Asalaam Aleykum warahmatullah wabarakatuh Nashukulu sana kwa kisomo kya maicha,sheikha Mungu Akubarikiye kwavyote.mimi nakufatiya Nikiwa Ujeruman,Nashukulu sana.
@Ukhtyzuhura Жыл бұрын
Ma Shaa Allah Ila tunachanganyikiwa Ya ustadh Masheikh wengine wamesema haifai Ku we la dawa za kubadilisha sifa za nywele Na pia ikiwa dawa nyingi Zinamadhara,kama kukatika Kwa nywele,kuungua ngozi Ya kichwa kutokana Na chemical... Ummu Ahmad
@a.856 Жыл бұрын
Jazakallah khayran
@WastarYoussuf-wb7fz Жыл бұрын
Asalam alaikum wa rahmatullahi wa barakaatuh vip hali shekh wangu izudin. Mashaa allah darsa nzuri
@Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh Жыл бұрын
Mashaallah sheikh shukran
@abdulrahimsaid7864 Жыл бұрын
MaashaAllah sheikh letu
@MaimunaMohamed-z7i Жыл бұрын
Assalamualekum habib nimefurahii kukuona tulizungumza bus maimuna ulikuwa Wenda Ilford safarisalama mungu akuweke akupeafia njema
@rahmamohammed9678 Жыл бұрын
Assalamu Aleykum warahmatullah wabarakatu jaamia Alhamdhulillah ALLAAHUMMA SALII WA SALIIM ALA SAYYIDINA MUHAMMAD WALA ALIHI WA ASS HABIHI WA JIMAIN ❤️❤️❤️ BAARAK ALLAAHU FIIQ YAA SHEIKH ALLAAH Akupe Umri mrefu wenye Twa'a uzidi kutuelimisha ❤🤲 Allaahumma Amiin yaa rabbil Aalamiin 🤲🤲🤲
@ARNOLDKARISA-fs3ht Жыл бұрын
amiin
@abdulrahimsaid7864 Жыл бұрын
😊❤
@fatihaal-amoody6308 Жыл бұрын
Asalam Aleikum ustadh nimeskiliza hii darsa suala langu kuna wigi watu wanaova baadaye wavua haiku shonelewa nikama mfano wa kofia jee hizo zina faha?
@aboubakar488 Жыл бұрын
Assalaam aleykum ustaadh nna suala hapa hapo kwa kumdulumu mtu...ni gani hukmu ya alozini na mke wa mtu