GHARAMA YA KUTUNZA NENO LA MUNGU - PASTOR SUNBELLA KYANDO

  Рет қаралды 37,314

Pastor Sunbella Kyando

Pastor Sunbella Kyando

Күн бұрын

Neno la Mungu siku zote linapokuja kwako huwa liko kinyume kabisa na mazingira yanayokuzunguka, lakini pia huwa kinyume kabisa na uwezo ulionao. Mungu haangalii uwezo ulionao nje bali uwezo aliouweka ndani yako. Siku zote kutunza Neno ambalo Mungu ameliweka ndani yako huwa kuna gharama, kuna muda huwa sio njia rahisi kabisa na inaumiza lakini mwisho wake ni mkuu sana. Huyu mwanamke aliingia kwenye gharama ya kutoa chakula cha mwisho alichokuwa nacho ndani na kumpa kwanza Eliya, usidhani kuwa alikuwa anatoa akiwa anafurahia, inaumiza lakini kupitia hapo aliingia kwenye muujiza mkubwa na umasikini na njaa vikaondoka kwake kabisa.
Kwa yule ambaye unapitia hali hii Mungu akutie nguvu, safari hii usiishie njiani maana kuna Utukufu mkubwa mbele yako.
#PastorSunbella#Gharama#KutunzaNenoLaMungu

