Hahahaha,, kama imefurahi nahilineno gonga like bossi anaenda kwa watoto anapenda watoto.
@nicholausmbilinyi35874 жыл бұрын
Na ww mkuu somaa..mnaendeshwa na experience tu..hahaha
@crershawmafia10094 жыл бұрын
Dah hii Duo ilikuwa ni matatizo sana. Hamna kama Ze Comedy show kama hii...Kipindi pekee ambacho hata wazee wetu waliwahi nyumbani saa12 kuangalia Ze Comedy!
@nathaliakenny27422 жыл бұрын
Yaaani kwakweli
@latinochancy191 Жыл бұрын
The best ever duet.
@hamidhamadhamad56534 жыл бұрын
Kumbe hawa watu bado hawajapowa minlizan washapowa ndowapo kila mtu kivyake kumbe bado hahhhhhhhhh hahhhhhhhhh alofurahiya hii TUJUANE kwakugonga like pls
@nicholausmbilinyi35874 жыл бұрын
Hiyo ni ya siku nyingi sana..wameirusha tu mwaka jana
@johnmwandu21162 жыл бұрын
Boss wewe hujanijua vizuri, MIMI SIENDI NYUMBANI
@vassotz6152 жыл бұрын
Daaaa.maboss waivyo wapo weng anakutafuta visababu apokalenga akutapeli au aku alibie maisha delever alimweza
@amonphilip59024 жыл бұрын
Hahahhhaah sikuplan kucheka ila leo nimecheka kinoma 😆😆😆😆
@chiefmtoto13652 жыл бұрын
Kama umesikia neno na we mkuu soma unaendeshwa na experience hamna elimu wala nini naomba like hapa tujuani
@waziriomar14142 жыл бұрын
Mpoki zarau Sana aisee eti binadam gani wa kawaida anaeza akavaa hivi 😂😂😂
@Mimy_keys2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Boss kapiga simu Hanitaki eeh na mm Simtaki 😂😂😂😂😂
@faisalmontego81832 жыл бұрын
Hahaah
@boscomfundo79532 жыл бұрын
Uko super brother Joti
@danstar47044 жыл бұрын
😂😂😂😂 umetisha baba
@Basagamp44 жыл бұрын
Hhahhha Mimi Kukutolea uvivu Dakika moja hii tuu,yaani ukinichoka namimi nakuchoka Aaaah hii sio Lonya bwana hii mixer 😆😆😆😆😆
@petermbwambo26862 жыл бұрын
December 25/2021. Joti ni fire 🤣🤣🤣
@mahraynally47112 жыл бұрын
Dah hii komenit nimeisoma kiswahili
@caesarfranc2 жыл бұрын
Boss hajui kiingereza. Ni mioga wa lugha 😂
@khaleed_salim54184 жыл бұрын
Daaaaah dereva huyu nomaaaa
@ricklandennis Жыл бұрын
😅😅😅kwani joti unashida gani lakini
@danfordmwangesile90434 жыл бұрын
Mbavuuuuuuuu zangu mie mnyakyusa uwiiiiiiiiiii 🤣🤣 🤣🙈🙈🙈🙈🙈🙈 eti anafuga ndevu Kama paka wakati wenzake wanafuga vyeoo
@adbashtv67014 жыл бұрын
Ukinichoka na mimi nakuchoka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@yusufsharifu30642 жыл бұрын
Kama uko kwenye mfungo 2022 gonga like
@emmyyahya83584 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 mtaniuwa
@chalyajanas10634 жыл бұрын
😂 no
@boyjopar87174 жыл бұрын
Zipu inamcheza
@prosperkullaya67212 жыл бұрын
Hahaaaah mbavu zungu mie Naomba mama akupe kazi kipaji unacho
@jestinabenedict46202 жыл бұрын
BOS ZIPU INAMCHEZA KILA WAKATI🤣🤣🤣
@sarahburetta85472 жыл бұрын
Nimetupia boss 😂😂😂
@bavonnyaulingo21884 жыл бұрын
Kama umesikia bosi n mwoga na lugha gonga like😁😁😁😁
@nicholausmbilinyi35874 жыл бұрын
Hajawahi kuongea kiingereza hata siku moja..hahahahaha!!
@selemanimsofe73212 жыл бұрын
😁😁😁😁😁zipu inamcheza muda wote
@hamisyasinwapi91224 жыл бұрын
Yeye kwa miguu mm kwa chombo
@maulidi25774 жыл бұрын
😀😀😀huwezi pata data za ndani weweee😀😀😀daah
@shantalismailhassan98782 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 eti sijawahi kumsikia akiongea kingereza. Jamani joti we kiboko.
@nacrahmakeupartist36402 жыл бұрын
😅😅😅😅😅na Mimi simtaki yeye
@laurentiprochesi11974 жыл бұрын
Hahaahaa joti bhna eti anafuga ndevu badala ya vyeo
@tabuseleman83894 жыл бұрын
hahahaha nyie nomaaaaaa
@rehemamichael84474 жыл бұрын
aisee hataiiiiiii
@justinejackson17312 жыл бұрын
😂😂😂 joti ni noma jaman
@rosejordan53912 жыл бұрын
Joti ety somen 😂😂😂😂
@raphaelwapps10282 жыл бұрын
😂😂😂😂 joti ni shida
@hamisikamtondo29682 жыл бұрын
Mmetsha,sana,big,up
@obadiahnkwaleverysadbuthet70562 жыл бұрын
😂😂😂 mkali karud
@salimsuleiman69694 жыл бұрын
Hahahh😂😂🔫
@kennedydiskony4964 жыл бұрын
Namkubali dereva mshalishali
@fredricjames7744 жыл бұрын
Dug joti ni shidaaaaaaaah
@kamoterobert25284 жыл бұрын
Hahahaaaaaaaaa joti kiboko
@selemanimsofe73212 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 ha ha ha eti ukamuendeshe mama yako mdogo
@mhogomchungu78822 жыл бұрын
Et na nyie someni😂😂
@emmanuelmussa83314 жыл бұрын
😂😂😂😂 dah
@leomateo90612 жыл бұрын
Mpoki: umevaaje wewe? Joti eti? 😂😂😂
@lucykilonzo27494 жыл бұрын
Hivi jmn kw nin hamuirudishii original comed,,,,
@dionistindwa74294 жыл бұрын
jotiiii bangeeeee 😂
@AngelBulashiКүн бұрын
Boss anakipala
@gamaissa48502 жыл бұрын
Vi2 vya kachumbali
@domtech82094 жыл бұрын
Kachumbal hii. Boss 😹😹😹😂😂
@kibasamohamedi80294 жыл бұрын
Mrud basiiiiiiii. Tumemiss hiz mambo
@wazirisukari51784 жыл бұрын
Yaani duka linalomvalisha joti mungu anawaona walahi
@kapona9272 жыл бұрын
Joti bana🤣🤣🤣
@roi25544 жыл бұрын
Shati rang ya papai
@mosesmilinga42884 жыл бұрын
Tafa Cubic 😂😂😂
@daniellaaidal22334 жыл бұрын
Nimecheka vibaya nikapaliwa maji🤣🤣🤣
@selemanimsofe73212 жыл бұрын
Ha ha ha eti muda wote zipu inamcheza
@halididaudi72282 жыл бұрын
Huwezi kupata data za ndan hivi wewe😂😂😂😂
@RaymondChristopher-pf7pe5 ай бұрын
Tunachokana😂😂😂
@wamburavitalic56674 жыл бұрын
Zip inamcheza kila muda duuu
@gerrymainmunisi6677Ай бұрын
😅😅😅 Nani anaangalia hii 2024
@mjinsider92042 жыл бұрын
Dah 😂😂😂😂😂😂😂😂
@abdiraheemsheikh54092 жыл бұрын
3:38 nimecheka sana na we mkuu soma unazunguka na kipara chako huna elimu wala nn
@meshachtvtz58862 жыл бұрын
Paka mimi kanifundsha michepuko hahahah
@official_rayob.83512 жыл бұрын
Muda wote zipu inamcheza🤣🤣
@goodlucktemu31494 жыл бұрын
14 december 2019 watch this , from #tanzania
@selemanimsofe73212 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@brightonefred23014 жыл бұрын
huwezi kupata na data za ndani hizo wewe
@nicholausmbilinyi35874 жыл бұрын
Hahahahahaha...ww mwenyewe mkuu soma..elimu huna unaendeshwa na experience tu!!hahahaha!
@baltazaryjohn19682 жыл бұрын
Daah enzi hizo
@wazirisukari51784 жыл бұрын
Aisee mm joti hapana kumanyoko zake nimecheka kinyama na kila nikiangalia hii clip nakoment tu
@bobwhite92524 жыл бұрын
😁😁😁😁😁,dah,
@youngbosskijanger25002 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@ndinywabulemo5872 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@msambaawize38184 жыл бұрын
Hiyoooo kariiii
@selemanimsofe73212 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@lodrickmwambene1332 жыл бұрын
Mda wote zipu hinamcheza 😂😂😂😂😂
@sadxupdates94714 жыл бұрын
Yeah I know this is duuuuuu Hii ndo maana ya komedi daaaaah!