VIDEO HII IMEWALIZA ALIKIBA, MAKONDA WAKIMUAGA RUGE

  Рет қаралды 731,202

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

VIDEO HII IMEWALIZA ALIKIBA, MAKONDA WAKIMUAGA RUGE
Mmoja kati ya wasanii ambao umaarufu wao na mafanikio yao kwa kiasi kikubwa yametengenezwa na marehemu Ruge Mutahaba ni Mrisho Mpoto ambaye amejikuta akishindwa kujizuia na kumwaga machozi wakati wa kumuaga mpendwa wetu huyo katika viwanja vya Gymkhana mkoani Kagera...
#RIPRUGE
www.youtube.co.... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram
globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

Пікірлер: 527
@wazarendotv7966
@wazarendotv7966 5 жыл бұрын
kama umemwona keisha na unaamin atakuwa bungeni 2020 ebu gonga like
@issamohamed9199
@issamohamed9199 5 жыл бұрын
Kama unatamani Msiba huu ungekuwa kama upo katika Usingizi, Ili ukiamka ibaki kama Ndoto Gonga like hapa
@shairanitninga9747
@shairanitninga9747 5 жыл бұрын
amina
@albertrewardahia6507
@albertrewardahia6507 5 жыл бұрын
R.I.P RUGE
@agustokasumbuka3108
@agustokasumbuka3108 5 жыл бұрын
Issa Mohamed daaaaa? Mungu akufanya makosa ila jamaa alikuwa vizuli sana upande wa vijana akuwai kumbaguwa m2 mungu amlinde aendako jamaniiii
@didaramadhan5699
@didaramadhan5699 5 жыл бұрын
Issa Mohamed j
@aginessabato7388
@aginessabato7388 5 жыл бұрын
I
@Erickodeprince
@Erickodeprince 5 жыл бұрын
kama bado unamkumbuka ruge nipe likes
@zuberymaduu6246
@zuberymaduu6246 5 жыл бұрын
Jamaani tusilie sana huu ni ukumbusho kwamba hapa tulipo tusijisahau bado kunamaisha mengine tutayapitia nahapa tulipo tupo kwenye chumba cha mtihani
@ismailjuma3692
@ismailjuma3692 5 жыл бұрын
jamani tumcheni Allah ukweli wa kumcha huku tukijua kua ipo siku na sisi tutakufa halafu tutafufuliwa halafu tutalipwa kwa kila tulilolitenda hapa duniani liwe baya liwe jema.
@lucymashaka2064
@lucymashaka2064 5 жыл бұрын
Kweli kuna mtu ajalia kwenye huu wimbo
@safiaabubakar1120
@safiaabubakar1120 5 жыл бұрын
Hakika
@shamtemtanga3272
@shamtemtanga3272 5 жыл бұрын
Yaaaan Sina cha kuongea naishiwa kwaheri
@yusufkiba1701
@yusufkiba1701 5 жыл бұрын
Ukweli
@najmasalimsalim2741
@najmasalimsalim2741 5 жыл бұрын
Kweli kakangu mwisho mwema ndio tunaouomba
@maggiewachirah
@maggiewachirah 5 жыл бұрын
Nenda salama Ruge sikukujua lakini Kifo chako kimeniuma hadi nikalia..... Rip Ruge Marafiki Njoo mnipe like apa Kama maua ya kumpa Ruge. Nenda Salama Ruge
@saddyclassicfashion9577
@saddyclassicfashion9577 5 жыл бұрын
Margaret Wachira ukosaw mpendwa Kwan inasikitisha sana
@kibomatv2852
@kibomatv2852 5 жыл бұрын
Margaret Wachira
@jacobmlowe1160
@jacobmlowe1160 5 жыл бұрын
Hahahaaaaaa daah we noma unataka na likes tena
@niyonkurufaustin2733
@niyonkurufaustin2733 5 жыл бұрын
From Burundi machozi nimejikuta yakitiririka.. Nenda salama RUGE
@abhambomihambo6754
@abhambomihambo6754 5 жыл бұрын
Kwa kweli sisi tulio maiti watarajiwa kuna haja ya kujifunza kitu hapa na wala tusijidanganye km tutakwenda peponi kwa imani za dini zetu,bali matendo yetu mema hapa duniani ndio pepo yko na mfano hai ni wa huyu ndugu yetu,hii ni ishara njema na sio lazima umfurahishe na kumridhisha kila mtu,muhimu wengi wamekukubali na kweli Ruge watu wamekukubali ...You is innocent....nenda shujaa na jisikie fahari!!You have done your duty as a human being,never regret,majority we are appreciated...God or whoever he is bless you.
