Marekani yatangaza vikwazo vipya dhidi ya Iran | VOA Swahili

  Рет қаралды 1,162

VOA Swahili

VOA Swahili

Күн бұрын

Marekani imetangaza vikwazo vipya dhidi ya Iran kutokana na hatua ya Tehran kuipatia silaha Russia ili zitumiwe katika uvamizi wake nchini Ukraine.
VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi.
Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000.
Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru.
Jiunge na VOA Swahili:
» Tembelea Tovuti Yetu: bit.ly/3PtyNWc
»Angalia Video Zaidi za VOASwahili: bit.ly/3TNTiiI
»Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : bit.ly/VOAPlus
»Download VOA+ katika vifaa vya Android bit.ly/3KykriI
»Tembelea Tovuti yetu: www.voaswahili...
»Upende ukurasa wetu wa Facebook: / voaswahili
»Tufuatilie katika Instagram: / voaswahili
»Tufuatilie katika X: / voaswahili
»Tufuatilie katika KZbin: / @voaswahili

Пікірлер: 8
@BreezyMnyama
@BreezyMnyama 3 күн бұрын
Us ❤
@AmaniMathod
@AmaniMathod 4 күн бұрын
Marekani wote ni mikund wazi
@nyotaramadhani66
@nyotaramadhani66 5 күн бұрын
Otane inakosea kufikiria.
@suhadsalim5528
@suhadsalim5528 3 күн бұрын
Ubepar ni unyama 😂😂😂😂
@DAVDChalse-db6tz
@DAVDChalse-db6tz 5 күн бұрын
Wahun tu Nyie habar Zenu za kitapel Nato na Ukraine wanachezea kichapo kutoka kwa mtaalam Putin lakn hamtangaz hatuwaamin Tena
@nyotaramadhani66
@nyotaramadhani66 5 күн бұрын
Mbona nato inatoa vifaa Ukraine kwanini urusi isipewe silaha nawashirika wake?
@AmaniMathod
@AmaniMathod 4 күн бұрын
Vikwazo vyenu havisaidii lolote mbwa nyie....
Duniani Leo
29:51
VOA Swahili
Рет қаралды 1,8 М.
Duniani Leo
29:51
VOA Swahili
Рет қаралды 2,9 М.
МЕБЕЛЬ ВЫДАСТ СОТРУДНИКАМ ПОЛИЦИИ ТАБЕЛЬНУЮ МЕБЕЛЬ
00:20
Bike vs Super Bike Fast Challenge
00:30
Russo
Рет қаралды 23 МЛН
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Роман Magic
Рет қаралды 107 МЛН
Suala la jinsia katika uchaguzi wa Marekani
3:45
VOA Swahili
Рет қаралды 1,4 М.
7 Signs That Someone Dislikes You and is Hiding it | STOIC PHILOSOPHY
27:50
Is peace possible with Netanyahu in Israel and Hamas in Gaza?
17:17
Channel 4 News
Рет қаралды 199 М.
Meza ya Duara : Ni Trump au Kamala uchaguzi wa rais Marekani?
41:03
МЕБЕЛЬ ВЫДАСТ СОТРУДНИКАМ ПОЛИЦИИ ТАБЕЛЬНУЮ МЕБЕЛЬ
00:20