Ni yule yule kijana mwenzako from Zanzibar kaka nishike mkono kaka
@InformationMarketer0073 ай бұрын
Usikulupuke ndugu kama kukushika mkono anaweza kushika kwanza ndugu zake safari ni gharama usimtegemee mtu wakati yy mwnyw ana ndugu zake cha kufanya pambana Kisha tafuta taarifa sahihi ya safari then boom
@luckysodube74436 ай бұрын
Kaka hongera sana.. yani hapa nimetoka kuangalia interview yako kwa Officials assistance dating.. kaka naona kabisa mimi ni wewe sema sina elimu ila one day nitafika USA
@InformationMarketer0073 ай бұрын
Rafiki Elimu inauhusiano gani na marekani wakati Mimi kuna watu nawafahamu kabisa wameingia marekani mwaka huu wengine mwaka jana na hawana Elimu kubwa lkn wamepata kazi mpk Leo wanaishi
@AbdulrahimRahim-g5b2 ай бұрын
Nawez kupata no yako ya simu brooh
@GodfreyMdemu-uw2lv6 ай бұрын
Bonge la supplies Mzee respect Sana
@SeyyidOmary6 ай бұрын
Kaka bonge kakujambia ushuzi wa kimarekani😂😂😂😂
@IddyMuddy-e8zАй бұрын
Kwel nilazima kutamba .
@ahmedalfan80756 ай бұрын
Bro kitambo sana sijaona notification. Great work 👊👊👊
@jeremiahkingu83236 ай бұрын
Mwanetu pambana HONGERA Sana kaa🔥🔥🔥🔥✊
@mukhtarally58196 ай бұрын
Kaka mkubwa habar mm nauliza natka kujifunzaa kuandaka resume ya usa naomba msada wako broo❤❤
@InformationMarketer0073 ай бұрын
Vitu vingine ingiza KZbin ujifunze cha muhimu kwanza kifunze kujaza DS-160 form ya marekani Kisha uombe visa
@mkingageorge26416 ай бұрын
Mkuu tupe resocies za kukutafuta
@saidimega96156 ай бұрын
Nipe mbinu kaka
@GodfreyMdemu-uw2lv6 ай бұрын
Brack kwa mfano unakuja USA unao uzoefu wa ku drive inakaaje Mzee
@InformationMarketer0073 ай бұрын
Nakusaidia majibu kuwa na fani yoyote hata kama ya kunyoa nywele ni muhimu Kwa nchi za nje
@King_Of_Everything6 ай бұрын
👊✌️👍.
@abdulisyi11526 ай бұрын
wewe ni miongoni mwa wizi uliotajwa umeenda mwak hujafikisha ila unaibia watu asaiv kwanza mshamba acha mara moja tabia ya wizi
@alhajiabed74795 ай бұрын
Mawasiliano yako broo
@issahassan85156 ай бұрын
One day broo
@NgelejaCharles-ng7bh6 ай бұрын
Unyama ni mwingi kaka
@MichaelNginga-n7n6 ай бұрын
Black Singapore me nahitaji
@MussaJohn-dz3mu6 ай бұрын
bro nifanyajee na mie nitoboee huko nijuzi bro
@InformationMarketer0073 ай бұрын
Nakusaidia ndugu kukujibu Kuna vitu kwanza angalau 10 vya kuwa navyo kabla ya kutaka kusafiri kwenda marekani au ulaya
@RajabuKitalambo-q2u6 ай бұрын
Broo
@saidimega96156 ай бұрын
Uanaweza fungua bank bila makaratasi pia unaweza musoma u dereva bila makaratasi? Pia unaweza kupata new York I d bila makaratasi???