysue90312 ай бұрын
From tiktok cant get enough of this...bless you for this..#teamstrong #teamgulf
@CatherineKinyanjui-lh4xj8 ай бұрын
Wow am trying to download this song inakataa...your songs are just a blessing❤❤
@vailethmwaisumo8 ай бұрын
Jaribu Tena🙏🏼
@Ramsaycharles Жыл бұрын
huu wimbo venye umenibariki ubariki wengine.
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina
@tobiaswafula-z3f Жыл бұрын
kwa umbali huu na neema yake kweli ndo maana naimba, ni kibali kii mbele yetu kwa wimbo huu mama ameeni, thanks sana.
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina
@laurakhloe8030 Жыл бұрын
He has remembered me🙏This God is too good🙏
@gracekiragu48442 ай бұрын
I love this song ❤Aki mimi nimetoka.mbali nikimtoa mungu nambaki tupu😢
@vailethmwaisumo2 ай бұрын
Amen
@jenifferrop21389 ай бұрын
Asante Mungu uishie milele.. You are the reason I'm alive. I'm blessed❤
@AntonyEdison-b4eАй бұрын
Nimeisha ❤hapa mm jameni mungu ni mwema ❤ i love God❤
@vailethmwaisumoАй бұрын
Amina
@JAPHETHMASESE-x4oАй бұрын
My favorite minus this one mm ckitu 🎉🎉🎉 tena pika ingine kali kama hii ❤❤😂❤
@nellychitera9065 Жыл бұрын
Mungu anastahili sifa zetu. Ametenda mengi kwetu. Barikiwa sana kwa wimbo huu
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina
@ZubedaGati Жыл бұрын
Vile napenda huyu mama ,,,ubarikiwe saana nikisikia nyimbo zako zinafuta machozi
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina
@patiencepatience9361 Жыл бұрын
Valieth,in this you sung a reality❤❤ wengine wetu ni Mungu tu ndo maana tunaitwa watu
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina
@MuhonjaOdingaАй бұрын
Amen ubarikiwe sana ❤
@martinageta609214 күн бұрын
The sweetness of being in the Lord...Ndio maana naimba
@vailethmwaisumo14 күн бұрын
Amen
@catherineodongo7329 Жыл бұрын
He is who he is ndo maana naimba asante mungu kwa yale umenitendea. Asante dada vaileth be blessed.
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina
@VICKYvee2544 ай бұрын
Hii wimbo nimeskia kwa FB kwa reels .... nikaamua kuslide huku .... but I dont regret coz this song has a powerful message in it .... lots of love Mum may God himself bless you abundantly ....
@vailethmwaisumo4 ай бұрын
Amen
@Mamake5599 ай бұрын
Jehovah Mungu wangu nisije kakusahau jamani my heart in pain oooh Lord ❤❤❤❤❤❤ blessings mam
@RoseThiongo-rt19759 ай бұрын
Been through soo much in this world, there were times that nothing seemed pleasing to me...But today l have a testimony of God's faithfulness... This songs speak soo much in my life.. Be blessed my Sister for your anointed Songs they inspire many souls.... 🇰🇪🇺🇸🇺🇸
@Catherine-ne4zd3 ай бұрын
Glory b to yahweh
@christineblessed1402 Жыл бұрын
Hallelujah ndio maana naimba Baba amenitowa mbali sana❤❤❤❤
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina
@Catherine-ne4zd3 ай бұрын
Asante mungu wangu kwa yote..kweli mm bila ww mm c kitu tena
@vailethmwaisumo3 ай бұрын
Amen
@sotailo3148 Жыл бұрын
Wooooow i love that smooth voice kwakweli mziki wako uko league ingine. Barikiwa sana mtumishi
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina
@wilsonmuriuki32926 ай бұрын
Tuko huku pia wengine ukimtoa mungu tunabaki tupu a powerful song
@LuganoMwandoto-pf8zg Жыл бұрын
Tunasubiri
@newtonsimba79303 ай бұрын
Wow wow. Had not seen this. Wonderful song. Kweli ni Mungu tu. Asante❤.
@ngangamwangi990910 ай бұрын
I still wish to know the story behind your songs. They tell a lot about the life you've led. True to it, God has always seen us through no matter our childhood perils. This is a testimony.
