Рет қаралды 327,765
Atanishangaza ni wimbo unaoelezea namna MUNGU anavyoweza kutenda mambo makubwa na ya kushangaza katikati ya maneno ya watu, maadui na masumbufu ya maisha. Lengo la kuimba wimbo huu ni kurejesha tumaini kwa watu wanaozungukwa na mapito na maadui mbalimbali ambao wamekuwa mwiba kwenye maisha yao kwamba hayo mapito yao si kitu mbele za MUNGU wa vizazi vyote. Hivyo waendelee kungoja kwani Kuna siku MUNGU atawashangaza.
#VailethMwaisumo#Nimewaona#mnanisukumasana#MusicVideo