CHEKI MLINZI wa RAIS SAMIA ALIVYORUKA KWENYE GARI - MSAFARA wa RAIS SAMIA UKIINGIA SABASABA...

  Рет қаралды 119,478

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 72
@globaltv_online
@globaltv_online 5 ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@abdallahmdangadachi7030
@abdallahmdangadachi7030 5 ай бұрын
Itakua waandishi wenu wamekuja juzi dar hawajawahi kuona makonda wa daladala wanavyoruka kwenye daladala wakati bado zipo kwenye mwendo😅😅😅😅😅
@abdibilali4186
@abdibilali4186 5 ай бұрын
.😅😅😅😅😅😅😅kweli aiseee
@bakarimkulima3034
@bakarimkulima3034 4 ай бұрын
Kabisaaaa😊
@sportscodesentertainment2753
@sportscodesentertainment2753 4 ай бұрын
Wanaburuza hadi mguu
@tycoon9540
@tycoon9540 5 ай бұрын
Dakika 1.57 mtangazaji anasema Rais wa Msumbiji ni Mr Manyusi Hii ni aibu na fedheha kubwa sana kwa hadhi ya chombo hichi mtangazaji kushindwa kujua jina la Rais wa Msumbiji na namna ya kutaja hadhi yake (Title) Anaitwa Filipe Nyusi,, na ukitaja jina la Rais usitaje jina kwa kuanza na Mr bali ni Mheshimiwa
@nehemia397
@nehemia397 5 ай бұрын
🤣🤣🤣 tunajali basi mkuu
@MdNasr-jm8pj
@MdNasr-jm8pj 18 күн бұрын
Kumbe Nani kope😂
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 5 ай бұрын
KWAN KARUKA AU KASHUKA😂😂😂😂😊
@MdNasr-jm8pj
@MdNasr-jm8pj 18 күн бұрын
Ulinzi mahir 😢ukijichanganya umekwenda na maji😢
@alexmavika5033
@alexmavika5033 5 ай бұрын
Ni kweli hujui jina la Rais wa Mozambique?
@LucasSabida
@LucasSabida 5 ай бұрын
Waandishi hawa wanatudalilisha sanaaa Hawajui madhara ya kukosea kutja jina la kiongozi
@muhammedyussuf8406
@muhammedyussuf8406 5 ай бұрын
​@@LucasSabidamheshimiwa manyusi
@rajabukipara3008
@rajabukipara3008 5 ай бұрын
Jaman HABAR Zenu mbon Hazina Ubora,, Yaan Habar na Tukio n vtu tofaut kabsaa, Jigunzen kw Wenzenu, Mtupe kilicho bora bhana
@RevCharlesJPeter
@RevCharlesJPeter 4 ай бұрын
Itakuwa labda amepinguza weledi
@jumannehassan3949
@jumannehassan3949 5 ай бұрын
Safi sana
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 5 ай бұрын
Hajaruka chochote hapo😂😂😂
@SALEHSALEH-lk5jr
@SALEHSALEH-lk5jr 5 ай бұрын
Wavaa suti hawawezi kuruka kutoka kwenye Gari labda ffu wakiwa rear guard
@VitusVedasto
@VitusVedasto 5 ай бұрын
Na mayoko Yao kibao bure bado wamebana sare zao😂
@bakarimkulima3034
@bakarimkulima3034 4 ай бұрын
Sjaona kitu mbona😅😅😅😅
@josephdimosopantaleomadegh7599
@josephdimosopantaleomadegh7599 5 ай бұрын
Ipo siku ndakuwa raisi
@LaurentMatigili
@LaurentMatigili 5 ай бұрын
Sasa apo ameruka nini..,Yani wabongo hovyo kabisa 🚮.,
@FadhilyOthman
@FadhilyOthman 5 ай бұрын
Wa bongo ndio wenye nchi ss mijicho kuvimba tu
@bhmulizeanahamawasaf1189
@bhmulizeanahamawasaf1189 4 ай бұрын
Daah nakubli walinzi wetu wana mbwembwe
@emanueltesha584
@emanueltesha584 5 ай бұрын
Namuona dada mariamu yupo makini sana
@DeogratiusAndrew-zi7zv
@DeogratiusAndrew-zi7zv 2 ай бұрын
Mtangazaji hauna uzoefu au unaumwa maana unaongea kwakurudia rudia habari, unaongelea mpaka gari linavyo enda kupaki ,ebu kaa sehemu usilize ulicho rekodi
@innocentshayo9341
@innocentshayo9341 5 ай бұрын
Kwani kuruka hivyo si hata wapiga debe wa daladala wanaruka sana..tena kwenye spidi kubwa kabisa...
@mussakasela1937
@mussakasela1937 5 ай бұрын
😂😂
@lichstudio2024
@lichstudio2024 4 ай бұрын
Dunia simama nishuke,😂😂😂
@RegisMilambo
@RegisMilambo 5 ай бұрын
Mnakosa habari
@yasiniSwedi-qg5oc
@yasiniSwedi-qg5oc 5 ай бұрын
HP ulinzi auhtajiki kwakpi haswa mlishindwa kumlinda alie staili ulinzi jpm bc hpo hmn chamaana
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 5 ай бұрын
Kweli ndugu! JPM jina ambalo halitafutika kwenye mioyo ya Watanzania maskini wengi tunamkumbuka! Mungu ampe pumziko lenye amani na amwangazie mwanga wa uzima wa milele! Ameni.😭😭😭😭😭😭😭!
@renatusfbupamba5181
@renatusfbupamba5181 5 ай бұрын
Najaribu kuwaza.. Ujumbe kama huu una manufaa gani kwa watazamaji?
@abdallahkambangwa7215
@abdallahkambangwa7215 5 ай бұрын
Mr. manyusi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣, umeharibu jina la kiongozi
@msafirimiracle6613
@msafirimiracle6613 5 ай бұрын
Mbona tunaona makondakta wanaruka vizuri zaidi?nchi hii bhana!!
@Basagamp4
@Basagamp4 4 ай бұрын
Karukaje?.....Sijaonaaaaaa
@NyamtigaIbrahim
@NyamtigaIbrahim 5 ай бұрын
Cjaelewa Kittu Hata Huyo. Alieruka Cjamuona
@othmanabdallah3146
@othmanabdallah3146 5 ай бұрын
Philip nyussi we mtangazaji ni zero bure
@OmbeniLuka
@OmbeniLuka 4 ай бұрын
Gharama kubwa kwa nchi maskini
@pendomalisa9308
@pendomalisa9308 5 ай бұрын
Kwani mko wapi
@nehemia397
@nehemia397 5 ай бұрын
huyu traffic anaweza kuwa amesimama hapo mpaka leo ...mpeni ruhusa wazee wa hapa ipo
@vladimirputn1809
@vladimirputn1809 5 ай бұрын
Manyusi😂
@amanifue7443
@amanifue7443 5 ай бұрын
Mtangazaji rudi shule, bado una ungaunga sana.
@msowamhokole7714
@msowamhokole7714 5 ай бұрын
Inchi Ina amani lakini ulinzi mkubwa ivyo daaa akuna wa kumzuru rais
@josephdimosopantaleomadegh7599
@josephdimosopantaleomadegh7599 5 ай бұрын
Walinzi wote wanaangalia seemu moja
@anoldshirima3291
@anoldshirima3291 4 ай бұрын
Unamaliza mb zetu kenge ww
@alexmavika5033
@alexmavika5033 5 ай бұрын
Mtangazaji umeshindwa hata kufanya utafiti wa kujua jina la mgeni rasmi?
@abdallahmdangadachi7030
@abdallahmdangadachi7030 5 ай бұрын
Eti manyusi 😅😅😅😅
@silivestatesha9262
@silivestatesha9262 5 ай бұрын
Mimi naeza ruka kwenyeungo
@muhsinikoki4060
@muhsinikoki4060 4 ай бұрын
akuna kitu apo
@GeradyKennedy
@GeradyKennedy 5 ай бұрын
habari ya kuokoteza
@FadhilyOthman
@FadhilyOthman 5 ай бұрын
Karuka ukuti
@adamhashim3352
@adamhashim3352 5 ай бұрын
Anazidiwa na makondakta
@AshaMwamba-i7g
@AshaMwamba-i7g 2 ай бұрын
Hahahaaaaahaaa
@jonijoogabriel3728
@jonijoogabriel3728 5 ай бұрын
Kwani kunashido
@subralugege7019
@subralugege7019 5 ай бұрын
😂😂😂🎉🎉🎉😢
@johnsonbubinza4646
@johnsonbubinza4646 5 ай бұрын
kwa mwendo huo ata mtoto anaruka
@stonetown578
@stonetown578 5 ай бұрын
Mtangazaji 😂
@issaHamis-v1y
@issaHamis-v1y 4 ай бұрын
Games
@imanuelimushi1756
@imanuelimushi1756 5 ай бұрын
Mbwembe tu. zausalama.
@samuelemmanuel3400
@samuelemmanuel3400 5 ай бұрын
Wanzanzibari hadi usalama wataifa wa bara😂
@kanzucentre3468
@kanzucentre3468 5 ай бұрын
Mbowe anasema RAIS TUMEWAKOPESHA
@joyceshoo9822
@joyceshoo9822 5 ай бұрын
Dah! Waandishi wa mchongo
@saidkipalo4427
@saidkipalo4427 5 ай бұрын
Na Zanzibar askari na wanajeshi asilimia 70 na wa kutoka huku bara fresh tu
@robertphilip385
@robertphilip385 5 ай бұрын
​@@joyceshoo9822Joyce na wewe umetokea wapi huku wetukutane Kwa wanachi kesho tunamshusha dube
@oscernatai7495
@oscernatai7495 5 ай бұрын
Aruke asiruke haituhusu nonsense
@KingZinho-z2u
@KingZinho-z2u 5 ай бұрын
🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@ANICETHMUSHI
@ANICETHMUSHI 5 ай бұрын
Ufala2
@qasimmafuta
@qasimmafuta 3 ай бұрын
Hhhhhhjj
@FranckDaniel-cc5rg
@FranckDaniel-cc5rg 5 ай бұрын
Asa apo karuka nn cha ajabu?
@MgeniGready
@MgeniGready 5 ай бұрын
Yani 😅😂😂😂😂
UMAKINI wa MLINZI wa KAMALA HARRIS Mbele ya RAIS SAMIA IKULU DAR
6:42
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
USIPIME: ULINZI MKALI WA MAGUFULI AKIONDOKA KWENYE MKUTANO KAGERA
4:23
TAJIRI WA MABUS  SUPER FEO ATOA SIRI YA KUWA BILIONEA
10:36
Wasafi Media
Рет қаралды 194 М.
MO DEWJI AZUNGUMZIA KUHUSU KUTEKWA KWAKE
28:50
BBC News Swahili
Рет қаралды 1,6 МЛН
ASKARI MZEMBE ALIVYO ANGUKA MBELE YA RAISI, UTACHEKA UFE
8:52
Mbengo Tv
Рет қаралды 457 М.
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН