Allah akuepushe na adhabu za kaburini na uwe miongoni mwa watakao ingia peponi na Mtume wetu in shaa Allah...love you babuu ...from kenya but in saudi now
@damisokaikomaboy38836 жыл бұрын
Dah,,RIP mzee wangu,,Mungu ailaze roho yako mahali pema
@aminashaibu26238 жыл бұрын
Mzee majuto Allah akujaharie kila lilonakheir kwako pamoja nafamily yako Amiin kheir
@mohamedhaji22004 жыл бұрын
Allah ailaze roho ya marehem pahala pema
@dr.madevualcantara47756 жыл бұрын
Allah ailaze pema roho ya mzee wetu Amri Othman Aaminn!!
@bimaisarankamia41536 жыл бұрын
Mashaaallh.tutakukumbuka sn Mzee wetu . inalillahi wainalillhahi rajuun
@bigjombi30698 жыл бұрын
Talented funny,comedian I like u work
@ammarsalah56933 жыл бұрын
The mboni show hiii ndio naiona leo nimecheka halafu nimelia Sana Wallah....naomba weka mwendelezo wake please dadaangu daahhh nimemiss kumuona babu yetu huyuuu Allah amlaze pepa katika jannatul firdaus....
@razansalim5326 жыл бұрын
Mbavu zangu miye jamani majuto mungu amuhifadhi mahala pema peponi
@asumtabslioman55273 жыл бұрын
Majuto wangu mungu akulaze
@shemusamson42958 жыл бұрын
Molla akupezidishie furaha yako baba yetu king majuto. kuna watu wanaishi kwa furaha na burudani muda mwingine just bcoz u make them laugh n smile via ur comedy
@sophiamlenga24786 жыл бұрын
R.I.p king majuto, utakumbukwa milele
@aishamashaka79358 жыл бұрын
ahahahaaa babu jutooo umenchekesha sanaaa Mungu akupe uhai mrefu afya tele pia
@barakalubarati37033 жыл бұрын
Tutakukumbuka daima
@mudykiss50716 жыл бұрын
Allah akupe khauli dhabiti mzee amri akika tutakukumbuka milele
@faridaabdala13165 жыл бұрын
Mungu ailaze mahali pema peponi
@shammoha52976 жыл бұрын
Innalillah wainnaillaihi rajiun. Allah akuweke pahali pema. Awape subra familia yako. Ameen
😃😃😃 yaan Majuto hata niangalie Mara ngapi ntacheka tu kama ndo naiona
@sosteneschahe92838 жыл бұрын
We need the second one please,as you know he is the oner nolly regend ever,respect to him.
@G.r.e.a.t.I.Q Жыл бұрын
Mzee Majuto! 😂😂😂😂😂😂😂Allah ghfir lahu wa rhamhu, wa skanhu fil Jannat (Allah msameh, na Umrehem, na umuweke Peponi. Aamin!
@mohafishaal41903 жыл бұрын
Mungu amweke peponi
@angelaelizeusrutayuga98566 жыл бұрын
Da Mboni mi nakupenda buuure
@lufunyoedson71688 жыл бұрын
mboni stay natural,,wig swag zawasiojiamini..
@jonaskabonda7416 жыл бұрын
Mboni nimeipenda Sana Show yako
@ramadhanisalumu49846 жыл бұрын
Hakuna kama ww hapa East Africa..R.I.P KING
@yusuphkibacho46448 жыл бұрын
Hahaaaa majuto sina mbavu mm huku...... Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu Tata.
@victorsomba8676 жыл бұрын
Yusuph Kibacho Maisha mrefu tata 😂😂😂😂😂😂 bila Shaka utakuwa malafyale weweee
@saumumurira69688 жыл бұрын
Aki King Majuto nakupenda bureeeeee!!!mimi nacheka pindi ninapokuona hata kama hujaongea kitu....Mungu akujaalie umri ulo mrefu akupe hekma ya leo na kesho...cna mbavu kwakweli
@jafarimsabaha19196 жыл бұрын
hakika yote nimapito mzee wangu pumzika kwa aman
@moskwabhi28 жыл бұрын
Dah Huyu Mzee Noma .. hahah hahah Dah .. natural born talent ... We need part 2 please
@renaldakamugishazeramulake9408 жыл бұрын
Moses Kwabhi
@josevuri93696 жыл бұрын
hahaaa mzee amenichekesha sana yani anasimulia ukweli tupu yani kaenda ukweli jeshi
@gracemwakatika7736 жыл бұрын
duh kama utani vile King Majuto utafikr upo hai Mungu ailaze roho yako mahala pema peponi
@madamboss3485 жыл бұрын
Naishi Makaah from Kenya
@sikitu89576 жыл бұрын
RIP mzee majuto mungu akusaidia uko uliko
@afsa95956 жыл бұрын
Kipenzi cetu babu yetu tutakukumbuka daima rip king majuto Allah awe nuru yako katika kaburi rakutisha 😭😭😭😭
@amos_nderwa6394 жыл бұрын
R.I.P mzee wetu nimeumia Sana dada kuangalia iyo
@nassirmasoud60975 жыл бұрын
Mungu amrahamu mzee wetu
@queengee9886 жыл бұрын
Daàaaahhh majuto rest in paradise majuto u'r soul gone to glory rest in peace
@reginahongeramyhuonimwanzo96106 жыл бұрын
Hakika tutakukumbuka
@mohamedhaji22004 жыл бұрын
Ammin quee
@ibramamba318 жыл бұрын
I like u work
@leonarddeus58976 жыл бұрын
😁 😁 😁 da tutakumisi KING WETU.. R I P
@munashabanimunashabani99766 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁 waallaah mjuto unaniuwa kwa kucheka
@husseinally70528 жыл бұрын
please da mboni rusha party 2 yake.
@aminashaibu26238 жыл бұрын
yani nimecheka wallah Allah akujaharie umri mrefu
@eshamohammed1367 жыл бұрын
Aulizwa mbona wewe hucheki, asema kimoyoni nitazame utacheka mwenyeweee tu😂😂😂
@harunamusa78296 жыл бұрын
Esha Mohammed hahaha
@eshamohammed1366 жыл бұрын
Haruna Musa yap mgonjwa sasa majuto Allah ampe shifaa ya haraka amin
@martinmutiso96336 жыл бұрын
Da mboni pendeza sana baby mmssswwwaaa
@neziajoseph9726 Жыл бұрын
Hahahahah hahaha..ulale pema peponi mzee wetu...kama upo hai vile
@almasijumanne5656 жыл бұрын
Kama umenionaaaa mimi gonga like. 🙌🙌
@christinasolomon81565 жыл бұрын
Sister MBONI umedamshi sana ila meno ya chini yamekuangasha ila uk vnzr sn.
@graylugendo19938 жыл бұрын
Yaani huyu mzee.....hapana bwana mi namkubali sana,yaani huyu ni comedian wa kweli si wa kujilazimisha.
@hamudseif4 жыл бұрын
Mbona akuna part zengine
@mohammedswaleh67688 жыл бұрын
hahhahahahahaaha..ALLAH akueke mzee majuto...
@yassinkassim52416 жыл бұрын
11:15 mpaka 11:17 hee yule dada anatabasam vizur sanaaa 😉❣️
@mohamedhaji22004 жыл бұрын
Na mm nimemuona, mrembo sana huyo mtoto mashaallah. Na anajihifadhi vizuri
@yassinkassim52414 жыл бұрын
@@mohamedhaji2200 😂😂
@mwilawijoseph69958 жыл бұрын
Yupo vizuri Sana king pedeshee majuto
@hawwajuma33068 жыл бұрын
nimeztafuta xana movie za king majuto nimezipata nime cheka xana mpaka nimesahau kukacrika