🅻🅸🆅🅴 VITA YA UCHAGUZI CHADEMA ,WAOMUUNGA MKONO TUNDU LISSU WANAJIBU MAPIGO MUDA HUU

  Рет қаралды 17,597

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 95
@ShamsuNgereza
@ShamsuNgereza 7 сағат бұрын
Safi sana Viongozi LISSU NA HECHE.
@JacksonKivuyo-b1v
@JacksonKivuyo-b1v 7 сағат бұрын
Safi sanasana makamanda lisulisu✌️
@ThomasMwadia
@ThomasMwadia 7 сағат бұрын
Lisuuuuuu
@mpinabaharia2247
@mpinabaharia2247 6 сағат бұрын
Napenda sana Mwenezi anavyojieleza. Tone yake inaonesha ni kiongozi mzuri kwa siku za usoni
@khalidmamdadi1072
@khalidmamdadi1072 5 сағат бұрын
Lisu juuuuuu🎉🎉🎉
@barryrioba3934
@barryrioba3934 8 сағат бұрын
LISSU ☑️ HECHE ☑️
@philipongenzatv
@philipongenzatv 8 сағат бұрын
Lisu kashashinda
@ufunuokihongosi4483
@ufunuokihongosi4483 7 сағат бұрын
Lisu juu
@JohnTarimo-y8r
@JohnTarimo-y8r 8 сағат бұрын
Pamoja sana makamanda tuko na Lisuuu.
@onesmokaziganya9133
@onesmokaziganya9133 8 сағат бұрын
Mko sahihi ,mbele Tundu Lisu ,Heche, Mahinyila,Lema.
@Erik-kj5no
@Erik-kj5no 7 сағат бұрын
Ni kweli kabisa mkimchagua mbowe ambaye ni ccm B jueni kwamba tutawakimbia hatutaiunga mkono chadema Tena na chama kitakufa kama ilivyo NCCR MAGEUZI kama mnabisha leteni mbowe muone
@SeverinepauloPeter
@SeverinepauloPeter 6 сағат бұрын
Sauti ya wengi ni sauti ya mungu.lissu lissu
@khalidmamdadi1072
@khalidmamdadi1072 5 сағат бұрын
Kasongo must Go
@ufunuokihongosi4483
@ufunuokihongosi4483 7 сағат бұрын
Nihaki ya kila mtu kutoa maoni na kutangaza unamuunga mkono nani ..sio dhambi kumuunga mkono Lisu au mbowe ila kwasasa Lisu ndo chaguo la wananchi na wanachama
@Erik-kj5no
@Erik-kj5no 7 сағат бұрын
Maneno mazuri sana mwenyekiti mtu ambaye hataelewa basi ajue kaliangamiza Taifa na yeye mwenyewe
@salama1113
@salama1113 8 сағат бұрын
Msema kweli anaonekana msariti ila mpenda rushwa ndo anaonekana mfia chama😂😂😂
@barryrioba3934
@barryrioba3934 8 сағат бұрын
LISSU ☑️ HECHE ☑️ MBOWE ❌ WENJE ❌
@ShamsuNgereza
@ShamsuNgereza 7 сағат бұрын
Kweli kabisa tunataka LISSU na HECHE. Tumewaagiza mmetekeleza
@Peterchipemba
@Peterchipemba 8 сағат бұрын
Lissu kwa kwer mwee!!
@paskaziakinyondo2811
@paskaziakinyondo2811 3 сағат бұрын
🙏👍
@ufunuokihongosi4483
@ufunuokihongosi4483 7 сағат бұрын
Lisu ni juu tu
@albinoentreprises2176
@albinoentreprises2176 8 сағат бұрын
"The moment the Power of Love Overrules the love of Power, the World will know PEACE" MAHATMA GHANDI
@waziradam2794
@waziradam2794 Сағат бұрын
Veri gudi Saa ✌️
@AweMagdalena
@AweMagdalena 7 сағат бұрын
Lisu juu lisu ni chaguo sahihi kwa mabadiliko
@FabianJohn-z5z
@FabianJohn-z5z 7 сағат бұрын
Msipuuze chaguo la wengi lisu na heche ni watu sahihi sana kwa siasa za sasa
@SeverinepauloPeter
@SeverinepauloPeter 5 сағат бұрын
Tundu kaifanya kampuni ya tigo imechanganyikiwa mpaka inajiita Yas
@elishajohn9660
@elishajohn9660 5 сағат бұрын
Mbowe huwa anapenda kusema sauti ya wengi ni sauti ya Mungu kwani hasikii hizi sauti za wengi
@melch3097
@melch3097 7 сағат бұрын
Ticket ya tundu lisu kwenda Belgium iko tayari
@thadeygalahenga9517
@thadeygalahenga9517 6 сағат бұрын
Mbowe must go
@melch3097
@melch3097 7 сағат бұрын
Hivi lisu akishinda itakuaje maana wafuaai wake hawaamini sanduku la kura. Kwhio itakua kila uchaguzi, ni fujo
@ufunuokihongosi4483
@ufunuokihongosi4483 7 сағат бұрын
Lisu anatosha
@waziradam2794
@waziradam2794 Сағат бұрын
Ndg Boniegg upooo?
@jacobsamgabo8045
@jacobsamgabo8045 5 сағат бұрын
Kusema bila ushahidi ni kulopoka
@johnnzumbe
@johnnzumbe 6 сағат бұрын
Ni Wakati wa Mabadiliko
@jetymagereja4058
@jetymagereja4058 6 сағат бұрын
saVIMBII hayupo du😂
@barryrioba3934
@barryrioba3934 8 сағат бұрын
MBOWE ❌ pumzika MBOWE ❌ pumzika
@PaschalBoi-z8h
@PaschalBoi-z8h 4 сағат бұрын
Tunamtaka lisu kuwa mwnykt
@JacksonMbites
@JacksonMbites 9 сағат бұрын
❤❤❤❤❤
@laupetpet7779
@laupetpet7779 6 сағат бұрын
Mbowe ni ccm asiwapotezeeni muda
@johnsinyinza7450
@johnsinyinza7450 7 сағат бұрын
Kama mumekura lushwa mleteni mbowe.hamtaokota kiti hata kimoja. Hata wanasheria wote wapo kwa lissu.
@ALLENMSHAMBA
@ALLENMSHAMBA 8 сағат бұрын
Lisu anatosha Kwa upinzani. Mbowe kaa pembeni Kwa Sasa hutoshi.
@melch3097
@melch3097 7 сағат бұрын
Haya mazingira yametengenezwa kila mtu kujiona ni mkubwa, ni mabaya, matokeo yake hata nyie viongozi hamtaheshimiwa
@marynsongo2222
@marynsongo2222 8 сағат бұрын
😊
@ShamsuNgereza
@ShamsuNgereza 7 сағат бұрын
Kweli tumekutuma
@uredmwasembo8579
@uredmwasembo8579 7 сағат бұрын
Lisu na lema inatosha ongeleni makamanda
@patmercysecuritycompanylim5689
@patmercysecuritycompanylim5689 6 сағат бұрын
TAL anatisha
@ufunuokihongosi4483
@ufunuokihongosi4483 7 сағат бұрын
Lisu ndo mpango mzimaa hamna namna
@MarkMfoi
@MarkMfoi 8 сағат бұрын
Mbowe kwanini usikubali mapema?
@jamesrobare522
@jamesrobare522 6 сағат бұрын
Press zenu hazitasaidia tafuta kura halali.
@NdeshaPaul-uz9bw
@NdeshaPaul-uz9bw 7 сағат бұрын
Ni watu mashuhuri sana ila baada ya kuchagulieajeeeeeeeeer?
@MandabaMkubwa
@MandabaMkubwa 7 сағат бұрын
Nipekee lisu atalusha kamba ngumu huku shimoni
@tzonespices9734
@tzonespices9734 8 сағат бұрын
Wajumbe wapiga Kura kuweni making kukinusuru chama msipo mchagua Tundulisu chadema itakua story kama ilivyo TLP. Cuf. Hakuna itakua hivyo. Lisu na heche kuweni making Mimi c mpiga Kura wala c mwanachama ni mshabiki tu ila kuweni making kama mnataka chama kiendelee. Kama ni peda kuleni lakini msijisahau Lisu.
@godfreymushi6966
@godfreymushi6966 8 сағат бұрын
Tupa kule bonge 😂😂😂😂
@tumainikibona5252
@tumainikibona5252 7 сағат бұрын
Tuko na lissu japo sio wanachama
@wilsondotto9332
@wilsondotto9332 8 сағат бұрын
Shida vijana wako wachache Wanaoenda kupiga kura, wanawake ndo wasaliti na wanahitaji viboko tu
@johnsinyinza7450
@johnsinyinza7450 7 сағат бұрын
Hamuelewi kipi . Lisu ni jasili hata nje ya taifa letu. Mbowe mwoga ni mwoga hawezi kutamka chochote mbele ya rais ccm niwanufaka na katiba.usitegemee watakupa katiba mpya..
@SeverinepauloPeter
@SeverinepauloPeter 6 сағат бұрын
Ni mjinga pekee yake atatumiya akili Ile Ile ya kufikiri. only a fool can repeat the same kind of thinking.
@beinafuu6219
@beinafuu6219 8 сағат бұрын
Mbona hamkujipanga mnabishana nan hanze.mqaka huu hamjaweka mgombea wa serikali ya mtaa ub.
@tztanzania2262
@tztanzania2262 7 сағат бұрын
Lisu+heche✓✓✓
@shemsewando1444
@shemsewando1444 8 сағат бұрын
YAANI MMEKUWA WASEMA OVYO KAMA BABA YENU LISUU.
@ufunuokihongosi4483
@ufunuokihongosi4483 7 сағат бұрын
Mbowe tapeli sana
@somagroupafrica1231
@somagroupafrica1231 7 сағат бұрын
Mbowe Mitano tena
@Mahonda8080
@Mahonda8080 7 сағат бұрын
Unataka afie kiunoni siyo
@NdeshaPaul-uz9bw
@NdeshaPaul-uz9bw 7 сағат бұрын
Acheni kujidanganya kwa maneno mengi.
@emmapaul1766
@emmapaul1766 6 сағат бұрын
Mkundu wa mbowe wewe anajidanganya mamako
@ufunuokihongosi4483
@ufunuokihongosi4483 7 сағат бұрын
Mbowe mwizi fisadi tapeli
@beinafuu6219
@beinafuu6219 8 сағат бұрын
Miaka 21 bado unataka.5 jumla 26.bado utasema unataka 5 tena 31 duh.
@wilsondotto9332
@wilsondotto9332 8 сағат бұрын
Tuko pamoja
@melch3097
@melch3097 7 сағат бұрын
Lisu hawezi shida, nyie sio wapiga kura, hamtaki hameni chama
@emmapaul1766
@emmapaul1766 6 сағат бұрын
Unafilwa
@ufunuokihongosi4483
@ufunuokihongosi4483 7 сағат бұрын
Mbowe mtoa rushwa
@Gerald-l6l
@Gerald-l6l 8 сағат бұрын
Pumbavu zenu tukutane kwenye debe acheni makelele
@ufunuokihongosi4483
@ufunuokihongosi4483 7 сағат бұрын
Mbowe alishatuuza Kwa ccm
@melch3097
@melch3097 7 сағат бұрын
Ondoka chadema
@shemsewando1444
@shemsewando1444 8 сағат бұрын
Mtapata aibu sana, kweli alivyo baba ndivyo watoto wake walivyo,........mlikosea sana kumchafua mbowe uli mpendwe nyie, hiyo ni roho mbaya, HAMTAFANIKIWA KAMA ROHO YA MUNGU IISHIVYO, , mlitakiwa kuuza sera sio kutukana watu,....wengi tungemuunga mkono lisu... Lakini baada ya kuona mbowe ananyanyaswa na kuonewa na vifaranga vyake....Tukasema hapana......hata kama mkimtukana mbowe...HAMTAFANIKIWA KAMA ROHO YA MUNGU IISHIVYO, nyie wenyewe mshakula rushwa....MLIKOSEA SANA KUANZA KUMTUKANA MBOWE....mimi mwenyewe niliingia chadema kwa treni ya lowasa.....nilivyoona uonyoooo wa lisu na lema ktk maneno nikasema bora kurudu ccm......
