Рет қаралды 797,889
MUNGU ndio kiongozi Mkuu wa safari yetu yenye mambo mazito na magumu lakini akitembea nasi safari ni nyepesi, wimbo huu ukukumbushe kuwa unamuhitaji MUNGU kwa kila hatua unayopitia maana bila yeye hautafika popote wala hautaweza kushinda
#VailethMwaisumo #NendaNaMimi #MusicVideo.