@sarahwanjala6601
@sarahwanjala6601 5 жыл бұрын
Poleni sana Wapendwa naomba Mungu alie hai awape nguvu watanzania nenda RUGE
@ramadhanimadaha9993
@ramadhanimadaha9993 5 жыл бұрын
Diamod
@sarahkisach8361
@sarahkisach8361 5 жыл бұрын
Pumuzika kwa amani ruge,tulikupenda hila Mwenyezi Mungu amekupdnda zaidi....
@beatricemapembe8941
@beatricemapembe8941 5 жыл бұрын
Dah! Mpoto nashindwa kukusikiliza japo natamani. Machozi yananitoka.
@Amneamne-qi2du
@Amneamne-qi2du 5 жыл бұрын
Kwakweli nimelia Mrisho mpoto maneno yako yanaliza
@shembaker5405
@shembaker5405 5 жыл бұрын
SISI SOTE NI WA ALLAAH NA KWAKE YEYE TUTAREJEA. Allaah Atupe mwisho mwema
@mawndiswalhi9192
@mawndiswalhi9192 5 жыл бұрын
Allahummah Aamyn
@mawndiswalhi9192
@mawndiswalhi9192 5 жыл бұрын
Astaghfirullah!
@shekhekhandereizer559
@shekhekhandereizer559 5 жыл бұрын
hapo kwa mjomba ndio kume chafua hewa kabisa aseee watu tumeliaa
@shamshamimi7664
@shamshamimi7664 5 жыл бұрын
Poleni
@shekhekhandereizer559
@shekhekhandereizer559 5 жыл бұрын
Sham shamimi sante pole sote kwa ujumla
@donisyathomas8065
@donisyathomas8065 5 жыл бұрын
Yaan nineangalia live nimelia kama.mtoto na muda wote naangalia hizi video Ruge umetuweza pumzika pema kaka wa taifa
@shekhekhandereizer559
@shekhekhandereizer559 5 жыл бұрын
Donisya Thomas achaaa tu ndgu kitu inaumiza sna hii
@siliviyajoseph4697
@siliviyajoseph4697 5 жыл бұрын
Mungu akupumzishe kwa Amani ruge
@kiteboy5834
@kiteboy5834 5 жыл бұрын
Nenda salama ruge nenda kwa amani daima jina lako ruge litakumbukwa kama imekugusa sema amen
@tumainiayo3227
@tumainiayo3227 5 жыл бұрын
Amen
@wardahabibu1492
@wardahabibu1492 5 жыл бұрын
R.I.P ruge mamb yako tuta yaishi inshaallah
@grorymkali6813
@grorymkali6813 3 жыл бұрын
Amen
@johnisingo9982
@johnisingo9982 5 жыл бұрын
😢 very sad! Lazima tumtumikie Mwenyezi Mungu!
