Рет қаралды 12
Tazama video ikimuonesha Dkt. Andrew Chota Mkurugenzi wa Utafiti wa Mifugo kutoka Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI) akielezea jinsi ya kupata vibali vya utafiti kwa watafiti wote wanatarajia kufanya utafiti wa mifugo nchini.