Nawashaharibiwa kwa jina la Yesu 🤸🏼♀️🤸🏼♀️🤸🏼♀️🤸🏼♀️🤸🏼♀️🤸🏼♀️🤸🏼♀️
@elizabethmedson8032 жыл бұрын
Tumeipokea kazi ya kibabe sana
@glorymoses59042 жыл бұрын
Aisee nyie ni noumaa jmn mmh kwakweli wahalibiweee kabisa kabisa!😬🙌💃
@dennycdenny64642 жыл бұрын
Baba waharibiee Mmbarikiwe sanaa Wapendwa mwendo wa kuwaharibiwa tu na Baba Hongereni ✨✨✨
@atupelemussa18842 жыл бұрын
Naangalia mara mbili mbilii hata sichokiiii guyzzzz hahahahaa uuuwiiii wimbooo hauchoshiiii kusikiliza na kutazama embuu unganisha na Bluetooth ya radio yakoo aiseeeee hahahaha n 🔥🔥🔥🔥🔥
@mountaintopnetworks53373 ай бұрын
Na wale wanaosema kuwa huu wimbo haufai waharibie... baba waharibie...!!!
@joyceminja21582 жыл бұрын
Am a big fan.. hongereni sanaaa the survivor choir
@kwayayamt.benedicto-kmbpar120219 күн бұрын
kamala umeshindikana bro aiseeeee ni motoooooo
@lucypaulo69122 жыл бұрын
Kazi nzr sana mbarikiwe
@tinamassawe1322 жыл бұрын
Nyie watu mmeuaaaa🔥🔥🔥🔥🔥, Waharibie lugha wasinie mamoja......... mmejua kutisha sana🔥🔥🔥
@fredmwakataghe1472 жыл бұрын
Barikiwa sana mama Chrs
@fredmwakataghe1472 жыл бұрын
Umetisha pia
@vitarisdaud95032 жыл бұрын
Duh The survivor gospal choir 🔥🔥🔥!!!hakika motoooo kweli kweli "Waharibie""💪👊👊 by Ezekielsaulzibwe
@witomwakilema89362 жыл бұрын
Naenjoy kuutazama hauchoshi kabisa. you guys are blessed
@ephraimalphonce94332 жыл бұрын
Unawapelekea 🔥 afu waharibie kbx aniii
@thesurvivorsgospelchoir2 жыл бұрын
❤❤
@atupelemussa18842 жыл бұрын
Mguuu mmj juu n wa pili juuu,piga makofi👏👏kwa YESUU piga makofiiii😍🔥🔥🔥🔥🔥
@alicemutasa28142 жыл бұрын
Waharibie baba 😍🙌🙌
@emilyomondi92472 жыл бұрын
Hii kali kabisa. Am joining survivors in this one...Baba waharibie ..wavurugie
@akubupaul36132 жыл бұрын
Yaaani niko narudia Rudia mara mbili daaah mmetishaaa sanaa
@komandowayesu36422 жыл бұрын
Kazi nzuri. Hongereni sana 🔥
@thesurvivorsgospelchoir2 жыл бұрын
Ahsante sana ,Barikiwq sana mtumishi
@atupelemussa18842 жыл бұрын
MUNGU akutunzeee mwandishii wa hii nyimbooo akuwekee maisha bukuuuuuuuuuuuu 🥰🙌🙌🙌🙌🙌
@thesurvivorsgospelchoir2 жыл бұрын
Amen. Barikiwa sana
@ernestabel4808 Жыл бұрын
❤Penda sana wimbo mzuli sana ❤❤ Mungu waharibie kweli maadui wa mafanikio niwengi katika dunia hii🙏
@lilianreuben9096 Жыл бұрын
Wimbo hauchoshi hongereni sana Baba waharibieeee
@amosimahelela11372 жыл бұрын
Hatari na nusu
@janethjkavishe5892 жыл бұрын
@Edwini hapo ndipo mahali Pako. Upo vizuri kaka. Mungu akuinue zaid. Much love
@edwinkamala Жыл бұрын
Ameeeeeeeeeeen dada Yang
@paskalinakusimula8580 Жыл бұрын
Woowoow wow sooooo nice MUNGU azidi kuwainua
@meshackfesto2152 жыл бұрын
People of God yo the best ever.......🔥🔥🔥
@judithonyango14492 жыл бұрын
Amina kubwa Baba waharibie wasinie Mamoja
@aloycejoseph222 жыл бұрын
Sema mimi huwa mnanbiariki sana dah ninaienjoy sana 🔥
@saimongaiso Жыл бұрын
From Kenya naipenda
@elizabethmyovela1972 Жыл бұрын
Mungu wa mbinguni azidi kuwainua ..mnanibariki mno . The surviivors gospel choir nawapenda
@magnusmedard69712 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana💪🏽💪🏽cretivity
@esterapolo71482 жыл бұрын
Doreen nakuona. Hongereni sana hii ni kwaya yangu pendwa kwa mwaka huu💓👏👏👏👏👏👏
@joyceminja21582 жыл бұрын
Big up @ the survivor choir
@UpendoStevene3 ай бұрын
Kazi nzuri san❤❤ mananibariki sana
@reinakimario96202 жыл бұрын
Waoo kweli baba waharibie..Nice one
@mosesmuinde821 Жыл бұрын
Kazi nzuri sana... Hongereni wana survivors
@gloriouschoirtz2 жыл бұрын
Tumeipokea kazi nzuriii 🔥🔥🔥
@thesurvivorsgospelchoir2 жыл бұрын
Amen Ane barikiwa sana
@LOYCEOMINI3 ай бұрын
Amen haribu katika jina la Yesu kristo 🙏🙏🙏
@mattymwakasagule44202 жыл бұрын
Mungu wa mbingu awatunze
@marymyonga3808 Жыл бұрын
NYIE HUU WIMBO MTAMU BALAA SINGELI YA YESU MUNGU AWABARIKI SANA MTUNZI WA HUU WIMBO UMEUA
@janethjkavishe5892 жыл бұрын
Wacha wee..😘 ya kuinuka kucheza,💕💕💕
@jaenahchanga74722 жыл бұрын
Mmetisha sana
@benjaminmpanduji85842 жыл бұрын
Lazima tuwaharibiee💥💥💥💥
@cateomondi7175 Жыл бұрын
Segereee Halloooo Baba waharibie👌👌👌Yani Kwa yesu Raha tele 👏👏
@suzantaymer58172 жыл бұрын
Nawapenda sanaaa nyimbo nzur sanaa Mungu azid kuwabariki
@thesurvivorsgospelchoir2 жыл бұрын
Amina, tunakupenda Pia
@rafaelisimchimba4490 Жыл бұрын
@@thesurvivorsgospelchoir lp
@evelynechessa4028 Жыл бұрын
@gisellekavira8966 Жыл бұрын
Mubarikiwe sana. Mungu waaribiye eh Mungu.
@edinakusakala56322 жыл бұрын
Ni mwendo wa kuwaharibia tu aseee ni motooo🔥🔥🔥
@berthajacob34332 жыл бұрын
wanaoniwazia mabaya me na family angu washndwe kwa jina la yesu piaa uwaharibie lugha wasinie mamoja,....Ameeeen watumish mbarkiwe sanaaaa🙏🙏🙏🙏🙏🌺🌺
@cecil56002 жыл бұрын
Yes God 🙏 waharibie!!!!
@magreth79812 жыл бұрын
I love that-Wavurugiee lugha wasiniee mamojaaa !😅✌👌
@veronicaabelmathias9676 Жыл бұрын
When they say we’ll praise in every way possible to reach souls this what they meant ……. Kila kona ❤ tuna vua roho kuleta kwa Bwana 😊 mbarikiwe
@GodsonJuma Жыл бұрын
Wa! Hiyo ngoma ni Kali sana
@MaryAtemba-v3j9 ай бұрын
Waharibie na upigane nao, much love from 254❤
@neemambena70212 жыл бұрын
Ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Mungu awainueee zaidiiiii
@brianmutemi12 жыл бұрын
Waharibie Baba wanaoniwazia mabaya💯
@joycekimambo34382 жыл бұрын
Waharibie wote wanaonipangia mabaya kwa Jina la Yesu ushindi uwe juu yangu in Jesus name good song mbarikiwe watumishi wa Mungu
@thesurvivorsgospelchoir2 жыл бұрын
Waharibie baba
@julynchaila88182 жыл бұрын
Wanaoniwazia mabaya baba naomba uwaharibie tena uwavurugie lugha!hongereni sana kwa wimbo mzuri
@thesurvivorsgospelchoir2 жыл бұрын
Wasinie Mamoja
@radhiamtindi78093 ай бұрын
awarudishie mipango yao miovu kwao
@gracendaki4515 Жыл бұрын
Mungu wa Israel,Mungu usieshindwa Waharibieeeee
@aminabaseka76452 жыл бұрын
Safi sana!! Mungu awabariki
@limanyemkondola71492 жыл бұрын
Waharibieee baba 🔥🔥🔥🔥 wimbo Mzuri sana Mungu awabariki watumishi