Askofu Ngonyani tunabarikiwa sana Mafundisho yako. Barikiwa sana Mtumishi Aurelian
@nshomajuke25532 жыл бұрын
Amen amen
@emmanuelmakalilo47233 жыл бұрын
Amen
@markodaniel26623 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@madpeoplezzzz5121 Жыл бұрын
Mpinga Kristo hapa @ this current time ni wewe pamoja na kibonge "nutty professor" na Netanyau the Terrible........😊
@fidelmaheke28913 жыл бұрын
Ubarikiwe Bishop kwa somo hili,,, kwenye jumbe zako kwa kweli huwa nabarikiwa sana
@josephchuma14063 жыл бұрын
Nimesubir Sana hii mtumish
@fidelmaheke28913 жыл бұрын
Pia tunaomba utufungulie vyuo vya biblia mikoani na wilayani tunahitaji shule yako
@haningtonkabuta93873 жыл бұрын
Truth Bible Institute kinakuhudumia popote ulipo. Chuo hiki kinatoa elimu kwa njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na ELIMU MASAFA. Yaani hukohuko mkoani unasoma bila kuathiri shughuli zako. Kwa maelezo zaidi wasiliana na Askofu Ngonyani.