Пікірлер: 71
@dericktweve1827
@dericktweve1827 2 жыл бұрын
Mungu akubalik wewe mchungaj na akuinue zaid kiiman
@christianmwasakogo5579
@christianmwasakogo5579 2 жыл бұрын
It's Holly spirit anointed message thank you pastor
@eliakazos8106
@eliakazos8106 2 жыл бұрын
Baba ,, YESU aliyekupa ufunuo huu Akuinue Sana Baba Yangu
@WitnessMandusi
@WitnessMandusi 6 ай бұрын
Thank you my God bless you 🙏🙏🙏 napokea mujiza wangu Leo🎚️🎚️
@narggdhdv765
@narggdhdv765 2 жыл бұрын
Umenifungua macho mungu amesema na mimi kwa mara nyingine.munguanisaidie nitii sauti yake.
@janembalinga7074
@janembalinga7074 2 жыл бұрын
Katk vitu nimepata neema ni pamoja na hili mungu amenidirect kwa mtumishi sahihi kabisa ninaiman ipo saa machozi yangu yatafutwa nitacheka
@JohnBirya
@JohnBirya Жыл бұрын
I really appreciate you daddy 🤝🤝🤝🤝🤝🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@superb1344
@superb1344 2 жыл бұрын
Mungu atukuzwe katika hili ni fumbo kubwa mno na gumu ila asante hata kwa hatua barikiwa saaana Pastor
@emanuelisempoli4892
@emanuelisempoli4892 3 ай бұрын
Ubarikiwe sawa mchungaji ili uendelee kutupa madini
@narggdhdv765
@narggdhdv765 2 жыл бұрын
😭😭Amen pastor mungu akubariki
@dyaimah
@dyaimah 2 жыл бұрын
God bless you poster for the powerful words of God.
@enoqmagidi
@enoqmagidi 19 сағат бұрын
Asante mtumishi
@blessedtumaini516
@blessedtumaini516 2 жыл бұрын
Mungu Baba asante kuunganisha nilichonacho na ufalme wako Mungu Baba mbingu zinaniangalia nami nabarikiwa. Asante Askofu hili neno ni langu mimi Mungu amekutumia unifikishie. Barikiwa sana.
@truegospleembasschurch6348
@truegospleembasschurch6348 2 жыл бұрын
.
@jeremiaisowe4443
@jeremiaisowe4443 2 жыл бұрын
Amen napokea katika jina la Yesu Kristo alie hai
@Neema-wy4mh
@Neema-wy4mh 11 ай бұрын
Amen pastor. Be bleseng ❤Jesus
@esterlyimo1935
@esterlyimo1935 2 жыл бұрын
Tunahitaji kupokea zaidi kutoka kwako
@petermunuo1657
@petermunuo1657 2 жыл бұрын
Amen mtumishi barikiwa sana
@rachelmassawe828
@rachelmassawe828 2 жыл бұрын
Pasta sunbella kiando hibada yajumapili
@agizoaidan352
@agizoaidan352 2 жыл бұрын
Amina. Mtumishi nimejifunza kitu barikiwa Sana
@merryjeremiah7533
@merryjeremiah7533 2 жыл бұрын
Amiina ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@joycesanga6951
@joycesanga6951 2 жыл бұрын
Amina BAba hayo yote ni kwa ajili yangu.
@neemasaidisaid1791
@neemasaidisaid1791 2 жыл бұрын
Amen amen amen amen amen amen amen. Asante kwa ujumbe huuu.
@bennamuchau6487
@bennamuchau6487 2 жыл бұрын
Amina...asante mtumishi wa Mungu
@alfredaloyce6835
@alfredaloyce6835 2 жыл бұрын
Good bless you postar
@Neema-wy4mh
@Neema-wy4mh 11 ай бұрын
Amen 😢😢😢❤❤❤❤
@rachelelias6522
@rachelelias6522 2 жыл бұрын
Thanks Daddy 😭😭😭😭😭😭🙌🙌🙌🙌
@elizabethnjiyabo3351
@elizabethnjiyabo3351 9 ай бұрын
Merci
@faithomuyoma3144
@faithomuyoma3144 2 жыл бұрын
Amen 🙏🙏
@BeatriceVahaye-e1i
@BeatriceVahaye-e1i 8 ай бұрын
Ameniiii
@ciciandjojo7701
@ciciandjojo7701 2 жыл бұрын
Asante Sana somo zuri mno. Mbona siku hizi mchungaji ufundushi?
@bennamuchau7499
@bennamuchau7499 2 жыл бұрын
Aminaa
@abinelmelick596
@abinelmelick596 2 жыл бұрын
Amina mtumishi wa Mungu
@joycegeorge4712
@joycegeorge4712 2 жыл бұрын
Be blessed
@rehemakatana1137
@rehemakatana1137 2 жыл бұрын
Kabisa
@mauricesikuta6352
@mauricesikuta6352 2 жыл бұрын
Amina
@irenefraterin8081
@irenefraterin8081 2 жыл бұрын
Amina mpakwa mafuta
@calebpaul667
@calebpaul667 2 жыл бұрын
Be blessed man of God
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 10 ай бұрын
Amen 😢
@joshuatai40
@joshuatai40 2 жыл бұрын
Amen ❤️❤️
@rehemakatana1137
@rehemakatana1137 2 жыл бұрын
Oooooo yes
@mwl.simonemarsha1266
@mwl.simonemarsha1266 2 жыл бұрын
Ameen Baba 🙏
@yohanasimtenda748
@yohanasimtenda748 2 жыл бұрын
🙌
@emanuelbrysonshauritv.1638
@emanuelbrysonshauritv.1638 2 жыл бұрын
Daima kila ninapo fatilia mahubiri yako mtumishi unaongea na mimi hapo ni mimi kabisa Mungu anisaidie.
@nursechunga4470
@nursechunga4470 2 жыл бұрын
Ameeeen🙏
@birih8801
@birih8801 2 жыл бұрын
Wise! Ameeeen 🙏
@neemanyagawa9479
@neemanyagawa9479 2 жыл бұрын
AMINA
@katyengu6544
@katyengu6544 2 жыл бұрын
Ameen
@favourndila8474
@favourndila8474 2 жыл бұрын
Ameeen hallelujah
@hezronjohnson4681
@hezronjohnson4681 2 жыл бұрын
A
@gracemkomasy8257
@gracemkomasy8257 2 жыл бұрын
Hii clip ina nguvu ya Mungu ajabu Nashangaa
@petermutua3838
@petermutua3838 5 ай бұрын
Kweli
@edigargeorge382
@edigargeorge382 2 жыл бұрын
Hah hapana, hayo mafundisho si ya kweli
@samwelisaid8594
@samwelisaid8594 2 жыл бұрын
☝️🙏🙏🙏🙏👏
@jomsafirikajinaki8820
@jomsafirikajinaki8820 2 жыл бұрын
Deus te abençoe pastor
@josephinevicent1010
@josephinevicent1010 2 жыл бұрын
Nataka unibaliki nishinde uteuzi na uchaguzi ktk chama cha mapinduzi.wilaya kibaha vijijini
@Pasteurdavid-sd2it
@Pasteurdavid-sd2it 7 ай бұрын
kutoka drc ni mebarikiwa sn muchungaji mungu akubariki sn
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 8 ай бұрын
Ameen
@mapendojustine2149
@mapendojustine2149 2 жыл бұрын
Amen 🙏🙏
@lispamagu5810
@lispamagu5810 2 жыл бұрын
Amen
@zeinab3996
@zeinab3996 2 жыл бұрын
Amen🙏🙏🙏
@elysemurekatete8347
@elysemurekatete8347 2 жыл бұрын
Amen
@aronemakanyaga7284
@aronemakanyaga7284 2 жыл бұрын
somo zuri sana ubarikiwe
@aneszabron4718
@aneszabron4718 2 жыл бұрын
Amina kubwa sana nakuombea ushindi Kila siku
@agnessvicent6591
@agnessvicent6591 2 жыл бұрын
Amen
@bettermkyando372
@bettermkyando372 2 жыл бұрын
Amen
@innocenteliyaofficial7645
@innocenteliyaofficial7645 2 жыл бұрын
Amen
@exallencykovi462
@exallencykovi462 2 жыл бұрын
Amen
@alonemakanyaga6016
@alonemakanyaga6016 2 жыл бұрын
Amen
@pastorsamwelilusambo3517
@pastorsamwelilusambo3517 2 жыл бұрын
Amina
@joanithamutatina68
@joanithamutatina68 Жыл бұрын
Amen
GHARAMA YENYE FAIDA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
21:47
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 16 М.
GIVE ME THAT MOUNTAIN - PASTOR SUNBELLA KYANDO
23:31
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 14 М.
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 19 МЛН
MAAJABU KATIKA NENO LA MUNGU || PASTOR GEORGE MUKABWA || 12-08-2023
1:51:01
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 27 М.
MAARIFA YANAVYOWEZA KUKUSAIDIA KUZISHINDA NGUVU ZA GIZA -PASTOR SUNBELLA KYANDO
49:26
NYOTA YAKO INAKUTAMBULISHA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
27:08
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 9 М.
MUNGU WA AGANO  - PASTOR SUNBELLA KYANDO
18:43
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 20 М.
ROHO YA UMASIKINI - PASTOR SUNBELLA KYANDO
30:52
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 85 М.
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: WAKATI WOWOTE UNAPOHITAJI MSAADA MRUHUSU ROHO MTAKATIFU AKUSAIDIE.
13:05
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 249 М.
NGUVU NA UWEZA WA MUNGU KWENYE MAISHA YAKO -  PASTOR SUNBELLA KYANDO
20:17
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 26 М.
SAFARI YA KUELEKEA MAONO YAKO |PR.DAVID MMBAGA| #live
1:03:20
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 49 М.
JIFUNZE KUELEWA UKIMYA WA MUNGU - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:10:34
Reality of Christ Church
Рет қаралды 157 М.
MATESO YATOKANAYO NA VIFUNGO VYA FAMILIA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
30:01
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 48 М.
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН