Рет қаралды 200,136
Aliyekuwa waziri wa kawi charles keter, naibu spika katika bunge la kitaifa moses cheboi na wabunge caleb kositany, jayne kihara na cate waruguru ni miongoni mwa vigogo wa kisiasa na watu walio na majina tajika waliobwagwa katika chaguzi za mchujo za chama cha uda. Keter na kositany walilambishwa sakafu katika michuano ya kusaka tiketi ya ugavana, huku baadhi ya wabunge waandani wa naibu rais william ruto wakinyolewa na wawaniaji wasiojulikana kitaifa.