@IsayaKamomonga
@IsayaKamomonga 7 сағат бұрын
Wewe ni nani?!!! Tembea mbele.
@ufunuokihongosi4483
@ufunuokihongosi4483 7 сағат бұрын
Mbowe ni tapeli mwizi fisadi
@AnociathaChuwa-cb5nk
@AnociathaChuwa-cb5nk 6 сағат бұрын
Uchunge ulimi wako Na uwe mstaarabu Unaweza kuthibitisha wizi wake Au utapeli wake?
@ramahkesh9360
@ramahkesh9360 8 сағат бұрын
CHAMA GANI KILA MBWA AKISHIBA TU ANAITISHA PRESS, SHENZI WAKUBWA NYIE 😂😂 KILA MTU KAMBALE HAKUNA WAKUBWA WALA WASEMAJI WA CHAMA KILA MTU NI MKUBWA😂😂😂
@melch3097
@melch3097 7 сағат бұрын
Yaani huu lisu, amekiharibu chama, na wasio kua na hakili wanadhani anafaa
@Goofyplayz-fj3ce
@Goofyplayz-fj3ce 6 сағат бұрын
Usiogope. Kazi ya chama ni kupiga domo! Hizi press zinaitwa endorsement, yaani kuunga mkono sera fulani. Ukikaa kimya hutajulikana sera na maono yako ni yapi. Watu hawatajua kwanini wakuunge mkono au wasikuunge mkono!
@melch3097
@melch3097 7 сағат бұрын
Mbowe 5 tena
@KishiwaMaganga-g1r
@KishiwaMaganga-g1r 8 сағат бұрын
Pimbi nyie mmekisadia nn chama mnamkataa mbowe
@makelemohuya2723
@makelemohuya2723 8 сағат бұрын
Wewe ndoo pimbi na nkurunzinza wako mpuuzi, nyani kasoro mkia Wewe
@saidybhoky-lb7hg
@saidybhoky-lb7hg 8 сағат бұрын
tatz kachoka waliomzunguka ndy machawa lisu anashinda kwa kishindo
@HusnaSefu-f3y
@HusnaSefu-f3y 7 сағат бұрын
Pimbi mwenyewe huyo mjinga wenu kapoteza watu wengi nimesikiliza jinsi alivyo potea Ben sanane,pia alivyo potea Soka kijana mdogo kabisa,huyo kenge wenu Mbowe anachekelea tu,lakini pia ananufaika kwenye chama yeye na familia yake,pamoja nanyie mmbwa wake tu ache ni upuuzi
@laupetpet7779
@laupetpet7779 6 сағат бұрын
Wewe ndie pimbi sasa mbowe ana nini hiyo ccm
@SeverinepauloPeter
@SeverinepauloPeter 6 сағат бұрын
Mimi nilikuwa mgombeya uenyekiti najuwa uchungu WA uchaguzi bora tufanye mabadiliko. Only a fool can repeat the same mistakes
@FimbombayaKimbwi
@FimbombayaKimbwi 7 сағат бұрын
❤❤❤❤❤
@ufunuokihongosi4483
@ufunuokihongosi4483 7 сағат бұрын
Lisu anatosha
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН
TAARIFA YA HABARI WIKIENDI - AZAM UTV - 19/1/2025
UTV Tanzania
Рет қаралды 55
LEMA AMLIPUA TENA MBOWE "APUMZIKE SASA NI LISSU"
30:56
JAMBO TV
Рет қаралды 10 М.
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН