VIDEO: BABA LEVO atoa ya MOYONI/Namchukia sana ZUCHU/Nimemshtaki kwa Diamond/Yupo upande wake

  Рет қаралды 42,342

Rick Media

Rick Media

10 ай бұрын

Baba Levo alalamika kufanyiwa Figisu na Zuchu baada ya Zuchu kuachia wimbo wake mpya Chapati siku chache baada ya Baba Levo kuachia kolabo yake Amen na Diamond Platnumz
...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram rickmediatz...
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------

Пікірлер: 97
@user-jq9rj4dm5u
@user-jq9rj4dm5u 9 ай бұрын
Zuchu hajamfanyia poa Baba levo love from +254
@maryamm7765
@maryamm7765 10 ай бұрын
Ana roho mbaya zuchu ata nandy Alivyomtambulisha Yummy angaingia studio kumfumba Yummy na nandy
@SandreAlhlwah-bv1cx
@SandreAlhlwah-bv1cx 10 ай бұрын
Nakubali sana baba love ❤❤
@kimah9855
@kimah9855 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂I love Babalevo ❤❤❤Bro achaa vita tunakujua uko Team Zuchu😂😂😂😂😂You are famly
@MatildaMkombachepa-bv7sw
@MatildaMkombachepa-bv7sw 10 ай бұрын
Pole baba Levo,Haki ya mtu haipotei
@kariaagness4213
@kariaagness4213 10 ай бұрын
Huna lolote mwacheni zuchu wetu baba ❤❤❤❤🌹🌹🌹🌹🌹🌹heeeee!!!!!!!?
@vitrahbongz9420
@vitrahbongz9420 10 ай бұрын
Nan mwengen anaepend interviews za Blevo 😂😅 huag nachekag
@user-gv2un4jl3m
@user-gv2un4jl3m 10 ай бұрын
Mmh umesahau,mwache zuchu aimbe hiyo ndo ofisi yake wewe baba levo Huo ndo uchawi,hata ukimchukia mchukie tu , ila zuchu hana baya Amri anapewa na mabosi wake
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 10 ай бұрын
Pole babalevo bongo wanarukia nyota za watu wakiona kitu kizuri wanarukia ukitaka kuona kila mwanamusiki utaona wanaingia kuzuia
@zenahmugo1974
@zenahmugo1974 10 ай бұрын
Sasa umechukulia serious 😂😂😂umuone ashapost anataka kutoa remix na yy, maneno ya wasanii ukirukia utabaki kati kati 😂😂kesho ataanza kumsfia
@mathiaslyamunda2526
@mathiaslyamunda2526 9 ай бұрын
Naona Baba Leo kaendelea kubakia trending 😂😂😂 Mungu kasikia Kilio chake.
@aliyumuhammed6054
@aliyumuhammed6054 10 ай бұрын
😂😂😂😂anaemchukia baba levo ana matatizo
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 10 ай бұрын
Baba leo njaa duwa ya mwe hampati kuku kila mtu na rikzi hakula lolote k7la mtu atone nyimbo yake tu
@DjNOBUU
@DjNOBUU 9 ай бұрын
We nn mbwa
@esterdoriye8377
@esterdoriye8377 10 ай бұрын
Kati ya interview huwa nasikiliza mpaka mwisho ni b levo,shishi na gigy wako open sana japo akili zao sometimes yes sometimes no but wana point 😅😅😅😅😅😅
@SekelaJakson-ls7dd
@SekelaJakson-ls7dd 10 ай бұрын
Na hamisa mobeto
@esterdoriye8377
@esterdoriye8377 10 ай бұрын
Mobeto naye amekua saivi ameacha mambo ya no comment
@user-kf1kf2gs4y
@user-kf1kf2gs4y 9 ай бұрын
Yes you are right
@benjimanbitangalo4204
@benjimanbitangalo4204 10 ай бұрын
Kaka yangu utakuwa tu sawa believe your self sisi tuna kukubali chawa wetu
@maonitu7916
@maonitu7916 10 ай бұрын
Baba levo hana hasira na zuchu this is all marketing 😂 now najua kuna wimbo ya zuchu
