Vanessa mdee natamani kuimba nae singeli | Vyakula uswahilini kwetu ni rahisi sana - Meja Kunta

  Рет қаралды 204,507

Dina Marios tv

Dina Marios tv

Күн бұрын

Пікірлер
@faudhiasalim3305
@faudhiasalim3305 5 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥 ni Moto Uwiiii sio kwa msitar hiyo
@mashmash2826
@mashmash2826 5 жыл бұрын
Yuko poa sana huyu kijana but uki muona u cant belive iwaeza kuimba hivyo
@princesdidah969
@princesdidah969 5 жыл бұрын
Unajua sana bro komaa zaidi uckate tamaa wala uckatishwe tamaa na mtu mtegemee mungu tu ndo kila kitu
@fatumaiddy5074
@fatumaiddy5074 5 жыл бұрын
jmn we kaka utabaki kua juuu,,,,, toka nisikie mamu nafatilia kaz zako👌🔥🔥🔥
@leederealy8568
@leederealy8568 5 жыл бұрын
Kama unamkubali meja kunta tujuane hapa
@kondeboyajika932
@kondeboyajika932 5 жыл бұрын
unajua mzee baba kunta
@nehemiahkasike7599
@nehemiahkasike7599 5 жыл бұрын
Namkubal sn Meja kaz zke
@shedracksanga2095
@shedracksanga2095 5 жыл бұрын
Hapingwi huyooo
@michaelkadyo2256
@michaelkadyo2256 5 жыл бұрын
Lee derealy .
@lamodomahiza2146
@lamodomahiza2146 5 жыл бұрын
Lee derealy meja una hatariii
@omaribakari5368
@omaribakari5368 5 жыл бұрын
Uyo dogo ningependa zaid diamond amchukuwee tuke furah WCB wasaf masha biki tunatah simba amchukuwee uyoo
@mohamedabdallah7526
@mohamedabdallah7526 5 жыл бұрын
Bro ww unajua zaidi mana si kwa ladha hio tofauti uliokujanayo... Kma umemkubali kama mm like hapa tujuane +254 ❤ +255
@mwanahawashabani9237
@mwanahawashabani9237 5 жыл бұрын
Meja ni kabaliyao
@allychombo4282
@allychombo4282 5 жыл бұрын
Meja anatishaa
@swaumuhussein6280
@swaumuhussein6280 5 жыл бұрын
Hello
@jannetreby8664
@jannetreby8664 5 жыл бұрын
Naqubl bro
@jannetreby8664
@jannetreby8664 5 жыл бұрын
Bro unajua
@feysalrajab6559
@feysalrajab6559 5 жыл бұрын
Daaaaah mwamba nakubali kaziiii iko poa kinomaaaa
@amedeoshamon5458
@amedeoshamon5458 5 жыл бұрын
Let's me know if u like this young man if u like him let's me got u like
@agnessjohn8404
@agnessjohn8404 5 жыл бұрын
napenda Sana Sana singeli dogo uko vizuri
@franklymushyyoungofficialm468
@franklymushyyoungofficialm468 5 жыл бұрын
nakubali mwamba🔥🔥🔥🔥🔥
@mlekwasanga4990
@mlekwasanga4990 5 жыл бұрын
Mungu akubaliki uwakilishe singeli international
@shalokatoto2924
@shalokatoto2924 5 жыл бұрын
Dah asant sana meja kunta unaweza na kipaji unacho kizur xn 💯 kukupend mwambaaa...😘😘😘
@allthebestdigital323
@allthebestdigital323 5 жыл бұрын
#Salute...mzee wa kaz@MejA kuntA
@mhanjegodfrey8288
@mhanjegodfrey8288 5 жыл бұрын
Kama una kubali kazi za meja gonga like zakutosha hapa
@sharifumauridi5466
@sharifumauridi5466 5 жыл бұрын
Unajuaaaaa like zangu kamaunamkubali meja kunta
@charlesjohn4182
@charlesjohn4182 5 жыл бұрын
kuanzia leo nasema mim ni mfuasi wako rasmi nipo popote ulipo
@ramadhaniswalhe5402
@ramadhaniswalhe5402 5 жыл бұрын
Daaaaah damu yngu unsjuwa pacha daaaah umemfunika mudy
@qualitymoran6660
@qualitymoran6660 4 жыл бұрын
Weeee muddy ni noma sanaaaaaa ila meja amejua watu wanataka nn na ana uandishi mzurii ila muddy ni muasisi wa hii style na meja kapita kwake sema kismart hana yule mwamba na sio mbunifu
@rehemamuhengi7101
@rehemamuhengi7101 5 жыл бұрын
Safi Sana nakupenda Bure tumezaliw cku moja my
@kichekochekanasisi3550
@kichekochekanasisi3550 5 жыл бұрын
hatali sijawaipenda singeli ila nimependa uimbaji wako
@daimasaimon9913
@daimasaimon9913 5 жыл бұрын
Kabisaaa iyaaani ana radha nzuri saaana tofauti na wale mashairi hayana ukakasi kabisa
@lameckditto3820
@lameckditto3820 5 жыл бұрын
Mm pia sijawai penda singer lakini hii imenikosha
@dullaskwerimakororo1859
@dullaskwerimakororo1859 4 жыл бұрын
kakameja
@dullaskwerimakororo1859
@dullaskwerimakororo1859 4 жыл бұрын
kimbiza kaka
@dullaskwerimakororo1859
@dullaskwerimakororo1859 4 жыл бұрын
@@lameckditto3820 hatarijama
@husnamubarack7644
@husnamubarack7644 5 жыл бұрын
You so smart unajielewa tofaut na waimba sngel wengne keep it up
@thomasmathias7237
@thomasmathias7237 4 жыл бұрын
Nakubali dogo anajua
@ashaabdallah1718
@ashaabdallah1718 5 жыл бұрын
Kipaji unacho saaana❤️... kujieleza bado kdg
@rosemalisa3354
@rosemalisa3354 5 жыл бұрын
Big up sana mkali meja junta you the best bro dah wewe ndo mwenye singeli brother hongera sana sana sana
@nadhifajuma6485
@nadhifajuma6485 5 жыл бұрын
Jamani naskia skia tuu ety Mamu c nkafatilia aiseee amenipa hamassa ya kufatlia nyimbo zako💞💞💞💞💞
@allymkamba1115
@allymkamba1115 5 жыл бұрын
Dogie upo vizuri sna Sauvie Safiii mejae karibu tena lkwiriri rufiji ujetena kutowa shoo
@lightnessntaganyila8272
@lightnessntaganyila8272 4 жыл бұрын
Meja ani me nachukiaga Sana mziki wa singeli ila we umenibaba kwelkwel....aiseee Kaka unaweza ...Mungu akuzidishie ufike mbali zaidi......🙏🙏🙏👉👉
@etoojanja5377
@etoojanja5377 4 жыл бұрын
Tz kipaji kipo Unajua xan broo UHAKIKA ATUKWAMI BY ETOO APA like kama una mkubl
@binofredy1680
@binofredy1680 5 жыл бұрын
Sema nn unayeucka na uyu kijana fanya nyimbo ziwe audio mack cunajua tena iphone user alafu kijana tunamuelewa uyo
@barakaramadhani4813
@barakaramadhani4813 5 жыл бұрын
nouuma sana wadau muangalieni kijan yupo vizur
@saidymkomwa2380
@saidymkomwa2380 5 жыл бұрын
Oyaa kaz nzur babaa chama l wana Big salute meja
@binofredy1680
@binofredy1680 5 жыл бұрын
Na mpira anaujua kweli ni talented atakuja toka badae atupe radha kwanza za kushangilia
@NonoNono-qp3zu
@NonoNono-qp3zu 5 жыл бұрын
Ila jaribu kubadilisha ladha yaani tune au sijui beat ili nyimbo ionekane ni tofauti maana nyimbo zako zote zinaonekana kama ni nyimbo moja
@mudinamata2969
@mudinamata2969 4 жыл бұрын
Shida ni watu wanao tengeneza biti ila ye yupo vizur na mistar tofaut na nyimbo zengine kampan kwa mashabik mkali sanaaaa
@danyakala
@danyakala 4 жыл бұрын
Sikiliza Ngoma zake utaliona hilo
@saidmaziku9357
@saidmaziku9357 4 жыл бұрын
Unajuwa Sana brooo❤️❤️❤️
@bakarmsingwa6211
@bakarmsingwa6211 5 жыл бұрын
Meja we nishida
@msaniikanal2843
@msaniikanal2843 5 жыл бұрын
Nakubal Sana Msanii Wang
@nehemiahkasike7599
@nehemiahkasike7599 5 жыл бұрын
Nakubal sn kazi za Meja kunta
@abubakarrashid86
@abubakarrashid86 5 жыл бұрын
Nimeinama nimeinuka nimeokota kidude 👍👍👍👍👍👍👍👍
@islamshabani8571
@islamshabani8571 5 жыл бұрын
umetisha sana mejaaaa
@phideaurassa9246
@phideaurassa9246 5 жыл бұрын
Ulipo nipo 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@makobatv5188
@makobatv5188 5 жыл бұрын
Big up broh eddo mob
@Qeek_Smart
@Qeek_Smart 4 жыл бұрын
Fala s.kide kafanya nipate hacra yakurudia majimbo yooote ya meja kunta❤️
@nurdinmoto8242
@nurdinmoto8242 5 жыл бұрын
Daaaah Baba Nimekukbal Mnoooo
@pendobaharia6922
@pendobaharia6922 5 жыл бұрын
Kuimba singel inataka pumzi uko vizur mwambaa
@rehemaathuman8143
@rehemaathuman8143 4 жыл бұрын
No makelele Yani taratibu ,,sio wengne wanaimba Kama wana kimbizwa bwana
@fadhilamtwale5836
@fadhilamtwale5836 5 жыл бұрын
Nimekuelewa Mme wangu
@yuleboymsafi5018
@yuleboymsafi5018 5 жыл бұрын
Mzee baba wew ni noma sana damu yangu hakuna zaidi ya mwanao wafaida hapa ally marocho
@jumakibuyu593
@jumakibuyu593 5 жыл бұрын
Mejaaaa hatariii
@maryambakari9670
@maryambakari9670 5 жыл бұрын
We mkaliii mejaa
@rukiayusufu5439
@rukiayusufu5439 5 жыл бұрын
Nouma sanaaaaaa nakukubali
@harunimfaume6280
@harunimfaume6280 5 жыл бұрын
mudy msanii na meja kunta wanatuwakilisha vizir saana pande za buza wako vizur saanaaa vpaji vya hatalii
@cartoonommycomedian7787
@cartoonommycomedian7787 5 жыл бұрын
BigTalent🔥
@zuberyhamisi1751
@zuberyhamisi1751 5 жыл бұрын
Unaweza sana
@rajabuhamisi1104
@rajabuhamisi1104 5 жыл бұрын
Huyu dogo anabalaa sio Siri kuimba anajua
@jacksonchristopher3617
@jacksonchristopher3617 5 жыл бұрын
Dogo Kama unatungaga wewe mwenyewe basi unatisha
@vndondendondev6531
@vndondendondev6531 5 жыл бұрын
Nimetamani kumkamua chunusi jaman uwiiiiii😂😂😂😂😂
@adefunmioluwadamilola605
@adefunmioluwadamilola605 4 жыл бұрын
Na mimi ivoivo
@shukurujustin5258
@shukurujustin5258 5 жыл бұрын
Safi meja kunta umetisha kijana
@shufaahalifa2947
@shufaahalifa2947 4 жыл бұрын
Daha raha raha sana nampenda sana meja kunta
@pauljordan9044
@pauljordan9044 5 жыл бұрын
meja GOD BLESS YOU
@phideaurassa9246
@phideaurassa9246 5 жыл бұрын
Napendaga sana hyo mamu pia unajua kujieleza BG up mejaaaaaa
@mashmash2826
@mashmash2826 5 жыл бұрын
Woooow yuko poa sana🔥🔥🔥
@nyikimohamed9872
@nyikimohamed9872 5 жыл бұрын
acha nikubali tu nibishe nini sasa
@juniornamao527
@juniornamao527 5 жыл бұрын
Leo nakupa jina la rasmi la Meja mavoko
@kakaaignas3675
@kakaaignas3675 5 жыл бұрын
Hatar sana unajua SNA dogo
@reybabu2467
@reybabu2467 5 жыл бұрын
Dahaaa hatariii
@ndayishimiyecynthia4990
@ndayishimiyecynthia4990 5 жыл бұрын
Jaman pumuzika kwa Amani mdogo wangu 😭😭😭
@mubahkilangilo4082
@mubahkilangilo4082 5 жыл бұрын
Duh! Huyu mwamba MI sisemi yuko pow atar #anasauti alafu mashair very thinking capaste
@ramadhanshenko3666
@ramadhanshenko3666 4 жыл бұрын
Nakubal nyimbo zake
@ashachambuso8713
@ashachambuso8713 5 жыл бұрын
Weeee dogo fundiii
@ayoubrichard4870
@ayoubrichard4870 5 жыл бұрын
Vitu vya hatar Sana ivi🔥🔥
@ahmedmahmudu1046
@ahmedmahmudu1046 5 жыл бұрын
love him from Mozambique
@rahmangosha3602
@rahmangosha3602 5 жыл бұрын
Uwiiiii meja kunta 😘😘😘nakupendraaaa
@piusmagoha8146
@piusmagoha8146 5 жыл бұрын
Jamaa yangu namkubari sana yaani fundi sana anakwenda na biti mbka safi yaan kaza buti bradhar!!
@harunimfaume6280
@harunimfaume6280 5 жыл бұрын
kweli kabisa kila kitu kipo vile vile ufanyaji wako wa kazi na kitumiz chako ndo kitakufanya ule na kufanya unacho kitaka
@stennsteven7441
@stennsteven7441 5 жыл бұрын
Umetixha xana meja kunta
@leoaquilline3464
@leoaquilline3464 5 жыл бұрын
unajuaaa mdogo
@asterixgaul3702
@asterixgaul3702 5 жыл бұрын
bwashee hapo funga kazi👊👊👊
@hadijanjechele296
@hadijanjechele296 5 жыл бұрын
Kaza mdogo wangu maisha ndo yale yale cc ndo wadau wako team mti pesa
@jerdasonyo6667
@jerdasonyo6667 5 жыл бұрын
no comment jaman nice song
@fatumaseleman1579
@fatumaseleman1579 4 жыл бұрын
Safiiiiiiiiiiii🔥🔥🔥🔥🔥🍁
@zaitunihamisi8857
@zaitunihamisi8857 5 жыл бұрын
kiukwer meja napenda xan xauti yako
@bakarijr721
@bakarijr721 4 жыл бұрын
tunaoangalia 2020
@edotallent4464
@edotallent4464 5 жыл бұрын
Oya weeee meja natamani nkutukane kwafuraa dam yang unajua mpaka keroo man
@pendobaharia6922
@pendobaharia6922 5 жыл бұрын
Kubali Sanaa mejaaa
@abusalman5139
@abusalman5139 5 жыл бұрын
Dina uwe na heshima kidogo unapowahoji Underground
@naamohamed9964
@naamohamed9964 4 жыл бұрын
Anakuaga na dharau sana
@hanifakinongo6642
@hanifakinongo6642 5 жыл бұрын
Uiuuwiiii noma
@alfeoubamba5388
@alfeoubamba5388 5 жыл бұрын
Unajuaa mzeee
@vitalesgalus8004
@vitalesgalus8004 5 жыл бұрын
noma sana mzee baba nakuli miaka 100
@fatumasalmini2241
@fatumasalmini2241 5 жыл бұрын
Upo vizuri san
@habibiswaleh1849
@habibiswaleh1849 5 жыл бұрын
Dah nakukubali sana meja
@biusimohamed1049
@biusimohamed1049 5 жыл бұрын
nakukubali sanaaa meja kunta
@mohameddady6355
@mohameddady6355 5 жыл бұрын
We Dogo acha kuongea vitu usivyovijua kwanza hujui maisha kuna watu wanalalia maji tu msosi cku ya Pili. Au hujawahi ona watu wana chemsha mchicha tu wanakula tembea uone we mshukuru mungu kiasi unapata cha kukutosha ...unakufuru ww
@adrofdaniel4936
@adrofdaniel4936 5 жыл бұрын
Naelewa kiongoz Saf Meja
@frankmsambwa3320
@frankmsambwa3320 5 жыл бұрын
Allah amlazee pema peponi
@johnsonmgendela6882
@johnsonmgendela6882 5 жыл бұрын
duuu broo upo Vzr kinoma
@sadamissa5687
@sadamissa5687 4 жыл бұрын
What a talent , sweet voice oooowaoooooooooh
@Genius27.
@Genius27. 5 жыл бұрын
Sanaaaaaaaaaaaaa
@salmamabago364
@salmamabago364 7 ай бұрын
Namuona Aboue Dozee Hapo Kajiinamia
@mudytondo3130
@mudytondo3130 5 жыл бұрын
uko vizuri nakubari mistari hio meja
@gpromotz
@gpromotz 5 жыл бұрын
contact pls tupge kaz
@rajabmkuya9023
@rajabmkuya9023 5 жыл бұрын
Thanks God ur alive
@adefunmioluwadamilola605
@adefunmioluwadamilola605 4 жыл бұрын
Noma sana naomba niwe nakubinya izo chunusi jamani
@herculesthepower1544
@herculesthepower1544 5 жыл бұрын
Safi sana kijana jitahidi utafika malengo yako.
@nafigasper9476
@nafigasper9476 5 жыл бұрын
Naomba mfute hiz RIP meja hajafa
@hamdanmrisho4606
@hamdanmrisho4606 5 жыл бұрын
Uyu jama hanaimba kwa hisia Kali sana nimemkubari
Meja Kunta aimba live
8:58
Dina Marios tv
Рет қаралды 210 М.
BIG SUNDAY LIVE | MEJA KUNTA - MADANGA YA MKE WANGU
19:02
Wasafi Media
Рет қаралды 107 М.
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН
DUNIA (Ep 38)
19:34
ASMA FILMS
Рет қаралды 141 М.
MUDY MSANI NA MAN FONGO WAKUTANA USO KWA USO KIBATINI
11:54
KIBATI CHAURUGUAI LIVE
Рет қаралды 23 М.
Nobody has matched Ronaldinho's magic at Barcelona 👑
18:46
Rptimao Videos
Рет қаралды 10 МЛН
GAMBO amjibu MAKONDA bila uoga adai hana ELIMU anatakiwa kuelimishwa
9:18
The Day Ronaldo Showed Messi, Neymar & Mbappé Who Is The Boss
19:19
Meja Kunta Alivyokiwasha Fiesta ya Mtwara
20:17
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 24 М.
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН