VTS 01 2

  Рет қаралды 27,035

Abd Binm

Abd Binm

Күн бұрын

Пікірлер: 39
@yassinhamza1969
@yassinhamza1969 Жыл бұрын
Sheikh ilunga alikuwa vizur sana,ni kweli tupu anayoongea
@askofkibwe6106
@askofkibwe6106 2 жыл бұрын
Allaah akupe firdaus sheikh ilunga p1 na wazee wetu inshaallah 🙏na mtie ktk shimo la chini la moto wa jahnnam nyerere la'natullaah yaa rabbi mpe azabu kali nyerere yaa rabbi mpe azabu kali ktk kaburi lk nyerere
@yusufumboge1427
@yusufumboge1427 2 жыл бұрын
ALLAH AKUREHEM HAKUNA ASIOKUELEWA ISIPOKUA ASIE JIELEWA
@Winford-f4l
@Winford-f4l 10 ай бұрын
Huyu Sheikh angekuwa Raisi siku moja kwenye maisha yake angewauwa wakristo wote Tanzania
@ismailramadhani3813
@ismailramadhani3813 2 жыл бұрын
Allah akurehemu , akujaalie firidaus
@aliomar1490
@aliomar1490 2 жыл бұрын
Amin
@ambokileasheengai1140
@ambokileasheengai1140 Жыл бұрын
Hili Suala la kuwaonea waislam sio vizuri kwa sababu ss wote ni sawa tu..imani zetu zisitubague R.eip Ustaadh Ilunga ila lugha kidogo na maneno yalikuwa makali sana ya kuogofya na kutenza vurugu,,,ila yote ni Heri tu
@EngelbertMakoye
@EngelbertMakoye 2 ай бұрын
Mzee mwongo kabisa huyu huo ni uchonganishi wa waisilam na wakatoloki. Anachokitaka ni nini haswa ?!
@hassankambanga4229
@hassankambanga4229 4 жыл бұрын
Allah Akbar
@yassinkinyamtama9688
@yassinkinyamtama9688 4 жыл бұрын
Allah akbar
@saidabdala4980
@saidabdala4980 2 жыл бұрын
Shukran. SHEKH ukweli umefahamika
@mailulaamani
@mailulaamani 3 ай бұрын
ukwel mtupu weng awajui
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 2 жыл бұрын
Tanganika haitakubali kutengeneza kitu katika zanzibar madamu wa nataka uhuru wao itabaki maskini hivyo hivyo
@VitalisMmassi-oh4jb
@VitalisMmassi-oh4jb Жыл бұрын
Hili lishehe lipo motoni zaiz kwa uchochezi
@makenaOG
@makenaOG 9 ай бұрын
Wakati huo rais alikuwako na bila shaka alisikia habari hizi na alinyamaza itakuwa wewe kikaragosi labda hata ulikuwa hujazaliwa
@yaasinkigava7
@yaasinkigava7 8 ай бұрын
HAKA KANA LAANA KANADHANI MOTO NIWA BIBI YAKE, YAANI SHEIKH ANAONGEA HAQI TENA KWA USHAHIDI, HALAFU KENYEWE KANA LETA SHOMBO ZAKE.
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 2 ай бұрын
Utakae ingia motoni ni wewe Kafiri na kizazi chako chote mtakwenda kusaidiana kulia na kupiga kelele za kuungua. Uchochezi wakati anaongea kweli. Unajua aliyoyafanya usingeropoka bila kufikiri.
@davisfidelis4149
@davisfidelis4149 3 жыл бұрын
Mungu akusamehe kwa dhambi yako ya uongo,uzushi na uchochezi!
@saidabdala4980
@saidabdala4980 2 жыл бұрын
SHINDANO imekuingiya. Ukweli unaumaa. . Huwo Ndio ukweli.
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 2 жыл бұрын
Uvamizi kutoka tanganika stini ine eliuwa elfu ishirini walikufa zanzibari umeisahao wazanzibari wana haki kupata uhuru wao
@mrishokiemo76
@mrishokiemo76 2 жыл бұрын
Ukiwa mkristo huwezi kmuelewa
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 2 жыл бұрын
@@mrishokiemo76 kusema kweli waarbu walitoa misada nyingi sana kwa tanzania NA huko mwaka sabini NA ine waliuliwa kinyama ilfu ishirini kweli watu wawema si afadhli wangetawala zanzibari sasa hivi tungikua matajiri NA wangilijenga kama dubai
@yaasinkigava7
@yaasinkigava7 8 ай бұрын
KAMA NIMUONGO AU MZUSHI AU MCHOCHEZI, NJOO NAWEWE UONGEE UKWELI, SIO UNAKAA KUWASHWAWASHWA NA MFUMO KAFIRI MKUBWA WEE, UNADHANI KWANINI SELIKARI ILISHINDWA KUMKAMATA?, AU NAWEWE NIKADHWALIM?.
@msamgunda7684
@msamgunda7684 2 жыл бұрын
Sawa shekhe, hayo yana ushahid? Ushahid upo wap?
@ibrahimuhincha1457
@ibrahimuhincha1457 2 жыл бұрын
sasa we unamuuliza marehem kwan hujamdikia
@makenaOG
@makenaOG Жыл бұрын
Nyerere alikuwa ndie rais na aliisikia hotuba hii pamoja na viongozi wengine unafikir kwa nini hawakuuliza swali hilo la kama ana ushahidi
@tashone7884
@tashone7884 Жыл бұрын
Hakuna aliyeweza kumjibu mpaka anakufa siyo serikali wala Kanisa bingwa wa kujenga hoja.
@rashidhassansheikhmazingea8739
@rashidhassansheikhmazingea8739 Жыл бұрын
Kabisa ndugu yangu hakuna aliempinga sheikh wetu Allah amjalie kuingia peponi inshaallah
@MusabashiruMusa
@MusabashiruMusa 5 ай бұрын
Uyu atal kaka
@josephmuchiri3180
@josephmuchiri3180 Жыл бұрын
Zeee lipo MOTONI ILI
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 Жыл бұрын
Wewe ndio utaenda motoni na kizazi chako sio shekh achana na waislamu kafiri wewe
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 Жыл бұрын
Wewe ndio utaenda motoni na kizazi chako sio shekh achana na waislamu kafiri wewe
@mussamgonela
@mussamgonela Жыл бұрын
Do hata huna oga ingali upo dunian na una hukumu ,,vp kesho yako tuwe makini na lugha zenu ,,dunia ni chumba cha mtihani
@MusabashiruMusa
@MusabashiruMusa 5 ай бұрын
Moto unachoma wew
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 2 ай бұрын
Unadhani muislamu ataingia motoni kama utakavyoingia wewe na familia yako. Yaani Muislam anaejielewa utajifananisha na wewe Kafiri ambae hujitambui.
@mussagiriba4335
@mussagiriba4335 5 жыл бұрын
Allah akbar
VTS 01 3
40:40
Abd Binm
Рет қаралды 22 М.
А что бы ты сделал? @LimbLossBoss
00:17
История одного вокалиста
Рет қаралды 9 МЛН
Ustadh Ilunga - Kongamano la Ikwiriri Part 4
39:04
Abd Binm
Рет қаралды 90 М.
Ustadh Ilunga - Wazanzibari wamjitambua Part One 4/5
34:08
Abd Binm
Рет қаралды 309 М.
Wazanzibari wamejitambua Part Two 2/2
35:21
Abd Binm
Рет қаралды 94 М.
Ustadh Ilunga - Kongamano la Ikwiriri Part 1
40:39
Abd Binm
Рет қаралды 70 М.
VTS 01 4
39:04
Abd Binm
Рет қаралды 20 М.
VTS 01 1
40:39
Abd Binm
Рет қаралды 14 М.
Wazanzibari wamejitambua Part Two 2/4
35:24
Abd Binm
Рет қаралды 41 М.
سورة البقرة كاملة رقية للبيت, علاج للسحر - القارئ علاء عقل Sourate Al-Baqara
3:52:00