No video

Vitu Vinne vya Kujifunza Kupitia FOREX Acc Yangu

  Рет қаралды 40,539

SIRJEFF DENNIS.

SIRJEFF DENNIS.

Күн бұрын

Пікірлер: 209
@lonsmanempire9627
@lonsmanempire9627 4 жыл бұрын
Kama ungependa Jeff aanze kufundisha forex kupitia KZbin channel yake gonga like hapa
@zainabjaffar515
@zainabjaffar515 4 жыл бұрын
I sapport you
@omarsalum4052
@omarsalum4052 4 жыл бұрын
Dah kwl kaka
@mtawalaanimation5354
@mtawalaanimation5354 4 жыл бұрын
Sema mabraza hata hii kitu na mi nataman aifanye maana dahh
@richardtilya7743
@richardtilya7743 4 жыл бұрын
Imeķaa poa hata technic za kutrade zitatupa mwangaza
@kidyelaissa578
@kidyelaissa578 4 жыл бұрын
Tutafurahi sana broo
@dennisdanny5818
@dennisdanny5818 4 жыл бұрын
summarry 1.don't let losses run for a long time 2.let profits run for a long time 3.trade to make withdrawals 4.everything and anything is possible📌
@brianshirima7469
@brianshirima7469 3 жыл бұрын
NICE VIDEO!!Nakumbuka mwaka 2015 nlipoteza kila kilicho changu baada ya kuingia kwenye forex bila kuwa na ujuzi...nikachukua hatua ya kujifunza kupitia mentor na nililipa Kwa pesa ya kupewa sababu sikuwa na uwezo tena wa kifedha..mwaka 2016 nilipata kijihela kidogo nikaanza na 100$... mashaalah! leo account yangu imesimama na 80000$. Sir Jeff endelea na moyo wa kuwapa elimu watanzania wenzetu.
@mustaphamasoud6332
@mustaphamasoud6332 4 жыл бұрын
Brother brother, nakuomba utushike mkono na usituache katika Harakati za kupambana na umasikini, Ombi langu kwako hebu tuambie kila mtu awe na USD 3,000 kwenye Acc. yake kwa atakaye weza kulingana na Mfano wa Acc. yako Kisha tushike mkono sisi vipofu utuongoze nasi tuvuke hii hatua kwa miezi kadhaa then hatua inayofaa itafuata Muhimu mti wenye matunda ndio hupigwa mawe usiumizwe, usiwazishwe na maneno ya watu yawe mabaya hata makubwa Kama dunia binadamu amezaliwa anasema, "Let the success speak", ...Salute Kwako!! SHAKA ZULU BIN LADEN
@ibrahss1174
@ibrahss1174 4 жыл бұрын
Ache zako 3000$ ni nying snaa sio kila mtu anaweza ku afford
@mustaphamasoud6332
@mustaphamasoud6332 4 жыл бұрын
@@ibrahss1174 uko sahihi let's target the moon tukishindwa tupate hata njota brother. Huwezi amini hata Mimi mwenyewe ukiniambia toa USD 500 tu Sina Ila Niko tayari kupambana by any means necessary I have strong feelings kwamba inawezekana
@raphaeljohn124
@raphaeljohn124 4 жыл бұрын
Hata hivo mtaji bila elimu haisaidii hata ukipewa bure kama hujui namna ya kutrade haikusaidii
@mustaphamasoud6332
@mustaphamasoud6332 4 жыл бұрын
@@raphaeljohn124 Sahihi... We have to earn while we learn.. I hope Shaka read my message..
@hamidseifsaid
@hamidseifsaid 4 жыл бұрын
@@raphaeljohn124 kwel bro, soma kwanza how the markets works, its structure and how t moves ..Alaf forex haiwez kukutakirisha ndan ya usku mmoja ..learn then earn then continue learning
@kamanda007
@kamanda007 4 жыл бұрын
Thanks Jeff, I'm impressed and hope many years to come you will make millions and pump it in TZ economy, wakipatikana vijana Mia wa kutengeneza millions then forex will be a very big industry na uchumi was nchi will be better, Wall Street is important to US economy because of trading....inawezekana and all the best
@mwambemootz8496
@mwambemootz8496 4 жыл бұрын
Jeff ni Jeff akuna paka yeyote mwenye madin kwenye fx Kama Jeff. Mtukane mnavyoweza but atuachi kumfuatilia uyu jamaa coz watu tunabadika kimaisha kupitia Jeff #Much respect Brother #God bless you ma Brother
@funniestvideos5922
@funniestvideos5922 4 жыл бұрын
ni kweli ila cha muhimu kaka elimu/maalifa n muhimu,ukitaka kufanya Jambo la muhimu usikimbilie kuangalia faida na ukaweka matumaini zaid ila muhimu kupata maarifa juu ya Jambo unalotaka kulifanyia kazi itakusaidia sana, asante kwa elimu yako
@ngugimbugua6699
@ngugimbugua6699 4 жыл бұрын
My, guy. I'm from Kenya. You're among my most encouraging traders in the entire Forex Community. This video has changed how I look at my profitable trades. I take profit at 100Pips.
@eliasmsuya3673
@eliasmsuya3673 4 жыл бұрын
how .explain to me
@ngugimbugua6699
@ngugimbugua6699 4 жыл бұрын
@@eliasmsuya3673 I don't understand your question
@simonmzazi8046
@simonmzazi8046 4 жыл бұрын
Jeff naaomba video utuelezee hizo entry zako ambazo easily zinaingia profit... Maana nikiangalia kama NASDQ unapiga lot size ya 10 but yet loss yako ni ndogo... 55 dollars... Sanasana naomba utengeneze Video UNAONA NINI KWAMBA TRADE HIYO IMEBUMA SO UKAMINIMIZE LOSS... maana nahisi tatizo letu tunasubiria retracement...
@bodybreading7778
@bodybreading7778 4 жыл бұрын
First girl in 🙌😄
@rashy930
@rashy930 4 жыл бұрын
Jeff u are real sent from heaven to lift us up!,..
@flacko52
@flacko52 4 жыл бұрын
Respect brother you always inspire,we gon meet someday.Hope you go remember my name
@edwinemrod3933
@edwinemrod3933 3 жыл бұрын
It's 2021 , Jeff we need you back on KZbin .
@cashempire8998
@cashempire8998 4 жыл бұрын
Well I can't wait to Search "Sir Jeff net worth is KZbin the coming years😁 #Shakazulu #Imekaa poa sana
@georgemchembe3480
@georgemchembe3480 4 жыл бұрын
Brother nakukubali sana aseeee wacha waku2kane ila endelea ku2funza GOD IS WITH U BROOO
@erastoshedrack7118
@erastoshedrack7118 4 жыл бұрын
The Problem with Forex is that people will normally fall with emotions rather than reality. That is why only 5-10% of those who seek for truth will make money.
@amanijairo3099
@amanijairo3099 4 жыл бұрын
sahihi
@daudimmary3965
@daudimmary3965 4 жыл бұрын
Your the best bro, hakuna atakae kupiku nafasi yako.
@om6147
@om6147 4 жыл бұрын
Asante Bro kwa knowledge ,ila je account yako ilikua na Balance ? na ilikua operative hiyo tarehe 02.06.2020 na ulikua umehold entries toka tarehe 26MAY 2020 ukiangalia tarehe 02.06.2020. GPBJPY Trading Day , OPEN PRICE 134.374, HIGH OF THE DAY 136.514, LOW OF THE DAY 134.216, NA CLOSE 136.400, nikiangalia hiyo Profit hapo ya 02.06.2020, USD 2410.40 ilikua ina run toka tarehe 26May 2020 ambapo ndipo GBPJPY ili trade at USD 131.240,nimeuliza hivi sbb nilitaka kujua how long are you holding a trade, or you are scalping ,sababu ulivyosema uli deposit USD 3000 that day na ku trade ,sidhani kama ulitaka kutuaminisha kua hiyo deposit ndio ili generate that sum of profit on the same day. Asante bro
@godwillnyange593
@godwillnyange593 4 жыл бұрын
Kumbe umeona hapo kaka..hapo jeff katulisha matango.. ukiangalia... trade imefungwa kabla ya kudeposit yani... sasa before sijui alikua ana trade na nn...trade imefungwa saa 6 yeye kadeposit saa 7🙆‍♂️
@om6147
@om6147 4 жыл бұрын
@@godwillnyange593 kweli bro ,labda atakuja kutupa clarification,
@officialmsauzy4233
@officialmsauzy4233 4 жыл бұрын
kaka shukran san Tunaomba video ya discipline na patience kwny forex
@lonsmanempire9627
@lonsmanempire9627 4 жыл бұрын
Appreciate you bro Jeff Please teach us forex using your KZbin channel . I always get encouraged with your videos whenever you talk about forex but the problem comes when I think of where I can get the right education. I think your KZbin channel could be the right place to learn forex for everyone. Please teach us bro...
@farajiabdi
@farajiabdi 2 жыл бұрын
Back at it again, watching it for the 7th time. Jeff is always a gamechanger when it comes to Motivation. Summary; " Trade to Withdraw, aim at growing the bank acc and not the MT4 acc."
@kevinkisochi4504
@kevinkisochi4504 3 жыл бұрын
Sir jeff, ndio naingia forex kindly needed mentorship, would really appreciate. Good work keeping us in the light always. Kevin from Kenya Mombasa.💪💪💪🔥🔥🔥🔥 much love for the Chanel.
@umojamedia4167
@umojamedia4167 4 жыл бұрын
Ongeza video nyengine Leo
@mahdimussa939
@mahdimussa939 4 жыл бұрын
I wish i can walk beside you. But i believe one day i will be like you
@abednegopaul2623
@abednegopaul2623 4 жыл бұрын
Nilichokipendaa ume mantain dakika... Yaanii hizi mtu unaangalia na huchokii sio madakika 19 au 21 huko inakua jau kinoma... Keep maintain Fupi lakini Kali ... Best content...
@nextlevelfx7540
@nextlevelfx7540 4 жыл бұрын
You inspire,, from Kenya
@Fredrick_Libena
@Fredrick_Libena 4 жыл бұрын
Thanks for this inspiration be blessed
@youngbiz8080
@youngbiz8080 4 жыл бұрын
Appreciate mentor fx made me confident withdrawing $20,000 monthly
@tausially6866
@tausially6866 4 жыл бұрын
Ndugu
@donkalves4643
@donkalves4643 4 жыл бұрын
Ungekuwa ume withdraw iyo pesa tusingekuona youtube mwaka mzima 😁😁 unajifurahisha 🤣🤣
@kwisa4899
@kwisa4899 4 жыл бұрын
Don Kalves Hahahahaha
@jacobeliufoo7635
@jacobeliufoo7635 4 жыл бұрын
@@donkalves4643 kwa hiyo ni uwongo ana danganyaa
@donkalves4643
@donkalves4643 4 жыл бұрын
jacob eliufoo $20,000=Tsh milion 44 Alie shinda hii ela unazani utamuona ata youtube 😁😁
@Ibrah287
@Ibrah287 4 жыл бұрын
Hata sina cha kuandika! Hata hiki nilichoandika kinatosha 🙌
@Ibrah287
@Ibrah287 4 жыл бұрын
$125,245 = Million 291+
@FlamboFx
@FlamboFx 4 жыл бұрын
Another lesson to add to that, Be patient and work on consistency #Trading requires a lot of work and time
@zewailerszewailers3379
@zewailerszewailers3379 4 жыл бұрын
You the man buddah God bless you
@ommyjay88
@ommyjay88 4 жыл бұрын
Hii forex trading naisikia natamani kucheza ila inakua sijui nianze wapi kwani hata mtaji wa dollar 5000 mnao. Jee hivi ukuchezee inakuaje halafu mgawane faida
@richardcharles3718
@richardcharles3718 4 жыл бұрын
Ukiona nitafute boss
@anonymousme4583
@anonymousme4583 3 жыл бұрын
Nasdaq kwenye s and p ! 🤣 Umechemsha
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 4 жыл бұрын
True hii kanuni nzuri san traders wengi san wanaitumia na ndo maan wana fanikiwa
@richardmushi5090
@richardmushi5090 4 жыл бұрын
Uko next level bro🙌🏽
@nelsonmichael556
@nelsonmichael556 4 жыл бұрын
So amazing bro! You inspire me alot
@ellygideon5904
@ellygideon5904 4 жыл бұрын
We jamaa una akili sana
@charlesjohn5792
@charlesjohn5792 4 ай бұрын
Champion Trader
@azizanzori4931
@azizanzori4931 4 жыл бұрын
Hata wadada pia tupo humu! Tunahitaji darasa la FX...
@raphaeljohn124
@raphaeljohn124 4 жыл бұрын
Jeff mim kwa upande wangu nimekuelewa Sana, japo ombi langu na wadau wengine, ni kwamba ni namna gani ya kusoma graphs, ni viashiria vipi vitakufanya uingie au utoke sokon? Plz tunaomba msaada tuna hamu ya kufanikiwa
@innocentmichael8518
@innocentmichael8518 4 жыл бұрын
We ni mnyama.🙌🙌 wallahi
@ednaelias5473
@ednaelias5473 4 жыл бұрын
So huna mpango wa kutrain watu? Ukashare techniques za kutrade to others??
@charlesjohn5792
@charlesjohn5792 3 жыл бұрын
Yaani kila ushauri wa Sirjeff Dennis nikiufanyia kazi mambo yanatick
@mustafaiddy4574
@mustafaiddy4574 4 жыл бұрын
bro unatoa somo zuri sana mpaka mtu unaona yes kweli hili ni somo. ila ombi langu ni moja tu bro tunaomba utufundishe namna hiyo system inafanya kazi. maana kuna watu wapo wanasema wanajua forex ila ukiwafata kumbe ni waongo tu wanaangalia maslai yako kwanza. ndo maana mda mwingine huku mitaan tunaona forex kama ni utapeli kutokana kuna watu huwa wanazingua na kutuibia vijisenti vyetu. bro nakuomba utuangalie na sisi wa mitaani tunahitaji hiyo elimu sana 🙏
@leonardnkwera4908
@leonardnkwera4908 3 жыл бұрын
some one could advice the best broker to use?
@rashidimohamedi426
@rashidimohamedi426 4 жыл бұрын
Makin Sana kiongozi 👏👏👏
@lindsayalbert9975
@lindsayalbert9975 4 жыл бұрын
Guys nimeanza KZbin channel inayohusu maisha ya nchi tofauti tofauti jokes na mengineyo ili nipate kutengeneza nchi yangu Tanzania kiuchumi naombeni baraka zenu tafadhali🙏🙏🙏
@meshackmunuo4019
@meshackmunuo4019 4 жыл бұрын
Naona hapo kwenye NAS100 ulitumia hedging strategy Kama si kweli pinga ???
@kingk4026
@kingk4026 4 жыл бұрын
No dislike pure love
@mariethalungaro9354
@mariethalungaro9354 3 жыл бұрын
SirJeff. Habari ya kazi. Nafurahia Sana Sana sana experience yako unayoshare na sisi mtandao. Natamani Sana kufanya forex lakin sijui nianzeje. Nimejaribu kusearch materials mtandaon lakin sijaona yanayonielekeza vizuri nikaelewa wapi nianze niendelee vipi. Naona Kama yako too general hasa kwa wazoefu tayari na wakati mm sijawahi kupata hata course moja tu. Nimetafuta Sana namna gani nitapata mawasiliano yako naangalia Kila video yako ninayoiona kujifunza nikitegemea labda pia utakuwa umeacha namba sijafanikiwa. Ila sasahivi ndo nakumbuka kumbe naweza tumia comments box kufikisha ujumbe wangu kwako. Kaka nahitaji msaada wako Sana. Please please please naomba Sana unisaidie. Natamani kujua Sana na kutumia uwanja huu.