@josephnyairabu7710
@josephnyairabu7710 5 жыл бұрын
Video ya nyimbo ya mboss tamu tamu
@miriamabinery5695
@miriamabinery5695 5 жыл бұрын
Kiukweli inauma sana ,lakini tumelia kwa.kubuka mipaka tumesema kwa kuvuka mipaka ,kama tungekuwa tunamlilia Mwenzi Mungu kiasi hiki basi hakuna baya ambayo lingelikumba taisha hili wala familia zetu. Tunamtia Mungu wivu , Mungu atusamehe
@ngidal7708
@ngidal7708 5 жыл бұрын
Miriam Abinery wewe nae unajua maumivu lakini
@mawndiswalhi9192
@mawndiswalhi9192 5 жыл бұрын
Aamyn
@maigemashiku3982
@maigemashiku3982 5 жыл бұрын
Miriam Abinery
@princessnoelamilambo3679
@princessnoelamilambo3679 5 жыл бұрын
Umejua kuniliza ruge daaa mungu akusamehe dhambi zako Na akufikishe kwenye uzima Wa milele Amina
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 5 жыл бұрын
Tusisahau kufanya mema hapa duniani tunapita tu ndugu zangu ambae hakulia kwa hii clip sijui atakua na roho gani
@maryamjey6340
@maryamjey6340 5 жыл бұрын
Wallahy ..kuishi vyema na watu
@mwanahamisyahya9354
@mwanahamisyahya9354 5 жыл бұрын
Tujifunze kupendan tukiwa hai jamani kikubwa kwake duwa MUNGU walehemu malehemu wetu AMINAAA
@selinamkapa1936
@selinamkapa1936 5 жыл бұрын
Its pain kama choz limekutoka kama mm hakika inaumaaa inaumaaaaa. Nenda salama ruge
@salmamshana1928
@salmamshana1928 5 жыл бұрын
Wallah ruge umetuweza wallah jamnnnnn
@sharonokuyo7413
@sharonokuyo7413 5 жыл бұрын
Poleni sana ...Mungu awape nguvu wakati huu mgumu
@faridahshisha6717
@faridahshisha6717 5 жыл бұрын
Na nn
@hensongunman1680
@hensongunman1680 5 жыл бұрын
Jamani kweli katuweza Ruge mwenzenu mpakaleo naumwa
@ernestaelferio1467
@ernestaelferio1467 5 жыл бұрын
salma leee mshana
@florandossi4021
@florandossi4021 5 жыл бұрын
Nenda salama,,, I wish ingekua ndoto.
@rehmashaban2944
@rehmashaban2944 5 жыл бұрын
Nilivyo angalia live nimelia lakin sasa sjui kimenileta nini tena hapa najikuta nalia tena😢😢😢 ruge baba pumzika kwa aman mungu akupe mwangaza wa milele wiki nzima watu tumelia kwa ajir yako lakin mungu hakusikia machozi yetu lala salama baba
@rehemaibrahimu7527
@rehemaibrahimu7527 5 жыл бұрын
Rehma umeona hata mm hivyo hivyo
@barakanyambele4673
@barakanyambele4673 5 жыл бұрын
Umejifunza nini baada ya kulia dada angu
@professerayyub6781
@professerayyub6781 5 жыл бұрын
Na mungu ameona na kuskia kilio cha kila mtu bana don't say mungu hakuskia my dia mungu hakuna kitu haskii ulimwengu huu wa leo hakuna kila kitu yuwaona na kuskia ila kila nafsi itaonja mauti ni amri yake tu kwa mola ndio maregeo ila sisi binadamu tunafa kuwa na amali njema mungu ni karibu kwa kila kiumbe inshaAllah
@mariamjumaswalehe635
@mariamjumaswalehe635 5 жыл бұрын
Wiki ilikuwa ndefu Sana ya majoz na machoz mungu awatiye nguvu inshaallah
@emilymwiti9088
@emilymwiti9088 5 жыл бұрын
rehma shaban 😭😭😭😭
@salmaothman153
@salmaothman153 5 жыл бұрын
Wallah mungu umetuweza kumchukua ruge bora ungemchukua dudu funza 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@dativaherman9235
@dativaherman9235 5 жыл бұрын
Salma Othman mh uchungu lakini umenifanya nilie
@winfridajosephat7443
@winfridajosephat7443 5 жыл бұрын
😂😂😂😂
@engamidulutta1496
@engamidulutta1496 5 жыл бұрын
Unampangia mungu sasa mbona ujaomba ufe wewe
@camposbae1501
@camposbae1501 5 жыл бұрын
Hahaaaaa.....jamaaniii
@yaspizaro1447
@yaspizaro1447 5 жыл бұрын
Salma Othman 😁😁😁😁
@youngramajrtz2215
@youngramajrtz2215 5 жыл бұрын
Jaman eti Ruge alikua Kama nan kwenye kampuni ya clouds TV 📺
@omarylazaroomarylazar8421
@omarylazaroomarylazar8421 5 жыл бұрын
Daaa ruge mutahaba tutakukumbuka daima milele mungu akulaze mahala pema pepon amina nendaa shujaa mpambanajii mwisho mpoto na wasani wote na viongoz wote na Tanzania kiujumla njoo ruge wotee wanataman urudii ruge
@aibonkinya2817
@aibonkinya2817 5 жыл бұрын
Wakati mwingine unaeza ishiwa na chakusema ubaki kama mjinga tu
@afrahoman2844
@afrahoman2844 3 жыл бұрын
kabisa
@lilyrose4066
@lilyrose4066 5 жыл бұрын
Nenda salama bro,mbele yako nyuma yetu.R.l.P till we meet again.