@messiahfeatures3994
@messiahfeatures3994 10 ай бұрын
Huyu zuchu ni sifa tu, ili azidi kumteka bwana kweli tusubiri kitamkuta kitu. Pole sana kaka tuko pamoja
@user-mk5jl5pg5n
@user-mk5jl5pg5n 10 ай бұрын
Never zuchu hawez potea
@AlexJumanne-ls5gm
@AlexJumanne-ls5gm 10 ай бұрын
😂😂😂 baba levo mi unanifurahisha et lazma atanitoa kwenye namba Moja On trending
@user-mk5jl5pg5n
@user-mk5jl5pg5n 10 ай бұрын
Tulia wew
@abubakarymaulidy5681
@abubakarymaulidy5681 10 ай бұрын
Sasa ameen ninamaombi unaenda kutoa maombi unaweka chapati 😂😂😂😂baba levo unanifurahishaga sanaa
@verbalverbal2019
@verbalverbal2019 10 ай бұрын
Kwa uzoefu wangu, wadada mtu akijiweka karibu na bwana wao na akawa ana faidika na huo ukaribu, mara nyingi huwa wanamchukia na wanaweza kumchekea usoni lakini huwa wanaingia kwenye vita baridi na huyo mtu... Kisaikolojia huwa wanaomuona kama mpinzani wao kwa bwana wao, huwa wanapenda wao peke yao ndio wafaidi na wadeke kwa bwana wao, ndio maana anaweza akachukia marafiki zake, ndugu zake, watoto wa kambo na hata mama wa bwana wake, na anaweza akaonyesha hizo chuki wazi au kwa kificho kutegemeana na kichwa cha huyo mwanamke, kwa kiasi fulani huwa inasaidia sababu wakati mwingine huwa tunazungukwa na nyonya damu bila wenyewe kujua na wakati mwingine huwa inaumiza watu wengine mfano watoto wa kambo huwa wahanga wakubwa wa hii hulka ya wadada... Mi nimezungumzia tu kwa ujumla, kesi ya Zuchu na Babalevo siifahamu
@saidabdulkadirmjahid8255
@saidabdulkadirmjahid8255 10 ай бұрын
💯 uko sahihi
@swahilifoodtz6446
@swahilifoodtz6446 10 ай бұрын
Uyu zuchu hana wivu ndugu yangu mwachie mungu
@user-xo4pw2pw1o
@user-xo4pw2pw1o 10 ай бұрын
Pole baba ruby
@ghadaalzuhari2739
@ghadaalzuhari2739 10 ай бұрын
Ila baba levo 😂😂😂
@ndikuriyojuma3532
@ndikuriyojuma3532 10 ай бұрын
Mimi ni murundi ila nimeumizwa na alichokisema babalevo kwanini zuchu amefanya ivo?
@ipyanamwasaga7333
@ipyanamwasaga7333 10 ай бұрын
😂😂😂🤣baba levo 👏👏👏👏🔥🔥🔥
@marokeyLFM
@marokeyLFM 10 ай бұрын
B levo Ba ❤😂😂😂😂😂😂✊🏿
@juliejaphet2700
@juliejaphet2700 9 ай бұрын
Ukiona hivyo ujue wameshakuchoka usimlaumu Zuchu Bure
@user-rp3ov9mh7r
@user-rp3ov9mh7r 10 ай бұрын
Acha uwivu Kwa zuchu ww anauwa wimbo wako aje Sasa Kila mtu na nyimbo zake bana
@nurumwenkale7278
@nurumwenkale7278 10 ай бұрын
Ipo siku mtaondoka Mmoja Mmoja mwanamke ana nguvu
@ParfaitIlunga
@ParfaitIlunga 10 ай бұрын
Zuchu nimubumbavu Sana ana hakili
@mwezzireen17
@mwezzireen17 10 ай бұрын
😁😁😁♥️🔥🔥
@DorBag
@DorBag 10 ай бұрын
❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@dullayselemanisaid8727
@dullayselemanisaid8727 10 ай бұрын
kaka mungu yupo nawe
@WetchiKhams
@WetchiKhams 10 ай бұрын
😂😂❤
@stonetown578
@stonetown578 10 ай бұрын
Yakukute mana unapenda sifa 😂 na miwani yako utafikiri ulokimbiwa na meli hahaha
@sky-wz5zi
@sky-wz5zi 10 ай бұрын
Kwahyo familia yake yote imemchukia Zuchu😅
@vicentmlumba591
@vicentmlumba591 10 ай бұрын
Binafsi Mimi nimependa Diamond alivo fanya ivoo coz amekufanya ujue uchungu sio unabwata bwata2 sahvutakuwa serious maana Kuna namna unajisahau Kutunza pesa unatumia Hovyoo kisa unajua utapata2 sahv utajifunza
@rasvegas8991
@rasvegas8991 10 ай бұрын
Jamaaa kuna mda anajitambuaaa
@diyembarak5506
@diyembarak5506 10 ай бұрын
😂😂😂
@Delomar3
@Delomar3 10 ай бұрын
Lakini hilo jichapati lake litapanda hata kama haimo
@kantai737
@kantai737 10 ай бұрын
Babalevo tupishe bana hata simba anajua moto wa zuchu, yeye tu ndo anawaeza kumtoa simba trending
@devaxtz
@devaxtz 10 ай бұрын
😂😂😂😹😹😹😂
@geofreylucas7870
@geofreylucas7870 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂 umeliwa
@murekateteaza9524
@murekateteaza9524 10 ай бұрын
Babalevo uyo ni mahikaji wa boss wenu👈yote boss anajuwa na ameridhiya wewe ukiwa wakusirika msirikiye boss
@mathiaslyamunda2526
@mathiaslyamunda2526 9 ай бұрын
Chawa katoa laana kwa Zuchu 😂😂😂
@francisosingaosinga
@francisosingaosinga 10 ай бұрын
Ati unatoa amen unaweka chapatii 🤣🤣🤣🤣🤣 Baba levo bna duu chizi kweli
@christinemapenzikubambanya1917
@christinemapenzikubambanya1917 10 ай бұрын
Yaani hujasema na mupaka useme
@sultansallah8772
@sultansallah8772 10 ай бұрын
Kwan tarehe ya wimbo wa zuchu anapanga nani
@SheshaOffiecal-jg3mk
@SheshaOffiecal-jg3mk 10 ай бұрын
ahahahaha😂😂
@AgreyAckim-pt3wv
@AgreyAckim-pt3wv 10 ай бұрын
Hivyoo niikiki kuipushi ngoma yakee
@user-yt5zu4gu8c
@user-yt5zu4gu8c 4 ай бұрын
Baba levo kicwa cako hakitumiki vizuli hacana ,nauyo mutoto zuchu bwivu njo muna musikiliya yani bizuli byote amefanya mulisha sahau kosa mojatu munajisalisha mweye hamuna makosa? zuchu shimama imala baba levo mwizi !kizemba aca mitoto mupe mashahuli sionjo umuponde na wewe wako uko unazaaaa watakushinda
@kantai737
@kantai737 10 ай бұрын
Kwenda babalevo zuchu Ana mashabiki zake pia, kwani wewe si uko na diamondplatnunz mbona unaogopa bana
@sureiamboo
@sureiamboo 9 ай бұрын
Hii ni kiki na marketing to get sympathy to trend. There is no hate here 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@VictorFranael
@VictorFranael 10 ай бұрын
😂😂😂
@SUZIBALE_OG
@SUZIBALE_OG 10 ай бұрын
Dah.... Mbona ivyo wewe Unafanya matangazo kwa Zahor Matelephone na SumsungUsed kwahiyo unawaambia watu wasiende kununua kwao???
@pendokayage3538
@pendokayage3538 10 ай бұрын
skia B' level huezi shindana na Zuchu we unatundu moja mwenzio anamatundu mawili na kifua chenye chuchu pole😏
@juliejaphet2700
@juliejaphet2700 9 ай бұрын
Huna lolote wewe nawe ni mwanamiziki unajifananisha na zuchu
@Kantimorro
@Kantimorro 10 ай бұрын
Leivani😅😅
@nurumwenkale7278
@nurumwenkale7278 10 ай бұрын
Kavune mawese kigoma
@asyaabdulghani3183
@asyaabdulghani3183 10 ай бұрын
😂
@MARIAMKEA
@MARIAMKEA 10 ай бұрын
Mbona wewe uliua ya Ibra
@FatumaJuma-bf9do
@FatumaJuma-bf9do 10 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@MartinsAgufana
@MartinsAgufana 10 ай бұрын
laana bila sababu haitasimama!
@VictorFranael
@VictorFranael 10 ай бұрын
Kama uliwahi kuhisi Babalevo hana akili basi ujue wewe ndio ulikuwa mwehu , akili zimo sana watu wanatafuta maisha tu.
@dianamonyo1960
@dianamonyo1960 10 ай бұрын
Sasa yy zuchu kapewa amri na uyo Diamond 😂
@faidhacute
@faidhacute 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂 et kwann nkitoa nyimbo nayeye anatoa nyimbo😂😂 $# zuchu
@dianamonyo1960
@dianamonyo1960 10 ай бұрын
Kiki izi,
@YakoboSimon-wr7ru
@YakoboSimon-wr7ru 10 ай бұрын
Kiwanja😂 😂😂😂😂😅😅
@yusternyirenda7231
@yusternyirenda7231 10 ай бұрын
Eti diamond anamtetea zuchu 😂 😂, pamoja na kumshtakia diamond lakin bado yupo upande wa zuchu sijui ndio mahaba yamemzidia 😂 😂 😂
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 9 ай бұрын
Anaviriga zuchu
@deonatusyokta3579
@deonatusyokta3579 10 ай бұрын
Mahaba yamemzidia😂
@mrsinia3064
@mrsinia3064 10 ай бұрын
Mchongee kwa bwana yake ili aachike 🤣🤣
@davidrulobhavako8551
@davidrulobhavako8551 10 ай бұрын
Haha mahaba yamemzidia Diamond 😂
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 9 ай бұрын
Wewe bubu huisi joto mana bongo jua kali wewe majaket Tu kuvaa hujuwi mpaka leo
@joycenicodemus.2232
@joycenicodemus.2232 10 ай бұрын
Hilo neno ulosemà musino kwetu wahaya ni bonge la tusi
@felicianboss6953
@felicianboss6953 10 ай бұрын
Hiyo hela bora nikanunue matofali 😂😂°°
@Biharmbeauty
@Biharmbeauty 10 ай бұрын
😂😂😂
@josephvenus3259
@josephvenus3259 10 ай бұрын
Unatoa maombi kwa chapati 🤣🤣🤣🤣
@Biharmbeauty
@Biharmbeauty 10 ай бұрын
😂😂😂
@mwanashagladys4581
@mwanashagladys4581 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nimecheka adi mbavu zauma B levo wewe
@sulleymernmannarah7930
@sulleymernmannarah7930 10 ай бұрын
Kma hjamuelewa B levo ww n mwehu xna 🤣🤣 hyu jamaa anafany Promo za hzo nyimbo mbili zote ....Wajanja tnaelew Hana chuki na zuchu n Family SEMA tuh B levo nd alivy huwez kumuelew kma una akili Finyu .
@AishaHaji-jn7sg
@AishaHaji-jn7sg 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂atanitoa Yule unamjua wewe
@Biharmbeauty
@Biharmbeauty 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@VictorFranael
@VictorFranael 10 ай бұрын
Unatoa maombi unaweka machapati😂😂😂
@priscamrekoni3451
@priscamrekoni3451 10 ай бұрын
😅😅😅😅
@zenahmugo1974
@zenahmugo1974 10 ай бұрын
😂😂😂 na Bado hajasema 😂😂
@violetoloo445
@violetoloo445 10 ай бұрын
Haki kiki wewe 🤣😅😂🤣😅.
@chancekivuruge
@chancekivuruge 9 ай бұрын
😂😂😂
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 9 ай бұрын
😂😂😂😂
@user-ln6dy7wm5l
@user-ln6dy7wm5l 10 ай бұрын
😂😂😂
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 46 МЛН
Nutella bro sis family Challenge 😋
00:31
Mr. Clabik
Рет қаралды 14 МЛН
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 6 МЛН
Хотите поиграть в такую?😄
00:16
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3,5 МЛН
GARI jipya La HARMONIZE Laletwa Na IBRAAH Tazama likishushwa Bandarini
11:36
КАЧЕЛИ ИЗ АРБУЗА #юмор #cat #топ
0:33
Лайки Like
Рет қаралды 1,8 МЛН
え、、、!
0:11
美好秋人
Рет қаралды 9 МЛН
Зачем он туда залез?
0:25
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 2,7 МЛН