@SriyamyHerbal
@SriyamyHerbal 3 жыл бұрын
Fanya video za entry zko naona sijawahi kuona entry kma izo bro funguka waelimike wote
@faustineluswetula2778
@faustineluswetula2778 4 жыл бұрын
Sirjeff hongera mkuu
@danleeplatnumz8292
@danleeplatnumz8292 4 жыл бұрын
Beo, I salute you. Please start a forex course for us to learn or even a signal account please. I started forex last week and grew my account to 300% but blew it in the same week. I'm looking to get back on my feet strong, ambitious and focused; please I need your help.
@hamidseifsaid
@hamidseifsaid 4 жыл бұрын
Manage your risk bro ,risk management n tabia ya kila successful trader .Usi risk more than 2% per trade and you'll NEVER blow an account
@bonifacemutisya3272
@bonifacemutisya3272 4 жыл бұрын
Inspiring Jeff
@haliliwilson8823
@haliliwilson8823 2 жыл бұрын
Genius + patience🧠
@lutagatejumanne6254
@lutagatejumanne6254 4 жыл бұрын
Simple but not easy
@marandorise
@marandorise 3 жыл бұрын
Nowadays your not uploading videos
@beatricemwita3451
@beatricemwita3451 4 жыл бұрын
Madarasa yako ya kujifunza forex kaka, tunaomba msaada, hata tuchangie kidogo tunajua hatuwezi kukulipa ila utufanyie kama sehemu ya kugive up to the community
@bestonjames1134
@bestonjames1134 4 жыл бұрын
Habari ako kama unahitaji kupiga pesa kupitia forex Tuwasiliane Kwa namba 0625421802 wasap sio Jeff peke ake aneweza kukufundisha
@chegaritofx
@chegaritofx 4 жыл бұрын
GlobeX360 🔥🔥🔥
@jovovichmedia9424
@jovovichmedia9424 4 жыл бұрын
Globex minimum deposit ni ngapi
@allydady3409
@allydady3409 4 жыл бұрын
Broo Jeff tunaomba uanze kutufundisha iyo forex mwanzo kupitia hii channel yako tunaomba kaka
@expert7764
@expert7764 2 жыл бұрын
Bro Mimi Ibrahim Natokea Zanzibar na Naipenda sana Forex Naomba Sana uwe Pamoja na Zanzibar Tuamke sote 🙏
@andrewgalus7859
@andrewgalus7859 4 жыл бұрын
Bro samahani nasema haya si kwa nia mbaya,Mi mfuatiliaji sana wa chanel yako ila kwa hivi karibuni naona content imekuwa ni forex kwa karibu 60% Ukiachana video hii ya leo ukienda kwenye video 5 za mwisho kupostiwa utaona 3 zinahusu forex Pia ukihesabu 5 kuanzia hii kurudi nyuma bado 3 ni forex Nnachotaka kusema ni kwamba hii itawapa watu tamaa ya kwenda kucheza hiyo forex bila knowledge ya kutosha na watapoteza hata kidogo walichonacho Naelewa mzee uko interested sana na hii kitu na umewahi kutoa elimu hiyo hapa nchini Nimeona interview zako na mashirika mbali mbali ya kimataifa,Umefanikiwa kwenye biashara ya kilimo kwanini usitoe somo kuhusu hilo Ama kwanini usitupe hata proposal uliyompelekea MO DEWJI juu ya ufugaji wa kuku wa mayai na mambo mengine kuhusu elimu ya fedha bro Nashukuru kwa elimu ya bure unayo tupatia maoni yangu hayana nia ya kukupangia maudhui ya chanel yako ila nafikiri hii Forex inaweza leta impact kama ya beting kwa jamii ila hapa itakuwa kwa wafuatiliaji wako bro Watu wa EAC wengi tunapenda pesa za haraka na nyingi kwa kazi kidogo,Watu wanaweza tafsiri vibaya elimu unayo itoa kuhusu Forex na badala ya wewe kufikia lengo la kutukwamua kwenye umaskini utajikuta una tutupa huko #StayBlessedSIR
@mathewlive77
@mathewlive77 4 жыл бұрын
Sipingi comment, ila hatuchez forex ila tunatrade forex. Lakin pia kama ulivosema watu watakimbilia forex bila noleji sawa, ila mi naona fx ni biashara rahis kama mtu ataamua kusoma ,yaani ukubal kupoteza muda kwanza. Fx ni nzuri ila hatupendi kusoma ,pia forex ipo kwa kiingereza sana xo sio rahis san. #forexinahitaj_mda
@meshackmunuo4019
@meshackmunuo4019 4 жыл бұрын
