VIDEO: RAIS SAMIA ALIVYOPANDA BOTI NA ABIRIA KUTOKA ZANZIBAR KUELEKEA DAR

  Рет қаралды 63,785

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 145
@kibwetere8147
@kibwetere8147 2 жыл бұрын
Allah akulinde na kila shar mama yetu Rais wetu kipez
@suleimanhemed9537
@suleimanhemed9537 2 жыл бұрын
Mama ndo raisi kwa sasa aachwe tu Allah akulinde rais wetu kipenzi
@hassanparamana2215
@hassanparamana2215 2 жыл бұрын
Capt MUSINI umeula mshikaji wangu umeweka histori umemuendesha mh.rais big up my blood 💪🇹🇿🇦🇪
@yasserahmed9420
@yasserahmed9420 2 жыл бұрын
Nakupenda sana mama samia Allah akupe afya njemaaa
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews 2 жыл бұрын
MashaaAllah mama etu
@mwanatz5980
@mwanatz5980 2 жыл бұрын
Hongera sana Mama Samia 😍😍😍
@hubuumohamed3524
@hubuumohamed3524 2 жыл бұрын
Hon samiha you are the best of the best president of Tanzania god bles u and we love u,🇰🇪
@freddy-zanzibar443
@freddy-zanzibar443 2 жыл бұрын
Unasema hivyo kwa kuwa hukuwepo Zanzibar
@MWEGOHA
@MWEGOHA 2 жыл бұрын
nimeipenda hiii....👏❤👏❤👏❤
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 2 жыл бұрын
Mwenyezi mpe afya njema Amiri Jeshi Mkuu-SSH, tujaalie Nchi yetu iwe na utulivu na amani, na uwajaalie Viongozi wote wasimamie mambo haya 5 muhimu- Elimu,Umoja,Uongozi bora, Ardhi na Rasilimali zetu na ujaalie makusanyo yaendelee ili tuendelee kutekeleza miradi yote ya kimkakati. Aaaameen
@ummySheikh72
@ummySheikh72 2 жыл бұрын
Atuondoshe haya matozo kila kukicha too much Tozo mpaka wapangaji?
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 2 жыл бұрын
HONGERA RAISI WETU MPENDWA SAMIA SULUHU HASAN TUNAJUA HUNA MAKUU!!
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 2 жыл бұрын
Ninyi mnaomchukia Samia hamjitambui kila dhama na nabii wake hizo zilipendwa muacheni Rais wetu Samia
@happynesssamwel2917
@happynesssamwel2917 2 жыл бұрын
Wamchukie kwa lip? Zama zake pia zipo karibu kuisha
@happynesssamwel2917
@happynesssamwel2917 2 жыл бұрын
Na hapendwi kweli kweli si uongo
@abi-onlinetv4181
@abi-onlinetv4181 2 жыл бұрын
@@happynesssamwel2917 Kwani kakuomba umpende bwege wewe. Kama humpendi wewe sisi tunampenda. Kila anayependwa anao wanao mchukia pia fyokooo
@tipape_2046
@tipape_2046 2 жыл бұрын
Kanyaga twende mama timu roho mbaya itaumia wakiona hii kitu usijali tunakuombea dua
@kibwetere8147
@kibwetere8147 2 жыл бұрын
Allah akuongoze kwenye kher mama
@christopherkanyalakc8941
@christopherkanyalakc8941 2 жыл бұрын
Babu kubwa, big up.mawazir jifunzen kama ninge kuaa mimi i wii sale V8 tuka buy lav4 for all of us I mean wabunge na mawazir
@benetisrael6201
@benetisrael6201 2 жыл бұрын
Mama barikiwa sana
@ameirabdallah6259
@ameirabdallah6259 2 жыл бұрын
Ni kitendo kizuri muheshimiwa umefanya binafsi nimejisikia raha sana.
@husseinkhaji895
@husseinkhaji895 2 жыл бұрын
Eti Magufuli yupo wapi sasa Magufuli? Samia piga kazi 2025 tena
@vampire9464
@vampire9464 2 жыл бұрын
sio 2025 awe maisha rais wetu watabakki chuki tuuu hahahahahah ...MAMA SAMIA OYEEEEEEEEE RAIS WA MAISHA TANZANIAAA
@happynesssamwel2917
@happynesssamwel2917 2 жыл бұрын
Mafisadi nyie,,walaji wakubwa hovyoooi
@vampire9464
@vampire9464 2 жыл бұрын
@@happynesssamwel2917 hahahaha chuki zitawamaliza pumbaffdd bichwa kama tako la nyani nenda kanye huko
@husseinkhaji895
@husseinkhaji895 2 жыл бұрын
Hakuna fala wa kumuiga Magufuli mwacheni mama ifanye kazi wivu tu unawasumbua
@vampire9464
@vampire9464 2 жыл бұрын
kweli kabisaa mama samia oyeeeeee
@happynesssamwel2917
@happynesssamwel2917 2 жыл бұрын
Kazi gani anayoifanya ? Pimbi kabisa wewe
@jogoomohamed2652
@jogoomohamed2652 2 жыл бұрын
Safari njema mama/mhe Rais wangu/wetu kila hatua napia kila wakati.Yaliyo mema yatangulie mbele yako,mabaya yote yapotee.Hakika
@kaluludecorations1166
@kaluludecorations1166 2 жыл бұрын
Makuu anyone. Naipenda nchi yangu kuliko chochote. Katiba mpya
@BakariMwinduchi
@BakariMwinduchi Жыл бұрын
Big up sana mama
@yunislemnge5558
@yunislemnge5558 2 жыл бұрын
Ooo mumy wetu wetu mzuri tunakupenda
@adam-saffi211
@adam-saffi211 2 жыл бұрын
Total waste if our taxes, ndege ilipo peleka huko imerudi empty
@happynesssamwel2917
@happynesssamwel2917 2 жыл бұрын
Perfect
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 2 жыл бұрын
Mama Samia apa umenifurahisha
@awadhtamla6989
@awadhtamla6989 2 жыл бұрын
Mashallah
@abubakarmwasumilwe7070
@abubakarmwasumilwe7070 2 жыл бұрын
Swadakta Mh President Mama yetu kipenz cha Wa Tz
@happynesssamwel2917
@happynesssamwel2917 2 жыл бұрын
Kipenzi chako,,si chawatanzania kama kabisaa
@hemedchuma9603
@hemedchuma9603 2 жыл бұрын
Tozo oyeeee
@bahatimaganga1324
@bahatimaganga1324 2 жыл бұрын
Wanao msifia sana nimechunguza niwaupande wapili..sisi wabara ni big no
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 10 ай бұрын
USITUSEMEE WABARA, SEMA NI NYINYI WENYE ROHO MBAYA TIMU SU..KUMAAAA GANG... NDIYO MNAOSEMA NOOOO
@saidamustafa5446
@saidamustafa5446 2 жыл бұрын
Safi. Nimeipenda sana
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 жыл бұрын
Safi sana, ulimiss sana!!
@khadijamgambo9382
@khadijamgambo9382 2 жыл бұрын
sure she missed it!
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 Жыл бұрын
😂kwa kwel hatuna kazi za kufanya! Kuna nchi rais anakatisha na baiskel mtaan Sasa hapo Cha ajabu kilikuwa nn?
@freddy-zanzibar443
@freddy-zanzibar443 2 жыл бұрын
Asante kituhabarisha jinsi kodi zetu zinavyo tafunywa.
@yousuphnzira3209
@yousuphnzira3209 2 жыл бұрын
Wee kweli Zwazwa
@sonicaghendewa9886
@sonicaghendewa9886 2 жыл бұрын
😂😂😂atar
@abubakarmwasumilwe7070
@abubakarmwasumilwe7070 2 жыл бұрын
Wivu tu unakuwasha.. Samia wetu hoyeeee
@happynesssamwel2917
@happynesssamwel2917 2 жыл бұрын
Kabisaaa yaani
@happynesssamwel2917
@happynesssamwel2917 2 жыл бұрын
@@abubakarmwasumilwe7070 Samia wako si wetu
@husseinkhaji895
@husseinkhaji895 2 жыл бұрын
Happyness Samwel wewe ni mjinga tu fisadi alikuwa Magufuli sio Samia.Hela ya vitambulisho vya mjasilia mali hela yake ilienda wapi? Hela ya maafa bukoba ilichukuliwa na na nani?
@seifwashule274
@seifwashule274 2 жыл бұрын
@Hussein Khaji. Wacha umama ,usiwe punda. Ata kama makufuli alikuwa fisadi lakini kazi alifanya tuliona. Hata angekuwa ni baba ako pia angekuwa fisadi tu. Muhimu tunataka vitendo na sio nyimbo. R.I.P MR PRESIDENT JOHN MAKUFULI.
@husseinkhaji895
@husseinkhaji895 2 жыл бұрын
@@seifwashule274 hata samia anafanya kazi tunaiona
@mwitaagness455
@mwitaagness455 2 жыл бұрын
Jamani nyie kila mtu ana uzur wake na ubaya wake...
@mariyamsalalah8204
@mariyamsalalah8204 2 жыл бұрын
Bi tozo 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂daa, umejua kunichekesha.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@vampire9464
@vampire9464 2 жыл бұрын
ndio changamka ulipe pumbafffff
@mariyamsalalah8204
@mariyamsalalah8204 2 жыл бұрын
@@vampire9464 pumbafu mwenzangu nilipieeeeeee🙄🙄🙄🙄🙄
@mariyamsalalah8204
@mariyamsalalah8204 2 жыл бұрын
@@myunaniniahmad6463 Cheka bi tozo anaupinga mwingi mpenziii
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 2 жыл бұрын
@@mariyamsalalah8204 yani jana nimecheka sana. Ila my tunaumizwa sana, wanafaidi wachache na nchi ni ya wananchi.
