Hii safi San yn hii nchi safi San yn hii ndo inch sasa ya kuishi mm
@salimomarmkapa4 жыл бұрын
Wakati mwingine mi nakubaliana na maamuzi ya Korea kasikazin. Huu upuuzi wa kimagharibi ndo umetuponza na ndo utakaotuteketeza.
@emmanueljonas842 жыл бұрын
nimewaza kwa kina naona wapo sawa kabisa,
@salvatory-tilapia87254 жыл бұрын
Kazi nzuri bongo faster
@allygambo16184 жыл бұрын
Vip broo mbona tunaambiwa hawa jamaa wakorea kaskazini niwavutaji mahili wabangi hili nalo niaje tusaidie
@imamrema18804 жыл бұрын
Mh mungu ibaliki 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@김복현-z3d Жыл бұрын
🌹남 과북🇰🇷🇰🇵🌹우리 한민족 한반도 평화를 바랍니다!🙏🇰🇷🇰🇵🇰🇷🇰🇵🙏
@shukuruamani88624 күн бұрын
Yuko sahii kabisa kwasababu yote iyo ni shetani yesu alivyo zaliwa kumetokeya nyota nasiyo mti
@yohanakihumi13564 жыл бұрын
Mbona huyu siyo Justine shedy?!😁 Kama ataendelea huyu Mimi nitaunsubsribe! Sauti ya matango hii
@jumahalifamkindi21754 жыл бұрын
Dah yan nikianza tu kusikiliza af nikimsikia huyo jamaa najisikia hovyo kweli wapi justin huyo mwanafunzi wako anakupotezea mafans Kwanza kiswahili chake cha kifala kweli anachanganya R na L kila muda mpe somo na kiswahili fasaha
@allykutenga28624 жыл бұрын
Lazm hiyo serikali wananchi ama wageni wataiheshimu utaishi kwa udhu..
@goodlucktemu31494 жыл бұрын
kwaiyo korea akuna ukimwi?
@destrojoker81744 жыл бұрын
Clean Ni destrojoker Ningependa utuletee kuhusu wrestling
@shaelscott7794 жыл бұрын
This will be my favourite channel ever......😛😛😛😛
@BONGOFASTA4 жыл бұрын
Karibu sanaa
@frankliganga83274 жыл бұрын
Blaza una weza ila xema 2me kalili xauti ya m2 m1 ndo xhida kazi njema
@pittamattias39514 жыл бұрын
Nimeikuba ndiosheria
@gasparmpangaa83293 жыл бұрын
Baba kaza kazi safi
@elijahchegere49742 жыл бұрын
Nchi iliyojaa ukoloni mwingi imejaa wananchi waliostaarabika lakini sio maendeleo ya nchi
@ismaildongo34404 жыл бұрын
Bongo fasta iko pw ila so kwa mtangazaji huy kiswahil pia hajuw kukisom anakisoma kibongo bongo ndo mamb gan ayo somen kiswahil fasaha.
@BONGOFASTA4 жыл бұрын
Asante kwa maoni yako hakika tutayatendea kazi.
@nassorocholo4974 жыл бұрын
Mko fresh
@mamaikram96124 жыл бұрын
Hawa wanaishi kizamani sana sasa kwanini wasiwasiliane na nchi zingine rais wenu hataki mjue mambo mengine ya nchi zingine
@jumamorad1454 жыл бұрын
Asante kwa kutujuza
@kautharsalat64494 жыл бұрын
Jaman ciwezi kukaa nchi Kama hiyo ciwezi kumiliki ardhi hapana
@amourmbonde7373 жыл бұрын
Hayo ndio yaliyo mkuta ghadafi
@jumamorad1454 жыл бұрын
Nice
@minaahnaseeb52764 жыл бұрын
Ukoroni haujaisha huko
@ismailmkubwa46074 жыл бұрын
Hamtupeleki nyinyi mnatupakia ama
@deborahmaturu5698 Жыл бұрын
WALAH TANZANIA TUNGEPATA RAIS KAMA HUYU TUNGEPIGWA TUFE
@emmanuelluiso48724 жыл бұрын
Hii nchi Bhna shida tupu.
@emmanuelluiso48724 жыл бұрын
Shabani Issa Sa nchi gani hata raia wake hawaruhusiwi kusafiri nje ya nchi bhna huyo Kim Jong nae ni tatizo😂
@emmanuelluiso48724 жыл бұрын
Shabani Issa c ndo hapo sasa😂
@aediayumgo85462 ай бұрын
Imesahau bange Ni ruhusa huko😅
@fredsenyagwa47804 жыл бұрын
Ujamaa
@dsavage37424 жыл бұрын
Justin shady ako tunataka mwendaji
@BONGOFASTA4 жыл бұрын
Niko hapa kesho nitakuwa hewani.
@nssfiriziy29634 жыл бұрын
Korea kaskazini ni mfano wa jela
@Honest_Man4 жыл бұрын
CONDOM...pwahahahaa!!!!
@zikomomatao30364 жыл бұрын
eeh bwana eeh!
@ayoubsuleiman36754 жыл бұрын
Sasa huko ingekuwa Tanzania watu wangehaaaaama
@cosmaskibwetele27644 жыл бұрын
Hiiiii
@venosacharles79953 жыл бұрын
Yaani tuseme waishi dunia ya peke yao
@mokejohn654 жыл бұрын
Asante mtangazaji
@BONGOFASTA4 жыл бұрын
Tuko pamojaa
@hassansalim38194 жыл бұрын
Je king john wu yuko hai au alikufa?
@ramadhanurassa24104 жыл бұрын
oya tuta unsubscribe kama next story hautasimamia shoo kazi zipo nyingi huyu mwamba afanye
@judithmwambe47674 жыл бұрын
Hao wamezoa kuzaana hovyo hovyo kama mapanya.
@BONGOFASTA4 жыл бұрын
Hahaha aisee
@hafidhichai11484 жыл бұрын
Mbona bangi wameruhusu na unavuta popote pale
@habarikaonlinetv4 жыл бұрын
Kama mtiga 😁😁😂
@BONGOFASTA4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@morineakinyi11164 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@mohamedharuna90504 жыл бұрын
Nchi nzima sigara anaruhusiwa kuvuta mtu 1 tu 🤣🤣
@evelynsalila97003 жыл бұрын
Sigara kondon nimekubaliana nao
@nurdinsimbillah48634 жыл бұрын
Poa
@jackyuganda89594 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@ismaildongo34404 жыл бұрын
Bongo fasta iko pw ila so kwa mtangazaji huy kiswahil pia hajuw kukisom anakisoma kibongo bongo ndo mamb gan ayo somen kiswahil fasaha.