VURUGU NDANI ya BUNGE LA KENYA: WAANDAMANAJI WAHARIBU VITU NA KUCHOMA MOTO - POLISI WASHINDWA KUZUIA

  Рет қаралды 15,405

Global TV  Online

Global TV Online

7 күн бұрын

VURUGU NDANI ya BUNGE LA KENYA: WAANDAMANAJI WAHARIBU VITU NA KUCHOMA MOTO - POLISI WASHINDWA KUZUIA
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 57
@user-vf8wv8hi5b
@user-vf8wv8hi5b 5 күн бұрын
Polisi sio kama wameshindwa kuzuia sema polisi na wawo lao moja maana hata wawo wanaishi mtaan hy kodi inawagusa
@kisoso890
@kisoso890 5 күн бұрын
@@user-vf8wv8hi5b kila siku samia anajivunia jeshi ndio maana yupo radhi kuruhusu ongezeko la kodi kiholela so wait tu nyapu itarudi hedhi tena kama ilishakata
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g 5 күн бұрын
Safi sana wakenya ongezeni spidi maana hata police wamechoka na ugumu wa maixha
@abdalahzungu6264
@abdalahzungu6264 4 күн бұрын
Mimi ni mtanzania lakin nakuungeni mkono majirani zetu,hawa viongozi wamezoea kutufanya wananchi kama ni wapumbavu tusiojitambua.endeleeni kuwaonesha nguvu ya raia
@lukafbbwebelof3874
@lukafbbwebelof3874 5 күн бұрын
Hambia Marekani alete Police KUTOKA Haiti au Marekani waje kusaidia. Unawapandishia wakenya kodi tena unapeleka wa police wakenya waenda kufia Haiti kwa faida yako.
@lukafbbwebelof3874
@lukafbbwebelof3874 5 күн бұрын
JE ni Zakayo kweli? Kama wewe ni Zakayo basi shuka upesi
@AyyubNajib
@AyyubNajib 5 күн бұрын
Sisi kama wakenya hatuna ujinga na serekali hata nyinyi ndugu zetu wa tanzania musipepwe ujinga kwa inchi nyenu
@brucardkomba616
@brucardkomba616 4 күн бұрын
Wa Tz tupo pamoja nanyi dhid ya ZAKAYO
@jamesngalahinzano3464
@jamesngalahinzano3464 5 күн бұрын
Wakenya wamechoka na kukandamizwa na serikali.
@leoncastelyn3751
@leoncastelyn3751 4 күн бұрын
Ni sawa kabisa walivyo fanya, ubaya kuchomo shule, hospitals, na mali za umma
@helenarhobi1250
@helenarhobi1250 5 күн бұрын
Washa kabisa mijengo hiyo yote, hata wabunge nao wakizubaa wawashe. Inachisha!
@TonnyWekesa-d8e
@TonnyWekesa-d8e 18 сағат бұрын
Kenya hatutaki ujinga😊
@leoncastelyn3751
@leoncastelyn3751 4 күн бұрын
Serikali ya raia ,nimuhimu kusikiliza raia ,sio watu wachache waamue kila wanachotaka,kwa kuwa sisi ni wabunge,
@LoihookiLoseriani
@LoihookiLoseriani 5 күн бұрын
Poleni wakenya maana wanaoumia ni watu wa Hali ya chini
@SharifaOman-bf1bn
@SharifaOman-bf1bn 5 күн бұрын
Kenya. Noma
@leoncastelyn3751
@leoncastelyn3751 4 күн бұрын
Wabunge wabinafsi wanajitetea kupata mishahara mikubwa.bila kujali maisha ya raia ,
@user-hj4bc5uh2x
@user-hj4bc5uh2x 5 күн бұрын
Hayamambo watuwanakopannje wanakula nawatotowao af sisi nawanetu tulipe maden hii hsikosawa hii nidalilimbaya sana africa kinakitu kinakuja tutake tusitake tuwemakin
@LilianNyakato-hp6wx
@LilianNyakato-hp6wx 4 күн бұрын
Bora nami nimeliona Bunge la Kenya
@athumaniamiri880
@athumaniamiri880 4 күн бұрын
😂
@helenarhobi1250
@helenarhobi1250 5 күн бұрын
Binafsi nimewaoenda Sana wakenya ni wanaume kweli kweli! Kitaeleweka tu!
@leoncastelyn3751
@leoncastelyn3751 4 күн бұрын
Kenya sio kama Tanzania, kuburuzwa buruzwa eti usishindane na dola,wakenya wanatetea haki zao kama raia wa South Africa hawatishiwi uonga
@isayakitaponda8337
@isayakitaponda8337 4 күн бұрын
Hawa ndio Wana afrika mashariki wa kweli.
@user-ry4kx9hg7o
@user-ry4kx9hg7o 4 күн бұрын
Hili bomu mnalotengeza viongozi wa ccm,ipo siku litalipuka tu.
@user-uk3iw1su4i
@user-uk3iw1su4i 4 күн бұрын
polen wakebya
@wkikwasi
@wkikwasi 5 күн бұрын
Athari za kuendelea kushika masikio!
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi 5 күн бұрын
Kenya kumenoga hadi raha
@sakeenaanzi4431
@sakeenaanzi4431 5 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂kama noma noma
@MarieHeleneEtienne-bf9ub
@MarieHeleneEtienne-bf9ub 3 күн бұрын
kinomanoma
@omarcarlos4595
@omarcarlos4595 5 күн бұрын
Ukabila ni kitu kibaya mno maishani.
@stanastana3199
@stanastana3199 5 күн бұрын
Hapo ukabila umeiona wapi
@jeniferemmanuel4251
@jeniferemmanuel4251 5 күн бұрын
Huelew kitu tulia
@nelsonnelson4389
@nelsonnelson4389 5 күн бұрын
Hapa hakuna ukabila this are united without where your community coming from tunafahamu haki yetu and this is kenya
@subirahowen124
@subirahowen124 5 күн бұрын
Uelewi kinachoendelea
@stanastana3199
@stanastana3199 5 күн бұрын
@@subirahowen124 he is just taking nonsense
@abdalahzungu6264
@abdalahzungu6264 4 күн бұрын
Naiwe funzo Kwa viongozi wa Tanzania,ukiona jirani yako ananyolewa na wewe tia maji
@michaelamos3164
@michaelamos3164 4 күн бұрын
Washeni kilakitu msichoke
@HfvJfv-zf2dt
@HfvJfv-zf2dt 5 күн бұрын
Ni bora uharbifu wa mali kuliko walio poteza maisha
@kisoso890
@kisoso890 5 күн бұрын
Samia umeoana watu wakichoka so hata tanzania itafika muda tu na utaelewa
@worldhappiness1181
@worldhappiness1181 5 күн бұрын
Kitu gan ambacho unakiona kibaya mbele ya samia?
@kisoso890
@kisoso890 5 күн бұрын
@@worldhappiness1181 vingi tu ikiwemo kutokemea mfumuko wa ongezeko la kodi kwenye bidhaa ambayo mwisho wa siku ni mzigo kwa raia ufinyu wa bajeti mfumuko wa nauli broo wewe ni kipofu au ndio wale wafuasi mkishiba nyie hamuoni kama ndugu zenu wanateseka
@lovenessvisent9408
@lovenessvisent9408 4 күн бұрын
Kodi Sio rafiki kabisa huoni mgomo kariakoo?
@kisoso890
@kisoso890 4 күн бұрын
@@lovenessvisent9408 achana nae huyo ndio wale bongo movie waliopelekwa kutalii japani wakaambiwa wanatanuliwa wigo wa filamu zao 😂😂😂😂 nchi hii imejaa maigizo hilo soko la afrika tu limetushinda tutaliweza la dunia? Ukirudi kwa huyu mwehu lazima akuulize hilo swali kwa kua kipo kinachompoza machungu ya maisha
@lovenessvisent9408
@lovenessvisent9408 4 күн бұрын
@@kisoso890 mjinga
@DinoOneTouch7626
@DinoOneTouch7626 5 күн бұрын
Yani polisi wakenya ni wajinga sana yani wanashindwaje kuwazuia wajinga hawa wasiwatwange risasi wakaona
@FelistersMejumaa-xi2ge
@FelistersMejumaa-xi2ge 5 күн бұрын
Wewe ni mjinga rudi shule ukasome sheria nonsense
@hbdina
@hbdina 5 күн бұрын
🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 Viongozi weusi lazima waache mikopo ya IMF ndiyo chanzo.Nchi ya Burknafaso zinapiga atua kiuchumi bila hiyo mikopo Tunaitaji Viongozi wenye utashi.
@musamsangi1610
@musamsangi1610 5 күн бұрын
Hawa hawana akili kwani kuandamana unachoma bunge hawa hawana akili.
@georgerichard9534
@georgerichard9534 5 күн бұрын
Wewe ndio huna akili, mbwa ww
@abuukajembe-to6sd
@abuukajembe-to6sd 5 күн бұрын
Kwaio ww ndio una akili
@subirahowen124
@subirahowen124 5 күн бұрын
Ulitaka wafanye nini wakati wabunge ndio walipitisha mswada
@abdullahkazungu4025
@abdullahkazungu4025 5 күн бұрын
Kama hula lakusema kojoa ulale
@saidmagramcobeen2215
@saidmagramcobeen2215 5 күн бұрын
Nonsense
@DinoOneTouch7626
@DinoOneTouch7626 5 күн бұрын
Waje tanzania huku tuwafundishe namna gani police anatakiwa afanye kazi sio wao wanaogopa kijinga yani mafala mpka watu wanaingia bungeni
Wanajeshi wamwagwa jijini Nairobi kupigana na waandamaji
17:07
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 460 М.
We Got Expelled From Scholl After This...
00:10
Jojo Sim
Рет қаралды 73 МЛН
He sees meat everywhere 😄🥩
00:11
AngLova
Рет қаралды 9 МЛН
Was ist im Eis versteckt? 🧊 Coole Winter-Gadgets von Amazon
00:37
SMOL German
Рет қаралды 10 МЛН
GEN Z WAKUTANA USIKU WA MANANE WATOA TAMKO KALI NA MASHARTI MAGUMU KWA RUTO
10:30
We Got Expelled From Scholl After This...
00:10
Jojo Sim
Рет қаралды 73 МЛН