Amen🙏 mafudisho mazuri sana, nawe pia ubarikiwe pastor
@claudineuwizeye871 Жыл бұрын
Asante Sana mchungaji kutufungua macho
@mr.yahzadochuno7914 Жыл бұрын
I love Daniel love ❤️ ❤
@phelisterschelimo Жыл бұрын
Asante sana mchungaji barikiwa kwa mambo ambayo umeongea yooote ni ukweli mtupu aki Mungu atukumbuke atupee ufahamu ya kujua kile tunachokifanya.Hata mm nimpetapeliwa Kwa hvo niachie tu mungu anipiganie hyo vita?
@bienfaitemaniraho6383 Жыл бұрын
Ubarikiwe Baba Mungu azidi kukupaka mafuta mampya
@leki6781 Жыл бұрын
Asate asate sana
@marieheiss6560 Жыл бұрын
Asante sana Pastor Mgogo umewaelemisha wengi ,zidi kubarikiwa🙏🏾
@byamungulusambo2635 Жыл бұрын
Amen 🙏 🙏 🙏 🙏 amen, mchungaji una sema vinzuri sana 🙏 ❤
@carolinemwugusi8945 Жыл бұрын
Very true blessings pastor mwenye nasikia na asikie
@JastonMubimba Жыл бұрын
Asante sana mchungaji kutufundisha pia kutungua akili
@stephenlemara6637 Жыл бұрын
ni kweli kabisa amen ameni❤❤❤
@justinmushagalusa1350 Жыл бұрын
That’s very true Mr Pastor Mgogo
@simbabochancegbedabo874 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana muzee. yote unaongea ni Amina. Sasa muchungaji kama sina jamaa , rafiki akitaka umujulishe kwenye jamaa sina , ule rafiki aache?
@williampable1699 Жыл бұрын
Nafunguka akili kabisa, ubarikiwe sana na Bwana Mtumishi
@barakabahati6600 Жыл бұрын
😅😂😂😂😂😅🤣🤣🤣🤣 mimi ndo wa kwanza nimeisha tapeliwa
@Lizzyktd Жыл бұрын
Tupo mwengi😂😂😂
@Lizzyktd Жыл бұрын
Tena wanakuja kwa nia ya kuazisha mahusiano ukijichaganya tu umekwisha 😂😂😂😂
@arnoldkea2903 Жыл бұрын
Huyo jamaa ana ulemavu wa ubongo kweli, kwa sababu,how do u start an online relationship and go to an extent of sending her money to unknown lady/woman and you have never met each other????:
@Lizzyktd Жыл бұрын
😂😂😂😂
@barnabazawadi9433 Жыл бұрын
Lakini mnaweza vipi kupiga picha mkiwa falagha? Si ni upumbavu huu? Mnataka muuonyoshe ulimwengu kwamba mko falagha? Huo ni ukichaaa kamili. Wote mnaofanya hivi, ninyi ni vichaaa kabisa, hamna akili kabisa!