VILIO VYATAWALA HOSPITALINI, WAKATI UKISUBIRIWA MWILI WA MZEE ALI KIBAO ALIYETEKWA KUUAWA KIKATILI

  Рет қаралды 42,706

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 230
@neemanziku5403
@neemanziku5403 8 күн бұрын
Kilio cha huyu mama kiwe laana juu ya wahuka wote machoz haya yakatende kazi
@scholamodestus9386
@scholamodestus9386 8 күн бұрын
Mama gani na ww usituchanganye bwana. Alie kufa ni mwanaume
@ummycheedy2809
@ummycheedy2809 8 күн бұрын
@@scholamodestus9386umesoma vizuri alichoandika hapo na umeelewa kweli😢
@JesusJesus-ny1sm
@JesusJesus-ny1sm 8 күн бұрын
​​@@scholamodestus9386Wewe hujasoma vzr unalopoka tu, huyo mama anamlilia ndugu yake ameuwawa na polisi hata sheria za nchi hazipo hivyo !!!!!
@MamodelPark
@MamodelPark 8 күн бұрын
@@scholamodestus9386Omba yasikukute yakishakukuta kwenye familia yako utaacha kuropoka
@FaridiMohamed-dd4hr
@FaridiMohamed-dd4hr 8 күн бұрын
Kwan mama c ndio analia au umeona mwanaume apo we na we kavu nn🖕​@@scholamodestus9386
@joslinchuwa1298
@joslinchuwa1298 8 күн бұрын
Jamani jamani yaani nimetumia sana kiatu cha huyu mama hakinitoshi . Mama kama ulivyosema Mungu ahucke mwachie Mungu mamangu😢😢
@celinapeter9474
@celinapeter9474 8 күн бұрын
Machozi yamenitoka kweli jmn
@saraenock7600
@saraenock7600 7 күн бұрын
​@@celinapeter9474 inaumaa mmmh
@Rm2024-x3d
@Rm2024-x3d 7 күн бұрын
Yaani siwezi and ikan mengi nimeumia mno
@joslinchuwa1298
@joslinchuwa1298 7 күн бұрын
Yaani ngumu kulipokea hili c jambo rahisi my dear. Tunapotezwa kidogo kidogo. Mungu atusaidie kwa kweli
@TonyJonas-mk9ik
@TonyJonas-mk9ik 8 күн бұрын
Naamini Mungu ataingilia kati wakati ukifika Kilakitu kina mda wake, machozi ya wengi na maumivu yake yatalipwa.
@patrickmuna2582
@patrickmuna2582 8 күн бұрын
Hebu angalieni mnavyowaliza watu kwa kukatisha uhai wa binadamu kwa ajili ya madaraka tu...Mnaumiza sana watu
@emmanuelmasatu
@emmanuelmasatu 8 күн бұрын
NIHATARI SANA KWAKWELI. KWAHALI HII KAMA MUNGU HATAINGILIA KATI NIKWELI WATATUMALIZA. Haya mambo tulikuwa tunayasikiatu kwa majilani zetu sasa yapo hapa kwetu.!? Eeeeh MUNGU eee nihatari😭😭😭😭.
@VivianDule
@VivianDule 7 күн бұрын
Pole sana mamaangu nimeshindwa machozi yananitoka,yesu hatanyamaza mama atajibu tu ,
@samwa9496
@samwa9496 8 күн бұрын
Mzee kama huyu mnauwa wanini laana khum
@spreadlove5300
@spreadlove5300 7 күн бұрын
Nimewaza kama wewe 😮😮😮 wanailani nchi kwa unyama kama huu jamani 😢
@taflamohsin2195
@taflamohsin2195 7 күн бұрын
Lahaula wala quwata illah billah 😪
@daudimchileg307
@daudimchileg307 8 күн бұрын
Samia asipoangalia hili hadi hapo , atalipa damu za watu wengi saaana.
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 8 күн бұрын
Mwenzake alimwaga hakutoboa
@mohammededy7086
@mohammededy7086 8 күн бұрын
Kwaio una ushahid ni serekal au
@florencemeza6540
@florencemeza6540 8 күн бұрын
Una hakika alimwaga?? Au mafisadi mlimuua mlibanwa?? Fyoooooo​@@PrinceHendry-hp8vv
@JaphetJairos-n4l
@JaphetJairos-n4l 8 күн бұрын
Samia ndo killer hiyo haipigwi
@JaphetJairos-n4l
@JaphetJairos-n4l 8 күн бұрын
​@@mohammededy7086ndyo au ndo nyie wangese
@anastaziambote4574
@anastaziambote4574 8 күн бұрын
😢😢 pole Mamaangu mshukuru Mungu natumai Mungu wetu anaona atatenda sawa sawa nawanayoyafanya
@getrudeisaac
@getrudeisaac 8 күн бұрын
Pole mama pole Mungu atalipa
@rayaalhabsi1725
@rayaalhabsi1725 8 күн бұрын
Hasbuna Allah Wani'mal Wakiil kwa kila dhalim
@salomewandya7257
@salomewandya7257 8 күн бұрын
Maskn jmn machozi ya huyu mama yasiende bure😢😢😢
@FaridiMohamed-dd4hr
@FaridiMohamed-dd4hr 8 күн бұрын
Polen sana wanafamilia mungu yupo atawalipia hamna mwingine ataskia kilio chenu ni mungu pekee ndio atatulinda acha waish vizuri na familia zao😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@user-hj2jf4fd9t
@user-hj2jf4fd9t 7 күн бұрын
Pole dada machozi na maombi yako mungu atajibu taifa la Mungu Lina chafuliwa damu za watu zimlilie mungu kama Ile ya abeli Mungu wa mbingu na nchi usinyamanze
@IssackJackson
@IssackJackson 8 күн бұрын
Mungu atalipa kwa maombi ya huyu mama,pole mama angu
@evagerald8236
@evagerald8236 8 күн бұрын
😭😭😭💔💔eeeh Mungu yani mnauana kisa madaraka tu kweli 🙏🙏🙏
@aishamwalimu4816
@aishamwalimu4816 6 күн бұрын
Yani jamani madaraka t unatoa uhai wa binadamu
@MayaAlamari
@MayaAlamari 8 күн бұрын
Innalillah wainaillah rajoon Allah ampe kauli thabit yaarab Wamemdhulumu watalipa hii dhulma kwa Allah
@benjaminsanare-ug6ge
@benjaminsanare-ug6ge 5 күн бұрын
Mungu ingilia kati jina la Yehova lina maanisha muweza yote,please baba embu fanya kitu mzee wa tangu enzi na enzi😭🙏
@beatricekagali1048
@beatricekagali1048 8 күн бұрын
Pole sana angalia kwenye ukoo labda yupo Freemason mtetezi ni Mungu.
@zepinashatibu5149
@zepinashatibu5149 6 күн бұрын
Hilo nalo neno tunaweza tukahumu nje kumbe ndani waharifu tunaishi nao
@neemanziku5403
@neemanziku5403 8 күн бұрын
Hii inamaanisha kuwa uhur haupo kabisa mnataka tuwe waongo na ss uongo hatutaki tutasema ukweli daima chadema hoyeeee
@user-tt1nm9xs4n
@user-tt1nm9xs4n 8 күн бұрын
Tuwe Kama mwijjaku
@stellamiyombe6117
@stellamiyombe6117 8 күн бұрын
Mungu nifundishe kunyamaza nisije nikakukosea mbwa mm maana Tanzania saizi kunambwa nawatu sisi tulio chini huku nimbwa hatusaminiki hata
@user-ju4mi1qx5b
@user-ju4mi1qx5b 8 күн бұрын
Mungu ikumbuke🇹🇿🇹🇿 hawa mashetani wafe kwa jina la yesu. Kwanini mnafanya hivi nyie mashetani mungu awahukumu
@tanzaniawomenyouthempowerm267
@tanzaniawomenyouthempowerm267 8 күн бұрын
Mama kalia kwa uchungu sana😮
@celinapeter9474
@celinapeter9474 8 күн бұрын
Sanaaaaah😢
@Deonfnyoni
@Deonfnyoni 7 күн бұрын
Nimejikuta natoa machozi Mungu tusaidie ss hatuwezi 😢😂🙏
@MarrylinellyMshana
@MarrylinellyMshana 8 күн бұрын
💔💔💔💔😭😭😭😭😭Pole mama hakuna atakaye ishi namuomba Mungu akate umeme kwa wote wanahusika na maovu haya 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@JoyceMichael-bm9yw
@JoyceMichael-bm9yw 6 күн бұрын
Ivi mnadhani machozi ya uyu yataawaacha salama mnadhani watabaki salama hakika hawatabaki salama Mungu yupo Mungu yupo atalipa kam sio kwao ata kwa watoto wao mpk kizazi cha nne Mungu yupo.machozi ya mwanamke yanafika mpk kifuani mwa Mungu atafanya tu jambo😢😢😢😢😢😢
@prophetislael5265
@prophetislael5265 7 күн бұрын
Vijana wenzangu achaneni namambo yasiasa kama unakula unalala unakazi yako bas inatosha lakin hembu qngalia maumivu anayo pitia huyu mama wakati mwingine watu wanauwaNa wenyewe ili kupandikiza chuki kwamtu au kwa chama fulani siasa ni mchezo mchafu Mungu alaze roho yamalehemu mahali pema
@jeradkanyuru5745
@jeradkanyuru5745 8 күн бұрын
Kweli..mungu ageku..binadam..tuge Mwia..arudishetu..mungu
@KIZIMYAMOTOMussa
@KIZIMYAMOTOMussa 4 күн бұрын
Na aliye uwa pamoja na aliye mtuma wote wakumbuke kuwa kifo kinawasubiri na Allah anawaona na atawauliza na kuwaadhibu hapa duniani na kesho akhera
@PiusNdasi
@PiusNdasi 8 күн бұрын
Mama mungu anakuona
@florashauri9228
@florashauri9228 7 күн бұрын
Poleni sana wanafamilia,Mungu awatie nguvu kipindi hiki kigumu,kwa kweli Ina uma sana.💔💔💔
@MarryMassawe-wr2zi
@MarryMassawe-wr2zi 8 күн бұрын
Walimtesa sana huyu samia anafanya nini jaman mbona hatoi tamko yan huyu mama anamaliza watu hasa upinzani
@FelisterTarimo
@FelisterTarimo 8 күн бұрын
😭😭😭Mungu aingilie kati, hii nchi tuombe sana watu wanafanywa mshikaki. Tuombe juu ya Taifa letu
@tuikezeezra1315
@tuikezeezra1315 7 күн бұрын
Namkwambia kama vile Nchi haina Kiongozi, matukio yamekuwa mengi sana lakin kimya hawasemi chochote!!!
@martinamahenge4476
@martinamahenge4476 7 күн бұрын
Mama ameumia sana polen wafiwa
@user-qy2ui7mn8q
@user-qy2ui7mn8q 8 күн бұрын
Pole sana mama
@issaibrahim8796
@issaibrahim8796 7 күн бұрын
Mmemwaga Damu ya Mtu bila Haki Subirini na Nyinyi malipo yenu hapa hapa duniani😭😭😭
@VenitaRugemalila
@VenitaRugemalila 7 күн бұрын
Poleni jamani Mungu ni mwaminifu
@TickyRoman
@TickyRoman 8 күн бұрын
Mungu usinyamaze katika haya yanayoendelea😢😢yanaumiza mno jamaniii
@JesusJesus-ny1sm
@JesusJesus-ny1sm 8 күн бұрын
Mungu hafanyi lolote mpka WaTanzania wafanye maamuzi ndio asaidie !!!! Hata kwa habari zake aliwatuma watu wake km Daudi akasimama nao akawashindia !!! Nyie mmekaa mnategemea MUNGU ashuke awafanyie, haya tuendelee kusubiri ashuke.
@MusaMkembela-ex6ev
@MusaMkembela-ex6ev 8 күн бұрын
Watakuja hapa watasema alijiteka akaamua kujiua
@HappynessSoli
@HappynessSoli 8 күн бұрын
Apumnzike kwa Amani mungu awatawalipia waliyofanya kitendo hiki
@DorisMinja
@DorisMinja 7 күн бұрын
Kila kilichofichika kitafichuliwa na Kila kilichositirika kitawekwa wazi Mungu wewe ndiyo hakimu wa haya yote
@zainabumilanzi2909
@zainabumilanzi2909 7 күн бұрын
Yaraby tusaidie kwa yote katika serekali yetu hii hakimu wetu ni Allah
@maryamsuleiman6340
@maryamsuleiman6340 7 күн бұрын
Jamani Jamani ,Samia utabebeshwa mengi ,usioyajua nimtihani mkubwa ,hatukuzowea Zanzibar ilamhu
@monicamassawe3435
@monicamassawe3435 7 күн бұрын
Mungu anaona na kuckia
@IreneEdmond
@IreneEdmond 7 күн бұрын
Mungu usinyamaze wala usikae kimya kuhusu haya yanayofanyika juu ya Taifa la Tanzania wote wanaohusika na haya wadhihirike
@DeruDeru-p4t
@DeruDeru-p4t 7 күн бұрын
Dur poleni kwawafiwa jamani Mungu awape uvumilivu kwenye kipindi kigumu hiki
@FelisterTarimo
@FelisterTarimo 8 күн бұрын
Yesu tusaidie watu wako, uonevu huu hadi lini?? Wanataka nini???
@ABRAHAMABRAHAM-jm4kv
@ABRAHAMABRAHAM-jm4kv 7 күн бұрын
Mshukuru mungu mama na wao kwa wakati wao utafika tu😢😢
@devothaignatius5256
@devothaignatius5256 7 күн бұрын
Jmn mbn Tanzania imekuwa hivi????😭😭😭😭😭😭😭 Mungu hucinyamaze nimeguswa mno
@setiseti5281
@setiseti5281 7 күн бұрын
Pore mamaangu mungu yupo atalipa inshaaallah
@LenardPhilipo-n5s
@LenardPhilipo-n5s 7 күн бұрын
Mungu Yuko atalipa kwa wakati wake damu ya MTU hsiendi bure
@rahema1992
@rahema1992 8 күн бұрын
Inalillah wainailayihi rajiun pole sana mama allah akupe nguvu na subra
@karimjuma4019
@karimjuma4019 8 күн бұрын
Polen wafiwa inauma sna aiseee ila mungu ndio Hakim wa kweli
@PrisilaDeus
@PrisilaDeus 7 күн бұрын
Mungu wambinguni atonyamaza kwa machozi aya jaman
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 7 күн бұрын
Mungu husimamia kwa kila alie dhulumiwa😢
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 8 күн бұрын
Huyu mama samia ndo mbaya zaidi ogopeni watu wanaojifanya wapole😢😢😊
@DorkasDanieli-pw5qq
@DorkasDanieli-pw5qq 8 күн бұрын
Wanao msifia sjui wanamsifiaga nn Unafki tu
@MbalasaJRMwakabalile
@MbalasaJRMwakabalile 8 күн бұрын
Kweli kabisa yean
@jacklinakinabo6479
@jacklinakinabo6479 8 күн бұрын
Una mwanasheria ndugu yngu😢😢😢, Mungu atuepushe na mabalaaa
@mariamngoha639
@mariamngoha639 8 күн бұрын
Walio husika watalipa machozi ya huyu mama
@teddytemu331
@teddytemu331 7 күн бұрын
Mungu pekee awezaye kutenda yote hakika Eemwenyezi Mungu tunaomba ukaonekane mkono wako ni mkuu saana 😢😢😭😭💔🙏
@hanifamziray277
@hanifamziray277 8 күн бұрын
Huruma sn kafa kifo kibaya jaman
@mweyoms5548
@mweyoms5548 7 күн бұрын
Hiki ni kilio cha uchungu wa KUDHULUMIWA. Wale wote waliodhulumiwa kwa namna yoyote ile na hawana namna ya kupata haki zao kwa kuwa hawana pesa wala mamlaka, shikamana na dua hii: "YA QAHHAR 'ALA KULLI JABBAR ANID." Dumu na dua hii huku mueleze Mwenyezi Mungu umedhulumiwa nini. NB: Aliyedhulumiwa dua yake haina kizuizi.
@user-uh7to2kw2z
@user-uh7to2kw2z 8 күн бұрын
Mungu atajibu 2 kwa hiki mnacho kifanya amani iko wp😭mungu wetu halali🙏
@believemsolwa1513
@believemsolwa1513 8 күн бұрын
Haya mambo yanaumiza sana.MUNGU atusaidie ila tuwe makini kabla hatujamlaumu yeyote najaribu kuonaKwa jicho la tatu.!! Inaweza kuwa nje ya tunachokiwaza,,oh my godness...
@SallmaXg
@SallmaXg 8 күн бұрын
Poleni sana wafiwa 😢😢
@julietmshana1962
@julietmshana1962 7 күн бұрын
Daaah nmeumia japo cmjui huyo marehemu😭😭😭😭
@MiishHassan-qm1et
@MiishHassan-qm1et 7 күн бұрын
Ndio Tanzania tunajisifu tuna uhuru kwa stahili hii kweli😢😢😢
@mudrick4553
@mudrick4553 8 күн бұрын
yaaani unauwa watu bila hata kujali muumba wako alie uwa alie tuma wote hawa hata km utaishii ulimwengu huu miaka 500 lakini hesabu yako km ya kuwa ama kutuma kuuwa mtu au watu hesabu yako lazima utalipwa ubaya wako huo
@Elimbingikessy
@Elimbingikessy 8 күн бұрын
So sad,God will pay this pain...
@happynkya9770
@happynkya9770 7 күн бұрын
Mashehe na wachungaji mko wapi jaman 😭😭😭, wale wamama wa maombi Kwa aili ya kuliombea taifa mko wapi jamani, Mungu wangu uko wapi baba mbona kama umenyamaza baba,, Mungu ingilia kati na hili baba peke yetu hatuwezi baba wa mbinguni ingilia kati Mungu dah hiii imekuwa too much sasa jamani
@rebeccajacobo6676
@rebeccajacobo6676 7 күн бұрын
Inauma sana ila mungu anajuwa
@girikimdaila6026
@girikimdaila6026 7 күн бұрын
Da hii nchi saiv wanataka wote tuwe CCM ukiwa chadema tusiku za kuishi n chache Sana
@naimahhussein8430
@naimahhussein8430 6 күн бұрын
Hakuna atayeishi milele kwanini mnauwa 🥹🥹🥹🥹nyie tena kifo cha kikatili na mateso 😭😭😭😭😭yarab
@glorysungura3180
@glorysungura3180 7 күн бұрын
MUNGU wangu, MUNGU wangu, MUNGU wangu naomba baba uwape faraja watoto wako. Nalia kwa uchungu, mama umeniliza asbh hii. Inauma sana, tunaenda wapi jamani, angalia anavyolia huyu mama. Hata huruma hamna?
@JamesKirita
@JamesKirita 8 күн бұрын
Alafu wauwaji walivyoo na roombaya wanaangaliaa tukiwajuaaa tawatokezeeni na familia zaoo silakufumbia macho
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 7 күн бұрын
Hii ndio buludani ya utawala dhalimu tunapolia wao hugogeshana glasi na hutamani kuuwa tena kila baada ya sekunde ili wasikie kilio hiki na wanajiona wakuu na wataishi enzini na vizazi vyao miaka mia
@sophialaizer4884
@sophialaizer4884 8 күн бұрын
Inauma sana mwacheni tu alie hayo maumivu ni Mungu amtie nguvu
@jacquelinemwakasala9563
@jacquelinemwakasala9563 8 күн бұрын
Dah inatia huruma
@tuikezeezra1315
@tuikezeezra1315 7 күн бұрын
Hivi jamani hii nchi haina Raisi au vipi mbona matukio mengi lakin hasemi chochote!!!!!, Tumlilie Mungu tu jaman maana binadamu hawana msaada kwetu. Too painful jamani!!!
@gracemima5234
@gracemima5234 7 күн бұрын
Tanzania haikuwa hivi kuuwana bila ya sababu. Jamani kuna nini?
@salomewandya7257
@salomewandya7257 8 күн бұрын
Pole mama😢😢
@happynkya9770
@happynkya9770 7 күн бұрын
Ivi vilio Mungu atavilipa
@glorykastai3996
@glorykastai3996 8 күн бұрын
Mungu atalipia hayo waliyotenda na atajibu upesi no one should take the life of others, shame to all of them na kwao kusiwe na amani.
@JohnMagudi
@JohnMagudi 8 күн бұрын
Mungu wangu hapa ndio tanzania ?
@AshaMwamba-g3l
@AshaMwamba-g3l 6 күн бұрын
Upo sikuu tutakuwa Kama ke😢😢😢😢😢
@NaomyMassawe
@NaomyMassawe 8 күн бұрын
MUNGU USINYAMAZEEEEEE FANYA JAMBO MUNGU WETU 😢
@SAIDIMUKSIN-iy2op
@SAIDIMUKSIN-iy2op 8 күн бұрын
Duh uchungu kiukweli
@nadiatanzania
@nadiatanzania 8 күн бұрын
Nimesikia uchungu uchungu tena Tanzania yangu now twaogopana na ilikuwa inch ambayo ilikuwa inaongoza kwa aman ukarimu utu Yan duuuu sasa jiran zetu watatufanya nn kama tz yangu tu hakukaliki umependo ulitoweka 😢😢😢😢 Mungu tukumbuke 😢😢😢😢
@Zubaiba
@Zubaiba 8 күн бұрын
Pole sana mama yng😭😭😭😭😭😭😭😭
@JaphetJairos-n4l
@JaphetJairos-n4l 8 күн бұрын
Omba yasikukute haya huyu mama mtajuta mbona uyu mzanzibar siyo pouwa
@AminaSalumu-t9u
@AminaSalumu-t9u 8 күн бұрын
poleni
@brianbrayoo1590
@brianbrayoo1590 8 күн бұрын
😭😭😭😭😭 This is too much, TZ you went too far..
@ndenengokimaro4502
@ndenengokimaro4502 8 күн бұрын
Apumzike kwa amani
@ShafiiSoud-b3w
@ShafiiSoud-b3w 8 күн бұрын
hai waandishi sas..mtu analia wao wanamsindikiza na picha
@saraenock7600
@saraenock7600 7 күн бұрын
Yaani sijui maana nini
@JOSEPHMwakibinga
@JOSEPHMwakibinga 8 күн бұрын
Enyi mlio husika mjifanye hamjui lakini kisasi chenu kinakuja. Naamini kilio Cha huyu mama mtalipaaaaa eee mungu ingilia kati baba
@janetchinga695
@janetchinga695 8 күн бұрын
Jamani Tanzania yoooo mumuone huruma huyu mama 😢😢😢😢😢 mama atatenda hata kuasha ninani anae uua watu jamani mungu fichuwa yooooo
@spreadlove5300
@spreadlove5300 7 күн бұрын
Ila jamani huyu mzee alomuua 😮😮😮 mmmh poleni familia
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc 8 күн бұрын
Pole mama na ndugu wengine jamani ni huzuni sana
@user-nm8te8tx1w
@user-nm8te8tx1w 7 күн бұрын
Mpaka nimelia😢😢😢😢😢😢😢
@MarthaMakala-l8g
@MarthaMakala-l8g 7 күн бұрын
Jamani
@neykombe8831
@neykombe8831 7 күн бұрын
Machozi yananitoka wallah 😭😭😭
@believemsolwa1513
@believemsolwa1513 8 күн бұрын
Kwan ipo serikali inayoweza kuua watu wake simple like that? Haiingi akilini abadan asilan.Mungu tusaidie hii inaumiza sana. Haingii akilini.sijui hii nini!
МЕБЕЛЬ ВЫДАСТ СОТРУДНИКАМ ПОЛИЦИИ ТАБЕЛЬНУЮ МЕБЕЛЬ
00:20
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 3 Серия
30:50
Inter Production
Рет қаралды 858 М.
МЕБЕЛЬ ВЫДАСТ СОТРУДНИКАМ ПОЛИЦИИ ТАБЕЛЬНУЮ МЕБЕЛЬ
00:20