VIDEO: RAIS SAMIA ALIVYOWASILI CHINA, TAZAMA MSAFARA ULIOMFUATA UWANJA WA NDEGE..

  Рет қаралды 13,084

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

VIDEO: RAIS SAMIA ALIVYOWASILI CHINA, TAZAMA MSAFARA ULIOMFUATA UWANJA WA NDEGE..
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Peking, Beijing nchini China kwa ajili ya ziara ya Kiserikali tarehe 02 Novemba, 2022
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 41
@majomamajoma8776
@majomamajoma8776 2 жыл бұрын
Hongera cheus mwenzangu uko makini sana na kazi yako
@taflamohsin2195
@taflamohsin2195 2 жыл бұрын
Mama yuko kazini hongera sana.Allah akuwezeshe kwa kila unachokifanya
@stewardmbena3737
@stewardmbena3737 2 жыл бұрын
Kwajinzi wanavyo wekeza na kupata faida Tz lazima wampokee kama malikia heshima Kwa mama 👍👍👍👍👍👍👍❤️❤️❤️❤️❤️❤️🔥
@Itssutsuri
@Itssutsuri 2 жыл бұрын
Magufuli asingekubali huu ujinga
@mohddelo411
@mohddelo411 2 жыл бұрын
Safi mama piga kazi
@christopherjoseph8330
@christopherjoseph8330 2 жыл бұрын
Mama Samia Piga kazi usisikilize maneno ya watu🤗
@shijahlaurent3100
@shijahlaurent3100 2 жыл бұрын
We unamshauri ujinga unataka asikilize tembo.
@antonihenerry8527
@antonihenerry8527 2 жыл бұрын
let technology mama
@mbogayawagenidan8701
@mbogayawagenidan8701 2 жыл бұрын
Kungekuwa na faida kwenye matembezi yako wananchi tusinge teseka na Ukame wa maji na mgao wa umeme ila Magufuli hakutembea ila maisha hayakuwa kama tunayoishi sasa, sijui kama unawashauri wanao weza kukushauri wewe raisi kwani tumechoka kabisa.
@itwaaky75
@itwaaky75 2 жыл бұрын
1. Ukame wa maji yeye hajauleta, mvua ni ya Mwenyezi Mungu 2. Swala la ugumu wa maisha ni hali ya dunia nzima sio swala la rais wala nchi husika
@rajabukipara3008
@rajabukipara3008 2 жыл бұрын
We mboga ya wagen Utashindwaje kuona UKAME!!.
@mzaliguy4917
@mzaliguy4917 2 жыл бұрын
Sema sijaona faida...usiongee kwa niaba yangu...ukame ametengeneza yeye...na vita za ukraine na Russia inayopandisha mafuta ni yeye ndio amepeleka ugomvi huko...use your brain saa zingine..we kama ni mvivu wa kuchukua fursa na unataka serikali ikulishd hapo ulipo utasubiri sanaaaa...dunia imebadilika piga kazi...zile tabia za uzembe uzembe na kukaa kunywa kahawa na kupiga soga na majungu acha...
@Awatee
@Awatee 2 жыл бұрын
Halafu binaadam kwani uyo Magufuli alikua akifanya kazi na nani
@jessegodson8575
@jessegodson8575 2 жыл бұрын
@@itwaaky75 Sasa ingekua hivyo mbona alivyokua magu haikuwepo mambo hayo, ila ipo Kwa huyu alieko Sasa acha kutetea ujinga kwenye ukweli aambiwe na ajirekebishe
@fredrickonjiko391
@fredrickonjiko391 2 жыл бұрын
Xi's playbook is a masterpiece indeed
@kaijagefredinand7447
@kaijagefredinand7447 2 жыл бұрын
Mama anaupiga mwingi si kwa kusafiri huko aisee
@briella6899
@briella6899 2 жыл бұрын
Kua Mheshimiwa raha
@mwemsiabdul7498
@mwemsiabdul7498 2 жыл бұрын
Ivi waziri jafu tena wa mazingira ujaongozana na rais Nini shida funguka tujuwe da apa panastajabisha
@paulkimeleny7775
@paulkimeleny7775 2 жыл бұрын
Nini Leo wanaitaji Tanzania juu makaribusho hiyo sio tu wa kawaida.
@williamsenkoro2210
@williamsenkoro2210 2 жыл бұрын
Wanahitaji kuanzisha base ya kijeshi Tanzania na bandari bagamoyo. Tumeingia Cha kikeee.. tayari....
