Hiyo comment unasoma ni yangu ni yangu, nashukuru sana kwa kunitambua kaka. Ukitaka mengi kuhusu matatu au kitu chochote kile huku Nairobi basi usiwe na wasiwasi kunitafuta nikupe habari ya mjini
@Vanisikaka4 жыл бұрын
Safi saana bro , utanifollow insta bro
@ahutamorris4 жыл бұрын
@@Vanisikaka freshy kabisa, kwa mpigo nitakufwata
@willisonyiego98092 жыл бұрын
Hapo kwa Kahawa Chungu, huyo msee alikupiga kiswahili 🤣🤣🤣 Hakuna mtaa Kanairo unaitwa hivoo. Yeyote anayekaa Nairobbery, anaweza niunga mkono🤣🤣🤣
@antonymangu34582 жыл бұрын
None stop sio kazi ,,,kkazi ya matatu ni mbemba shukisha ndoo fainda
@Josh-gk8rd4 жыл бұрын
Watu hawasimami. Kuna time nlikuja dar es salaam nkaona watu wanasmama kwa matatu lakini uku gari yaeza shikwa watu wakisimama
@KelvinKim-desu4 жыл бұрын
Siku hizi kuna shengi ya nauli. Wauliza mangapi! Wakati wa kale waambiwa matatu. Leo waambiwa matano, masoo, marwabe (50, 100, 200). Representing 111. The baddest route!!! Tafuta hao matwana culture. Utashangaa mshkaji. 😁😂
@djtucha4 жыл бұрын
Huyu jama na commentary 😂😂😂😂😂 ka furahisha sana 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽 good job sana. Keep it up.
@gedionsila63203 жыл бұрын
Hapo kila k2 inafanyiwa hapa Nairobi na watu na kampuni tofauti...very talented guys around
Faida mingi gharama mingi msee wakenya wanajua ,,,,wajanja xana
@ahutamorris4 жыл бұрын
Noma, naona ushatoa reaction
@Vanisikaka4 жыл бұрын
Ha ha 🤣🤣
@egideniyonkuru97054 жыл бұрын
Van8 nipo kenya ila natoka Burundi nakwambia hizo ghari za matatu unazoona zina unyamwezi mwingi xn maana zimepamba njee na ndani kuna ngoma ile balaa we acha tu ukija huku utaona mwenyewe kuta tivi kweny kila siti huku kenya razima ushangae poa Burundi tunakupenda🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@billyjong20934 жыл бұрын
Nauli ukitaka una lipa ata kwa mpesa hahhahaha namiss nairobi
@kingsan25484 жыл бұрын
Karibu sana nairobery raha sana
@deejayjojaz2544 жыл бұрын
Ni kariako bro , kiriobangi ,kangemi pale nakotoka Mimi ,kaka twende mbele
@lavoste0074 жыл бұрын
Kahawa sukari😂😂😂 iyo imekubamba... mombasa kuna mtaa unaitwa dunga unuse, mtaa wa mbuz na kadhalika
@miriammaina7984 жыл бұрын
18:25 LOL, "kaa pale pumbavu".
@Vanisikaka4 жыл бұрын
Ha ha 🤣🤣
@ErickGuyayi9 ай бұрын
You love Kenya very much br you ,ve welcome
@christinezighe69164 жыл бұрын
Big up brother that's why I love you
@art.ikocreations4 жыл бұрын
nganya mingi zinapigwa spray work but kuna zile zinatumia pia stickers. Kulipa ni baada ya nganya kujaa na iko njiani imeondoka. Ndio, wanatumia pesa nyingi kurembesha kama vile body kit, mziki, wifi na mengine. dirisha waeza kufungua lakini unafaa kuchunga ju kuna wezi so waeza poteza simu ama begi yako😂 Matatu ikiondoka njiani inawashukisha watu kulingana na pale mtu anataka kushukia kwenye route inayopitia. mtu anayejulikana kupimp manganya mingi Nairobi ni Moha grafix. Conductor ama konda in sheng huwa na uniform ya maroon.
@Vanisikaka4 жыл бұрын
Daah wana invest pesaa nyingi saaana
@art.ikocreations4 жыл бұрын
@@Vanisikaka yes they do
@lawruhns51324 жыл бұрын
kulingana na sheria mpya zakenya matatu ni kama radio station, ukitaka kucheza mziki wa humu lazima ulipie license
@yusufmwangichannel66924 жыл бұрын
Afro beat na bongo flavor ni matatu za Mombasa
@ahutamorris4 жыл бұрын
Kwa mlango kuna makondakta wawili au zaidi na wanafanya madoido au styles za kuning'inia kwa mlango.
