Kwamahana jina la Mungu latukanwa katika nataifa kwa ajili yetu 😢 izo ni pepo ndizo zanazowaongoza kuimba mambo yaki shetani.
@helvetasswiss4638 Жыл бұрын
Zanzibar kwa Yesu
@v.p.cchoir.ukombozitunduma6716 Жыл бұрын
Hakika
@saidhamic27962 жыл бұрын
Make hapo nicheke kwanza 😂😂😂 mweeeeeee Mungu awasaidiie
@michaelchapanga1789 Жыл бұрын
Warumi 12 sura yote kutoifuatisha namna ya dunia hii kwa namna yoyote ile huu ni upagani
@v.p.cchoir.ukombozitunduma6716 Жыл бұрын
Asante Kwa kutoa kifungu naomba uniambie kifungu kipi kimeandika mipigo ya mbinguni namakirikiri mnazo tumia zenyewe zmetoka wap
@kelvinjuma80122 жыл бұрын
Jaman hongelen san kazi yen ninjema msiteteleke pigenen kazi
@v.p.cchoir.ukombozitunduma67162 жыл бұрын
Ameen mpendwa
@Allyjumaally-ex9vg3 ай бұрын
nimependa ujumbe
@v.p.cchoir.ukombozitunduma67163 ай бұрын
@@Allyjumaally-ex9vg ubarkiwe mtumishi
@TitoPhilimoni-jb5kr5 ай бұрын
Mambo ni moto💥💥💥
@lukakanawematz5514 Жыл бұрын
Naona muda zaidi ulitumika saluni sio katika maombi.
@v.p.cchoir.ukombozitunduma671610 ай бұрын
Asante malaika mtakatifu uliyetuona huko ila usisahau kuturudisha
@francisfidelis170318 күн бұрын
@@v.p.cchoir.ukombozitunduma6716 munashauiliwa ila viburi vimewajaa ,, geukeni kaeni kwenye magoti ndio muimbe nyimbo , hizo nyimbo hazina miongozo za Roho mtakatifu
@francisfidelis170318 күн бұрын
tumekwisha, iyo ni burudani kama burudani nyingine YESU hayupo hapo
@neemasamwel8968 Жыл бұрын
Mungu awabariki sana kazi yenu ni njema kama mnajua mnaemwimbia maneno ya watu ni kama upepo hayawezi zuia msimwimbie Mungu
@v.p.cchoir.ukombozitunduma6716 Жыл бұрын
Amina mtushi mungu akubarki xana
@BJM-j2t8 ай бұрын
Sini tamu hii wazi ❤
@suzanamkanula7763 Жыл бұрын
Ufwezu 😏😏😏😏😏
@gssen33132 жыл бұрын
Makofi kwa mtunzi wa wimboo much love from Tunduma ❤🎉🥰🥰🥰
@TumsifuKipege-lu4fm Жыл бұрын
Mbarikiweeee
@v.p.cchoir.ukombozitunduma6716 Жыл бұрын
Amina mtumish
@Moudgram Жыл бұрын
AMEN 🙏 🙏 ❤❤❤
@v.p.cchoir.ukombozitunduma6716 Жыл бұрын
Barkiwa sana mtumishi
@andrewasagwile71622 жыл бұрын
Safi sana kazi nzuri sana pongezi kwako producer Kings Music Production I appreciate you bro
@v.p.cchoir.ukombozitunduma67162 жыл бұрын
Daah huyu kings kama hajaoa tutamtafutia mke huku ikumbilo ileje maana kazi yake nzuri sana😄😄💪💪💪
@Davidmwakipesile-tq7oh Жыл бұрын
Mungu wa mbinguni awape uwezo na mafunuo zaidi
@v.p.cchoir.ukombozitunduma6716 Жыл бұрын
Amina mtumishi wa mungu
@utukufukwayambozi35362 жыл бұрын
pongezi kwenu waheshimiwa@
@v.p.cchoir.ukombozitunduma67162 жыл бұрын
Amina mtumishi
@samsonmbondo26462 жыл бұрын
Hogereni sana mungu awazidishie ekima, mbondo Kenya mtito andei
@v.p.cchoir.ukombozitunduma67162 жыл бұрын
Amina Kwa maombi yako
@ayoubdallu44762 жыл бұрын
Nyie watu nawapenda mpaka basi from iringa namuona furaha chengula anavunja sana🔥🔥
@v.p.cchoir.ukombozitunduma67162 жыл бұрын
Tunakupenda pia kaka Yesu akupe neema na kibari
@gideonleonceelias54232 жыл бұрын
Wooow nimependa, uimbaji, nimependa production, nimependa ujumbe, kwakweli kazi njema mengine sijui ila naamini kazi ya Mungu imefanyika
@rebeccambembela6696 Жыл бұрын
Uimbaji mzuri jumbe nzuri, asiye elewa mfumo anyamaze kimya
@v.p.cchoir.ukombozitunduma6716 Жыл бұрын
Hakika dada yetu mungu akubarki sana
@Wakio231 Жыл бұрын
This song is mostly played on Hope fm here in Kenya, it's the message for me 😊😊😊.
@punchline86562 жыл бұрын
KENYA yaipenda karibu kanairo
@v.p.cchoir.ukombozitunduma67162 жыл бұрын
On day tutakaribia Yesu atupe neema na uzima tu
@mlokolevince2 жыл бұрын
swaaaaaafe saaaana, huu ndo unaitwa utunzi kwa mpigo..... good melody, massage iko shambamba.... penda sana hii
@v.p.cchoir.ukombozitunduma67162 жыл бұрын
Asante mtushi barkiwa
@ukhutfatumah11542 жыл бұрын
Kikubwa ujumbe umetufikia Kaz nzul mno kila. Hatua dua
@v.p.cchoir.ukombozitunduma67162 жыл бұрын
Yes
@afandebrighttz28872 жыл бұрын
Ewaaaaaa vijana wangu nyieeeeee hatariiiii hatariiiiiiiiiii,,,,,,hiiii kazi lazima iende mjini kabsaaaaaaaaa ulaya ulayaaaaa
@v.p.cchoir.ukombozitunduma67162 жыл бұрын
Meneja wetu umetutoa mbali usituache kwakweli tusaidie tu hvo hvo hata kama haujaoa mkoani kwetu😢😢
@afandebrighttz28872 жыл бұрын
@@v.p.cchoir.ukombozitunduma6716 hahahaaaaa
@rehemaabinelynyagawa28782 жыл бұрын
😂😂😂😂😂Mungu atuhurumie kwa kweli
@exaverymasinga30972 жыл бұрын
Sio sawa
@rehemaabinelynyagawa28782 жыл бұрын
@@exaverymasinga3097 siyo sawa nini?
@exaverymasinga30972 жыл бұрын
@@rehemaabinelynyagawa2878 taarabu na kwaya Haijanibariki hata
@rehemaabinelynyagawa28782 жыл бұрын
@@exaverymasinga3097 siyo wewe tu mpendwa hata mimi tunapotea sawa wakiristo Mungu hana fashion ndiyo maana hata vigezo vya kwenda mbinguni havibadiliki
@tomkyalo1107 Жыл бұрын
@@exaverymasinga3097 there is no problem is best way to spread gospel to everyone
@elizabethnamgallah2503 Жыл бұрын
nawapena sana ninyi
@ramadhanmahongole92932 жыл бұрын
Mko vizuri kuliko hata kina mzee yusuph
@v.p.cchoir.ukombozitunduma67162 жыл бұрын
Haaaa asante
@christianmartin39542 жыл бұрын
Kaz nzuri sana taarabu n melody ya mziki kama melody zingine kkubwa ujumbe ulioimbwa
@v.p.cchoir.ukombozitunduma67162 жыл бұрын
Pamoja sana
@matrida.lunyilija51965 күн бұрын
Amina hakika
@safisimkoko19322 жыл бұрын
Safisana barikiwasana ninyinyooote Mr SAFI from kamsamba Songwe
@v.p.cchoir.ukombozitunduma67162 жыл бұрын
Amina mtumish
@godfreykidaha2981 Жыл бұрын
Wapendwa Mimi NI ndugu katika Kristo na tokea Kenya Jimbo la Kakamega. Na waunga mkono asilimia kwa Mia Nia ya muimbaji maadili na maana ya wimbo ndiyo ya muhimu, endeleeni kumhubiri Kristo msibabaishwe na mafarisayo na wenye dini walikuwepo tangu siku za Yohana na walimsumbua Yesu Kristo sana. Hapo huwa hawaikoki ila hutukuza dini na tamaduni zao
@v.p.cchoir.ukombozitunduma6716 Жыл бұрын
Asante sana mtumish barkiwa sana
@LuciaChedego Жыл бұрын
❤ nawapenda sana Mungu awalinde
@v.p.cchoir.ukombozitunduma6716 Жыл бұрын
Asante sana mungu akubarki nac tunakupenda
@meshacklazaro8376 Жыл бұрын
Mziki sio dhambi kwa Mungu maaaana hata uko mbinguni vitabu vinasema malaika wanaimba na kusifu wametengeneza biti ila maneno wameweka ya kumtukuza Mungu kama mkristo tengeneza biti la haina yoyote ile ila weka maneno ya Mungu
@v.p.cchoir.ukombozitunduma6716 Жыл бұрын
Barkiwa mtumishi wa mungu
@asheligeorge19455 ай бұрын
Mko vizr
@alloycejames52852 жыл бұрын
Moto
@v.p.cchoir.ukombozitunduma67162 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@godymasira8365 Жыл бұрын
Maji ya ugali haioshwi utabadili mboga lakini chumvi ni ile ile noma sana
@v.p.cchoir.ukombozitunduma6716 Жыл бұрын
Barkiwa
@halizonihongoli46862 жыл бұрын
Tulioletwa na @TIGER MNYAMA mikono juu✌✌✌ Kazi nzurii
@shemejishemeji24612 жыл бұрын
Mngu awainuwe ujumbe mzuri
@LizzieNduati Жыл бұрын
❤❤
@mangolehs24192 жыл бұрын
usibeze creativity hata nyimbo ya dini nayo ni sanaa,unafikishaje ujumbe watu wawasikilize ,wametumia usanii na ubunifu,
@v.p.cchoir.ukombozitunduma67162 жыл бұрын
Shukrani sana mpendwa wachache wana neema ya kutambua kama ww
@rosemichael52689 ай бұрын
🙏🙏😭✨️
@siwemamsesa-ho6tx Жыл бұрын
Mungu awabariki sana watumishi
@v.p.cchoir.ukombozitunduma6716 Жыл бұрын
Amina barkiwa mtumishi
@emmanuelmulumaita91862 жыл бұрын
I like this from Kenya, lazima tuingie kila mahali. We have to conquer every field
@v.p.cchoir.ukombozitunduma67162 жыл бұрын
Barikwa sana tunawapenda sana watu wa kenya
@stevenerasto8172 жыл бұрын
Mmetisha wana Mungu
@v.p.cchoir.ukombozitunduma67162 жыл бұрын
Asante sana mpendwa
@edwintelewah288 Жыл бұрын
Kazi safiii...
@v.p.cchoir.ukombozitunduma6716 Жыл бұрын
Asante sana barkiwa
@pastoryohanasimfukwe9772 жыл бұрын
Hongeren saana Yesu awabariki
@afandebrighttz28872 жыл бұрын
Vijana wameupiga mwingisana
@v.p.cchoir.ukombozitunduma67162 жыл бұрын
DAAH WEWE SIO MCHUNGAJI WETU, WEWE NI BABA YETU MBEBA MAONO WETU, HUWA HATUTETEREKI MAANA UMETUFUNDISHA JINSI YA KUMSHIKA YESU NA KUENENDA UBARIKIWE BABA YETU NA MAMA YETU HAKIKA HATA HATUJUTI KUWA CHINI YAKO🥰🥰🥰💖💖💖
The most played song on Hope FM radio station in Kenya 🇰🇪🇰🇪
@Wakio231 Жыл бұрын
Kumbe unajua pia 😅😅😅 na Amani Aila.
@fadhilimbeyale45812 жыл бұрын
Hongereni sana kikubwa ujumbe ni mzuri sana Mungu awainue zaidi
@LinnetNafula2 жыл бұрын
Huu wimbo ni 🔥🔥🔥🙌. Mungu abariki kazi yake isonge mbele ❤️
@v.p.cchoir.ukombozitunduma67162 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@v.p.cchoir.ukombozitunduma67162 жыл бұрын
Waaow asante sana mpendwa ubarikiwe sana
@malombomwarumba81432 жыл бұрын
Basi nikafikiria ni cover ya Upendo Nkone.... Beautiful song
@v.p.cchoir.ukombozitunduma67162 жыл бұрын
Asante sana mpendwa
@givenjackson54492 жыл бұрын
Navyoupenda huu wimbo n atar mbarikiwe sana watumishi
@barakamwaitebele69292 жыл бұрын
Wacha weee kwa Mungu kuzuri Sana.
@v.p.cchoir.ukombozitunduma67162 жыл бұрын
Ubarikiwe madam mrs shayo
@v.p.cchoir.ukombozitunduma67162 жыл бұрын
Asante sana mzee wa nafsi yainama pastor mtarajiwa
@esthersiwakwi32712 жыл бұрын
Jamani hongereni iko vizur mungu awabariki
@v.p.cchoir.ukombozitunduma67162 жыл бұрын
Asante sana dada yetu
@joskyshams47582 жыл бұрын
Yule mtoto ni dancer uweeee
@serafinamalecela47282 жыл бұрын
Bonge la songiiiiii❤️🔥🔥love from carfonia USA
@v.p.cchoir.ukombozitunduma67162 жыл бұрын
Asante sana mpendwa🥰🥰
@chrispinoyuga4485 Жыл бұрын
Wazi ahsante yesu . Hata yesu alitumia mafumbo kwa mafundisho yake😅
@manyanyazakaria2 жыл бұрын
Sawa safiii
@v.p.cchoir.ukombozitunduma67162 жыл бұрын
Asante sana presenter wetu wa nguvu barikiwa snaa🥰🥰
@mustyjohn43942 жыл бұрын
Mhhhh 🤓 walokole tunaelekea kuuharibu ukiristo unaenda kuwa kielelezo kibaya Cha ukristo kwa watu wasio mjua yesu hivi utaanzaje kuwahubiria ikiwa anaona mpaka michambo kanisan mungu atuponye Sana tufikiri kabla ya kutenda
@v.p.cchoir.ukombozitunduma67162 жыл бұрын
Asante
@neemakilingo82822 жыл бұрын
Kwani wamechamba jmn au ni Melody ndio imewavuruga
@bettyprosper89112 жыл бұрын
Eeh we ndo Mungu sasa
@rizikidada97902 жыл бұрын
Umeona eeh shetani anatenda watu kwa akili sana!!
@shemejishemeji24612 жыл бұрын
Hongereni sana wanawa mngu kaziyenu ninjema sijaona jumbeyoyote mbayahapo warayamatusi hongereni kwa ujumbewenu nzuri mnguawainuwe zaidinazaidi mbarikiwe sana
@martinlema7328 Жыл бұрын
Love yoooou...
@joskyshams47582 жыл бұрын
Moto ni ule ule lakini Mungu hamuwachi acha wake 💃🤸🤸🎶🎸🎵
@mckaparo2549 Жыл бұрын
SWEET ❤
@mariajerome7262 жыл бұрын
Kwenye shida/ taabu nitainuka 🔥🔥🙏🏻🙏🏻🙌🏾🙌🏾
@v.p.cchoir.ukombozitunduma67162 жыл бұрын
Hakika utainuka barikiwa
@bettyprosper89112 жыл бұрын
Naipenda sana nyimbo hii ina ujumbe mzuri sana hongereni kwa content nzuriiii,injili ni ubanifu
@v.p.cchoir.ukombozitunduma67162 жыл бұрын
Asante kipenzi wetu ubarikiwe sana tunakupenda sana
@v.p.cchoir.ukombozitunduma67162 жыл бұрын
Asante kipenzi wetu ubarikiwe sana tunakupenda sana
@neemapetertungu6772 жыл бұрын
wimbo ni mzuri sana kuokoka ndio habari ya mjini.
@v.p.cchoir.ukombozitunduma67162 жыл бұрын
Kabisaaaa kipenzi chetu🥰🥰🥰🥰 ubarikiwe sana
@neemasimbeye54072 жыл бұрын
Nimeupenda huu wimbo adi sio poa hongereni sana
@generallebonanza66542 жыл бұрын
Mkojuuu mmetikisa nchi
@v.p.cchoir.ukombozitunduma67162 жыл бұрын
Utukufu kwa jehovah assantee
@francismandi70382 жыл бұрын
Hongereni sana. More Love from Mombasa Kenya
@v.p.cchoir.ukombozitunduma67162 жыл бұрын
Waaow be blessed tunakupenda pia
@emeridasamson6962 жыл бұрын
Tumewalewa sana
@v.p.cchoir.ukombozitunduma67162 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@benithokifanga54922 жыл бұрын
Mungu awabariki
@v.p.cchoir.ukombozitunduma67162 жыл бұрын
Ameen mpendwa ubarikiwe sana
@benmwasakujonga35752 жыл бұрын
Keep going nice song sisi watumishi tumeikubali
@jasirimjasirimedia79402 жыл бұрын
Kazi njema sana
@v.p.cchoir.ukombozitunduma67162 жыл бұрын
Asante mpendwa tunashukuru sana
@DIRECTORHMWAKA2 жыл бұрын
Mbarikiwe sana
@v.p.cchoir.ukombozitunduma67162 жыл бұрын
Ameen ubarikiwe sana mpendwa
@emmanuellyala95782 жыл бұрын
Nimeiona
@a.j.m97402 жыл бұрын
Waoooooooo king music production
@v.p.cchoir.ukombozitunduma67162 жыл бұрын
The music that reign
@givenjackson54492 жыл бұрын
My husband JGR Kuna ujumbe uku wa adui zetu watabadili mboga tuu chumvi ni ile ile tunalindwa na YESU HEHEHEEEEYAAAAA
@v.p.cchoir.ukombozitunduma67162 жыл бұрын
WAAOW YESU AWALINDE DHIDI YA HAO MAADUI NA AWAPE KUFANIKIWA MBELE YA MACHO YAO
@givenjackson54492 жыл бұрын
@@v.p.cchoir.ukombozitunduma6716 Ameeeeen mbarikiwe sana
@jackgeorge13092 жыл бұрын
Haahaa kwakweli mke wanguu... I'm in love with this song aisee🙌🙌
@givenjackson54492 жыл бұрын
@@jackgeorge1309 heheheiyaaaaa let's keep enjoying the good music Mme wangu
@TUMAINIMBEMBELA72 жыл бұрын
Hongera Sana VPC kwa wimbo mzuri wenye ujumbe mzuri keep it up. Endelea kuleta na zingine maana nawajua hamnaga kazi ndogo
@v.p.cchoir.ukombozitunduma67162 жыл бұрын
Asante sana mama lao mwimbaji wa kimataifa ubarikiwe sana
@omarympogole9234 Жыл бұрын
Wameimba vzr, ujumbe mzr na pia wamevaa vzr hongereni sana.
@fahadabdul73392 жыл бұрын
Kitu changu 🔥💯
@shadrackmwazembe12512 жыл бұрын
Nyimbo nzulii
@v.p.cchoir.ukombozitunduma67162 жыл бұрын
Shukran sana mpendwa
@v.p.cchoir.ukombozitunduma67162 жыл бұрын
💪💪🔥🔥 asante sana
@MrPeterkori2 жыл бұрын
Mwenye kisima hapangi foleni. 🔥🔥
@v.p.cchoir.ukombozitunduma67162 жыл бұрын
Kweli kabisaaa mpendwa🔥🔥
@alloycejames52852 жыл бұрын
Huyo dogo hapo mbele noma
@v.p.cchoir.ukombozitunduma67162 жыл бұрын
ASANTE KWA NIABA YAKE👏👏👏
@dorcahogeto15442 жыл бұрын
heheeeyaaaa,
@v.p.cchoir.ukombozitunduma67162 жыл бұрын
Maji ya ugali hayaonjwi ee
@mtanzaniahalisi12132 жыл бұрын
Big up sana
@pachopoultry11162 жыл бұрын
Wow this is pure talent being used to Spread the word, keep up
@Davidmwakipesile-tq7oh Жыл бұрын
Mungu ni yote barikiwa
@aictabatachoir2 жыл бұрын
Good Idea 👍
@eliezamwanika53692 жыл бұрын
Ukimuona kuku kwa mganga ujue kaponzwa na rangi yake