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 2 жыл бұрын
ni sawa tu apunguze gharama,.mana kila siku yupo juu ya ndege, gharama kubwa watu wa hali ya chini wanateseka
@ottiweliam1205
@ottiweliam1205 2 жыл бұрын
Mm.ningekua.ndio.ndio deleva ninga favya yangu
@abubakaribashiru9454
@abubakaribashiru9454 2 жыл бұрын
Yapi
@juliascherehani2330
@juliascherehani2330 2 жыл бұрын
Bitozo na barakoa uko sawa
@hassanally511
@hassanally511 2 жыл бұрын
Kijana chunga Sana
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 2 жыл бұрын
@@hassanally511 Mhmm tozo kubwa
@abubakarmwasumilwe7070
@abubakarmwasumilwe7070 2 жыл бұрын
Mtaumia na husda zenu.. Mama pga kaz MashaAllah
@shafiikhamis2336
@shafiikhamis2336 2 жыл бұрын
Kumb na boat ina handbreak😃😃😃
@Sheba4651
@Sheba4651 2 жыл бұрын
Vyema mama.
@happynesssamwel2917
@happynesssamwel2917 2 жыл бұрын
Kwani kuna maajabu gani yeye kupanda boat?
@mohammedsalim3315
@mohammedsalim3315 2 жыл бұрын
Jinyonge na roho mbaya Yako.
@rashidlimaze5727
@rashidlimaze5727 2 жыл бұрын
Raisi hanatangaza bihashara
@G.r.e.a.t.I.Q
@G.r.e.a.t.I.Q 2 жыл бұрын
Haya watanzania bwabwajeni! Maana huwa hamna jema nyieffort!
@vampire9464
@vampire9464 2 жыл бұрын
rais wetu mama samia oyeeeeeeeeeeeeeee.. mtabaki na chuki tuuuu na roho chafu pumbaaaaffff
@OmanOman-ky2oo
@OmanOman-ky2oo 2 жыл бұрын
Mama ni mama tu🥰🥰🥰🥰
@glorymsopa4221
@glorymsopa4221 2 жыл бұрын
Kama inamana hii both ilikuwa na ndg zake tu
@tawakalally9074
@tawakalally9074 2 жыл бұрын
Allaahumma baarik.
@alyumar4657
@alyumar4657 2 жыл бұрын
Mama safi sana ila vua matambara ya pua yatakuuwa hayo hayana tija yoyote..
@allbrightsteven2764
@allbrightsteven2764 2 жыл бұрын
Haya mazingaumbwe tushayazoea tokea 90
@awadhtamla6989
@awadhtamla6989 2 жыл бұрын
Mashallah mama upige mwingi
@frenkferecian6215
@frenkferecian6215 2 жыл бұрын
Kwanza kalipia sio kupanda panda2 humo nikulipa ndo apande
@vampire9464
@vampire9464 2 жыл бұрын
wacha chuki wewe bwege mkubwa wewe huna akili chuki na roho chafu bichwa kama tako la nyani pumbaaafffffff
@neemaneema9969
@neemaneema9969 2 жыл бұрын
@@vampire9464 🤣🤣🤣🤣🤣
@goodteam7890
@goodteam7890 2 жыл бұрын
@@vampire9464 kila nikiliwazia jinsi tako la 🐒🦍 lilivo nakufa kwa kicheko
@husseinkaoneka5834
@husseinkaoneka5834 2 жыл бұрын
HUYU mama akimtaja MUNGU cku 1 tu mniite MMBWA nipo pale nmekaa
@marthagabriel3417
@marthagabriel3417 2 жыл бұрын
Hahahaaaaa
@abdullahmanalex2306
@abdullahmanalex2306 2 жыл бұрын
Haina maajabu
@everever2807
@everever2807 2 жыл бұрын
Mina shangaa cha ajabu kipi hamsemi vtu kupaa kwa bei nae yuko kimya nyie mwatuletea kapanda boti kwani arishuka mbinguni sikadhariwa kama wengine tu
@mwitaagness455
@mwitaagness455 2 жыл бұрын
🤭🤭🤣🤣🤣
@adam-saffi211
@adam-saffi211 2 жыл бұрын
RIP Magufuli, muliomuua many I mutahukumiwa!
@mohammedsalim3315
@mohammedsalim3315 2 жыл бұрын
Acha roho mbaya
@lilykarim8968
@lilykarim8968 2 жыл бұрын
Acha kuiga wewe naivi unajuwa kuigiza mara kwenye mbuga za wanyama eheee
@stevenkipara9310
@stevenkipara9310 2 жыл бұрын
🤣🤣
@fauzimohamed5757
@fauzimohamed5757 2 жыл бұрын
Mbona babako alikuwa anafanya maigizo kenge wewe sura kama kijambio
@mulasaid2959
@mulasaid2959 2 жыл бұрын
Kenge wa kike
@mulasaid2959
@mulasaid2959 2 жыл бұрын
Amuige nani mbona wewe umeiga jina la watu mbona ukijiangalia chini mbona umeiga. Mwache raisi wetu ajinafasi na yeye mtu una chuki nae kajinyonge basi
@fredrickmatiku7783
@fredrickmatiku7783 2 жыл бұрын
Bakhresa kaupiga mwingi Azam
@wavuvitv2025
@wavuvitv2025 2 жыл бұрын
Hao wa dini yako wanaokusifia tutaona kama uongoz utapata 2025
@kurugokurugo4095
@kurugokurugo4095 2 жыл бұрын
Usiingize udini ndugu yng wtz hatujali dini ya m2 almradi sote ni wtz .
@seifwashule274
@seifwashule274 2 жыл бұрын
Sasa unaanza kuchochea udini, fahamu kuwa siku zote ukianza kuwagawa watu kwa dini zao hutoishia hapo itakuja ukabila, badae rangi itakwenda adi kuingia ndani ya familia yako. wacha umama.
@yohana1242
@yohana1242 2 жыл бұрын
Kuma tu ww tutaona kma hatapat unafikiria rais anawekw na wanao piga kura ile ni kuwazug t wananchi wao wenyewe wakuu ndo wanaomuek wamtakae fala ww kumamako kila ukihema
@prophetmlokozi4633
@prophetmlokozi4633 2 жыл бұрын
Salam mbona ni moja
@seifwashule274
@seifwashule274 2 жыл бұрын
Sasa na wewe una judge salam? big majority ya wasafiri wa Dar to znz ni waislam. Wacha udini na kugawanya watu. Ile ni salam na maana yake amani ya Mwenyezi Mungu iwe ju yako or yenu.wakati mwengine uwache umama.
@aishakhamis2996
@aishakhamis2996 2 жыл бұрын
Hahahaha unamuiga magufuli"! Bado Sana Bibi tozo ..!!
@omarhababuu3159
@omarhababuu3159 2 жыл бұрын
Huwo niwivu wachie wazanzibar nawao waongoze uraisi wamungano
@hassanally511
@hassanally511 2 жыл бұрын
Ili iweje
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 жыл бұрын
Unateseka ukiwa wapi?
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 жыл бұрын
Hangaya huyo! 🐆🐆🐆 Mtemi wa Watemi! 🥰🇹🇿🥰
@nurudinmsindo4379
@nurudinmsindo4379 2 жыл бұрын
Mwache Rais wetu
@ashasalimu3754
@ashasalimu3754 2 жыл бұрын
Maya
@prophetmlokozi4633
@prophetmlokozi4633 2 жыл бұрын
Akuna ata wakujilipua apo kua mafuta tahsbuuu
@husseinkhaji895
@husseinkhaji895 2 жыл бұрын
Achani wivu anamwiga Magufuli kufanyaje? Magufuli hajawahi kupanda meli kwanza Magufuli ndiyo nani hapa Tanzania?
@agnesantony1193
@agnesantony1193 2 жыл бұрын
Hebu acha uchawi weww mbwa
@lilykarim8968
@lilykarim8968 2 жыл бұрын
Anaiga kunya kwa tembo mwambieni atapasuka msamba magu ohoooooye
@mulasaid2959
@mulasaid2959 2 жыл бұрын
@@lilykarim8968 chizi wewe mpende baba yako na mama yako ok
@vampire9464
@vampire9464 2 жыл бұрын
hahahahahahah eti magu oyeee ndioo kashakufa angalieni maisha ya mbele na wacheni kumchukia mama samia ni rais mzuri na anaendesha nchi vizuri mtabaki kuongea tuuuu na michuki yenu na roho chafu mabichwa yenu yamejaaa mavi pumbaaaaafff.....MAMA SAMIA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
@emmanuelsimon545
@emmanuelsimon545 2 жыл бұрын
Unavoandika tu unaonekana una chuki binafsi hukumbuki Kama magu alipanda boti maskini au ulikua hujanunuliwa simu bac ataiga vingi ila bado sana
@modsdickson1671
@modsdickson1671 2 жыл бұрын
Chizikaa tuuu
@hassanisaimon1531
@hassanisaimon1531 2 жыл бұрын
Nothing New
What is happening in Southern Azerbaijan? | Documentary
18:53
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН