VERONICA FRANK WA SMULIZI ALIYEKUWA NA SHIDA YA KUPATA MTOTO ASHUHUDIA ALIVYOMPATA MTOTO KIMUUJIZA. ALISHUHUDIA KWENYE MKESHA WA MWAKA MPYA 2023 SIKU YA JUMAMOSI 31.12.2022 KATIKA KANISA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"
Пікірлер: 30
@LoveAron Жыл бұрын
Hakika Mungu wacha aitwe Mungu kweli ana tenda 😍❤️💕😘 katenda hata kwa Veronica 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯
@celinagabriel-if7jq Жыл бұрын
Ameen mungu Azidi kukutendea mema vero
@jedidahbintidaudi82412 жыл бұрын
our beautiful Veronica Frank 😄
@happinessmanga4932 Жыл бұрын
Hongera dada veronica.nimefurahi Pamoja na wewe pia mimi nisikilizaji wako mzuri Toka siku ya kwanza unasimulia praise power . nakupenda sana sana...
@stephenlembo89862 жыл бұрын
Hongera sana Vero Bwana aendelee kuwatendea mema
@kalatunga Жыл бұрын
Mungu ni mwema kwa Kila jambo
@Happykiliwe Жыл бұрын
Jamani kumbe hata da veronica alikuwa kama mimi lakini mwengu Mungu amemtendea tayari 😢😢 ila naimani siku ipo na mimi nitapokea tu katika jina yesu kristo Mungu alie mtendea veronica na mimi atanitendea
@sarakineye8742 Жыл бұрын
Ameen 🙏 utapata na ww
@fatumakyengya458 ай бұрын
Amiiin
@upendolema33235 ай бұрын
❤❤❤Vero
@jumapiliissa48352 жыл бұрын
Hongera sana ant vero MUNGU aendelee kukuongezea wengine nahatawafike 12 yani dazen siyombaya
@mauasalum31402 жыл бұрын
Amen😢
@jestinamagembe212510 ай бұрын
❤❤❤nakupenda dada angu
@dayana5513story Жыл бұрын
Ubarikiwe sis vero❤
@flavianaephraim15212 жыл бұрын
Yesu ni halisi. Mbarikiwe
@lovenessmjaka97542 жыл бұрын
Nakupenda dad vero
@sionkivuyo7249 Жыл бұрын
Wooh our God is in control.
@tinnahagustinolyelu4247 Жыл бұрын
Mungu akutunze dada. Veronica
@BelindaVenace Жыл бұрын
Nakupenda da vero
@neemagidumboru87442 жыл бұрын
Jamani da vero mbona simulizi ya mwaka huu hatupati
@billaaljabri92052 жыл бұрын
Jamani we acha tu mimi nimepekuwa you tube mzima leo cku ya 6 bila ya mafanikio naona anatumikia yesu kwanza ili akija awe mpy hahahahaa
@neemaneema99692 жыл бұрын
@@billaaljabri9205 Nitumie namba yako ya wasap nikutumie Link
@billaaljabri92052 жыл бұрын
@@neemaneema9969 thank you so much my dear ila kipindi cha simulizi kilikuwa kijaanza ndo maana tulikuwa hatuzipati kwa sasa free enjoy
@queenesther2639 Жыл бұрын
Wote hapo kanisani acheni mawigi na marasta nk... Sikilizeni SHUHUDA miujiza c kitu lkn c saa ya kuingia mbinguni
@EliadaErasto Жыл бұрын
❤❤
@Zuhuranadadoita Жыл бұрын
🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@janethkomba44852 жыл бұрын
japo Moyo ndounaoangariwa lakini Mnashindwa kabisaa kutofautisha nguo zaibadani namtahani???