EXCLUSIVE: MSIMAMIZI WA TASHRIFF ASIMULIA MKASA MZIMA WA KIBAO, ATAJA JINA LA ABIRIA WALIYEMSHUKU

  Рет қаралды 77,965

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Siku moja baada ya kuzikwa kwa Mjumbe wa Sekretarieti ya Chadema Ally Mohamed Kibao aliyetekwa kwenye basi la Kampuni ya Tashriff na kuuwawa,Msimamizi wa mabasi hayo Dar es Salaam Shabani Shemweta amesema wanaendelea kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi kuwatambua wahusika waliomuua kada huyo.
Amesema mtu mmoja aliyekuwa msafiri ambaye alijumuika na watekaji alitoa alijitambulisha kwa jina la Bakari.
Kibao aliyetekwa Septemba 6,2024 eneo la Kibo Complex Tegeta jijini Dar es Salaam akiwa kwenye basi la Tashriff akielekea Tanga.
Inaelezwa basi hilo lilisimamishwa na watu waliokuwa kwenye magari mawili mbele na nyuma,watu wawili wakiwa na silaha za moto wakiingia ndani ya gari kumkamata mzee huyo huku mmoja akienda mbele ya basi na kumuamuru dereva asiondoe basi.
Septemba 7,2014 Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika alitangaza kutokea kwa tukio hilo kabla ya Septemba 8,2024 mwili wa Ally KIbao kuokotwa Ununio Dar es Salaam na kuupeleka Hospitali ya Mwananyamala.
Baada ya utambuzi wa mwili wa mzee huyo aliye mwagiwa tindikali usoni na kusababishiwa majeraha mengine,
Siku hiyo hiyo Jeshi la Polisi kupitia taarifa yake kwa umma limesema tayari uchunguzi wa tukio hilo umeanza huku ukiwakaribisha wenye ushahidi wa tukio hilo kushirikiana na Polisi

Пікірлер: 126
@SaudaSaudaAmiri
@SaudaSaudaAmiri 7 күн бұрын
Ukweli inauma ila damu ya mtu haitawaacha salama .Innalillah wainnaillah rajiuni
@selemanisalum7685
@selemanisalum7685 7 күн бұрын
Wajiuzuri wanashindwa kulinda raia na mali zao tungane watanzania wote tuache tofauti zetu uhai ni bora kuliko siasa zao
@SharifaOman-bf1bn
@SharifaOman-bf1bn 7 күн бұрын
Innalilah wainailah rajuun. Mungu amfanyie wepesi. Mzee. Wetu
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 7 күн бұрын
Jamani mcliamini sana hilo jina,yawexekana anaitwa Pantaleo au majina mengine tofauti,Muhimu kumuomba Mungu wajulikane,
@rogersiddy
@rogersiddy 6 күн бұрын
Uko sahihi kbsa kama kwenda Gest ukaandika jina tofauti na jina halisi uko sawa kbs
@AnethMushi-c3e
@AnethMushi-c3e 6 күн бұрын
😅😅​@@rogersiddy
@joycemgonja8156
@joycemgonja8156 6 күн бұрын
Hilo jina silake huyo kwasababu nayeye ni mmoja wa uwarifu atakuwa kaandika la jiran yake 🙆🏼‍♂️
@jamesjoseph6825
@jamesjoseph6825 7 күн бұрын
Historia inaonyesha kuwa mzee wetu mwinyi aliwahi kujiuzulu baada ya wagmfungwa kufa kwenye msongamano gerezani huko, sasa hili la watu kutekwa na kuuwawa lakin bado waziri amenga'ang'ania ofisi
@wisdomfolks
@wisdomfolks 7 күн бұрын
mbona mabasi yanakuwaga na cctv au ni nini zile?
@mohdhaji550
@mohdhaji550 7 күн бұрын
Sio yote mengine kama mkokoteni tuuu
@aliciamwalimu582
@aliciamwalimu582 7 күн бұрын
Wakat lisu anapigwa sizilikuwepo?hizo zinang'olewa ndg yangu wala hazisaidii
@altonkanjolonga2380
@altonkanjolonga2380 6 күн бұрын
hakuna anaeongelea kuhusu cctv camera iliyoko garini
@officiallnobystar
@officiallnobystar 5 күн бұрын
@@altonkanjolonga2380Me Naona Kuna Mchezo Apo Dereva Na Konda Wake Waojiwe Vizuri Mana Yani Sielewi Sijui Mawazo Yangu Na Wengine Mnawaza Hivi 😭😭
@OnlineEarningTz
@OnlineEarningTz 7 күн бұрын
Mtangazaji umeacha swali muhimu " je watu hao walifunika sura zao au walikua wazi?
@marystambuli8045
@marystambuli8045 7 күн бұрын
Kwa ushauri tu mara nyingine ikitokea dereva asikubali ila apeleke basi kwenye kituo cha polisi kilichokaribu wakamchukulie huko na si kienyeji kama hivyo
@maryamabdullah9169
@maryamabdullah9169 7 күн бұрын
Innalillahi Wainna Ilayhii Rajiuun Allah Amsamehe makosa yake Allah Amlaze mahali pema peponi Amiin
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 6 күн бұрын
Je gali lenu halina kamera ili kujua sura ya huyo aliekuwepo kwenye gali
@SAIDHAMISI-j2p
@SAIDHAMISI-j2p 4 күн бұрын
Mungu ampe kauli sabiti. Mzee wetu Ogepen mungu viongoz. Cheo zamana alikuwa feraun. lanatuwai yupo wapi
@KivumuKivumu
@KivumuKivumu Күн бұрын
Mungu yupo siku Moja dawa itawafuatawote wanaojatisha maisha ya watu
@muhsiniissa8151
@muhsiniissa8151 5 күн бұрын
Inauma sana
@mageminja8052
@mageminja8052 6 күн бұрын
Inauma sana jamani😢.Mungu amlaze mahala pema peponi
@gaagwasaugustino2584
@gaagwasaugustino2584 6 күн бұрын
Ndugu Wananchi: Kama hilo tukio ni maagizo kutoka juu basi hata hao watakaofanya uchunguzi hakuna taarifa yoyote ya maana italipotiwa kwa Wananchi zaidi ya kupigwa porojo kisha yabakie hivyohivyo yapite kama upepo huku mzee wa watu alishazikwa! Wananchi amkeni tuungane tuunganishe nguvu zetu pamoja tudai Katiba! Tuikatae ccm na vibaraka wake wote uchaguzi huu 2024/2025 kuanzia wenyeviti wa mitaa, vitongoji, vijiji, madiwani, Wabunge na Rais, msiwachague hawa mashetani majambazi watekaji na wauaji! Naona uchaguzi huu kuna mauaji yanakuja katika Taifa hili! Mungu tunaomba usimame na wenye HAKI katika Taifa letu, Uliponye Taifa letu dhidi ya hawa waovu wauaji wenye tamaa ya madaraka,Mungu wafute katika uso wa Nchi hii,Ameni.
@AnethMushi-c3e
@AnethMushi-c3e 6 күн бұрын
Ameeeeen
@sumayaishengoma4543
@sumayaishengoma4543 5 күн бұрын
Inaumaaaa 😭😭😭😭
@fatiajuma4685
@fatiajuma4685 6 күн бұрын
Hapo kisomo kipite2 ndio watu wataheshimiana kwa sababu kila mja ako na haki ya kuishi
@MariamAbuubakar-e5o
@MariamAbuubakar-e5o 7 күн бұрын
Jaman inaumaa sana kwan hii ni tanzania au bhan hata s amani kabisa tanzania😢😢😢
@officiallnobystar
@officiallnobystar 5 күн бұрын
Walio Safili Hii Siku Wote Mademu Kudadeki Mtoto Wakiume Unaogopa Kurekod Ata Wakiwa Wameshuka chini Mi Sielewi Yani Gari Zima Ata Mmoja Mwenye Ujasili Dah 😭😭😭😭
@georgewilliam6001
@georgewilliam6001 7 күн бұрын
Kwanini mnaedit, maana tukio zima mbona alisemwi tangia mwanzo ilikuaje????
@user-en1uq1eg6h
@user-en1uq1eg6h 4 күн бұрын
Kwani hao watekaji walijuaje yumo kwenye hili bus??? Atakuwa yupo YUDA ALIYEMSALITI kuwa yumo humu😢😢
@stanleysanga7758
@stanleysanga7758 7 күн бұрын
Tashiriff wanakuchafuria jina la kampuni
@joojombi2341
@joojombi2341 6 күн бұрын
Je ndani ya basi kuna CCTV humo?????
@AgustaZaile
@AgustaZaile 7 күн бұрын
Kuna haja ya kuweka kamera kwenye mabasi yote
@Said_Abdul
@Said_Abdul 6 күн бұрын
kitambulisho cha kitaifa kiwe sharti kwa abiria kununua tikiti za basi. na kila basi linapaswa kuwa na CCTV
@VeronicalucasMwase
@VeronicalucasMwase 6 күн бұрын
Kitambulisho kinatosha kwa kweli unewaza pakubwa mnoo
@chancesholdan342
@chancesholdan342 7 күн бұрын
basi halina camera au
@mohamedabdul9895
@mohamedabdul9895 6 күн бұрын
Mm na tashriff kunazia leo ni kma mbingu na ardhi
@AnethMushi-c3e
@AnethMushi-c3e 6 күн бұрын
Umeona eeeeee!!!
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 7 күн бұрын
Najiuliza tu ni sahihi kuweka mahojiyano haya mtandaoni,hii naona kama inamfahamisha muharifu kujua kinachoendelea
@msafirimaulidi5054
@msafirimaulidi5054 7 күн бұрын
Mhalifu anajua yooote ayo ni Bora kuwek waz ili kusaidia upelez
@Kakamkubwa3564
@Kakamkubwa3564 6 күн бұрын
Nachoona hakuna makosa na kampuni inajaribu kuwaaminisha umma kuwa kampuni Yao Iko vizuri wasihofu.
@mkubwakasim1470
@mkubwakasim1470 6 күн бұрын
Hii nchi inatia aibu yale ambayo tulikuwa tunasikia kwa wenzetu tunayaona na kuyasikia kwetu hii miaka kumi ya utawala huu umejaa hizi visa
@joycemgonja8156
@joycemgonja8156 6 күн бұрын
Kuna kila sababu ya kuweka kamera kwenye mabasi maana haya matukio yatakuwa nisababu ya wengine kufanya huwalifu km huu Allah kareem🙏🏻
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 6 күн бұрын
Ukaguzi kwa kila anayepanda kwenye bus akaguliwe kwa vifaa vya kugundua silaha.
@SalmaMatakata
@SalmaMatakata 6 күн бұрын
Hivi hamna camera jamani hayo mabasi
@adamummy4363
@adamummy4363 6 күн бұрын
Basi kwa kawaida lazima liwe na camera kama wenzetu uku mbele kutokana na mambo kama haya kungekua na camera mngekua mshamjua huyo abilia ambae alikua anawapa rada wenzake nchi yetu imekua inchi hovyo kabisa
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 4 күн бұрын
Iddi Amini mama samia , wenziwe ni kina Iddi Amini dada , Mabutu , Nguema, Hitler, Mussolini and Pinoshert wa Chile
@estakapufi7582
@estakapufi7582 6 күн бұрын
Je hao watu walijifunika usoni ili hata kwa watu walipo kwenye basi iyo siku wakiwaona watakuwa na kumbukumbu na izo sura.
@simonzelote5998
@simonzelote5998 3 күн бұрын
Kama jina alitoa sio sahihi?
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 6 күн бұрын
Kwann asitaje namba yake ya cm we nae maelezo yako mbona hayana mashilikiano unaogopa kusema au umeshatishwa
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc 6 күн бұрын
Huyo aliyeshuka na marehem kibao ndio alikuwa anawasiliana na waalifu wenzake 😊
@jalaryababilasi1562
@jalaryababilasi1562 6 күн бұрын
Jaman me najuwa video zipo cdhan kama jambo la ivo atakosa hata mmoja wa kuchukua picha au video sina uhakika x
@simonzelote5998
@simonzelote5998 3 күн бұрын
Nyie mnakubali je mtu kushushwa porini kiurahisi
@AnethMushi-c3e
@AnethMushi-c3e 6 күн бұрын
Wasifanye matanga😢
@GodfreySelekwa-vf8ws
@GodfreySelekwa-vf8ws 6 күн бұрын
Hakuna camera ndani ya bus??
@MnubiMm
@MnubiMm 7 күн бұрын
Hilo bc abilia wengine hawakuwepo mbona hawasemi ilikuwaje kwanin!?? Wamekaa kimyaa kuna nini? Kitu gani kinawatisha mmpaka leo wako kimya mashuhuda vp nanyi wenye bc hebu jitahidini kukaa kimya sasa waambieni waulize polisi
@stellajoseph9334
@stellajoseph9334 7 күн бұрын
Kumpata abiria moja moja sio rahisi, Ila kwa wahusika wa basi ni rahisi.
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 6 күн бұрын
Huu ndio umuhimu wa nida... Mfumo wa tiketi ulipaswa uwe connected na nida...
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc 6 күн бұрын
Ni bora kubadirisha sisitim watumie vitambulisha vya uraia au vha kupigia kula kwa mabasi yote
@NeemaSamueli
@NeemaSamueli 6 күн бұрын
Wekeni camera campuni kubwa ivyo aina camera uzembe huo
@Pendo-xd4es
@Pendo-xd4es 6 күн бұрын
Mnazingua fungeni camera kwenye mabasi yenu
@RodenMgata
@RodenMgata 6 күн бұрын
Inakuaje kampni kubwa kama tashirif mabasi yenu yanakosa kamera?
@adudeswalehe8724
@adudeswalehe8724 6 күн бұрын
Waandishi hamjui kuhoji kabisa, badala uulize maswali ya msingi unauliza eti ukaribu wa marehemu na Bus
@Pendo-xd4es
@Pendo-xd4es 6 күн бұрын
Kwann mabasi yasiwe na camera?
@joojombi2341
@joojombi2341 6 күн бұрын
Hizo gazi hakuna mtu yyte alozichukua namba???? Au hata clip zilizo chukuliwa???? Cku hizi kila mtu ana simu janja jmny watu wamezubaa sana
@DanielMwasi-cq2rg
@DanielMwasi-cq2rg 6 күн бұрын
Kesi ya ndani unampeleka kwa mama nyani
@SabrinaRamadhan-s9u
@SabrinaRamadhan-s9u 6 күн бұрын
Rp bab yang 😢
@rosejohn8494
@rosejohn8494 7 күн бұрын
hii ndo Tanzania sasa kama mtu anatekwa kweny gar na watu wasio na kitambulisho walafu watu wako kimya
@EmanueliWildausoni
@EmanueliWildausoni 6 күн бұрын
Ila watanzania tuache kuwa kama kondoo kwel watu wanakuja tu kwenye gari wanamchukua tu mtu wanaenda kumuua mzee mstarabu vile daa aisee tuacheni uoga uliopitlza polen chadema polen familia na polis hawez jichunguza wenyewe wahuni hao
@johnbidya119
@johnbidya119 7 күн бұрын
Nahisi walokua na opyi2mbili huwenda wange uwa basi zima
@AgustaZaile
@AgustaZaile 7 күн бұрын
Hakukuwa na camera?? Tungemwona huyo
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 7 күн бұрын
KWANINI HAKUNA NAMBA ZA SIMU
@GoodluckMmary
@GoodluckMmary 6 күн бұрын
POLCE TZ AKUNAKITU
@DaheerK
@DaheerK 6 күн бұрын
Sasaivi wekeni camera kila basi
@joojombi2341
@joojombi2341 6 күн бұрын
Nyie mlijuaje kama ni askari na je walikua wamevaa mavazi ya kipolisi au ishara yyote kama ni Polisi????
@samorajama8833
@samorajama8833 7 күн бұрын
CHICHI AHSANTE
@KalicKaguz
@KalicKaguz 6 күн бұрын
Jina feki ilo
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 7 күн бұрын
Najiuliza walijuaje. Kuwa Mzee Ally anasafili?na cctv kamela hakuna humo.kwenye.gali iliwachunguze?
@user-vr1ly3rw4h
@user-vr1ly3rw4h 6 күн бұрын
Sio magari yote yana cctv mjomba...ww nyumbani kwako kuna cctv?
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 6 күн бұрын
@@user-vr1ly3rw4h ndiyo
@jacklinelyimo7407
@jacklinelyimo7407 6 күн бұрын
Tashrif mmefanyaje makosa makubwa sana mlivyoona hivyo msingeendelea na safari mngeenda polisi wote katoa taarifa na abiria wote mkalianzsha nchi mmeshasikia watu wanaotekwa na polisi nguo za kiraia kwanini hamkumuokoa mwenzetu Tanzania watu wote muamke sasa linapotokea jitu inasema ni polisi uanze kupiga wote
@AlexMbwilo-b1q
@AlexMbwilo-b1q 7 күн бұрын
Hao watekaji niwatu wa mfumo wa serikali na hawa viongo wanawatumia vibaya mno na hofuyao nisiyasa tu woga tu wawatawala
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 7 күн бұрын
Pengine muongo siyo jinalake. Kwavile alikua asafili anajambo lake
@Nanah18
@Nanah18 7 күн бұрын
Kwahiyo mtu yoyote akiwa na silaha za moto anaweza kufanya chochote kwa abiria wenu
@makamesaid9137
@makamesaid9137 7 күн бұрын
Sasa mtu anasilaha ya moto kama ungekuwa wewe ungemsogelea akumalize wewe kwanza? Au unafanya mzaha kwa vile halikukuta wewe ndo unaona ni kitu simple kumkabili mwenye bundukii?
@Nanah18
@Nanah18 6 күн бұрын
@@makamesaid9137 Mungu awasaidie vijana wa sasa wawe na ujasiri kama wa vizazi vilivyopita, yaani vijana wa sasa wangekuwepo enzi za vita vya Kagera sidhani kama kuna raia yoyote angejitolea kusaidia jeshi kupigana, vijana wa vizazi vilivyopita walikuwa strong sana, tutaendelea kuwasoma tu kwenye historia kuhusu ujasiri wao, vijana wa sasa tuendelee na ubusy wa kutafuta kick mitandaoni
@MahadJuma-u4p
@MahadJuma-u4p 3 күн бұрын
nataka DUW
@godloveemanuel1417
@godloveemanuel1417 7 күн бұрын
INABIDI SASA MABASI WATU WAANZE KUPANDA KWAKUTUMIA VITAMBULISHO VYA NIDA AU CHA MPIGA KURA NA PICHA ZA ABIRIA ZIWEPO KWENYE TICKET
@antybabybintrashid2333
@antybabybintrashid2333 7 күн бұрын
Kwan mtu anawezaje kukata ticket bila kitambulisho kenya hupat ticket bila kitambulisho
@user-yw5nk8xp1z
@user-yw5nk8xp1z 6 күн бұрын
Watanzania ni manyumbu2 watu sitini mmeshindwa k
@user-yw3qh6qj8g
@user-yw3qh6qj8g 7 күн бұрын
Anaitwa nani? Huyoaliekaa ndani?anaitwa bakari nani? Acheni usenge na maisha yamtu Tashirifu sio salama kupanda,
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi 6 күн бұрын
Wanachafua kapuni
@user-yt9zf6xd8n
@user-yt9zf6xd8n 6 күн бұрын
Kwa nini yy hakuombwa namba ya simu wakati anakata ticket
@امينهسلطان-ز2ط
@امينهسلطان-ز2ط 6 күн бұрын
Ndio nashangaa na wakati namba ni lazima ili utumiwe ticket kwenye simu
@mozahdadichimpele5719
@mozahdadichimpele5719 3 күн бұрын
Kweri kabisa,mbona hua tunaombwa namba ya simu na majina yote matatu yanaandikwa
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 7 күн бұрын
Unadhani hilo jina nila ukweli kama alikua kazini unaweza kuta anaitwa juma.. Yan polisi wanauliza kama kuna kamera kituoni kwamba hawajui siku zote sasa mishahara niyanini
@leokamil6284
@leokamil6284 7 күн бұрын
Ni kweli,kutokana na hili wenye mabasi wote waulize vitambulisho kwa abiria wote hii itasaidia hata wizi wa kwenye mabasi ya abiria
@KennedyNgusa
@KennedyNgusa 7 күн бұрын
Kwanini hamja weka mamela ?
@mohdhaji550
@mohdhaji550 7 күн бұрын
Sio mamela ni camera
@Tanzaniayangu1
@Tanzaniayangu1 6 күн бұрын
​@@mohdhaji550😂😂😂
@Mariam-w9s3b
@Mariam-w9s3b 7 күн бұрын
Akuna aliepiga ata picha jaman
@mohdhaji550
@mohdhaji550 7 күн бұрын
Wewe ungepiga au manenoo yanakutoka
@judyngowi391
@judyngowi391 7 күн бұрын
Hao abiria wewe unawajua? Si ajabu mtu kashuka kaenda zake uswekeni huko hata hajui kuna mtu kafa, na kama wapo wanaojua sio rahisi kufuata waandishi wa habari wawahoji. None of their business
@Nanah18
@Nanah18 7 күн бұрын
Nadhani Tashrif wanatakiwa wafungiwe kwa muda kufanya biashara mpaka watakapotoa maelezo ya kuridhisha, tena watoe maelezo yanayoeleweka na mbele ya wananchi pia, video na habari za hovyo hovyo watu wanajua kuzielezea vitu serious wanajifanya hawaelewi kitu, na kwa namna hiyo nani ataamini usafiri wenu au hata vinywaji mnavyowapa kwenye usafiri wenu
@SalimAbdallah-mi1wc
@SalimAbdallah-mi1wc 7 күн бұрын
We kama Nani unayo ipangia jeshi la polisi Jambo la kufanya?Sasa Kwa hili lilotokea tashrif wanahusika VP mbele ya Basi tashriff kulkuwa Na trafik msataafu alkuwa anaelekea bagamoyo yeye pia alikaa kimya mpaka walivo ondoka ndo watu wakanza kuongea kilicho tokea hizi coment zinafima mbali Sana ndugu kuwa Makini Na unavo comment au kama Una bifu Na tashrif ukichanganya Na Haya maafa yalotokea watu Wana hasira Na tukio Zima we unaleta masihara
@user-vr1ly3rw4h
@user-vr1ly3rw4h 6 күн бұрын
Kwanini usiseme viongozi wajiuzulu
@msafirimaulidi5054
@msafirimaulidi5054 7 күн бұрын
Abilia 60 mtu anatekw yapo tu ,siamin km wangelianzisha wangeshindwa lkn apo tungeskia ni police n waliozuia ukamataj wote ndani
@salummbunga4167
@salummbunga4167 7 күн бұрын
Ushaambiwa Wana silaha za moto sasa unahoji nini???
@user-yw3qh6qj8g
@user-yw3qh6qj8g 7 күн бұрын
Nyie tashirifu hamna video mliyochukua? Hamkuwapiga picha? Tashirifu sio kampuni salama tena
@AshuraMkonda
@AshuraMkonda 6 күн бұрын
ivi ungekua wewe ungepiga picha watu wana silah kali iyo nguvu ungeitoa wapi
@dol-pnintz2503
@dol-pnintz2503 7 күн бұрын
Acheni uhuni mmeanza kuichafua serikali mmeua we nyewe mwacheni Mama yetu tumewachoka Chadema visa
@TBCLINICKYELA
@TBCLINICKYELA 7 күн бұрын
Tumesikia.
@salummbunga4167
@salummbunga4167 7 күн бұрын
Hivi ndugu yangu watu wawe nje ya mfumo halafu wasikamatwe???
@altonkanjolonga2380
@altonkanjolonga2380 6 күн бұрын
duuuh aiseeeeh!
@AgnesEphraim-jw6dv
@AgnesEphraim-jw6dv 6 күн бұрын
Wewe unaye sema tumuache mama yenu basi wewe ndiye unausika inauma sana mutu kuuwawa kikatili amewakosea Nini jamani
@AgnesEphraim-jw6dv
@AgnesEphraim-jw6dv 6 күн бұрын
Tanzania mnatishia wanachi uhuru uko wapi? Kama kilakukicha mara wametekwa mara mauaji na mengine memgi alafu unasema tumuache yeye kama Amiri Jeshi mkuu anatakiwa kutoa kauli hii inauma sana Bora angekufa kwa ajali
@shamimageta6651
@shamimageta6651 7 күн бұрын
Iyo gari aina ata kamela
@mohdhaji550
@mohdhaji550 7 күн бұрын
Sio kamela ni camera
@AbdallaMwagora-sm1rj
@AbdallaMwagora-sm1rj 7 күн бұрын
Maswali mazuri umeulizia Sasa kazi Kwa polisi kuunganisha Kila nukta.
@jabiraxmed7898
@jabiraxmed7898 6 күн бұрын
Hao ni watekaji ni watu wa serikali usalama wa taifa .police au wanajeshi hao ndio watu wasio julikana mbona jamani munashindwa kusema na kila mtu anajuwa
@methodiuskikoti5870
@methodiuskikoti5870 6 күн бұрын
Serikali izuie safari zote za Dar Tanga angalau wiki moja Ili hao wauaji waone aibu Kwa unyama walioufanya. Maana wanaharibu usalama wa taifa la Mungu.
@stanleysanga7758
@stanleysanga7758 7 күн бұрын
Mwendokasi una camera Hilo basi naamini Lina cctv camera
@josephjohn2114
@josephjohn2114 7 күн бұрын
Sielewi kwa nn dereva na boss wa tashrif mpaka sasa hawajakamatwa kusaidia polisi. Kama polisi hawajahusika bas kampuni ya basi imehusika. Kwa nn abiria atekwe nyie mkae kimya na kuendelea na safari.?
@SalimAbdallah-mi1wc
@SalimAbdallah-mi1wc 7 күн бұрын
Wewe kama Nani unaefundisha jeshi la polisi kazi yake?au umetumwa kuchafua watu?Watanzania Huu mda Ni kutulia Jambo lishatokea tuwanche wenye mamlaka wafanye kazi Yao mama kama mama kashasema anataka ripot kwaio Ni swala la mda tu mambo Yote yatawekwa adharani umemskia msimamizi mkuu Wa Tash baada ya tukio tu wao ndo wakwanza kuwafahamisha familia yake Kwa Jambo lilotokea Na kuwapa ushirikiano au umetumwa kuchafua mtu humu ndani
Фейковый воришка 😂
00:51
КАРЕНА МАКАРЕНА
Рет қаралды 7 МЛН
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Xzit Thamer
Рет қаралды 31 МЛН
GWAJIMA ATAJA watekaji, BILA UOGA Ataja MAJINAAAAAAAAAAA
13:23
MALAVIDAVI Kenya
Рет қаралды 140 М.