Polisi wanapelekwa haiti 🇭🇹 lakini jeshi wanamwagwa nairobi ju ya GEN Z... PEOPLE POWER
@hersafari7 ай бұрын
Usalama ni muhimu bro
@Believingitright7 ай бұрын
The level of ignorance in your head is alarming. That's the reason you can't see anything wrong.
@doreenmueke7 ай бұрын
But I think the kdf is doing better than the police
@IbrahimMohamed-sg6jv7 ай бұрын
@@Believingitright rřT5ssssß
@MalikshotelsMalikshotels6 ай бұрын
GEN Z N HATARI KULIKO HAITI😂😂😂😂
@bantumwaura42317 ай бұрын
Pigieni wanajeshi wetu makofi mkiwaona. These guys are our friends not enemies .welcome them with open arms. Shame Ruto.
@rodgersmuyechi51027 ай бұрын
Shameon Mr arap mashamba zakayo,gashagua has outshine ruto
@waenikingoo22537 ай бұрын
thankyou for opening our eyes
@antwainebarkley97657 ай бұрын
Wewe uko na wazimu 😂jeshi wemekuja kuuwa wapigiwe makofi
@bantumwaura42317 ай бұрын
@@antwainebarkley9765 sina wazimu. They're sober and far much disciplined than the police. You love the KDF, they'll love you back.
@carenjerono97877 ай бұрын
@@bantumwaura4231kikuyu mchawi
@dominicblytonecoverage26397 ай бұрын
Ruto declares war to his electors 😂😂😂😂
@lucyosendo43767 ай бұрын
That shows how fool he is.
@rodgersmuyechi51027 ай бұрын
ruto must go home no votes for him
@azizayassin36237 ай бұрын
😂😂😂
@ChristianUngweyo7 ай бұрын
let's be wise enough ,ongea kwa streets sio kwa hotel
@terizat5127 ай бұрын
Repent Kenya and prepare the way the messiah is coming
@timothyonyango97 ай бұрын
So Ruto has declared war on the people feeding him and his family through their taxes 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭. GOD IS WATCHING !!!!
@LeonardKoskei-xj4ft7 ай бұрын
Kama kazi zenu ni kuchoma vitu, mutaona mambo leo
@aviosilona3167 ай бұрын
Nani alianza?Uko dunia gani?@@LeonardKoskei-xj4ft
@kamsexsohluvebuoy76967 ай бұрын
Hii ni ujinga@@LeonardKoskei-xj4ft
@Camillekerry7 ай бұрын
@@LeonardKoskei-xj4ft another puppet usijali your turn to wake up from slumber iko karibu kufika cause some of you when calamities hit ndo you realise how stupid you're for making wrong choices
@ndigitimercy62637 ай бұрын
@@LeonardKoskei-xj4ft one day ruto will be out of statehouse...atashangaa... sana
@amosmurithi94947 ай бұрын
Is Ruto the same Man who was crying in church?????? Ogopa wakale😢😢😢😢
@mfululizowak98997 ай бұрын
Ogopa sana.... Same man who massacred people in Kiambaa church....
@magdalenemutio7 ай бұрын
Crocodile 😭😭
@JacklineAmisi7 ай бұрын
On election, l told people never to vote to Ruto, but they didn't hear me I told them that Ruto is dictator but they didn't listen Now they are regreting
@JacklineAmisi7 ай бұрын
Ruto please listen to Kenyans please 🙏
@marywairimu11797 ай бұрын
Wueh hawa watu ni wanyama.
@sfgh457 ай бұрын
Guys ruto did not reject the bill the only thing ali do ni ku withdraw, after 14 days the bill will be law,najue wabunge wanaenda likzo tomorrow for one month,so tumechezwa😢
@user-gw5iy8fj9i7 ай бұрын
Is it not after 21days?
@Berly8417 ай бұрын
@@user-gw5iy8fj9iit after 14 days
@Berly8417 ай бұрын
Hiyo bill itakua law sasa
@Berly8417 ай бұрын
Imgn sasa uongo wake ameleta kdf waue watu
@aviosilona3167 ай бұрын
anatupima akili, after 21days it be a law automatically he must take it back to parliament mps to reject it
@felixkoech56207 ай бұрын
Msishangae Hao Jeshi wapate akili na kusupport wakenya wenzao,, president ruto alie
@japhetlagat15447 ай бұрын
Not now unless in other generation
@innocentrichard29457 ай бұрын
Your dillusion
@PhilomenaNjeri-jg9gc7 ай бұрын
That's my greatest prayer 🙏🙏 although I think they are paid to do that asin wameongezewa kakitu
@beavaneomwenga19877 ай бұрын
Salary ni ile ile,ni kiaopo tu@@PhilomenaNjeri-jg9gc
@sharktusk49317 ай бұрын
✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾 the PEOPLE own the Country. Kenya sio bedroom ya mtu
@prudencebushnell91657 ай бұрын
He must be accountable for our fellow Gen z who died and also his speech Tuesday calling Gen Z criminals, he need to apologise to Gen Z first, answer to parents whose children died in the hand of police officers, so hali haiko shwari!!
@doreenmueke7 ай бұрын
Ata riggy g ako afathali aliongelelea hio issue lkn SI eti yeye ni mzuri ju birds of same feather flock together
@rosewambo11587 ай бұрын
Is better he goes
@jurassicmanke84797 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 uoga mingi hii tena sana😅
@Elite_One0017 ай бұрын
Mr president i will arrest you😂😂
@BonifaceHassan-j5m7 ай бұрын
Sidhani kama hii ndio kazi na majukumu ya majeshi ya ulinzi wa n'chi. Inasikitisha sana!
@princeprophecies26977 ай бұрын
Hayo ndiyo matokea watu wanapokaidi mwelekeo wa Mungu na kupendezwa na mtu wa kufuga kuku
@Camillekerry7 ай бұрын
Anadhani yeye ni Museveni na huku Uganda
@Charles-jy9mg7 ай бұрын
You preferred a weaker police force so to outshine them and hence gain entry in the state house for lunch like you did in parliament?
@Msemaukwelikweli7 ай бұрын
Yes Ruto commander in chief show those criminals who is controll proud 👏 to be your supporter number 1 and my president, now i know hucheki na hizi vinyangarika
@Moriskatuku7 ай бұрын
Hauna akili ww
@Moriskatuku7 ай бұрын
Atatoka kwa iyo kiti ndiyo ujue nchi si ya wakalenjin
@vanenyakundi6437 ай бұрын
Wanajesh ni wa kuleta amani sio kuua❤
@juliamongina60847 ай бұрын
It's too late the mess already done 80%😢😢😢😂😂
@SalimKayato-mu1kn7 ай бұрын
Amali ili bii iwe Sheria noway
@ring-tone2787 ай бұрын
The Army is operating illegally. How did they pass a motion of Authorization without a Mace in the House? The Sitting and the decision is null and void. Army follow the will of the people and go back to the barracks and Ruto resigns immediately. He has lost all goodwill of the Kenyan People.
@LeonardKoskei-xj4ft7 ай бұрын
Resign iyo ni ndoto ya 1982, muliweza
@carenjerono97877 ай бұрын
Tuko hadi 2052 mta do
@aviosilona3167 ай бұрын
@LeonardKoskei-xj4ft get some sense before typing that's the truth kwani hatujui history?
@aviosilona3167 ай бұрын
@carenjerono9787 a lady typing this 😂
@carlingari88507 ай бұрын
@@carenjerono9787"Tuko," wewe na nani? Wakenya ni washenzi kweli😂
@greenwellnsyukwe47297 ай бұрын
Khari siyo nzuri Kwa kweli, Mungu wasaidie wenzetu wa nchi ya kenya, utukimbushe kujua kuwa hapa Duniani tunapita tuuu tujitahidi kutenda mema.
@michaelmuhari54257 ай бұрын
We want the Kenya army to support us and send Ruto back to Sugoi
@Mina.157 ай бұрын
Won’t happening
@nayomi2517 ай бұрын
Dumb thought😅😅😅😅
@nicholaskirui41237 ай бұрын
@@nayomi251😂😂😂
@allanngugi76647 ай бұрын
It can happen don't you know they come from the same communities , the government has completely failed
@bororietabKalenjiin7 ай бұрын
Be careful what you wish for
@viusasaclub7 ай бұрын
Super tunakula stetehouse Leo so Ruto must go liwe liwalo.....MUST TUFIKE STATEHOUSE.
@terizat5127 ай бұрын
Mtajikuta statehouse ingine ya hosi au jehanamu juu watu WA mungu ni amani kifo kinawaita
@mfululizowak98997 ай бұрын
@@terizat512 ohh please!!! Umesoma Bibilia kweli ama ni story book?
@Samuelmusyimi-zy1ts7 ай бұрын
Hapo sio kwa mamako...
@mr.i53107 ай бұрын
@@Samuelmusyimi-zy1ts nyinyi wasaliti ,waoga,maghasia mnataka tuendelee kukaliwa na an incompetent Government ya waongo mpaka 2027 ,Malaya hii ,tunaenda na utaenjoy the freedom tutaleta upende usipende nyani wewe
@lololo83657 ай бұрын
😂😂😂@@mr.i5310
@christinenderitu54487 ай бұрын
Those guns are meant for armed terrorists not unarmed youths! Very shameful
@ustadWilkaustad7 ай бұрын
Well spoken ❤❤🎉
@josephkimathi68557 ай бұрын
Terrorists like ma Gen z
@mfululizowak98997 ай бұрын
Meanwhile he's sent cops to Haiti to deal with violent gangs but for us it's the army...
@henrythiongo82977 ай бұрын
Shame onto our leaders
@KenyanRapper-lo6fb7 ай бұрын
Xx leo wananchi wamekuwa wahalifu mpaka unawaletea wanajeshi , xx na ww mwanajeshi kwan unalipwa doo ngapi xnaaah mpaka usahau ulkotoka plz jarbuni kufkiri kuna leo na kesho ,Tupo Bado Na Tutakuwepo kwa Maandamo mpaka haki ipatikane Mungu tusaidie🙏💪
@princeprophecies26977 ай бұрын
Unaweza tumia polisi au jeshi lakini Mungu akitaka kukuaibisha na kukuangamiza hawatazuia ogopa Mungu
@princeprophecies26977 ай бұрын
False prophets cheated you that God chose you now you will suffer pain and humulation because you lied to the holy spirit when you went to churches bribing fake preachers who were money mongers
@TheKenndyMedia7 ай бұрын
😅😂😂Tumefika mahali Kenya deploys Military against Protesters whereas Police against Haiti gang😂😂Kenya is a business for sure
@unclej9507 ай бұрын
Hawa hakuna bule kabisa hadi wana shidwa kuingia lori hiyo loli naeza bila kujishikilia bule kabisa🎉😂😂😂😂
@khamisshehe91877 ай бұрын
Wanajeshi tekelezeni wajibu wenu vyekeni hao majizi wanaojitia haki ya maandamano kumbe ni wametumwa na watu wakio nyuma ya kivuli, hakuna haki ya maandamani isiyo na kikomo, huo ni uvunjaji amani , timua hao wte😂😂😂😂😂😂😂😂
@TunauzaSimu-fn2ff7 ай бұрын
Ni vzr walivyofanya. Tz nac ipo cku yatajiri haya. Wao na watoto wao wanastarehe wanyonge ni palepale. Mapinduzi Daima!
@Riziki-k147 ай бұрын
The president has no power to withdraw the finance Bill yet he/she has power to reject it and the Bill will become automatic law if the members off parliament will not rectify it.
@josephlorri4317 ай бұрын
Matumizi mabaya ya KDF... Ruto ameshindwa kutuliza hasira za wananchi hadi akaagiza wanajeshi kama kutangaza vita na wananchi..
@digdemkingodi72827 ай бұрын
Ruto apeleke KDF kwa wamasai wale wakona gun sisi wanainchi we don't have anything.
@makkawi42947 ай бұрын
Yes so sad😢😢😢
@Cocoa_nutz7 ай бұрын
🤨Wewe na your uneducated mind Umeona wamaasai ndo tuko na bunduki?
@digdemkingodi72827 ай бұрын
@@Cocoa_nutz soma vizuri kwanza before you comment..nimesema wale wakona guys are killing people not all masais.
@LucyCute-xg5vd7 ай бұрын
@@digdemkingodi7282 ni kweli bro
@Truthfulmen_women7 ай бұрын
@@Cocoa_nutzyes some Maasais and Samburu wako na guns .
@Cyp-x3z7 ай бұрын
Ruto must go kazi yake ni kwenda nje ya kenya na kuomba loans kisha wakenya tumlipie we are not foolish this time round you must go home.
@mwariwamurimi89377 ай бұрын
Today, president Ruto will know kenyans donna trust in horses nor chariots but the living God, today God will kenyans victory.
@agripinabukhala6497 ай бұрын
Shame shame..jeshi raia inawapa headache he vita vya njeee😂😂😂😂
@sunnylovelydays68237 ай бұрын
We don't want ruto anymore
@wamochaedith74377 ай бұрын
You and who guok
@yusufmwangichannel66927 ай бұрын
@@wamochaedith7437And me
@dukeofrideshare7 ай бұрын
@@wamochaedith7437maalaya hii.
@ScovierKefa7 ай бұрын
And me@@wamochaedith7437
@christineamlinger56307 ай бұрын
@@wamochaedith7437 mbona unatusi mtu akitoa maoni yake? I mean you can drive your point home without abusing others.
@mudibojaffar92697 ай бұрын
Sorry For the Kenyans..But we Support you from Tanzania 🇹🇿
@ElonDusk-vs4jd7 ай бұрын
Yani carrying Ak47 for tiktokers😂😂😂😂😂wow just wow
@mumo_ke7 ай бұрын
You haven’t seen the Scar 😅😅😅 the brown machine
@Berly8417 ай бұрын
Imgn dio useme ruto n president wa ukweli anataka kuuua wananchi badala ya kuleta amani
@tracyjenner12177 ай бұрын
😂😂😂😂😂imgn
@PhilipKimaru-s8d7 ай бұрын
@@Berly841kuchoma manyumba n looting people's properties ni amani??????
@kalawajames-fw8gw7 ай бұрын
they have even tankers and jet fighters 😏😏
@RobinOyie7 ай бұрын
Genz in the building👊👊ngumi ni mbwegze💪power🔥🔥🔥
@pkaulam7 ай бұрын
Salute to our army, thanks for you joining the journey of removing the Treasonous President
@abdulhajiahmed87357 ай бұрын
Let's work continue !!! Please save our Nation wajamani nothing to do with properties,
@Vee357.7 ай бұрын
Today must have been 'KDF soldiers' day out😂😂😂
@lm628477 ай бұрын
Withdrawing is not rejecting. Be makini sana on that!!
@KaluMwango7 ай бұрын
Hapa wanajeshi wanatumiwa vibaya,,,
@FatmaAli-dh1pd7 ай бұрын
Kwani hawaelewi hata wao na familia zao wanaumia na uongozi huu mbaya?
@burningspear88837 ай бұрын
I'm begging in the name of the Most High. It you are ZDF take this Opportunity to Liberate Kenyans. Kenya 🇰🇪 belongs to all of us 50 Million plus. Kenya sio ya mama ya mtu. Following from Kleve in Germany 🇩🇪
@kiwishbj17 ай бұрын
5:48 This Lady is so eloquent .!!
@chardwickmkaunda30837 ай бұрын
Ruto ,kindiki ,Duale na Gachagwa we are coming for you at utue ,auta tumaliza ,na hawa wanajeshi tutankhamen endea familiar zao
@changemashinani18227 ай бұрын
Why can’t they restore Migingo back Kenya from Uganda?
@DaveOndiekAaron857 ай бұрын
THAT ONE WAS SOLD TO MUSEVENI.. 🥹😪
@doreenmueke7 ай бұрын
Ata hivo siuseme wale wezi wa ngombe na uko pokot.sasa watoto wetu ndo wanaletea kdf
@kennethaseda25877 ай бұрын
Uganda Army is stronger and twice the Kenyan Army
@bettynish62847 ай бұрын
@@doreenmuekeimagine?
@RaulChenge-xr6fv7 ай бұрын
you are daydreaming@@kennethaseda2587
@DaveOndiekAaron857 ай бұрын
YOU CAN NEVER FIGHT A PERSON WHO HAS NOTHING TO LOSE.. 🤔😏
@virginiahmathu94277 ай бұрын
And the dead lost.
@salimmashjary80287 ай бұрын
Ujumbe ni wafanye maandamano kwa amani kwa 1 week gorvment iwe paralysed ndio ruto atoke.
@doreenmueke7 ай бұрын
Shida wanatuma watu wao walete vurugu ndo isemekane ni waandamanaji
@judithibra70497 ай бұрын
Yaani Ruto anashtukanga ivi!!?.
@sarahnyambura-vt4yz7 ай бұрын
Alaaaa.Alaaaa.
@Susankendi7 ай бұрын
you dont have brains to know what is simmering underground.expect curfew
@Truthfulmen_women7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@loiceawuor7327 ай бұрын
Mwizi lazima Ashtuke😂😂😂
@b3falampendwa7587 ай бұрын
Yes, ameishi kutuzuia uoga manze.
@simonkinyanjui-em9se7 ай бұрын
Very shameful for president Ruto for deployment of KDF, Very painful and shameful
@floraundisa36887 ай бұрын
Makofi kwa wanajeshi wetu kutulinda
@raziloriedo95467 ай бұрын
What is the rational of deploying police to haiti and yet in kenya we are deploying the army????????nkt
@komissa36747 ай бұрын
Gen z tunatokea, bado mapema hadi statehouse
@annea57817 ай бұрын
Mnatokea saa ngapi?
@lilianmwiti7 ай бұрын
It's past noon what are you waiting 4.
@Ronah-z7i7 ай бұрын
Eve Ruto he wants people to stop mandamano arudi nyumbani kwake akalime
@BrianOwino-l5z7 ай бұрын
Zakayo MUST goooo...😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@kalawajames-fw8gw7 ай бұрын
Ruto declears the war againist his citizens😂😂
@SangShadrack7 ай бұрын
Please keep peace and hopefully for success 🎉♥️✈️✍️.
@alymwamunga23157 ай бұрын
Wanajeshi kazi yako to protect the country na sikipigana na wanainchi.....nendeni Palestine and Somalia to fight with alishabab
@halmejo59077 ай бұрын
Kwaio ruto ana uwezo na ujasiri wa kuleta wanajeshi kwaajili ya kuumiza raia?😢mungu skia kilio chetu walai ni huzuni😢😢
@mfalmeamoskamau7 ай бұрын
Military should never been introduced.. only thing Ruto is doing is escalate situation
@AnnNgamau-uf7pn7 ай бұрын
Why is ruto killing innocent soul 😂😂😂
@Prospicon7 ай бұрын
Hao wanajeshi wamekasirika sana, imagine wanatolewa Kwa shuguli zao kuja kupigana na innocent unarmed people. This is embarrassing
@hendricamatasyo43677 ай бұрын
Ruto should be serious. Eti KDF to fight the Gen Z? Hata nyinyi our KDF bros why are you on the streets? Acheni kutumiwa vibaya. Know your rights and responsibilities n duties.
