Viongozi vigeugeu | Huwezi kuwa na kauli mbili tofauti ndani ya miezi sita

  Рет қаралды 349,292

Josephat Gwajima RudishaTv

Josephat Gwajima RudishaTv

Күн бұрын

Пікірлер: 715
@bernardinaa7565
@bernardinaa7565 3 жыл бұрын
💪💪💪💪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Tanzania tumshukru Mungu Tuna mchungaji Gwajima🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪💪💪🇹🇿🇹🇿🇹🇿Mungu mlinde Gwajima
@patrickrobison7091
@patrickrobison7091 3 жыл бұрын
Amina
@melkizedekiwiliam5533
@melkizedekiwiliam5533 3 жыл бұрын
Hakika. Huyu ana moyo wa Magufuli haswaaa!
@blessingrenatus5921
@blessingrenatus5921 3 жыл бұрын
Amen
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 3 жыл бұрын
@@melkizedekiwiliam5533 mbona yeye hajafa kwa nini kama ana moyo wa magufuli
@NYAKANAZITVOfficial
@NYAKANAZITVOfficial 3 жыл бұрын
Amina
@haroubabuu1144
@haroubabuu1144 3 жыл бұрын
Gwajima 🔥🔥🔥 mm wa msikitini ila hapa nakukubali mzeee wa kanisani
@missmwayway4704
@missmwayway4704 3 жыл бұрын
Umeonaeee hatari xana Allah azidi kumpa Ujasiri na maisha marefu huyu Baba🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@haroubabuu1144
@haroubabuu1144 3 жыл бұрын
@@missmwayway4704 jamaa anaongea point ilawanajifanya 2 hawamuelewi
@missmwayway4704
@missmwayway4704 3 жыл бұрын
@@haroubabuu1144 Wanamuelewa xana sema wanajitoa ufahamu tu kwa vile wameshachukua pesa za Mabeberu yao hko na hawana point yoyote yakutudanganya Watanzania ......Ndo kwanza tunazidi kuwamshwa dadadekiiii 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
@ommygraphics4355
@ommygraphics4355 3 жыл бұрын
Sio wewe pekeyako kaka hata mimi mwenyewe namkubali sana huyu jamaa na farsafa zake aisee atusaidie hii vita ni kubwa.
@missmwayway4704
@missmwayway4704 3 жыл бұрын
@@ommygraphics4355 Inshallah 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@ashuramhando5285
@ashuramhando5285 3 жыл бұрын
Baada ya Magufuli ni wewe tumeletewa na ALLAH na Mungu akusimamie na akulinde 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@gjgtv8134
@gjgtv8134 3 жыл бұрын
Kiongozi wa kweli habadilishi msimamo wake kwasababu ya mazingira Asante Gwajima
@deusnzeran4752
@deusnzeran4752 3 жыл бұрын
Washirika wake waunde sungusungu wakumlinda gwajima
@sadalaramadhani104
@sadalaramadhani104 3 жыл бұрын
Gombea urais baba yetu mtetez wetu🙏🙏🙏
@omanabcd9249
@omanabcd9249 3 жыл бұрын
Utalamu aliufyata matakoni
@dorahy1579
@dorahy1579 3 жыл бұрын
Unaweza kusimama kama Independent Candidate wenye CCM na CHADEMA au Vyama vingine wakae na vyama vyao watu wamechoka na ujinga wa vyama vinavyouwa watu. Ita Chama Chako UTU WA MTU. (UWAMTU)
@erastuskajuna812
@erastuskajuna812 3 жыл бұрын
Haya! Gwajima plus Gwajima! What is next? Mashokolomageni yanaweza yakaja! Yabidi tumtangulize Mungu katika suala hili. Mungu ndiye kinga yetu imara
@naslee1010
@naslee1010 3 жыл бұрын
Nakubali mzee wangu kurudi nyuma mwiko twenzetuni nchi ya ahadi🙌🙌🙌
@sadalaramadhani104
@sadalaramadhani104 3 жыл бұрын
Nikwer askali wetu tunakutegemea baba tuvushe ndugu yetu 🙏🙏🙏
@zabronnyamba5939
@zabronnyamba5939 3 жыл бұрын
Safi sana mkuu hao viongozi wanatupereka vibaya kwa nitusipokuwa makini tutaangamiya
@fatumambwana7192
@fatumambwana7192 3 жыл бұрын
Japo Mussa hajatufikisha kanan lakn Mungu amemuinua Joshua.... Be blessed Magu mdogo.🙏🙏
@georgeshigela3643
@georgeshigela3643 3 жыл бұрын
Gwajima una maneno mazuri nafuatilia na ninapendezwa nayo, ahsante
@Manutdking-xf2kq
@Manutdking-xf2kq 3 жыл бұрын
Hapo nimekuoenda sana Gwajima. Shujaa kweli kweli. Mungu akulinde uwe salama tu.
@Manutdking-xf2kq
@Manutdking-xf2kq 3 жыл бұрын
Nimekupenda, sema kabisa.
@cidewashington670
@cidewashington670 3 жыл бұрын
Wewe Gwajimaaaaa asanteeeee sanaaaaaaa, ujumbe umewafikia Wana vigeugeu walio msahau Mungu kisa wanataka waende na Dunia inavyotoka
@Petro_classic1
@Petro_classic1 3 жыл бұрын
muhuni tu naikumbuka kauli yake ya itoshe tu kusema kwamba nimechukua fomu,aliwasaliti chadema na kwenda kwa watu aliowaita mijizi na lenyewe limekua jizi
@nuhubalandya9164
@nuhubalandya9164 3 жыл бұрын
Mi gwajima nakuona kama New Hero of Tanzania. Baba Walipue vimbele mbele wanaovuma na upepo
@amosmichael8389
@amosmichael8389 3 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana bishop endelea kusimamia ukweli
@mussampambichile8647
@mussampambichile8647 3 жыл бұрын
Gwajima na polepole milele tupo pamoja
@bartholomeomacha5215
@bartholomeomacha5215 3 жыл бұрын
BABA HALI SIO NZURI MAKANISA WANAZIKA WAAMINI WAO WENGI TOAUTI NA NYUMBA TUOMBE MUNGU PIA TUFATE USHAURI WA WATALAMU BABA TUOMBE SASA NA HUKU TUKIFATA WATALAMU HATA HIVO WATALAMU HAWA WALIWEKWA NA MUNGU
@danielbupimaly146
@danielbupimaly146 3 жыл бұрын
Kweli mkuu
@deusntobi1450
@deusntobi1450 3 жыл бұрын
Ccm watajuta kumpigia chapuo huyu alipaswa awe mpinzani kabsa. Watu namna hii hawezi kupendwa na watawala hasa wa ccm
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 3 жыл бұрын
Tena Gwajima ndio anaongea mambo ambayo wapinzani walipaswa wao kuwa wanayaongea . .. atoke CCM 2025 angie hata tadea amtoe ndumi la kuwili samia
@mashimbazephania3511
@mashimbazephania3511 3 жыл бұрын
Hakuna mpinzani mwenye akiri, kuna mpinzani anapinga chanjo? Au nawe unaota jpm ndo alkuwa namaono.
@sultanamour8501
@sultanamour8501 3 жыл бұрын
Sahau upinzani kushika dola tz mtakula mikwaju mpaka maji muite mma
@fatumajuma1157
@fatumajuma1157 3 жыл бұрын
@@whatisthetruth.8793 Hatapewa ubunge hata achaguliwe Lbda huwajui ccm na polic wao
@mohammedally2289
@mohammedally2289 3 жыл бұрын
Lakini chadema wao wako very towards vaccine
@peterdavid4230
@peterdavid4230 3 жыл бұрын
naanini tutavuka katika Jina la yesu tupo mikono salama Mungu awe nawe Askofu Gwajima
@williamkavishe397
@williamkavishe397 3 жыл бұрын
Hawezi kuwa kinywa Cha Mungu nabii wa uwongo Bali huyu Ni kinywa Cha lusifa shetani huyu
@fredkyara3278
@fredkyara3278 3 жыл бұрын
Safi sana Rais wetu mtarajiwa
@amanisanga2277
@amanisanga2277 3 жыл бұрын
Mungu awe nasi kabisa Mimi nipo pamoja na wewe mungu tubariki waja wako nipo nawe mchungaji
@floragordian4131
@floragordian4131 3 жыл бұрын
😆😆😆😆😆 nimempenda Sana huyu jamaa... Mtu akimwendea vibaya anamuumbua... Ukitaka kupambana naye lzma ujipange.
@aliusanthony9158
@aliusanthony9158 3 жыл бұрын
Gwajima, Mungu akulinde na akusaidie ufike sehemu yenye maamzi makubwa sana
@alphonceelias2295
@alphonceelias2295 3 жыл бұрын
MUNGU akiamini na kuchagua mtu jasiri na mwenye msimamo,piga kazi Gwajima tuko pamoja na wewe kwa maalfu,Mungu akutetee.safi sana!!!
@kanjanjamwimikes9228
@kanjanjamwimikes9228 3 жыл бұрын
...polen watanzania. .
@robertmgore3653
@robertmgore3653 3 жыл бұрын
Pamoja mkuu viongozi wengine wamekua kama kuku wa kisasa tangu jpm aage dunia
@emanueljoseph602
@emanueljoseph602 3 жыл бұрын
Watu wanafiki' mijitu imekubali chanjo ili mambo yao yaende
@awadhally1052
@awadhally1052 3 жыл бұрын
Kwel kabisa
@AA-pd4pz
@AA-pd4pz 3 жыл бұрын
Gwajima gombea urais na tizama kama utakosa.. Mimi ni muislam alhamdulillah na kura yangu itakwenda kwa Gwajima na nataka nimpende huyu mwamba kama nili yo mpenda magufuli
@carolynenekesa5198
@carolynenekesa5198 3 жыл бұрын
Asante Mungu kurudushia John Magufuli. Mbinguni tunaenda 🙏🙏🙏
@mch.deosinkala3120
@mch.deosinkala3120 3 жыл бұрын
Baba hongera,tanzania nzima tuna kusikia hadi mashambani na vijijini uku momba chitete. Nakuombea sana utufikishe nchi ya ahadi kaanani.
@chibutzy7245
@chibutzy7245 3 жыл бұрын
Mungu atakuwa nawee mzeee wangu nasi tupo nyumaaa yako kwa hakika utalindwaa
@mathayonyerera3144
@mathayonyerera3144 3 жыл бұрын
Umewaumbua kweli🤣🤣👍👍👍
@increaseknowledgetvonline5507
@increaseknowledgetvonline5507 3 жыл бұрын
Duuh, kazi ipo. Nyundo imepiga penyewe kabisa
@yohananasson8500
@yohananasson8500 3 жыл бұрын
Unatembea katika maana halisi ya Injili. INJILI MAANA YAKE NI HABARI NJEMA, Imani penye hofu, uzima penye kifo, haki penye dhambi, that's Gospel We are many Askofu & Dr Gwajima, we thank God for you. KANISA LINASONGA MBELE NA MILANGO YA KUZIMU HAIWEZI KULISHINDA
@bensonbenezeth
@bensonbenezeth 3 жыл бұрын
Asante gwajima wanakusikia nadhani, ndumilakuwili. Nukuu ya JPM, Tanzania atuna Baba wala mama, Tanzania tutajitetea wenyewe, tatizo ni kujipendekeza kwa wazungu.
@deusnzeran4752
@deusnzeran4752 3 жыл бұрын
Ndo tukasema serikali ikishikwa na wachaMungu wachungaji ila siyo kila mchungaji wachaguliwe na kupigiwa kura na mashehe nao siyo wote wale wenye misimamo ya kiMungu tu Tanzania imepona
@emmanuelbonaventura4258
@emmanuelbonaventura4258 3 жыл бұрын
Ubarikiwe. Tujiamini waafrika
@severiningungulu1290
@severiningungulu1290 3 жыл бұрын
Asante gwajima tuko nyuma yako
@godsonmanasse9027
@godsonmanasse9027 3 жыл бұрын
Wooo MUNGU akulinde Baba yetu Wewe nikinywa chaMungu
@jarukhan_tz1326
@jarukhan_tz1326 3 жыл бұрын
Safi sana gwajima, kazi nzuri sanaaaaaaaaa, umenifurahishaaaaaaaa
@danielnangonga4256
@danielnangonga4256 3 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu Kiukweli una msimamo na watanzania tuko nyuma yako 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿✊
@rosepascalmichael6626
@rosepascalmichael6626 3 жыл бұрын
Gwajima mungu akulinde na uishii miakaa miaaaa👏👏👏👏
@rubenbanga1747
@rubenbanga1747 3 жыл бұрын
safi sana kiongozi bora lazima awe na msimamo katika jambo lolote
@imanimgaya2478
@imanimgaya2478 3 жыл бұрын
Wewe ni Simba wa kabila la Yuda. Wapo viongozi kama wewe, Ila wanaogopa. Ila mioyoni mwao wanakutia moyo wewe mwenye msimamo usioyumba uendelee kuwasemea watanzania. Hongera sana
@castobenjamin4074
@castobenjamin4074 3 жыл бұрын
Tungepata Viongozi wa5 tu wenye msimamo,maarifa na Ujasiri kama Gwajima Tanzania yetu ingekuwa mbalii sana!!
@geradmmuya5062
@geradmmuya5062 3 жыл бұрын
0
@TamuzaKale
@TamuzaKale 3 жыл бұрын
@@geradmmuya5062 Ha ha ha ha... Alisema hawezi kuwa MBUNGE wala WAZIRI kwa sababu yeye ni mkubwa kuliko WAZIRI. Leo? Ni MBUNGE!
@katemachanda7035
@katemachanda7035 3 жыл бұрын
@@TamuzaKale Kwa hiyo unasemaje sasa??? Unachoongea ww na anachoongea Gwajima ni vitu viwili tofauti, Moja ya sifa ya ustawi ni kuenenda na mabadiriko. Mabadiriko yasiyoleta ustawi na kwa uwazi kabisa yanaonekana yanakwenda kuharibu zaidi ya kujenga, mabariko hayo yanatokana na nafsi iliyokosa msimamo, inayoyumbishwa ili kifurahisha watu huku moyoni akijua anakosea, hicho ndio anasema Gwajima.
@omanabcd9249
@omanabcd9249 3 жыл бұрын
Kabisa sio hao vgeu geu wazri wa afya nilijua atajuuzuri
@TamuzaKale
@TamuzaKale 3 жыл бұрын
@@katemachanda7035 Unaongea kama mtot vile. Hebu jaribu kuvaa viatu vya yule mama wakati wa Magu. Hata Gwajima mwenyewe wakati wa Magu hakuwa mlopokaji. Unakumbuka kilichomkuta? Tunakuwa wasahaulifu mno!
@kataninyido962
@kataninyido962 3 жыл бұрын
Safi sana mtumishi wa Mungu nimekukubali san
@abdalahally3113
@abdalahally3113 3 жыл бұрын
Ongea ukweli kabisaa ngwajima na mwenyezimungu akulinde na walio muuwa magufuli ili wapore inchi yetu
@lailmeeea4908
@lailmeeea4908 3 жыл бұрын
Nakupenda Mungu akulinde ❤❤❤❤
@felixmhando1733
@felixmhando1733 3 жыл бұрын
Hapa sasa nazidi kuamini kweli Mungu anavyombo vingi. Kamchukua anko magu kamuinua gwajiboy. Hata usipokuwa raisi watz wanyonge wenye akili zao watakusikiliza tu. BIG UP SANA.
@salmamrembo4360
@salmamrembo4360 3 жыл бұрын
Waoooooooooooo gwajima wetu kiongozi wetu mtetezi wetu tunakuunga mkono sana mungu akulinde
@richarddomi4517
@richarddomi4517 3 жыл бұрын
Wewe mwenyewe kigeugeu waumini wanataka neno la mungu siyo siasa umezingua
@aminasittusaid3830
@aminasittusaid3830 3 жыл бұрын
Hilo ndo neno la Mungu sasa, kwa ajili ya afya za waumini wake pamoja na wasio waumini wake. Dunia umekuwa kama kijiji hiyo chanjo mnayo hamasishwa kuchanja sasa hivi haina faida tena maana kirusi kimegeuka na hakidhuriki na hiyo chanjo tena. Work done is equal to zero.
@mchezakamaliog265
@mchezakamaliog265 3 жыл бұрын
@@aminasittusaid3830 yeye kafuata nini huku mtandaoni? Kama ni neno analolitaka yeye kwann asiende kwenye nyumba za ibada? Sisi kwetu hilo ndilo neno tulitakalo kwa kipindi hiki
@lucyntajames2392
@lucyntajames2392 3 жыл бұрын
Najivunia sana kuzaliwa Tanzania,hakika pastor gwajima unatutia moyo sana katika safari iliyoko mbele yetu,ww ni shujaa wa ulimwengu ,huwa najiulizaga Sana ushujaa ulionao cjapata kuona kama ww,hakika Mungu yu pamoja nawe,tutie nguvu baba yetu maaan dunia inaelekea mwsho,tuvushe yordani in Jesus name,Amen
@revocatusreuben4605
@revocatusreuben4605 3 жыл бұрын
Wew noma tunaviongozi vilaza Sana tatizo sijui umaskini wa akili , nileteeni gwajma, nileteeni Gwajima, nileteeni Gwajima maneno yako yatabaki juu JPM
@geofreywayesu5638
@geofreywayesu5638 3 жыл бұрын
Amen Mungu na Baba Yetu akubark
@gerardhero1197
@gerardhero1197 3 жыл бұрын
GOMBEA URAIS MKUU 2025 please 🙏🏽🙏🏽
@hatibhatib5760
@hatibhatib5760 3 жыл бұрын
Haitatokea
@modestapeter2997
@modestapeter2997 3 жыл бұрын
@@hatibhatib5760 inawezekana why not?
@viousa
@viousa 3 жыл бұрын
@@modestapeter2997 sio mkatoliki
@junioryasin5306
@junioryasin5306 3 жыл бұрын
@@viousa akil ksoda
@riziquiebravvy7030
@riziquiebravvy7030 3 жыл бұрын
Na Mungu ampitishe
@timbukwa9771
@timbukwa9771 3 жыл бұрын
Baba Askofu nitafarijika sana ukiwaambia maaskofu wenzako na mashekhe wenye msimamo kama wako yafanyike maombi maalum kwa ajili ya Taifa letu!! tunaangamia kwa kuongozwa na uoga mioyoni mwetu,,,,
@edwardpius3648
@edwardpius3648 3 жыл бұрын
Dah hongera sana ukweli humuwek mtu awe huru ila tetea nafsi za watanzania
@pascal2415
@pascal2415 3 жыл бұрын
Weeee safi kamanda
@yakobomchete820
@yakobomchete820 3 жыл бұрын
teach people on what our lord needs and not politics ya kaisali apewe na ya Mungu mpe Mungu
@paulmichael6100
@paulmichael6100 3 жыл бұрын
Pumbavu ya kaisari yapi au na wewe umekula hela fara wewe si ukachanjwe msenge wewe tuachie baba yetu
@jumannemaagisa9897
@jumannemaagisa9897 3 жыл бұрын
Wee mwamba unafaa hata juwa Rais wa Dunia nzima nashangaa mafisadi wanao kushambuliwa sasa wee na Rafiki yangu Hafury polepole mubarikiwe sana
@janethpallangyo2633
@janethpallangyo2633 3 жыл бұрын
Nakupenda sana Ngwajima wewe ni kiongozi wa wananchi kwakweli.
@enocknzao2184
@enocknzao2184 3 жыл бұрын
Safi sanaa kwa kazi nzuri,,TunKuamin
@lucylghticharles8284
@lucylghticharles8284 3 жыл бұрын
SEMA baba maana wanatuona sisi nimazombi tunaakili sana
@maimunashaban9538
@maimunashaban9538 3 жыл бұрын
Sawa sawa
@omanabcd9249
@omanabcd9249 3 жыл бұрын
Utalam aliufyata matakono
@nativeinfotv9620
@nativeinfotv9620 3 жыл бұрын
Ameeeeeeeeeen imekuwa baba.lazima tufike nchi ya AHADI tu.
@varmandavarmtv8999
@varmandavarmtv8999 3 жыл бұрын
Ccm Mmeukwaa mmekoka Moto na Moto Unawawakia Gwajima Mungu akutangulie Mtumishi
@baltzrluus3287
@baltzrluus3287 3 жыл бұрын
nashauri muwe mnaweka video fupifupi walau za dakika 10 hadi 20 ili kurahisisha utazamaji, kwa sababu wakati mwingine sio rahisi kuangalia video masaa mawili mfululizo.
@trillhappybeautypoint9874
@trillhappybeautypoint9874 3 жыл бұрын
Tanzania tunawatumishi wa Mungu ambao ni noumaaaaa thnx Jesus
@focuseric4109
@focuseric4109 3 жыл бұрын
Huyu ni mtu mwenye uwezo mkubwa wakujenga hoja na ku defend,na nimtu anaeongea kitu bada ya kukifuatilia sana na kukichunguza!hii nimara yatatu kumsikiliza huyu jama uwezo wake nimkubwa sio mtu wakuparamia anauwezo mkubwa wakumuumbua mtu kwasababu hua anaongea vitu anavovijua na sio kwakubahatisha.hongera gwajima.mungu akubariki na akurinde!unaipenda nchi yako nimzalendo sana
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 3 жыл бұрын
Mungu Asante kwa kutuletea huyu mtu Tanzania,,,AKILI KUBWA SANA
@themoon2085
@themoon2085 3 жыл бұрын
Yaan Asante mungu kwa kutupatia mchungaj gwajima ❣️
@ommygraphics4355
@ommygraphics4355 3 жыл бұрын
Nakukubali sana kiongozi tujaze matumaini Mwenyezi Mungu akusaidie akutie nguvu kutupambania
@ustadhomaribinjuma5023
@ustadhomaribinjuma5023 3 жыл бұрын
Mimi ni muislam tena ni ustadh lkn kwa hili simuamini shekh yoyote wa bakwata niko pamoja na ww askofu nakukubali sana!!
@ommygraphics4355
@ommygraphics4355 3 жыл бұрын
@@ustadhomaribinjuma5023 hata mimi shekhe wangu namfuatilia sana huyu jamaa. Mashekhe wetu wametulia tu dah Allah atusaidie
@aminasittusaid3830
@aminasittusaid3830 3 жыл бұрын
@@ommygraphics4355 Gwajima yupo vizuri sana maana anasimamia anachokiamini. Sheikh Rusaganya nae yupo vizuri anapinga watu kuchanjwa.
@ommygraphics4355
@ommygraphics4355 3 жыл бұрын
@@aminasittusaid3830 Alhamdulillah Allah awatie nguvu inshaallah
@cleofasladislaus2177
@cleofasladislaus2177 3 жыл бұрын
Waambie vizuri mtu wa mung Taifa linaenda pabaya
@lameckchahoa3410
@lameckchahoa3410 3 жыл бұрын
AMEN Baba yangu
@kirumaheritagetz3465
@kirumaheritagetz3465 3 жыл бұрын
Mwamba nakukubali kinoma
@riziquiebravvy7030
@riziquiebravvy7030 3 жыл бұрын
Baba Asante ww no jasusi wa mbinguni
@dtechcollege4662
@dtechcollege4662 3 жыл бұрын
Really appreciate to you pastor tatizo viongizi wengi Ni opportunities matumbo njaa
@frankmtawa3817
@frankmtawa3817 3 жыл бұрын
I just had to subscribe to this channel out of love for this Man😁❤️... Sipendi watu vigeugeu😐😾
@castershuli5566
@castershuli5566 3 жыл бұрын
Wewe ndo umebaki kwenye nafasi ya Joshua twende baba na kupenda bure Mungu akutunze na kusudi lake litimie
@kikongajoel5172
@kikongajoel5172 3 жыл бұрын
Mungu akubaliki Sana
@wazirimaulidu6198
@wazirimaulidu6198 3 жыл бұрын
Kweli Mungu Akue Kiongozi
@jokhamohammed976
@jokhamohammed976 3 жыл бұрын
M/mungu akupe maisha marefu uko kwenye kweli wewe sio kigeugeu Kama wengine wanavyo cheza na akili zetu
@atufigwegeisilaeli5258
@atufigwegeisilaeli5258 3 жыл бұрын
Mungu akunyime nn gwajim aisee mungu akuzidi shie kipawa mbelee
@sniper93999
@sniper93999 3 жыл бұрын
🔥🔥GWAJIMA and POLE POLE insha Allah mtakumbukwa siku moja 🔥🔥
@missmwayway4704
@missmwayway4704 3 жыл бұрын
Gwaji boy 🤲🤲🤲🤲🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@jacobstephanonaziadi4724
@jacobstephanonaziadi4724 3 жыл бұрын
Bravo bravoo long life mjomba nakukubali sanaaa
@happynesssamwel2917
@happynesssamwel2917 3 жыл бұрын
Uko vizuri sana mzee
@masoudeid4259
@masoudeid4259 3 жыл бұрын
Gwajima versus Gwajima
@merrymsengi54
@merrymsengi54 3 жыл бұрын
Mungu awatunze watumishi Wa Mungu
@emmyngoi2997
@emmyngoi2997 3 жыл бұрын
Uko vizuri baba mungu akulinde
@josephsimiyu5211
@josephsimiyu5211 3 жыл бұрын
MUNGU akulinde inje Gwajima ndani Dr Magufuli
@dottoisaac6733
@dottoisaac6733 3 жыл бұрын
Gwajima na polepole ndio roho pekee za magufuli zilizosalia. Hata wakiwanyamazisha mawe yatapiga kelele.
@focuseric4109
@focuseric4109 3 жыл бұрын
Ndugu watanzania wazalendo,huyu sio mtu wakuchezea na watu wa aina hii kwa mataifa ya africa niwachache,nimeanza kumfuatilia speach zake takribani wiki mbili ata kanisa lake sijui liko wapi lkn huyu mtu ni hazina kubwa kitaifa kwa watanzania wazalendo,nia ajabu kuona nchi ya Rwanda ikitengeneza simu smart phone na magari wakati tz ata vijiti vinatoka china!!lkn tunakila kitu,anaetuvuruga tanzania ni kikwete ndie kinara wakundi la mafisadi na anapoona wenzake wanafanya vizur anaingia wivi na kuvuruga kwa njia anazozijua.
@fredkyara3278
@fredkyara3278 3 жыл бұрын
Kweli kabisa kaka kikwete ni kirusi hatari sana kwenye nchi yetu ya tanzania ni jasusi hatari sana la mabepari eti sisi ni ccm wazawa hatusumbuliwi.na.ccm wakuja ikichama cha ccm nicha mamaako? Kwanini hufi fisad mkubwa wewe familia inateketeza vijana na madawa ya kulevya. Yaani hii familia niyalaaana tupu Mungu ailaani litokee tetemeko waangamie woote familia nzima mwishie Jehanam mafreemasoon nyie
@jamespeter882
@jamespeter882 3 жыл бұрын
Askofu mm nakuelewa nipo nyuma yako Mungu wako atakua Mungu wangu......
@franksimon2406
@franksimon2406 3 жыл бұрын
Asant kiongoz tunakutegemea sana
@barakayona6540
@barakayona6540 3 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi WA MUNGU Nena uokoe watanzania
@methewmathayo7548
@methewmathayo7548 3 жыл бұрын
Sikutaka kukoment ila kwenye hili swala la viongozi vigeu geu hili lenyewe ni sawa kabisa ndiyo style ya viongozi wengi sasa hivi wanalinda ajira au kumfurahisha mtu badala ya kuwafanyia kazi wananchi
@maumangunda1111
@maumangunda1111 3 жыл бұрын
Upo juu bro🙏🙏🙏
@chrisshonga
@chrisshonga 3 жыл бұрын
Ndio maana nampenda sana MUNGU, saa uliyokuwa unaingia bungeni hakuna aliyejua hesabu za MUNGU, Naamini MUNGU amekufufua kwa ROHO ya MAGUFULI tena, I can't wait to see you one day to be a leader and president of our beautiful country! Hao viongozi wenye tamaa mbele na kutaka kupotosha watu ni kichefuchefu na matapiko matupu
@milindiibrahim8285
@milindiibrahim8285 3 жыл бұрын
Kazi iendeleye. Wewe ndo unabaki natuosha baada ya MUheshimiwa hayati JPM. DRCongo tunakupenda sana
@pendomarco8928
@pendomarco8928 3 жыл бұрын
Jamani kweli viongoz wa Tanzania vigeu Kama kinyonga, Gwajima baba kwa pamoja tuliombee taifa letuuuu
@BarakaWaya
@BarakaWaya 3 жыл бұрын
Tunasimama na msimamo wako Tunasimama na msimamo wa Hayati Rais wetu Magufuri Tunasimama na Mungu
@denisrwakatare7086
@denisrwakatare7086 3 жыл бұрын
Hakika nimekuelewa🙏🏽🙏🏽
@madamloveness7274
@madamloveness7274 3 жыл бұрын
Gwajima zamani nilikuwa sikuelewi Ila Sasa nakukubali Sana una msimamo thabiti.
@puttenyanthony9284
@puttenyanthony9284 3 жыл бұрын
Huyu ndo raisi wa jamuhuri ya Muungano wa tanzania tuliyebaki nae.
@dserikushoka3024
@dserikushoka3024 3 жыл бұрын
😭😭😭😭Magufuli amezaliwa upya
@kallandoking6561
@kallandoking6561 3 жыл бұрын
Kanisa tamu sana ni siasa kwenda mbele yaani ni mambo ya Taifa ti!! Kama MUSA vile kutoa watu misri
@Kakabenard_tz
@Kakabenard_tz 3 жыл бұрын
Season Hii Tamu Sana omba irushwe startimes iwe kama gangaa nakwambia hatabanduka mtu
@nickkakumbi9567
@nickkakumbi9567 3 жыл бұрын
Uko vzr Sana kaka.gombea urais uone wingi wa kura utakazopata 2025..plz gombea..
Safari hii ukileta mchezo unakufa | Atoa tahadhari kwa wanajidai wanachanja
11:59
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 278 М.
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 3,7 МЛН
Самое неинтересное видео
00:32
Miracle
Рет қаралды 2,3 МЛН
Apple peeling hack @scottsreality
00:37
_vector_
Рет қаралды 125 МЛН
Фейковый воришка 😂
00:51
КАРЕНА МАКАРЕНА
Рет қаралды 6 МЛН
MUNGU AKIKUPA KITU AMEKUPA HAWEZI KUKUNYANG’ANG’A | ASKOFU JOSEPHAT GWAJIMA
21:36
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 9 М.
Huu ndio ukweli kuhusu chanjo zinazopigwa nchini | Maswali magumu yaliyokosa majibu
9:24
USIRUKIE DOZI AMBAYO HAIKUHUSU NA USIANZE KUHOJI "PST MGOGO
15:04
Pastor Daniel Mgogo
Рет қаралды 281 М.
Je, unajua kitakachotokea baada ya watu kuchanjwa? Ushauri mwingine kwa Rais huu hapa
13:38
Ukiujua ukweli huu Hata simba hawezi kukufanya chochote!! Askofu Gwajima
19:02
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 53 М.
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 3,7 МЛН