@kakerluder65674 жыл бұрын
Vaniskaka mbosso kashafnya mambo yake fanya unyamwezi
@yusufmwangichannel66924 жыл бұрын
Saa zengne matatu kama Mombasa tunaita kitatu
@samuelwanjie30124 жыл бұрын
Hakuna kusimama..zina cheza video za muziki hawachezi movie
@Vanisikaka4 жыл бұрын
Ha ha ha poa saana
@dorothyshisia63204 жыл бұрын
Wakenya wanapenda kubadilisha majina ya Kiswahili Kwa kingereza. Matatu-ma3 Magufuli_Mapadlock. Usipo pimp gari watu hawataingia.
@SteveAmima4 жыл бұрын
Ukweli bro😂😂✔️
@eastafricanforever34573 жыл бұрын
Hahaha
@andrewkim1104 жыл бұрын
wanachora bro gari kufanyiwa pimp itachukua hadi mwezi juu ni taratibu usikosee juu kurudia itakua noma tu sana
@davychelsea64614 жыл бұрын
matatu pia sisi huita ma-three
@dylankanyubi37003 жыл бұрын
Tulikuwa tukiziita many anga kitambo sana miaka elfu moja mia tisa tisini hivi.
@framoohuswazz23424 жыл бұрын
Nakubali mwana kwa Ku promote matwana huko bongo ,,
@sammura4624 жыл бұрын
Unapenya sasa
@Vanisikaka4 жыл бұрын
Ha ha🤣🤣
@jannetmaina63624 жыл бұрын
Bongo apana haha
@geraldopata83224 жыл бұрын
Van Isikaka reaction zake ni za kinyama,Unyamwezi kupitilizia mzee endelea ivo morio
@georgeotieno34972 жыл бұрын
Nyingi zimechorua
@geemwangi25794 жыл бұрын
Zina hadi socket ndani na wifi
@saus72174 жыл бұрын
Kuna Jamaa anaitwa MOHA he is the king of Graphic hapa 254
@annegruvy4 жыл бұрын
Moha ako juu 2 xana
@thuglife34394 жыл бұрын
Ukweli Mohammed n oby
@yusufmwangichannel66924 жыл бұрын
Matatu za Mombasa na Nairobi ni mambo mbaya
@faithngendo20644 жыл бұрын
Mob love from kenyaa
@Vanisikaka4 жыл бұрын
❤❤❤
@trevorgaiku56514 жыл бұрын
Kaka.....enda unangalie.....nyanya awards 2016
@jannetmaina63624 жыл бұрын
Alafu a search Nyanya awards lol
@nicholaskimuyu3694 жыл бұрын
Guess u meant 'Nganya awards 2016'
@elthedj30754 жыл бұрын
ni post refu -- to elaborate more on your questions bro....saka moha grafix ,,,,uyo msee ndo most established and he is the founder of these grafiti kwa mat....tickets unalipa ukishaingia,,, it will depend na penye umetoka na unapoenda pia yategemea na wakati,,, wakati wa rush nauli hupanda ata ikafika double, rush hua hasa asubui watu wakienda kazini na jioni watu wakitoka kazini,,,mchana hasa bei huteremka sana lakini kwa izi nganya bei si rahisi ishuke so kama mwezi imfika kati kati na umeishiwa unaenda kwa izi mat zimechapa apo bei hua imeshuka utaenda ata na mbao which is 20bob,,pia, wakati wa mvua bei hupanda zaidi kisa ni kua jam yazidi kisha mat huchukua mda mwingi barabarani, kitu chengine, ukipeana hela kubwa wekaga kwa akili umepea conductor hela kubwa ywafaa akurudishie change ukusahau basi ndo ivo change yako imeenda ka sadaka msee. i used to live in kayole kisha nkahamia umo(umoja estate) basically time ya rush bei from kayole to tao(town) ni mia,,, pia umo. about the pimping(kurembesha ,kueka screen izo zote) yaeza fika millioni moja ya kenya, tafuta documentary fulani ambayo citizen tv wakihoji moha grafix. alisema kua client akija hua anamwuliza theme anayo taka, kisha akasema kua interior making hadi mziki na flat screen hadi viti kurembesha yote yaeza fika milioni moja ya kenya kwa mathree kubwa kama io banzuu,,,kwa 14 seater mathree izi ndogo ni nusu ya io hela .wakati wa rush ni ukweli watu husmama kama hakuna polisi barabarani,, na ndio mana kuna flat screen kila kona ndio kukijaa utaweza kutazama screen ilio kando yako,, pia kuna matatu zengine ambazo kila seat ya nyuma yake kuna screen..hua kuna mixtapes za ma dj .. djs wanatengeneza mamix kisha wanazisambaza kwa mamathree kila route,, by the way izi mathree zimepromote mziki sana,, dere(dereva) ndo hua anaremote apo mbele shida ni mpate dere ako veve yaani miraa mtakulishwa reggea ajab the whole route