Wapi Ben Mwanantala..Aliposepa JPM,nae akasepa?Nahisi aliumia sana mzalendo,naona alihisi SGR kuisha ni ndoto...poor Ben.lol
@errydeo88652 жыл бұрын
Kwa wale mliorukia hii clip..hivi sio vichwa vya treni za SGR!! Hivi ni vichwa vya MGR [Meter-gauge railway] Na ni high tech pia.
@kambamazig02024 Жыл бұрын
Malaysia wana discpline kubwa sana na wanaogopa rushwa hawawezi kutuuzia vichwa vilivyotumika, hasa inapobainika kama wametudanganya nafikiri ni kasheshe kubwa.
@yohanaikaya62182 жыл бұрын
Yaani SGR hata Dodoma haijafika tayari mnanunua vichwa vya kizamani mh!
@kabulubotha17662 жыл бұрын
Habari yk kaka naomba kuuliza tu hivyo ndiyo vichwa vya train ya kisasa' au!!?naona kama golofa haipo straight kama tulivyo dhani
@kaminambeho2 жыл бұрын
Hiyo ni vichwa vya train ya reli ya kati au reli ya zamani kama walivyo sema hapo Metre-gauge railway(MGR)
@machaggechacha34222 жыл бұрын
Si ajabu watanzania wameuziwa vichwa hivo vya treni second hand. Labda vimekarabatiwa na kuonekana vipya. Vituko!!
@barrynzeyimana62702 жыл бұрын
Kazi iendelee. Hauwezi ukapendwa na wote
@worldwidecartoonnetwork78072 жыл бұрын
hii ndio ile ya umeme mulikua mwasema?
@johnmbugani65322 жыл бұрын
Ni sababu gani ya msingi iliyowaondoa watangazaji wa awali wa reli tv?
@ezekielkandonga92382 жыл бұрын
Hivi ni Vichwa Vya Treni ya Mizigo sio ya Habiria. Vya Treni ya Abiria ndio Vina naksi nyingi(vinamwonekano wa kuvutia).
@mybrain89402 жыл бұрын
Technology ya kisasa inayo tumia diesel pia malizia habari vizuri
@mwilemwasenga70662 жыл бұрын
SGR INAANZA MWAKA GANI
@TamuzaKale2 жыл бұрын
Hawajamaliza bado!
@capteinchuimchafu78942 жыл бұрын
Vichwa vya India mnavileta huku mgr
@mort-c1j2 жыл бұрын
TUNATAKA KUFAHAMU RELI YA UMEME ITAKUJA LINI MAANA WENZETU TAYARI SGR YAO INAFANYA KAZI, ILA SISI MPK LEO HII TUNASUBIRIA
@kabulubotha17662 жыл бұрын
Sema hizo train maajabu kama za mizigo train inatakiwa iwe flat hiyo golofa hitauwa watu
@nuruworldinsight29572 жыл бұрын
🤣🤣🤣 Malaysia afu wanunuzi ni Tanzania peke yake ! Daaah kuna KAZI hapo ! Hapo tumepigwa kama kawaeda yetu viongozi wanatuangusha sana wanaiangusha nchi kichizi
@startonengineering73432 жыл бұрын
Kuona tunafurahia kufanya maendeleo KWA mikopo mpaka leo,ni JAMBO la ajabu
@IBENGM2 жыл бұрын
Kwahyo tusifurahie maendeleo kwasababu tu tumekopa? Hebu nitajie nchi hapa duniani ambayo inafanya maendeleo bila kukopa? Vitu vingine kama huvielewi bora uulize swali sio kuongea upuuzi..