Dah hawa jamaa walibeba sana Sanaa ya zanzibar wakati wa utoto wetu ilikuwa hatuwezi kuwakosa Na walikuwa mastar as kweli lakini sidhani kama wana mafanikio katika kazi hii serekali ilitakiwa kuwaenzi wasani hawa kwa memory’s Na kufanya hata utalii kupitia wao
@abdallahhashim31834 жыл бұрын
Maraka tu mungu akulaze pahalapema peponi amin
@nassormussa39774 жыл бұрын
Mm pia leo nimemkumbuka
@RioIpo4 жыл бұрын
Yaani hapa nacheka kama mpofuuu hahahah
@HemedSerious3 ай бұрын
Ameen ya rabbi a'lameen
@mukrimchumhaji5873 жыл бұрын
Allah amrehemu halikuniki kwa kweli😀😀😀
@sajdatomar22643 жыл бұрын
Marakaa tu huishi marakaaa yako yakwenu? Sijuiiiii hahhaha nimekumbuka mbali sana wallah
ZBC hizi flam mbona hamuziweki hizi ndizo hazina za kwetu hebu angaliyeni saaahivi watoto wote wameharibika kwa kuangaliya flam za Ki Magharib,Watoto Wote waliyowahi kuangaliya Flam hizi huko nyuma wengi wao wananheshma na Maadili mazur ila sio wa Sasa waliozoweya Flam za kibongo na Kikoreya.
@RioIpo4 жыл бұрын
Kabisa yaani mana nacheka tu mie
@mekkyymohd15413 жыл бұрын
Nikwl Broo tunapotea sna wakat huu
@uthaymaanashshiraaziyy24138 ай бұрын
Yesha weeeee😂
@hajjiameir63792 жыл бұрын
Uhakika uo..
@ghaniasalim28945 жыл бұрын
Na kama sikulidaka ungeniuuwaaaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@Litopapi155 жыл бұрын
Hahahahahaha
@saidsuleiman8275 жыл бұрын
Ghania Salim hahahaha
@RioIpo4 жыл бұрын
Hahahaha
@kairatiswahilli7024 Жыл бұрын
Na we Asa una zogo mtu halali 😅😅😅yesha
@yahyakuchi75013 жыл бұрын
kipwa kipwa kipwa cha nini🤑👍
@halimataibu31404 жыл бұрын
😂😂😂😂😂maraka tu
@RioIpo4 жыл бұрын
Hahahah iloooo iloo nini umenigonga hahaha
@ibrahimamey39902 жыл бұрын
nmelala vo🤣🤣
@bwengoabdallah25563 жыл бұрын
Hahaaaa mademaa shitii hukoo dah
@murattywamuratty97783 жыл бұрын
Kwa Zanzibar sidhani kama watatokea tena hawa, maana waliiweza saanaa kwa kipindi chao mpaka sasa sijaona kama wao
@uthaymaanashshiraaziyy24138 ай бұрын
Koti maraka😂😂😂
@othmankhalid663 жыл бұрын
Madema shttt naikumbuka kitambo sana
@maximusalnono64253 жыл бұрын
Na kama skulidaka ungeniuaa 😂😂 Maraaka tu kazi maraaka tu 😀
@RioIpo3 жыл бұрын
Ntu hulaliiii
@maximusalnono64253 жыл бұрын
@@RioIpo 🤣🤣🤣🤣
@Laajo1994Ай бұрын
madema shiti 😅😅
@ludacrissrangiyabank37373 жыл бұрын
Iloooo! Ilo nn?? Umenigonga hahahhahahahaa
@RioIpo3 жыл бұрын
Hahaha huyu Halikuni asaa msenge hahaha
@abdulhamidmusa89623 жыл бұрын
Genius
@ramadhanyussuf1433 жыл бұрын
ya kwenuu
@chiyanas11814 жыл бұрын
🤣🤣madama tuyatupe
@RioIpo4 жыл бұрын
Tuyatupe ukooo...Na mie nakushitingiii
@oparetionmaalum90303 жыл бұрын
Hizi filam lazima zienziwe ziekwe maeneo ya makumbusho ya serekali
@RioIpo3 жыл бұрын
Wala si uongo jamanii
@hamedmohammed89123 жыл бұрын
Eeeeh sekembuke hutaniwi
@RioIpo3 жыл бұрын
Mana uyo jini sina shaka mwanamke lakini ana uso w kiume 😅😅😅