Eeh kweli kama mtu hajui forex anatazama channel hi anaweza dhani forex ni njia rahisi ya kupata hela kumbe sivyo akaishia kupoteza hela zake
@andrewgalus7859
@andrewgalus7859 4 жыл бұрын
@@mathewlive77 Samahanini kwa terminology "Kucheza" niliyotumia ni kwasababu sijui sana kuhusu Forex Forex yawezekana ni biashara nzuri sana kama msemavyo ila ni kwa mtu mwenye knowledge nayo Imagine tunaishi kwenye nchi ambayo mtu anashindwa hata kusoma expire date tu ya bidhaa anayoenda kutumia Sio wote wataenda kusoma na ku attend hizo semina ila amini kwamba ni wengi wataenda kujaribu
@andrewgalus7859
@andrewgalus7859 4 жыл бұрын
@@meshackmunuo4019 That's right hicho ndo namaanisha
@hecker60000
@hecker60000 4 жыл бұрын
@#Andrew Galus Before investing your #money invest in time learning for what you are going to invest. Kama mtu ataona na akahisi kuwa hii ndo njia rahisi ya kupata fedha basi atafata protocol kwa kujifunza na kufahamu anahitaji Nini ili aanze kutrade. Kwa #asilimia nyingi sana ya viiana na hata watu wazima wanaoingia katika forex na hata Mimi nilivokuwa natambulishwa mawazo ni hayo hayo yalikuwa kwamba I'm going to make a #lor_of_money. lakini as the days goes on mindset inabadilika na kujua kuwa si rahisi Kama nnavyowaza. Kwahiyo nataka kukwambia kuwa huwezi tu kuingia na kuanza kutrade real umeskia sijui kwa nani ukaishia ku lose money. Mambo utaanza kuyafahamu kwenye #Demo account. Na #nikwambie tu kuwa hakuna Business ambayo ni #smart duniani kama Forex trading. Ukiona mtu anatrade successful ujue in mind Ni smart Sana. Kitu ambacho hujui kuhusu #Sirjeff_Dennis ni kwamba Sirjeff anataka vijana wa kitanzania watoboe maisha kupitia business zenye #profits. Bahati nzuri anakwambia kabisa huwa anaweka wazi ame lose Sana mpaka baadhi ya accounts Iko $5000=13,000,000/= inaenda mpaka $0.00 kwa factors mbalimbali. Kwa mtu mwenye akili lazima ujue this kinda of business is not easy like what you're thinking in your mind. #Serjrff Ana msemo wake POWERFUL SANA ⏩ "NI RAHISI, HAPANA, INAWEZEKANA, NDIYO." SASA basi vijana always tunapata inspiration kubwa Sana ya kufika pale Sirjeff alipo kwahiyo wewe suggestion yako haitakubalika. Hao watu watakoingia katika forex trading kwa misinformed ujue HAWAJAANZIA HAPO, Huwa wanaloose sehemu nyingi no discipline na maisha. Kuna ma #traders wengi Sana nje kama south Africa wanatoa screenshot na records za profits ndefu Sana, wakizungumza kizulu wanawainspire watu wakwao na kiingereza kuwainspire watu wote. Tanzania tuna Sirfeff! trader mkubwa Sana anazungumza kiswahili kwa ajili yako na siyo Mganda. Point nne katika video hii: 1. #Don't let loses run for a long time 2. #Let the profits run for a long time, move your SL to entry level. 3. #Always trade to #withdraw not to grow your Metatrader account. 4. #Last one Everything is #possible. Or nothing is easy, they are all hard to do. guess what!! they are all possible. Cha mwisho ni kwamba ELIMU YA KUKU, UFUGAJI NA KILIMO INAPATIKANA BURE KABISA 0/= TSHS TOKA ENZI ZA #MABABU, KINACHOBADILIKA NI MBINU ZA UFUGAJI TU KWA SABABU YA KUBADILIKA KWA TECHNOLOGIA. ELIMI HII HII SIRJEFF ANAYO "HATA #WEWE_UNAYO" KINACHOTAKIWA NI WEWE KUTAKE #ACTION TU NA KUANZA KUFUGA KAMA SIRJEFF. LAKINI ELIMU YA FOREX TRADING HAIPO TANZANIA IMEEINGIA karibuni tu a couple of years ago. Sirjeff kaichukua from south Africa Kwa gharama za M+ TSHS. Kwahiyo ukitaka UFUGAJI na #KILIMO fuga tu Kama Mimi na Sirfeff HAKUNA kipya katika UFUGAJI Bali MBINU. #STAY_BLESSED #2020NoExcuses. #Sirjeff ⏩ #Ontario. 2020📉💹 Be blessed bro.
@EnozuuTV
@EnozuuTV 4 жыл бұрын
Nimekuwa natamani sana kufanya na kufikia malengo makubwa juu ya hii biashara kiukweli nafarijika sana sana kuona kijana mwenzangu anavyotumia akili aliyopewa na mwenyezi Mungu,kuishi kwa furaha,let me promise you kunasiku tutapiga story meza moja kukueleza neno moja tu,"ASANTE".
@jovinaryjoseph5489
@jovinaryjoseph5489 4 жыл бұрын
Genius
@Pips_Lab-v2f
@Pips_Lab-v2f 4 жыл бұрын
Very good stuff #everything is possible
@josephndoghwe2722
@josephndoghwe2722 4 жыл бұрын
Upo vizur Sana na mungu atakubarik please naomba tuwasiliane WhatsApp number+255628022914
@GloryLaizer-ls1lm
@GloryLaizer-ls1lm 8 ай бұрын
jff sis nivijan wstafutaj sas utatusaidiaje sis tuwezee kupata elimu ya fx na kufanikiwa na kuwa na maendeleo
@KaskasTHEfinderCLIP
@KaskasTHEfinderCLIP 4 жыл бұрын
Leo nimekuwa wa kwanza kbisa
@nassirsalah81
@nassirsalah81 4 жыл бұрын
Mm sijui ki2 kuhusu iyo biashara ya FOREX inavotumika na mafanikio yake pia mpaka kupatikana. Nataka nifahamu ikiwezekana na mm nitumie, cause ikiwa ww imekuinua na mm naamini kutoka kwako kupata mafanikio.
@ericsadoth2394
@ericsadoth2394 4 жыл бұрын
More succes
@peterfrank982
@peterfrank982 4 жыл бұрын
Kaka unanifanya nianze kupambana, hakika unanifanya nisikate tamaaa naamini ntafika "Please!! TUANDALIE CLASS. "
@charlesjohn5792
@charlesjohn5792 Жыл бұрын
LEGEND
@anordmageni4525
@anordmageni4525 4 жыл бұрын
wanamwita king shark Shaka Zulu mwenyewe ....................ni yeyeeeeeeeeeee................
@girah339
@girah339 2 жыл бұрын
Hello brother.....naomba contacts zako kama hutojali.....
@peterkagunga3090
@peterkagunga3090 3 жыл бұрын
good advice what is your contact
@boniphacejoseph3985
@boniphacejoseph3985 3 жыл бұрын
King shaka Zulu🔥🔥🔥🔥
@babzymc5587
@babzymc5587 3 жыл бұрын
I need that education naomb nipate mawasiliano nawe bro
@nassormohamed6520
@nassormohamed6520 2 жыл бұрын
Mambo vipi
@mpgforex
@mpgforex 11 ай бұрын
true
@JabuSr8-dy8be
@JabuSr8-dy8be 8 ай бұрын
Thanx bro✊
@babzymc5587
@babzymc5587 3 жыл бұрын
Mm naitaji kujifunza mamb ya digital currency
@augustinepaul8739
@augustinepaul8739 4 жыл бұрын
So inspiring brother
@sunny_banksfx
@sunny_banksfx Жыл бұрын
Forex live trading Strategy nzuri, Usichome tena account 👇🏾 kzbin.info/www/bejne/fKmTioipe56ba8U
@KaskasTHEfinderCLIP
@KaskasTHEfinderCLIP 4 жыл бұрын
Big up brother
@fredyrhoida7838
@fredyrhoida7838 2 жыл бұрын
naomba nisaidie braza Jeff niweze ku trade plz na sijui na kupataje na institu yako iko maeneo gani mm nko mkoani
@sethgoodluck1
@sethgoodluck1 Жыл бұрын
Kaka nawezaje kupata signal ya kununua
@fredyrhoida7838
@fredyrhoida7838 2 жыл бұрын
sirjeff mm nikijana niko mkoani iringa natamani kuijua forex na sijui na naanzaje naomba nisaidie niweze kuijua forex
@happypatrick9466
@happypatrick9466 7 ай бұрын
Jeff
@callymadux6183
@callymadux6183 4 жыл бұрын
Good brooo
@niccoelias3889
@niccoelias3889 4 жыл бұрын
Inspired
@kelvinoscar363
@kelvinoscar363 4 жыл бұрын
Perfectly 🇦🇺🇦🇺🇦🇺
@maonitalk8554
@maonitalk8554 4 жыл бұрын
Great
@anonymousme4583
@anonymousme4583 3 жыл бұрын
I see no advise 🧐
@ShizzleDe77
@ShizzleDe77 4 жыл бұрын
Vp kuhusu mtaji wa kuanzia hicho kitu nikuanzia 💰 ngapi??????
@bestonjames1134
@bestonjames1134 4 жыл бұрын
Mtaji wa kuanzia inategemeana na aina ya broker mfano templerfx 1$....tickmill 100$ nk
@selemanisaid411
@selemanisaid411 4 жыл бұрын
safii sana
@ibrahss1174
@ibrahss1174 4 жыл бұрын
People making money asee
@brunonassari9681
@brunonassari9681 4 жыл бұрын
i appreciate mkuu
@albanomkoka5577
@albanomkoka5577 3 жыл бұрын
Mafunzo yanatumia muda ganii brother, naomba nijibu please
@zenooernest18
@zenooernest18 3 жыл бұрын
Shark Zulu
@techboijr9927
@techboijr9927 4 жыл бұрын
Sir jeff nahitaji mentor👁️👁️ where can i get youu
Naweza Kuacha Biashara Zangu Zote Ila Sitaacha FOREX
19:20
SIRJEFF DENNIS.
Рет қаралды 44 М.
Jinsi ya Kumshawishi Mtu Aliyefanikiwa Awe MENTOR wako
19:28
SIRJEFF DENNIS.
Рет қаралды 19 М.
لااا! هذه البرتقالة مزعجة جدًا #قصير
00:15
One More Arabic
Рет қаралды 51 МЛН
Lehanga 🤣 #comedy #funny
00:31
Micky Makeover
Рет қаралды 30 МЛН
wow so cute 🥰
00:20
dednahype
Рет қаралды 18 МЛН
Dalili 10 Wewe ni Maskini na Utaendelea Kuwa Maskini Usipobadilika
22:44
Nilikata Tamaa ya Maisha, FOREX Ikanitoa Mavumbini
23:01
SIRJEFF DENNIS.
Рет қаралды 92 М.
Brokers & Traders Matapeli | Exposed | Vithibitisho | Vigezo
16:27
SIRJEFF DENNIS.
Рет қаралды 33 М.
Usijaribu Kuanza FOREX Trading Kama Hujatazama Video Hii
21:41
SIRJEFF DENNIS.
Рет қаралды 159 М.
UTOFAUTI WA MATAJIRI NA MASKINI KATIKA KUKABILIANA NA MATATIZO
13:30
SIRJEFF DENNIS.
Рет қаралды 16 М.
لااا! هذه البرتقالة مزعجة جدًا #قصير
00:15
One More Arabic
Рет қаралды 51 МЛН