@mkomatembo
@mkomatembo 5 жыл бұрын
Machozi hayazuiliki kwa Msiba huu wa Ruge Kila nikiangalia Machozi yananitoka Bila kizuizi. RIP Ruge Mutahaba.
@msekwashehoza3810
@msekwashehoza3810 5 жыл бұрын
Janja Kibosha Janja
@selemanimasatu2421
@selemanimasatu2421 5 жыл бұрын
Mungu na azikumbuke fadhila zako, asikie vilio vya watu wake kwa kile ulichojaliwa ndo ulichowapa watu, najua ulikuwa mwanadamu yapo ambayo yalikuwa ni mapungufu kwako, lakini Mungu akukumbuke kwa mengi uliyosaidia hapa duniani, akupe raha ya milele, Nilikuwa nakuona kwenye TV tu but umegusa moyo wangu sana. Rest In Peace RUGE.
@omarhamad6358
@omarhamad6358 5 жыл бұрын
Ila ingependeza zaidi km nyote mngelikua waislamu co kupiga maxiki na magoma ,km angeliweza kuenuka apo naamin lingekua neno la kwanza kuamclimu na muache kupiga magoma
@lovedotmusicproduction4727
@lovedotmusicproduction4727 5 жыл бұрын
Kilicho chema, Mungu wetu hukisimamia kila siku. Matendo yanaishi zaidi ya mtu aliye yatenda. Ruge anaishi bado. Ahsante Mungu wangu kwa kushuhudia wema wa Ruge Tanzania.
@belinafinias9611
@belinafinias9611 5 жыл бұрын
Mpoto unanitoa machozi mm, poleni wa Tz wote, kiukweli inauma.
@asiaally3105
@asiaally3105 5 жыл бұрын
More than pain mungu tupe nguvu Kwa wakat tulionao watanzania
@sharonokuyo7413
@sharonokuyo7413 5 жыл бұрын
Poleni sana...Mungu awape nguvu
@evansm8802
@evansm8802 5 жыл бұрын
Not only WA Tanzania. I never saw the man, but the testimonies bring him alive and clear, so it's a world affair
@hadijaangura6572
@hadijaangura6572 5 жыл бұрын
Daah machozi yanitoka walahi 😢😢
@yudatimoth5633
@yudatimoth5633 5 жыл бұрын
siku za mwanadamu sio nyingi nazo zimejaa taa na dhiki
@oliverhassan4934
@oliverhassan4934 5 жыл бұрын
poleni sana tanzania kwa kupoteza mpedwa wenu muhimu,twawapeda sana mungu,hata sikia kilio chenu,na mungu hata mueka mahala pema peponi.
@arafazakir1763
@arafazakir1763 5 жыл бұрын
Cjui ata kimenileta nn uku 😭😭😭nimelia sana Leo chat live clouds nilisema siangalii tena cjui nn kimenileta tena uku rest in peace ruge wetu
@richimavoko8496
@richimavoko8496 5 жыл бұрын
Pole my
@arafazakir1763
@arafazakir1763 5 жыл бұрын
@@richimavoko8496 asante sana
@annievibes8794
@annievibes8794 5 жыл бұрын
ehh jamani huyu kaka kazikwa utafikiri alikuwa raisi wa Tanzania masha Allah kweli kaenda na amali zake
@esterstewart447
@esterstewart447 5 жыл бұрын
Ninachoamini huzuni na majonzi ni makubwa maana hawajamfukia lakini MTU akishafukiwa hakuna majonzi wala mahuzuni tena watu wanarudi kama kawaida na atasahaulika na hapo ndo maajabu ya uumbaji wa Mungu katika nguvu ya kusahau huja Mungu Wa ajabu sana me sijui nikoje ila siwezi tena kulia MTU akifa tangu nilipompoteza MTU Wa familia yangu nilijikuta najiona hakuna haja ya kulia zaidi ya kusema ahsante Mungu kwa kila jambo
@lucyjohn7904
@lucyjohn7904 5 жыл бұрын
Hii point nmeipenda daa,Mungu ni fundi
@nellyliz9901
@nellyliz9901 5 жыл бұрын
Rip 😭😭😭😭
@mudiinasser4303
@mudiinasser4303 5 жыл бұрын
Unasikitika kwa mwenzako wewe ushajiandaa pengine me u is next utavuna ulichopanda Dunia mapito wala sio kitu kama ndio sehemu ya milele Allah anataka uishi hapa asingeweka mauti sijakashif ila ni kujitahidi kwa ibada vilio watu kukusanyika hawajusaidii kitu ila msaada wao ni kuhifadhi mwili basi zaid ya hapo hamna
@masumbukofrank7626
@masumbukofrank7626 5 жыл бұрын
Amina
@mawndiswalhi9192
@mawndiswalhi9192 5 жыл бұрын
Hakika
@sarahhaule3964
@sarahhaule3964 5 жыл бұрын
Daaaah kwel Kifo kingikuwa Vita tungekimbia😭😭
@akwelinakirway8739
@akwelinakirway8739 5 жыл бұрын
Mungu aipokee roho yako kaka angu Ruge
@shimiyunkalalilwa381
@shimiyunkalalilwa381 5 жыл бұрын
Hakika nenda ruge nasi tyupo nyuma yako kamanda thnx mjomba umegusa mioyo ya waombolezaji na kutukumbusha machungu juu ya shujaaa the late ruge mtahaba we gonna mic so much nenda ruge...🙋🙋🙋🙏🙏🙏
@tonynuru435
@tonynuru435 5 жыл бұрын
Eti .... LUGE .... (RUGE) Jamn jamn hili OMBWE la herufi 'R' baada ya miaka michache 'R' itatoweka tanzania ... BORA ... utasikia BOLA ... KARIBU ... utasikia KALIBU ... MARA ... utasikia ... MALA ... R ... we will miss you soon 🤔🤔🤔🤓🤓 Angalia huyo msanii mkubwa eti ... LUGE ..: 🤔🤔🤔🤒🤒🤒
@salimsaid2906
@salimsaid2906 5 жыл бұрын
Inalillahi wainailaihi rajiun
@juliecate1527
@juliecate1527 5 жыл бұрын
254 tuwapa poleni ....may his soul rest in peace.......
@josephajosephat8370
@josephajosephat8370 5 жыл бұрын
Pumzika kwa aman Ruge kipenz cha weng, Mungu akusamehe dhamb zako
@augostinermercy1542
@augostinermercy1542 5 жыл бұрын
Daaah😭😭😭
@hanifahanifa408
@hanifahanifa408 5 жыл бұрын
Pole sana
@bercahot152
@bercahot152 5 жыл бұрын
its so sad !! this tragedy make my soul pain
@lethavefun8335
@lethavefun8335 5 жыл бұрын
mmmm may his soul rest in perfect Peace...
@rehemakinunda9774
@rehemakinunda9774 5 жыл бұрын
poleni xana wanau ndug mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi kwan kazi ya mungu haina makosa mungu
@miriamabinery5695
@miriamabinery5695 5 жыл бұрын
Hatuwezi kuzuia hisia za watu kuhusu kuomboleza ,lakini nibora tuomboleze kwa kiasi,ila tumekosa kiasi ,msiba umetukuzwa sana mauti kamwe haivikwi taji ,,
@aliseifkarim1705
@aliseifkarim1705 5 жыл бұрын
Izo ndo mila za manaswara na mayahudi kwa iyo usishangae
@davieson1699
@davieson1699 5 жыл бұрын
naenda bro ruge!!!!
@jamesmtata6715
@jamesmtata6715 5 жыл бұрын
Nenda salama ruge mungu akulaze mahali pema pepon daaaa umeliza taifa zima ruge mtahaba. Daaaa nimaumia sna
@johnmophat5300
@johnmophat5300 5 жыл бұрын
Mungu akuweke mahari pema peponi kaka ruge umejua kutuliza nipo nje ya nchi mdogo wako umejua kunitonesha kidonda wasalimie sana wazee wangu pumzikeni kwa amani
@khadijanjama9016
@khadijanjama9016 5 жыл бұрын
Dah poleni sanaaa
@francineumurundi1916
@francineumurundi1916 3 жыл бұрын
Rip. Mungu. Akuraze mahari pema Rugy irikuwa jasili tutaonana sote peponi
@evansm8802
@evansm8802 5 жыл бұрын
The world needs such people. Not only tz has lost, its the world at large, but in all that, the good lord is good all the time and beautiful for all situations. Let's see the beauty in his departure, much as it is difficult to get acquainted with death. His dear soul rest in eternal leace
@teddykassinde4608
@teddykassinde4608 5 жыл бұрын
Amen
@فجرالروشدي
@فجرالروشدي 5 жыл бұрын
Hkika atakumbkwa kwa yale aliyo yatenda mungu 2pe nguvu kwa kpnd hki wa Tz
@luciamafera9561
@luciamafera9561 5 жыл бұрын
Mungu baba tunakuomba umuweke RUGE mahari Pema peponi amina.
@triphoniangowi1546
@triphoniangowi1546 5 жыл бұрын
They man with strong emotion ever
@frankmosses5551
@frankmosses5551 3 жыл бұрын
Nenda salama
@mikemwasambu968
@mikemwasambu968 5 жыл бұрын
Rest in peace Brother...Hata 254 Tumeifill
@bafaello2619
@bafaello2619 5 жыл бұрын
Wah 🙏😭
@elizabethmwakajumba8770
@elizabethmwakajumba8770 Жыл бұрын
Nenda salama Ruge tutakukuta nyumbani pa milele✌️🌹
@esdaroyaute8992
@esdaroyaute8992 5 жыл бұрын
From Congo, nalia sana sana , poleni ndugu zangu, nenda salama Ruge
@daudhenry8909
@daudhenry8909 5 жыл бұрын
Mrisho Mpoto napenda sana kazi yako
@chinekeechinekee903
@chinekeechinekee903 5 жыл бұрын
Pole sana kwa familia, marafiki na jamii na kwa Tz nzima. RUGE! RUGE😭😭😭😭😭!Safe journey shine on your way 😭😭😭😭😭😭
@azizarajab5727
@azizarajab5727 5 жыл бұрын
Tanzania nawapa pole kwa kumpoteza mtu wa maana katika nchi.....RIP Bwana Ruge😭😭😭
@mariammgaya7860
@mariammgaya7860 5 жыл бұрын
nenda salama Ruge loleza girls tunakukumbuka
@DavinOmbui
@DavinOmbui 5 жыл бұрын
Rugeeee Rugeeeee Rugeee mahali ulipo naomba Maulana ailaze roho yako mahali pema.. Rugeeee Rugeeee la-la salama
@jombaamamii2019
@jombaamamii2019 5 жыл бұрын
mjomb munguuu akuongozeee kwa maneno yako mzur sote njia moja
@luckynicholaus4309
@luckynicholaus4309 5 жыл бұрын
Rest in power Rugemalila M Mutahaba ...one way tangulia Baba
@angelbwija9547
@angelbwija9547 5 жыл бұрын
Nimeliye kweli jamani, nime miss sana mama yangu, R.I.P my mum and RUGe 😭😭😭😭😭😭
@veegold6434
@veegold6434 5 жыл бұрын
😭😭😭dah more than pain
@chunguenikadovela6356
@chunguenikadovela6356 5 жыл бұрын
jmn kifo hiki mungu wangu tupumzishe kwa amani baada ya kazi kuisha duniani
@esterabonga7947
@esterabonga7947 5 жыл бұрын
Mungu wangu eeeh 😭😭😭😭
@kibojrneymarjr2669
@kibojrneymarjr2669 5 жыл бұрын
Nenda kwa amani ruge mungu akutangulie njia yetu hiyohiyo we nenda kwa aman mapokez mema kwa mungu akulaze mahali pema pepon
@evansm8802
@evansm8802 5 жыл бұрын
We join you mourn such a galant man of Valor, self made, designed of the almighty God
@marymwacha995
@marymwacha995 5 жыл бұрын
kama hii video umeweza iangalia nakushindwa kutoa machozi basi uenda utakuwa unashida. inatia uchungu kwa kweli😭😭😭😭 RIP Rugemila Mutahaba. Mungu akuweke mahali pema peponi Amen!
@habintyramadan8518
@habintyramadan8518 5 жыл бұрын
God bless you ruge 🙏🙏amen cz oll people cry for u Ohh God 🙏🙏🙏
@justineulimule6530
@justineulimule6530 5 жыл бұрын
Ruge mh tangulia Mutahaba
@mariamseif9432
@mariamseif9432 5 жыл бұрын
Mungu awape subra watanzania wote
@mwanaishambili241
@mwanaishambili241 5 жыл бұрын
Shubhuana Allah eeh mungu waone waja wako uwape subra yani unajikuta tu unambmbujikwa na machozi poleni watz kweli mauti ya mivikwa taji mungu msamehe ruge na uwape subra waja wako
@kinotasontravel3883
@kinotasontravel3883 5 жыл бұрын
I crying a lot of tears to my Brother Ruge r.i.p brother
@officiallyiddy9466
@officiallyiddy9466 5 жыл бұрын
Inauma sana😧😧😧😧
@geofreyurassa8802
@geofreyurassa8802 5 жыл бұрын
Mungu akulaze mahali pema ruge
@marcusmeshack3106
@marcusmeshack3106 5 жыл бұрын
mungu Akurinde baba yetu
@luchypamasai3978
@luchypamasai3978 5 жыл бұрын
So sad,poleni saaana
@maureenmwimano1973
@maureenmwimano1973 5 жыл бұрын
mjomba hatari
@anaswaggerreonidas4004
@anaswaggerreonidas4004 5 жыл бұрын
mungu akulaze mahali pemapeponi
@dawayao4011
@dawayao4011 5 жыл бұрын
Dah inauma saana
@rajabuiddy113
@rajabuiddy113 5 жыл бұрын
ningependa kama ingekua ndoto au maigizo daaaa kazi ya mungu haina makosa poleni familia clauz
@ndayiragijeemilemarlon1369
@ndayiragijeemilemarlon1369 5 жыл бұрын
Rip ruge poleni sana members wa familia yak
@raymondkaswaga8334
@raymondkaswaga8334 5 жыл бұрын
Nilikuwa najitia ujasiri nisilie lakini wimbo huu umenitiririsha machozi bila kujua mwenyewe...RIP kaka mkubwa
@kombakomba7922
@kombakomba7922 5 жыл бұрын
Heshima kwenu wasanii,kweli sanaa sio kuburudisha tu,kwenye huzuni mnatuliza zaidi wasanii,poleni wasanii na watanzania.R.I.P Ruge
@joykimaro6617
@joykimaro6617 5 жыл бұрын
Inauma jamn
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 5 жыл бұрын
Nimelia ukweli dhambi😭😭😭😭😭
@carolynekioko222
@carolynekioko222 5 жыл бұрын
Nimelia sana japo sikumjua mimi ila Mungu ailaze roho yake mahali alipojitafutia akiwa hai. Pumzika kwa amani Ruge
@gavanashy3197
@gavanashy3197 5 жыл бұрын
Mjomba umetuliza wengi ...Ruge nendaaaaaaa nenda Ruge ...tutakukumbuka daima
@ngamanyikangawoneka7786
@ngamanyikangawoneka7786 5 жыл бұрын
R.I.P Boss Ruge dereva wa maisha ya vijana wengi inaumiza sana sana. Bwana ametoa na bwana ametwaa jina la mungu lihimidiwe
Epic Reflex Game vs MrBeast Crew 🙈😱
00:32
Celine Dept
Рет қаралды 8 МЛН
إخفاء الطعام سرًا تحت الطاولة للتناول لاحقًا 😏🍽️
00:28
حرف إبداعية للمنزل في 5 دقائق
Рет қаралды 55 МЛН
NANDY AMLILIA RUGE/ ALIZA WATU ASHINDWA KUIMBA
4:42
Millard Ayo
Рет қаралды 1,2 МЛН
SIMTAKI MTU
2:56
kingbale_tv
Рет қаралды 2,8 М.
UKWELI SABABU YA KIFO CHA MCHINA ALIYEUWAWA KWA RISASI DAR
5:00
Wasafi Media
Рет қаралды 239 М.
MSIBA WA RUGE: Wasanii waingia studio kumwimbia
8:24
Dozen Selection
Рет қаралды 225 М.
Tazama Chief Odemba Akimhoji  Maswali Magumu Kamanda Muliro
28:34
The Chanzo
Рет қаралды 103 М.
Epic Reflex Game vs MrBeast Crew 🙈😱
00:32
Celine Dept
Рет қаралды 8 МЛН