hadi destination arrival haha... kushawai kua na mat iko na ac,,, i dont remember the name,,, but madirisha hua mtu ywaeza fungua akifunguka hiari yake bora uchunge simu isivushwe dirishani ikaja pata mteja mgeni haha.. basically kuna car power supply specifically for the music system, the speakers, the lightngs ,, hua kuna car battery ya io kazi haswaa yategemea na watts zake,,, yaweza enda direct kutegemea na abiria ,, kama kuna abiria wa njiani basi itakua yaenda ikisimama ikiokota aboria wengine. kampuni ni nyingi kayole kuna base moja,, south b iko , githurai iko, dandora ipo,,, ronga iko , lakini moha grafixx ndo mwenyeji.. conductor huvaa red dereva huvaa shirt la blue government protocal.. kenya io mambo ya card itachukua mda kiasi maana ujue izi bara bara izi mathree ni a ma cartels fulani so wanapata kutokana na io biashara transport industry ina pesa uku kenya so mambo ya card kenya zii si ka sa hii, nairobi hasa vijanaa wapenda sana hip hop trapp ndo ngoma huchezwa sana kwa mathree sipendi pia haha.. kuhung kwenye mlango wa mathree ni kawaida ni ibada ni mila kwa izi nganya, ni hatari lakini hua wanawashwa ,, hua kuna wenye hubembea haswaaaaa,, yea true nairobi wanapenda reggea , gengetone zippo,, tuseme kila wakati una ngoma zake asubui ngoma relaxing kama rnb , mchana reggea hasa,, jioni ndo izo gengetone tuseme ama kitu kama icho, yes wi fi ipo kwa ma mathree sai,, kuna mat inatokea nganya mpya ,,, itakua route 125 ronga ,, inaitwa boom box,, ni ngori sana,, ni kali sana,,ebu tafta fb page ya matwana culture fb ,, utacheki progress ya ma mathree za nairobi vyenye zipo,,
@capo_to_di_top4 жыл бұрын
wanachora hao ni magrafffiti masters na pia hizo gari huana wifi socket flat screen tv hd ni kama uko kwa ndege
@yusufmwangichannel66924 жыл бұрын
Kuna zile zinachorwa na kuna zile zmepigwa spray
@adamcharo93274 жыл бұрын
Tafuta moha Graffiti....yeye ndo mkali wao nai
@razorramoneentertainment90914 жыл бұрын
Ni kuchora na spray paint
@eliasndungi90244 жыл бұрын
Van, gari bonge lenye ubabe hivi sasa Nairobi laitwa MAMBA
@Vanisikaka4 жыл бұрын
Ha ha poa nitaicheck hiyooo
@nicoledinga99484 жыл бұрын
Wakenya wanajiundia hizi matatu na wanafanya graffiti wenyewe...inaitwa talent my friend but we're happy soon hizi matatu hazitakua zaingia jiji😁
@Vanisikaka4 жыл бұрын
Safi saaana
@ArarsoAli4 жыл бұрын
Nganya
@sherwinhazelrugutt55602 жыл бұрын
Kuna zenye zikona screens Hadi nyuma ya viti🔥🔥
@dionesiusmash554 жыл бұрын
Am sure hujaona apo kwa first stop wamepita traffic police, the one in shouting green colour jacket 😂😂uku ni kenya
@africanmusic46024 жыл бұрын
Mattatu si nairobi tu kupakizwa it's alvoer d biggest city in kenya
@charleskabuchu71932 жыл бұрын
We love our matatu culture and that's why kenya we lead others follow and I norm think kenya we were made out of Africa
@phylipmelo81874 жыл бұрын
Van isikaka.... What's popping
@geemwangi25794 жыл бұрын
Muziki utalingana saa zingine utapanda nganya upate ngoma unapenda saa zingine upande ingine dereva ameeka ingine imeboeka sana
@Vanisikaka4 жыл бұрын
Dooh kumbe hivyoo
@yusufmwangichannel66924 жыл бұрын
Unalipa ukiwa ndani
@christinezighe69164 жыл бұрын
Ticket iko available unalipa ukiwa ndani
@eliasndungi90244 жыл бұрын
Hamna kusimama lazima kila mtu akae chini na afungu mkanda
@Vanisikaka4 жыл бұрын
Kama hivyo rahaaa
@BaVaughn4 жыл бұрын
Moha grafix ndio anaziprint 😁
@calebnyongesa4 жыл бұрын
Angalia video ya breeder bazenga dadii utaona hii matatu
@DeeJayTunebeats5 ай бұрын
IYO N TALENT IMECHORWA NA MTU SIO STICKER
@k_man2543 жыл бұрын
Ukigia Dani nikama umevaa headphone zinachuna
@wildcardstudios4 жыл бұрын
Kila genre ya nyimbo ina wakati wake wakuchezwa😂... sio kila saa gengetone!
