OPERESHENI YA KUWASAKA WAASI DRC CONGO

  Рет қаралды 376,171

VOA Swahili

VOA Swahili

Күн бұрын

Hali ya usalama eneo la Beni Kivu Kaskazini imekuwa ni ya wasiwasi kwa muda mrefu kutokana na mauaji yanayofanywa na makundi ya waasi likiwemo kundi la ADF ambalo limeshutumiwa kuua zaidi ya watu 7000 toka mwaka 2013. Hivi leo basi tunakuletea ripoti maalum ambapo mwandishi wetu Austere Malivika ametembelea eneo hilo kufahamu zaidi kinachoendelea na juhudi zinazofanywa na serikali ya DRC katika kukabiliana na tatizo hili. #DL #VOA

Пікірлер: 121
@frediricknandonde1690
@frediricknandonde1690 3 жыл бұрын
Kazi ya jeshi sio ya kushobokea nakubali sana jeshi LA Congo kila siku mbilinge mungu awape nguvu 🙏👉🇹🇿
@pasteurelie4720
@pasteurelie4720 3 жыл бұрын
Après
@heritiertumusifuruvugwa7553
@heritiertumusifuruvugwa7553 2 жыл бұрын
Hatari sana na pole sana
@obedicamunani
@obedicamunani Жыл бұрын
Pamoja na mungu tuta shina
@salummzee9739
@salummzee9739 3 жыл бұрын
safi sana Wanajeshe ndio kazi yk kupigania TAIFA sio kuonea raia gaidi ndie wakumuangamiza wnanchi tuishi kwa Aman
@user-ek5sr4sd4r
@user-ek5sr4sd4r 5 ай бұрын
Mungu abewe sifa🎉🎉🎉🎉🎉
@hamadiselemani8665
@hamadiselemani8665 2 жыл бұрын
Kazi nzuri wapiganaji
@Jkemtranslators
@Jkemtranslators 3 жыл бұрын
Kiswahili kinatumika vizuri DRC ebu mwenyezi mungu awape amani
@heritiertumusifuruvugwa7553
@heritiertumusifuruvugwa7553 2 жыл бұрын
Beni pole saana. Wadunguzango pole kabisa
@anoldpotentin2446
@anoldpotentin2446 3 жыл бұрын
Mungu bariki jeshi letu la Tanzania JWTZ. Katika harakati za kulinda aman ya DRC
@rajabumiraji564
@rajabumiraji564 Жыл бұрын
Jwtz kulinda amani drc
@jesseykariuki4028
@jesseykariuki4028 3 жыл бұрын
Colonel Mamadou Ndala angalikuwepo, Beni ingalipata amani 2014! RIP!
@bjabdi6582
@bjabdi6582 3 жыл бұрын
Do you guys know know how Mamadou ndala was killed? Some said that was killed with his partner that was corrupted with Rwandan president. Is that true?
@jesseykariuki4028
@jesseykariuki4028 3 жыл бұрын
@@bjabdi6582 He was killed by his seniors from Kinshasa. They were afraid of how he was endeared by the people. He was a classical tactical field commander. He led his 42 battalion with ethics never witnessed before in DRC to-date. He was a great soul.
@bjabdi6582
@bjabdi6582 3 жыл бұрын
@@jesseykariuki4028 .That's so sad to hear that he was killed by his seniors from Kinshasa. That's why I said D.R.C 's Authorities and soldiers are so corrupt they even give damn about theirs civilians.
@moasiyena5012
@moasiyena5012 3 жыл бұрын
@@jesseykariuki4028 R.I.P.
@jacklinmasawe2697
@jacklinmasawe2697 2 жыл бұрын
Mungu wasaidie wanajeshi wetu wa tanzania
@wonderfulmedia4697
@wonderfulmedia4697 3 жыл бұрын
Umoja wa mataifa ni wanafki wanajua vizuri ya kwamba Raisi Museveni ndiyo muhifadhi mkubwa wa waasi hao.
@onesmokaganda9533
@onesmokaganda9533 3 жыл бұрын
0
@mursallusinde9189
@mursallusinde9189 3 жыл бұрын
Kifupi wanao nufaika na madini ya Congo ni Rwanda na uganda na mzungu pia analetasilaha anabadikishana na dhahabu.. Viongozi wa Congo bado wapo kweny usingiz mzito siku wakiamka madini yameisha🙌
@YohanaMorsi-yp1tk
@YohanaMorsi-yp1tk 6 ай бұрын
Mwandishi selemani Vika nakupa hongera sana na Mungu akulinde
@ZaireMudeba-lx8pt
@ZaireMudeba-lx8pt 6 ай бұрын
Hiii hali kweli Dunia,Mungu Congo imekufanyiya nini tunaomba utusamehe tupate amani onahiii hali sasa tufanye nini? Raïs tshiseketi tunakuomba wewe ndiye David,samusoni Musa tunakutegemeya Mungu akuogoze nawewe pia.
@dorcaskahindo8632
@dorcaskahindo8632 2 жыл бұрын
Pole sana, malgré ibi byote Mungu hata acha congo
@bilioneamwegole5138
@bilioneamwegole5138 3 жыл бұрын
Kuwepo na mwisho mapigano sasa jeshi la Africa lijiunge na ulinzi lazima utakuwepo bila ivo bado maana nchi moja itaenda kutetea ila nyingine ikibaki bas katika walio baki ndo waharifu wanaweza kiwa miongoz mwao wasio shirikishwa aman kongo na karibuni Tanzania mungu anawapenda siku moja amani itatawala jeshi letu lisiludi nyumba maana ndo kiapo cha jeshi kufia vitani
@mathewtwimanye92
@mathewtwimanye92 3 жыл бұрын
Issue kubwa nani anawafaziri waasi kwa siraha? Huyo Ndio mchawi, Duu madini yetu bado tunauawa mzungu hafai hata kidogo
@samoocoolingsystem93
@samoocoolingsystem93 3 жыл бұрын
Ni Kweli kabisa hao silaha wanapata wapi kama sio kuna mtu nyuma yao wanawapa
@maishacenter-eastafricatv3976
@maishacenter-eastafricatv3976 3 жыл бұрын
Wanapata Rwanda
@mursallusinde9189
@mursallusinde9189 3 жыл бұрын
@@samoocoolingsystem93 hakuna asiyejua kua rais kagame anahusuka moja kwa moja na vikundi baadhi ana husika navyo kuna tetesi nchi ya rwanda na uganda zina mikono yao ktk hiv vikundi lengo ni kupora madini... Nimefatilia kwa kina sana kuhusu hiv vikundi na aliye nyuma yake so sina Shaka na ninacho kiandika...... Kma unakumbuka wakti rais kikwete akiwa madarakani aliwahi kupeleka jeshi congo kulinda amani wakti ule kikundi cha M23 ndo kilikua tishio hasa na jeshi letu likaenda kufyeka wote mpka lile kundi likasambaa... Rais kikwete alipeleka jeshi kwa nia njema kabisa kunusuru wananchi na Mali zao.. Kilicho ibuka baada ya hapo rais kagame alianza maneno maneno sna baada ya lile tukio na alianza kumsakama kikwete waz waz ila sababu ilikua ni hiyo wale walikua ni vijana wake
@mursallusinde9189
@mursallusinde9189 3 жыл бұрын
@@samoocoolingsystem93 hakuna asiyejua kua rais kagame anahusuka moja kwa moja na vikundi baadhi ana husika navyo kuna tetesi nchi ya rwanda na uganda zina mikono yao ktk hiv vikundi lengo ni kupora madini... Nimefatilia kwa kina sana kuhusu hiv vikundi na aliye nyuma yake so sina Shaka na ninacho kiandika...... Kma unakumbuka wakti rais kikwete akiwa madarakani aliwahi kupeleka jeshi congo kulinda amani wakti ule kikundi cha M23 ndo kilikua tishio hasa na jeshi letu likaenda kufyeka wote mpka lile kundi likasambaa... Rais kikwete alipeleka jeshi kwa nia njema kabisa kunusuru wananchi na Mali zao.. Kilicho ibuka baada ya hapo rais kagame alianza maneno maneno sna baada ya lile tukio na alianza kumsakama kikwete waz waz ila sababu ilikua ni hiyo wale walikua ni vijana wake
@kizambohermaton3514
@kizambohermaton3514 3 жыл бұрын
Hii inaniudhi Sana!. Waasi vifaa vya kijeshi Wana to tumia nivya halo ya juu Sana. Wafrika tuache ujinga wakutumiwa na nchi za nje kuangamiza wafrika wenzetu. NANI ANAFADHILI MAKUNDI
@silayovitalis1625
@silayovitalis1625 Жыл бұрын
Yanga
@godisgood2114
@godisgood2114 3 жыл бұрын
My people Congolese We need to stand up and fight with this 3 country ouganda, Rwanda. And Burundi we need peace in East of congo
@rosemarysokoni1137
@rosemarysokoni1137 3 жыл бұрын
I'm nb inon
@mikewilliam6907
@mikewilliam6907 3 жыл бұрын
One love Tanzania
@chegekabati5819
@chegekabati5819 3 жыл бұрын
i have admired the general
@mathewtwimanye92
@mathewtwimanye92 3 жыл бұрын
Miaka 7 hawajawaangamiza waasi hayo ni maigizo kuna mchezo mchafu hapo
@alexambrose4722
@alexambrose4722 3 жыл бұрын
Kweli kabisa tatizo ni hizo mali
@therockn1666
@therockn1666 Жыл бұрын
ben,Ituri wanaitaji M23 ndio peke itaosha hawo wawuaji wa ADF kama vile imewafurusha FDRL ruschuru na masisi bira m23 ADF itawatesa mpaka
@jacklinmasawe2697
@jacklinmasawe2697 2 жыл бұрын
Jamani jenerali anaongea kiswairi vizuri mpaka lahaaaaaa
@kaboberdo227
@kaboberdo227 3 жыл бұрын
Bado kati ya Monusco kuna waasi pia, wanaoficha ADF fulani fulani, ni hasa wa kabila la wanyarwanda . Angalieni vizuri, mutawagunduwa kati ya Monusco kabla hawaja jificha.
@user-oy7vu5um3q
@user-oy7vu5um3q 6 ай бұрын
Jambo ndugu ivi leo waasi wanakuwa wapi ?
@mohamedabdullahi8874
@mohamedabdullahi8874 Жыл бұрын
If our kenya force managed to maintain peace and security through UN mandate of keeping peace In East Timor,Bosnian,Croatia,Liberiia,Angola,Sudan DRC Goma nini,we shall overun M23
@jamesmatondo29
@jamesmatondo29 3 жыл бұрын
Que le bon Dieu vous protege merci beaucoup notre FARDC
@germainwakati7429
@germainwakati7429 3 жыл бұрын
Jamani siwatuachie inchi yetu
@rwesimbibicharles8994
@rwesimbibicharles8994 3 жыл бұрын
Inauzunisha sana kbs
@jacklinmasawe2697
@jacklinmasawe2697 2 жыл бұрын
Mungu wasaidie wakongo waishi kwaamani
@hamisigazza2838
@hamisigazza2838 3 жыл бұрын
Mungu awasaidie sana wananchi wa congo
@wamunguemmanuel6784
@wamunguemmanuel6784 3 жыл бұрын
Hiyo askali, ya m7 ndiyo yanye, inahalibisha, congo
@francislomba7546
@francislomba7546 2 жыл бұрын
god is big
@Enemyofallah-y4u
@Enemyofallah-y4u 3 жыл бұрын
General afanani mazoezi sad 😞 RIP MAMADOU
@chingaboy6917
@chingaboy6917 3 жыл бұрын
Mungu awachome ao wauwaji
@rashid3562
@rashid3562 Жыл бұрын
Amani japo ya woga Tanzania tunajivunia
@bjabdi6582
@bjabdi6582 3 жыл бұрын
DRC needs to have the military who are not afraid like Mamadou ndala. Also, DRC soldiers some are very corrupt with Their neighbors countries such as Rwandan's government.
@georgemusubao4084
@georgemusubao4084 3 жыл бұрын
Cool
@amosmahona433
@amosmahona433 3 жыл бұрын
Halafu kuna bwege mmoja Tz akishiba anaanza KUOMBA vita
@capteinchuimchafu7894
@capteinchuimchafu7894 2 жыл бұрын
😁😁😁😁😁
@ndayishimiyejean6262
@ndayishimiyejean6262 Ай бұрын
Waace kubaguwana afraca ya waafrica banyamulenge ni wakongo
@lelozaina8711
@lelozaina8711 3 жыл бұрын
Drc tumeteseka sana akuna waasi watanaswa ni wongo ya serkali zetu
@KarimBelisa
@KarimBelisa 6 ай бұрын
Jambon tumefuraia kusikia ma ha bari kutoka sauti y'a radio bbc
@awardhakimu4777
@awardhakimu4777 3 жыл бұрын
Yani mm ningekua kiongozi wa Jeshi ningewauwa wote nchi kama congo ina lasilimari vip ulinzi kuwa dhaifu
@goldensensemedia.7906
@goldensensemedia.7906 2 жыл бұрын
Congo is facing military embargo, Kuna silaha hawaruhusiwi kununua baadhi ya silaha
@achillenamikomachilinlin1314
@achillenamikomachilinlin1314 3 жыл бұрын
Hatari sana
@Enemyofallah-y4u
@Enemyofallah-y4u 3 жыл бұрын
Serekali ya Congo una jali tu Kinshasa
@johnsonmangala2446
@johnsonmangala2446 3 жыл бұрын
Nafikiri kusudi tushinde wahasi wa adf nalu na vitendo vya ukaidi vinavyo fanika mashariki ya nchi yetu, tukate mausiano yeyote na Rwanda na uganda, kufunga mipaka yetu, baadaye kuondowa majeshi wageni kama wa nyarwanda ndani ya army yetu ya fardc, nakuachana na monusco sababu ndo wana lisha magaidi msituni na kuwapa silaa.
@naninana13346
@naninana13346 3 жыл бұрын
Kweli kabisaa
@achillenamikomachilinlin1314
@achillenamikomachilinlin1314 3 жыл бұрын
Monusco hakuna kazi yenye wanafanya generali
@nzeyimanaambari9754
@nzeyimanaambari9754 Жыл бұрын
Magharibi mbona hawajalaani huo uasi kweli wazungu mnatutesa ulimwenguni mna chochea muuwe mpwate
@mhifadhi797
@mhifadhi797 3 жыл бұрын
Wanatoa wapi silaha,risasi,vyakula na hifadhi mavazi🤣🤣
@rehemamlowe5104
@rehemamlowe5104 3 жыл бұрын
Laisi Wa Congo yupo kweli,wasaidie jamani Mbona shida
@mhifadhi797
@mhifadhi797 3 жыл бұрын
@@rehemamlowe5104 tatizo wanapenda ili wapate misaada
@godfreyobadiah7892
@godfreyobadiah7892 Жыл бұрын
Wazungu wanaomdanganya Kagame ajihadhari, watamgeuka km walivyofanya kwa Savimbi wa Angola.
@neuillyjoyce1228
@neuillyjoyce1228 3 жыл бұрын
Rip mamadou ndala
@ndelaphilip1097
@ndelaphilip1097 Жыл бұрын
Nela
@kapasakitengewalumweno9448
@kapasakitengewalumweno9448 3 жыл бұрын
ENDELEYENI HADI UGANDA MZEE!!
@donmlevi
@donmlevi 3 жыл бұрын
Poa poa Mary Mgawe
@kizambohermaton3514
@kizambohermaton3514 3 жыл бұрын
Nani ANAFADHILI wa waasi Hawa?. Wafrika tutauna Hadi lini?. Maraisi wa uganda,rwanda na drc wanakuja ukweli wa MAKUNDI haya jameni tuongee ukweli. Inaniudhi Sana kuona watoto wadogo wakipitia mateso yakutisha. Mlungu bariki africa.
@karimadgul8914
@karimadgul8914 3 жыл бұрын
Yooooo pol
@coloradocity3669
@coloradocity3669 3 жыл бұрын
STP BO TRADUIRE BISO NA LINGALA, BAZALI KOLOBA NINI PO NAMONI BALAKISI CASQUE BLEU MOKO YA SOLDAT MOKO ????
@djosskiala1845
@djosskiala1845 3 жыл бұрын
Inafa ma bass ziwekue kila pali
@jacklinmasawe2697
@jacklinmasawe2697 2 жыл бұрын
Tuishi kwaaman Tanzania vita mbay
@greysonmheni5176
@greysonmheni5176 2 жыл бұрын
Miaka 20 umoja wa mataifa una walinzi wa amani huko lkn hakuna mabadiliko yoyote ya maana,hizi ni mbinu tu za kusababisha mgogoro uendelee ili kuiba madini ya congo.Viongoziwakiafrika mkiendelea kuwategemea hawa mbwa wa kizungu mtaendelee kuteseka na kuwatesa raia wenu milele,acheni unafiki
@johnyagat973
@johnyagat973 3 жыл бұрын
Wangeacha vita wakaingiza pesa za kigeni kwenye milima ya rwenzori kwa kupokea wageni na sio vita acheni vita sisi africa ni moja
@namirembedenise3393
@namirembedenise3393 7 ай бұрын
🙏🙏😳😳💪
@bmsecuritydorchester2844
@bmsecuritydorchester2844 3 жыл бұрын
Jeshi la monusco na jeshi la rwanda ndo wanajeshi wanao wauwa watu kutaka waache miji wazi wa tusti kutoka rwanda waje wakakae ndani ya miji kitu ambacho hakita wezekana kamwe...!, pia video zote hizo ndugu mtangazaji anazotuonyesha heti wanapiga ni uhongo mtupu hakuna mtu ao waasi wanao pambana nao hongo yao wanajifyaturia risase bure tu, hizo ngombe hizo...!
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 3 жыл бұрын
Izo ni biashara za wazungu, baana,yaaani zitoke ndenge zote za kivita,Askari wote wa Dunia hiii ,halafu hao washenzi wabakie
@selemanabdalla342
@selemanabdalla342 3 жыл бұрын
Waasi wakubwa Ni hao wanaojiita jeshi la umoja wa mataifa hilo Ni jeshi la wauwaji wakubwa hata hao waasi wao ndio wanawafadhili kuuwauwa wakongo utumwa wa kiakili
@musangamfuracelestin6629
@musangamfuracelestin6629 Жыл бұрын
Tanzania ntamanyanga ntacyinyoma ariko umucyino uraho Kongo uri kurwego rwo hejuru.
@noemwamba2366
@noemwamba2366 2 жыл бұрын
Nzambe tala ba congolais
@bmsecuritydorchester2844
@bmsecuritydorchester2844 3 жыл бұрын
Waasi ni hao hao wanajeshi kutoka rwanda ndo wanao huwa watu hovyo!
@joelnyabwana5096
@joelnyabwana5096 3 жыл бұрын
Courage FARDC💪💪💪
@ndevundavo7798
@ndevundavo7798 2 жыл бұрын
Ao ukiwawekea tu ngoma ya koffi olomide na siraha wanatupa wanaanza katika viuno
@estajeanette7487
@estajeanette7487 Жыл бұрын
Ndevu. Funga matako yako.
@aleyidukury8333
@aleyidukury8333 Жыл бұрын
Yote hayo yanaletwa na marekani Putin ndio muokoz wetu
@bugaleriziki5633
@bugaleriziki5633 2 жыл бұрын
Sasa serekali ya congo inachunga nini kwanini wasichunge mipaka sasa rais wa congo ni mavi mwenyewe
@husseinmndeme5380
@husseinmndeme5380 Жыл бұрын
Tunaomba amani idumu Kwa jirani yetu
@taylorsuapatv5171
@taylorsuapatv5171 2 жыл бұрын
Merci beaucoup à nos vaillant militaire que le Dieu très haut vous protège et qu'il nous donne la victoire
@user-ig1ln8jt2e
@user-ig1ln8jt2e 11 ай бұрын
ba soda ya Rwanda bakotata na Congo bavadi bisope tokota kuna tovanda totikate bango babomibiso mingi
@user-ig1ln8jt2e
@user-ig1ln8jt2e 11 ай бұрын
biso tozanga baboti likolo nabango
@wonderfulmedia4697
@wonderfulmedia4697 3 жыл бұрын
Msipige adui mumupige President Museveni yeye ndiye mwenyeji wa Kundi hilo la waasi hao.
@gapitadenis3542
@gapitadenis3542 3 жыл бұрын
Itafikiya hata Goma wenye wariwuwa Ambasadeur wa itali ni Mai Mai Ya Serufuri hutu
@SYAVUYIRWA_SYAYIPUMA
@SYAVUYIRWA_SYAYIPUMA 3 жыл бұрын
Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩 yetu 😭😭😭😭😭😭😘😘
@othmanally1230
@othmanally1230 3 жыл бұрын
Kongo Kongo hambaliki mm tangu Nina soma darasa LA tatu mpaka Leo ninawatoto 5 nasikiaga Kongo ni vita tu badilikeni na mumrudie mungu
@SYAVUYIRWA_SYAYIPUMA
@SYAVUYIRWA_SYAYIPUMA 3 жыл бұрын
Ma ngumu uku
@tonnyanthonys2159
@tonnyanthonys2159 3 жыл бұрын
Kwani shida hua ni ipi kule., Ni muda sasa nikisikia hizi vita.
@kelvinluoga5140
@kelvinluoga5140 3 жыл бұрын
Miaka Saba Jeshi gani hilo
@veroniquelukama1272
@veroniquelukama1272 Жыл бұрын
Kanga.monoko
@abusuleyman9289
@abusuleyman9289 3 жыл бұрын
Usiseme ADF SEMA ISLAMIC STATE ili watu wajue nmagaid ao syo waas
@emmanuelmarafiki1022
@emmanuelmarafiki1022 2 жыл бұрын
Cirimwabo tunagufata aboba fpr musibitikiye kogombanisha mone sikosiyobizuri
@lelozaina8711
@lelozaina8711 3 жыл бұрын
Wongooo mtupu wanasiyasa wetu ndo wenye gundi la waasi
@nondombilizi6624
@nondombilizi6624 3 жыл бұрын
Acheni magizi
@emmanuelekuwa4875
@emmanuelekuwa4875 2 жыл бұрын
Dieu va punir tous faux Congolais qui sont en intelligence avec les Ruandais pour haute trahison.
@sungesonji4412
@sungesonji4412 3 жыл бұрын
Monusco ndio inawapa silaha! Watu wanauwawa machoni pa monusco, sijui hao majeshi ya UN inafanya nini tuwafukuze na kuwauwa. Raia wa Kongo tusimame tuwafukuze monusco, na wa multinationales, na hao wazungu ambao wako mu virunga wote hao ndio wanathamini waasi wote nchini Kongo lazima tuanze kuwauwa sasa
@pendaelydckson645
@pendaelydckson645 3 жыл бұрын
Polen wakongo mani
@maishacenter-eastafricatv3976
@maishacenter-eastafricatv3976 3 жыл бұрын
FARDC hampendi nachi yenu
@irakozejclaude7869
@irakozejclaude7869 3 жыл бұрын
Kacheze lumba tu eti amani inanza kurudi kidogodogo😆
@philiponghwagi3552
@philiponghwagi3552 3 жыл бұрын
Pumbavu hamnamnalofanya
@karimadgul8914
@karimadgul8914 3 жыл бұрын
😂😂😂
@rukundoibrahim807
@rukundoibrahim807 3 жыл бұрын
ni huzuni kabisa kwa hao wajinga wanao wadhuru watu jeshi la DRC waendeleye na kazi yao wakisaidiana na umoja wamataifa.
Duniani Leo
29:51
VOA Swahili
Рет қаралды 4,3 М.
Glow Stick Secret Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 18 МЛН
Nurse's Mission: Bringing Joy to Young Lives #shorts
00:17
Fabiosa Stories
Рет қаралды 14 МЛН
English or Spanish 🤣
00:16
GL Show
Рет қаралды 15 МЛН
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11
超凡蜘蛛
Рет қаралды 16 МЛН
Vita inayoendelea kati ya FARDC na waasi nchini DRC.
7:13
VOA Swahili
Рет қаралды 1,9 МЛН
Jeshi la Congo linasonga mbele dhidi ya ADF-Nalu
4:25
VOA Swahili
Рет қаралды 602 М.
Sometimes in April
8:54
Idris Elba
Рет қаралды 22 МЛН
Waasi Wa M23 Wasalimu Amri
4:08
Ebru TV Kenya
Рет қаралды 169 М.
Kinshasa yawataka M23 kujisalimisha
4:29
VOA Swahili
Рет қаралды 227 М.
Mapigano Virunga nchini DRC kati ya waasi na jeshi la Congo FARDC
2:57
4 Days In A Jungle- ACHIASE, EASTERN REGION-GHANA
12:19
Nabil Ahmed Rufai
Рет қаралды 3,3 МЛН
Glow Stick Secret Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 18 МЛН