Marioo feat Alikiba - Sober (Track No.3)REACTION

  Рет қаралды 4,715

Van isikaka

Van isikaka

Күн бұрын

Пікірлер: 28
@issashabani-c7r
@issashabani-c7r Күн бұрын
Na hii ndio ngoma ya pili kali iliyo toka December hii yakwanza ni ili ya dully sykes ft ali kiba zali 🔥 ya pili ni hii marioo ft ali kiba sober 🔥 ndo ngoma zangu kali zilizo toka December hii na humo ndani ya hizo ngoma zote yumo king kiba na katisha sana salute nyingi sana kwake king kiba 🫡👑🫡
@IyumbuMartine
@IyumbuMartine 7 сағат бұрын
Hufatilii mziki ndugu yangu unafatilia mziki wa alikibatu Ngoma zipo nyingi sana Kali ila umeamua kuwa upande mmoja poapoa
@lucynjau8450
@lucynjau8450 Күн бұрын
Nimependa 😊
@paulmasunga1754
@paulmasunga1754 2 күн бұрын
Hii sober na ile ya Naoa nilikua nazsubilia sana umetisha sana
@BoazNgaye
@BoazNgaye Күн бұрын
Umo umo🎉🎉😊king kiba in the building
@delphiniusalex
@delphiniusalex 14 сағат бұрын
King 👑
@bazoloemanuel5897
@bazoloemanuel5897 2 күн бұрын
Sikudai tena kaka...umetisha saana🎉🎉
@HamisiMwazikeni
@HamisiMwazikeni Күн бұрын
Fire
@AbdulmomadeAli
@AbdulmomadeAli Күн бұрын
Ok meu irmao van e alikiba e.graca deus King egrade musquero Africa
@AdamLameck-x5n
@AdamLameck-x5n 2 күн бұрын
Mzigo noma
@FelismaManuelofficial
@FelismaManuelofficial Күн бұрын
Alikiba sober Naoa Zali gonga like
@PendoUrassa-xm7ru
@PendoUrassa-xm7ru Күн бұрын
Da mwamba iki kitengo unakiweza
@JumaJafari-p8j
@JumaJafari-p8j Күн бұрын
King on 🔥 🔥🔥🔥🔥
@issashabani-c7r
@issashabani-c7r Күн бұрын
Amini kwamba yani wauni tunamatatizo kibao kwaiyo mungu asituchoke akituona tupo mtungi 😢
@Datetime-qf9wy
@Datetime-qf9wy Күн бұрын
Alikiba hafanyagi mzaha haki amungu nyimbo akishirikiswa inakuwa yake ukitaka amini muulize rayvan alivyofanyiwa
@joharibakari
@joharibakari Күн бұрын
Kubabale king
@KassimuMsabaha
@KassimuMsabaha 2 күн бұрын
Van isikaka
@kingkakamwasungo5023
@kingkakamwasungo5023 2 күн бұрын
V na kukubali❤
@LegenderPaco-officiel
@LegenderPaco-officiel 2 күн бұрын
Aliiiiiiikiba ni fire
@JohnsonMtalemwa
@JohnsonMtalemwa 17 сағат бұрын
Ila ally kiba atawaua Hawa vjana wadogo kwake
@MbeuAbdallah
@MbeuAbdallah Күн бұрын
Ni kweli kila mtu ndoto yako ni kwenda pepuni kabisa
@BrackMelody
@BrackMelody Күн бұрын
Brother niaje nifanyie nayangu natumia muda khan tz song inaitwa jirani ikosawa
@martha284
@martha284 Күн бұрын
Mie naomba @van isikaka Mwambie King asipende kumaliza nyimbo za wenzie😂😂😂😂 hii nyimbo challenge NI verse ya Ali Tu 😂😂😂😂
@ThimnaDube
@ThimnaDube Күн бұрын
Van isikaka tunaomba ufanye reaction ya album ya BIG fizzo from burundi kuna collabo amefanya na Harmonize
@hassansaid9925
@hassansaid9925 Күн бұрын
Vanisikaka sijui kama unamzingatia king hizo back vocal kwenye verse yake,,,, ni mauaji kafanya
@inforabduSafari
@inforabduSafari Күн бұрын
Ola mtaalam van iskaka ❤ m nasubiria reaction la d_voice ft mbosso, bila shaka itakua nouma zaid
@Vanisikaka
@Vanisikaka Күн бұрын
Mbona tayari
@Abby_Shawn_KE
@Abby_Shawn_KE Күн бұрын
Hapa hamna wimbo tukiongea ukweli hamia kwenye kitu kingine
Rayvanny feat Alikiba - Naoa (Track No.3)REACTION
11:46
Van isikaka
Рет қаралды 11 М.
Marioo feat Alikiba - Sober (Track No.3)
3:19
MariooOfficial
Рет қаралды 462 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 39 МЛН
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 505 М.
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 4,3 МЛН
Dully Sykes & Alikiba - Zali (Visualiser)REACTION
8:05
Van isikaka
Рет қаралды 10 М.
SET IT_DYANA CODS (REACTION)
24:32
kelvin sila
Рет қаралды 756
Top 100+ Songs Of Honey Singh (2007-2024) | Vocal Coaches REACT
22:36
Justin Burke Reacts
Рет қаралды 412 М.
Marioo feat Harmonize - Wangu (Visualiser)REACTION
7:16
Van isikaka
Рет қаралды 8 М.
Alikiba feat Marioo - Top Notch {Track No.2}REACTION
9:51
Van isikaka
Рет қаралды 15 М.
Alikiba feat Jay Melody - Hatari {Track No.4}REACTION
9:54
Van isikaka
Рет қаралды 20 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 39 МЛН