Leo wa kwanza naombeni like zangu but brother snash tunaomba revew ya technology ya satellite na mawasiliono kila taifa na mkonga wa taifa pamoja na data
@samkoka35 ай бұрын
Wa kwanza Leo naomba likes zangu plz
@Tztechhub5 ай бұрын
😂😂😂
@Tztechhub5 ай бұрын
Em check tena apo juu
@Moviesclip6action5 ай бұрын
tunataka review ya madame web
@Johndestar4705 ай бұрын
Sema Ushauri wangu Kwa Ma Refaree hususani wa hapa Africa🌍 wajitahidi sn kuchezesha Mechi kwa haki na uwazi sn....Wasije wakapendelea Timu fulani eti kisa kuna Mmiliki wa Mashindano hayo mfn. Mamelody VS Young Africans...Refa aliwabeba sn Mamelody na kukataa Goli la Aziz Ki...Sasa hilo jambo halitakiwi kbs ✍️
@chalaisihaka5 ай бұрын
Nimekuwa wa nane kukoment naombeni like please
@Johndestar4705 ай бұрын
Hizo Technolojia zote ni nzuri na zina faida kubwa mnoo kurahisisha Mechi Maana zinamsaidia sn Kocha,, Benchi la Ufundi na hata ma Refaree Wote kuchezesha Mechi kwa urahisi zaidi
@mg_panther5 ай бұрын
🎉🎉🎉
@Tztechhub5 ай бұрын
Umetisha
@dannymoses18825 ай бұрын
Kaka sikuiz umekuwa unachelewa sana kuachia v2
@MsangoDiesel5 ай бұрын
Yule. Mchezaji mwamba wamemkumbuka
@HashilRashid5 ай бұрын
Yaani kwa namna hii una kosa namba mapemaaa😅
@kakaziller5 ай бұрын
Review ya cybertruck
@victorvinquez5545 ай бұрын
Technology inkua sn
@barakamkumba2545 ай бұрын
Kaka ludisha ule mlio wako plz
@amemasudi57355 ай бұрын
VAR inasaidia sana kumfanya Refa kutoa maamuzi kwa haraka
@funnyclipz11825 ай бұрын
Review ya cammo 30 pro kaka utatisha snaa
@benjo_brighter5 ай бұрын
VAR imepunguza uhondo wa SOCCER
@ClaudGeorge5 ай бұрын
VAR jau
@tropidonation27065 ай бұрын
Kaka naomb review ya Tecno camon 30
@wessdj87535 ай бұрын
😢hivo vitu havita ruhusiwa kwene mpila wa miguu ..
@mg_panther5 ай бұрын
Azi saidii hizo zite mana zingelikuwa zina saidia basi yanga africans ange pita na kucheza funal