@Vanisikaka4 жыл бұрын
Ha ha ha🤣🤣
@yusufmwangichannel66924 жыл бұрын
Conductors na drivers lazima wavae uniforms
@darkg25464 жыл бұрын
Niaje Kaka tufanyie analysis ya nyimbo Bado by KAKAZ047 all the way from 254. Unyamwezi mwingi i say.
@laurinenatasha23394 жыл бұрын
Nauli to and from ranges between 50 and 70
@kingsan25484 жыл бұрын
true
@nicholaskimuyu3694 жыл бұрын
Bro, hujaona boombox just search on youtube...waximu iko na ady external speakers 🤣🤣🤣
@Vanisikaka4 жыл бұрын
Nipe link bro
@yusufmwangichannel66924 жыл бұрын
Bei ya ticket ni sawa tu na zengne
@framoohuswazz23424 жыл бұрын
Ebu angazia mamba,,,the master mind
@georgemukoya87494 жыл бұрын
+254 on top 👍💪👆👌😱
@geemwangi25794 жыл бұрын
Naaam kuna kampuni mingi za vijana wanao fanya hii kazi ya kupiga graffiti kwa mat but mmoja legend anayetesa sana legend sana anaitwa Moha graffix mnyamwezi mwingi sana
@Vanisikaka4 жыл бұрын
Kweli mnyamwezi nimekubali
@andrewkim1104 жыл бұрын
matatu zina jina kibao bro kuna mat kuna nganya kuna manyanga majina kibao bro
@trevorgaiku56514 жыл бұрын
Vipi kaka??natumai uko salama.....enda ukacheki kitu linaitwa "nganya awards 2016.....utapata kujua mengi kuhusu matatu🔥
@yusufmwangichannel66924 жыл бұрын
Kio ukitaka unafungua
@dxhkitengela54544 жыл бұрын
Unywamez Mwingi sanaa😂😂😂
@anoldiaudifas64373 жыл бұрын
Kuprint kak
@MartinezzJT4 жыл бұрын
MCSK walikataza matatu kucheza local songs bila license ama watakula bonge la fine 😄
@pflamesz3 жыл бұрын
Unyamaz mwingi haha
@billymacxy26334 жыл бұрын
kunatime ya gengetone
@geemwangi25794 жыл бұрын
Aaargh gengetone ndo inapigwa sana kwa nganya mingi
@Vanisikaka4 жыл бұрын
Ooh babu kubwaaaa
@ahutamorris4 жыл бұрын
Kuna betri kama tatu au mbili mahali pake na socket zake za kuweka umeme. Kuna makampuni mengi ya kuunda matatu na kondakta na dereva ni lazima wavalie magwanda yao. Huku kuna mabasi yanafwanana na yale ya Tz ya mwenzo kazi.
@Dave-2544 жыл бұрын
Unyamwez kama wote🔥🔥
@christinezighe69164 жыл бұрын
Mati ziko na Wi-Fi
@sirjoeofficial14334 жыл бұрын
Van bana hiyo nganya kama unavyo iona tayari kabeba kutosha haibebi zaidi ya hao ambao wamo ndani
@Isackdibogo19934 жыл бұрын
Kariobangi code ya kwetu 14/28/26
@joshuaadakala2 жыл бұрын
Huwa wanasema price kabla ujaingia kwa matatu (nganya) ndani.natena huwa nimse Anachora.anagali kwa Yutube moha grafix
@Kinyumu_Kyalo4 жыл бұрын
Mat za Ngong ni zii
@shakilsillah74974 жыл бұрын
Watch out the new kid in town (Boombox KDA ) this matt is lit💣💉🚃🎶 🚨.. No stickers, this is pure art ( artwork by Lithuim) body build by Isuzu,Free WiFi ,DJ on board. Travel in style 💎💎
@hassangingi70334 жыл бұрын
Eastleigh namba 9 na 6 little mogadisho!!
@anakalletyevansy88972 жыл бұрын
kenya atutabui sticker .kuchora ndo kwenyewe💯
@africanmusic46024 жыл бұрын
Bus Kama elo hununuliwa Kama lory thn likabadilishwa so kununuliwa tu laeza cost 4m ksh na kupakizwa inaeza kucost eo 4m pia