@Catherine-ne4zd3 ай бұрын
Kabisa
@Bramfaith Жыл бұрын
Ndio maana naimba ,amenitendea makuuu❤
@harrietcheredi9768 Жыл бұрын
wimbo tamu mama.karibu kenya utuimbie. mwaisumo ni m tz but sote tuu wana wa mungu❤❤Amen
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina
@sammykaranja264211 ай бұрын
Huu wimbo unafaa 10 million views
@vailethmwaisumo11 ай бұрын
Amina
@rosenturum8922 Жыл бұрын
Amenilinda pamoja na familia yangu from January to December nanyenyekea nikiimba ndio maana . ..ubarikiwe mama
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina
@VICTORMUTHENYA Жыл бұрын
Kali sana❤❤,kutoka Kenya
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Victor Mtumishi wa MUNGU Asante sana
@Enomineidragon11 ай бұрын
I love you ma'am, Kuna wakati niliokuwa kwenye dimbwi la mawazo last year kibaati nikapatana na nyimbo zako hasa , yesu nigange moyo,,,, usilie, atanishangaza na watakutafuta maana nilikuwa nimetukanwa na ndugu zangu na kunitupa bila kujua niende wapi I swear niliposikia izi nyimbo Mungu nishaidi mkubwa nililia machozi ya moyo , nikasema siku moja watanitafuta , enyewe baada ya miaka mbili walinitafuta niwasaidie, Mungu jamani akupe Zaid ya kipaji ulinisaidia bila kujua , ❤😢sauti yako mtu akiwa na shida atalia achoke ,, niangalieni huu wimbo ulifanya nikaoverflow mbele ya mungu❤majirani zangu wanakupenda wanasema nilitoa wapi hizo nyimbo
@vailethmwaisumo11 ай бұрын
Asante Sana mpenzi🙏🏻🥰🥰
@Enomineidragon11 ай бұрын
Karibu Sana mpenzi, siku moja nakupa surprise ili ujue nikweli nilisaidika nashindwa kueleza
@virginiawangoi44519 ай бұрын
The song blessed me ....just at the right time ❤
@vailethmwaisumo9 ай бұрын
Amen
@jumadavid2750 Жыл бұрын
Wacha Mungu wa baraka awe n Vai kwa hizo nyimbo za baraka ametupea❤❤❤❤
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina🙏🏼
@VictoriaByadunia-ef1rk6 ай бұрын
Mungu akubariki sana mjakazi wa Bwana 🙏🇦🇺🇨🇩
@Migapogospel678Ай бұрын
Mungu akutunzee vaileth❤
@vailethmwaisumoАй бұрын
Amen
@esthermachariah8401 Жыл бұрын
Sisi wengine tukimtoa mungu,maisha yetu inabaki tupu What a song,it has been God all through 🙏
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina
@Daisy001MwadimeАй бұрын
Thanks mom for this song some of us we have no one to hold on our backs but because of Gods grace am here today its true sisi wengine tukimtoa Mungu tunabaki bure God bless you mom lets get this song into a million views🙏🙏
@vailethmwaisumoАй бұрын
Amen
@AdonisSifa Жыл бұрын
Ni kweli tukinyangwanya Mungu wengine tunafia hapo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina Mtumishi wa MUNGU
@rachaelmusyoka9834 Жыл бұрын
My mama on it again♥♥🥰🥰🥳🥳 Neema tele kila siku mama🙏🙏 kwa hakika,sisi wengine ukimtoa Mungu maisha yetu yanabaki tupu🥺😭..I testify and sing to this🥺🥺 Umeponya vidonda🥺,ndio maana naimba siku zote🥳🥳
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina🙏🏼
@MercyTripple2 ай бұрын
Who's here😢😢 without God it's in vain
@dorothmalekela3974 Жыл бұрын
mungu akupandishe viwango vingine dada yangu wimbo wako umenibariki
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina
@peninamsuko4858 Жыл бұрын
Nilitamani sana tupate ya kufungia mwaka ndiomana mungu ametufikisha leo hii wacha tuimbe kweli
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina
@Annsl34511 ай бұрын
I second this kama sio Mungu sijui maisha yetu ingekuwa vipi. Thank Lord for always being with us 🙏.
@carolmoraa4931 Жыл бұрын
Ndio ndio ndio hallelujah and Amen
@ChrisineBlessing Жыл бұрын
Mungu amenifanya nionekane Ameeeen amenikumbuka ndio maana naimba🙏🙏🙏be blessed dear Mungu anajua
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina🙏🏼🙏🏼
@bethnjeri44386 ай бұрын
I love your songs Vaileth,am from Kenya but this song is my life story 😢😢
@vailethmwaisumo6 ай бұрын
Amen
@alexmusyoka4820 Жыл бұрын
Ndio maana tunaimba,such a blessing song, keep going mum
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina
@kennedyokomba9661 Жыл бұрын
Washa mungu wambinguni akuinue kabisa,,nakupenda sana❤❤❤❤
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Shukrani sana
@anielytuva98388 ай бұрын
Ni mungu tuu ndio maana tunasababu ya kumtukuza mungu kwa neema yake tuu.
@gladysnatecho7476 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana dada, nasikiza wimbo hadi natoa machozi 😭
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@WinnieKendi-j6d11 ай бұрын
Amina nimego through alot but nikiskiza huu wimbo nashukuru
@vailethmwaisumo11 ай бұрын
Amen
@pollyneatiamuga4349 ай бұрын
My dear vaileth hakika nyimbo zako zinaniguza sana, mungu aendelee kupa neema