Michezo ya zamani inafunza sana.kweli wapo watu wa aina hii.mashaka hodari sana mungu kamjaalia kipaji.
@tatuatut75425 жыл бұрын
Ahahaha sikwa msutohuo.lazina akome
@HajiAliKhamis8 ай бұрын
vya kale zahabu tutabaki kukumbuka lkn Zanzibar tumeimaliza wenyewe kwa fitna zetu na roho mbaya zetu mungu awastiri wazee wetu walio hai na waliotangulia mbele ya haki Zanzibar mama yetu tutaikumbuka daima dawama tutabaki kuangalia michezo ya utupu kutoka Tanganyika na wingi wa upotoshaji. masikini msi mkwa yuna mungu.
@sadakhamis12613 жыл бұрын
Chimbeni kheri hilo jina lako lko sawa na vitendo vyako