@karyori69
@karyori69 2 жыл бұрын
Upotevu wa rasilimali mdege mkubwa namna hiyo wa nini?
@mzaliguy4917
@mzaliguy4917 2 жыл бұрын
It's simple logic ukiumiza kichwa kidogo..air tanzania inafanya safari za china...kila wiki.. all you have to do is book first class...angefanya the same na ndege la shirika lingine so kama air tanzania inaenda china kwani asichukue ticket yake...usiwe mvivu kufikiria...
@brsirmuhonjwa7863
@brsirmuhonjwa7863 2 жыл бұрын
huyuu mama atatuingiza mkenge huyu ngoja tuone akili yake ikowapi Ila kumbukeni kauli yangu itajiludia tutaingizwa mkenge
@taflamohsin2195
@taflamohsin2195 2 жыл бұрын
Anajitahidi sana kwa ajili yetu na kwa ajili ya vizazi vijavyo.ili nchi yetu iwe makini kimaendeleo.
@msomimosomy9812
@msomimosomy9812 2 жыл бұрын
Shidanikwamba ufisadi umeludi kamawaenzi zile zakikwete ili twendesawa mgao wamaji umeludi mgaowaumeme huounaingia wziwa fezazamiladi yauma umeludi yaani huraisi m wafagaji wanalishamazao yawatu nakuwauwA wenyemazao kanakwamba nchihaina shelia wAla vyombo vya sheliahavpo
@fredrickonjiko391
@fredrickonjiko391 2 жыл бұрын
Xi lazima atumie Suluhu kufinya Ruto hapa EAC
@adam-saffi211
@adam-saffi211 2 жыл бұрын
Hakuna cha bure, huyu mzanzibari anauza nchi yetu. The whole world is experiencing inflation, wachina watakupa nini?
@mtithewoodentank4817
@mtithewoodentank4817 2 жыл бұрын
Hongera, unaelewa anauza nchi, ninaona watu wachache wanaelewa anachofanya. Naiombea tanzania japo mimi ni Mmarekani.🙏🏾
@方政-i6d
@方政-i6d 2 жыл бұрын
Utaomba wengine watoe tu, hujui kuna neno linaitwa kubadilishana
@方政-i6d
@方政-i6d 2 жыл бұрын
Wachina wanadaiwa pesa? Tafadhali jifunze kufanya biashara, usitegemee kila wakati wengine kutoa
@mtithewoodentank4817
@mtithewoodentank4817 2 жыл бұрын
@@方政-i6d 中国人虐待非洲和非洲人,他们总是偷窃。他们对非洲人不公平,我看到很多中国人虐待非洲人。中国人不想要关系,他们只想从非洲人那里偷更多东西。Chinese invest with the intent to indebt Africans so they can control them. Chinese have never exchanged anything for righteous reasons.
@李梅烧烤泥轰豚
@李梅烧烤泥轰豚 2 жыл бұрын
当一个国家把世界主要交易货币当卫生纸打印,通胀是不可避免的。
@jumashedafa
@jumashedafa 2 жыл бұрын
Usafir wenyew ni atar san..ivi kwel uambiwe utoe mgod wa dhahabu geita utaanzaj kukataa...hay ni mapokez tu...kwel jamaa wanajua kuchez na brain za waafrika...cjui niite mchez gan?
@berthatz
@berthatz 2 жыл бұрын
Yaani..wanajua wanachoenda kukanodhiwa wachina..
@devdmrema7859
@devdmrema7859 2 жыл бұрын
Mama umeenda kukopa tena
@taflamohsin2195
@taflamohsin2195 2 жыл бұрын
Anafanya biashara ya nchi yetu.kwa manufaa yetu.
@corbinX
@corbinX 5 ай бұрын
Bila kopa bila nchi ya Tanzania😂😂😂
@brsirmuhonjwa7863
@brsirmuhonjwa7863 2 жыл бұрын
aliko enda China si kwa watu wazur San ni watu ambao wanatunyonya kiuchumi na kututawala kimya kimya kimabavu
MHE. RAIS SAMIA AKITEMBELEA KABURI LA HAYATI DKT. JOHN MAGUFULI
9:42
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 671 М.
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
SAFARI YA USWEGE KWENDA CHINA | DAY ONE ✈️
10:08
Uswege Murderer
Рет қаралды 15 М.
INASIKITISHA: Wauza Unga Wanavyonyongwa China
5:21
Global TV Online
Рет қаралды 231 М.
KIJANA ANAYEIGIZA SAUTI YA RAIS SAMIA AWAVUNJA MBAVU MKUTANONI
6:59