Yesu atukuzwe sana kwa somo zuri sana. Limenibariki sana na nimejifunza sana ❤❤
@Vbvswahili18 күн бұрын
Amen I . Barikiwa na wewe 🙏🏽❤️
@fregonezekiel850922 күн бұрын
Jina la Yesu liinuliwe milele! Asante sana Kwa neno la uzima!
@Vbvswahili18 күн бұрын
Amen and Amen . Ubarikiwe sana ❤
@pamelamziray222416 күн бұрын
❤❤
@abeldama561522 күн бұрын
Amen. Mbarikiwe kwa ujasiri wenu wa kuieneza Injili. Naona wivu; wivu mzuri lakini. Naomba Roho Mtakatifu anipe ujasiri kama wenu Amen.
@Vbvswahili18 күн бұрын
Bwana akupe ujasiri na kukongoza shalbani mwake . Barikiwa sana 🙏🏽
@AnnetteMainda22 күн бұрын
Nimebarikiwa na somo la leo❤
@Vbvswahili18 күн бұрын
Amen . Ubarikiwe sana mpemdwa❤
@RebeccaNgoma-e7t22 күн бұрын
Mbarikiwe wote 🙏🏽
@Vbvswahili18 күн бұрын
Amen . Na wewe pia 🙏🏽
@wemamwendamseke733122 күн бұрын
Amen
@Vbvswahili18 күн бұрын
Amen . Ubarikiwe sana ❤️
@esternyamizi55116 күн бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi Mungu azidi kuwatunza na kuwafadhili mliofunuliwa na kusimama kutenda kile Roho Mtakatifu amewaongoza na kulikusanya kusanyiko hili ambàlo limekuwa baraka sana kuyajua maandiko Kwa undani kupitia kitabu cha matendo ya Nitume.