@ameirzapy13187 ай бұрын
😂😂 Jeshi hao maana Askari muliwaoneaa
@leochemkoros15957 ай бұрын
Mlishindwa na Somalia mnakuja kututisha hapa
@carlingari88507 ай бұрын
Al shabaab imewashinda sasa wameamua kushtua watu wa uber na KFC😅
@gidionsolomon41717 ай бұрын
Ruto must gooo tunatakaaa signatures baaadaaa ya 21 days atarudiiii Sain tuko Town saif
@raismtukufu99267 ай бұрын
Karau mwenye ataua Leo atauawa papo hapo
@antipasjohn627 ай бұрын
Ruto must go ameua Vijana wenzetu kwa parliament
@Kelekdental7 ай бұрын
Power belongs to the people. With enough pressure, the military will also back down. Aluta continua against instruments of oppression ✊🏿
@EmpressSuzanna-1CEO7 ай бұрын
Military out barracks God remember us😢😢😢this people are supposed to be protecting our country not going against its people 😭💔kdf nawapenda msiuue please
@Nicholas-yr2sq7 ай бұрын
Lasima state house tuingie, liwalo na liwe, hao wanajeshi watatuabia kama kuna bandits kwa genz 💪🔥
@jonahsanga91507 ай бұрын
Sasa unangojea nini si saizi ungekua uko mahali penye Kdf ?
@Wangarimatai7 ай бұрын
Enda kama ruto ni babako utarudi ukiwa maiti
@Jane-kh1nn7 ай бұрын
Endeni na munjue ni watu wenu wataliya
@lilianmwiti7 ай бұрын
Jinga wewe saa hii ungekuwa state house tujue wewe ni mwanaume. Mamako ataachwa akilia have you ever seen watoto wa politician wakiuawa.
@NancyNjeri-hx2qy7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@MusaMohaned7 ай бұрын
Kenya army a professional soldiers they love the people of kenya
@iam.vikki.m7 ай бұрын
Ruto MUST Go!!
@SangShadrack7 ай бұрын
GOD Be observed in your help and stay safe in these situations,❤
@namvibes.empoweredtoempowe62137 ай бұрын
Kitu ina shangaza niati huu jamaa ame chorwa job na wakenya sijui mbona ana mea kichwa sana😐😑we are rhe bosses here ana lipwa na pesa zetu....nkt
@silvanus56217 ай бұрын
Kwani jeshi haina kazi, wagetumwa haiti
@joycewanjiru22027 ай бұрын
Rt.hajui.maana ya.jeshi.nini
@abigaelmoraa96987 ай бұрын
Team gen z stay safe ,,,,,war btw people nd army weee Nipitienii please team gen z ...plz
@chemotokaula-ew1zn7 ай бұрын
Kdf 👏👏👏👏👏👏Kenyan army the Riffle community .
@DawnLydia-f3g7 ай бұрын
This is act of cowardice, against unarmed citizens they vowed to protect....
@nancynzingo50767 ай бұрын
Kenya imekua tu ya umwagaji damu it's too painful 😢😢😢😢
@dorineokama21287 ай бұрын
Mbona analeta mandugu zetu kutupiga aki 😢😢😢😢
@virginiahmathu94277 ай бұрын
The dead lost.
@ivinesizy16167 ай бұрын
Huyu mtu ametuogopa sana,😂so Hawa wote amewatumia ndio,watuuwe,,,😂😂
@sylviaobegi6497 ай бұрын
Must they walk in a straight line 😂
@gilbertmathias75947 ай бұрын
Wakenya mmezoea vurugu tu. Jeshi liko sahihi kufanya kazi yake maana kazi ya jeshi ni ulinzi na usalama wa nje na ndani ya nchi. Tatizo lenu ukabila unawatafuna. Na kujifamya mnajua sana .Tulieni mjenge nchi yenu
@dorisflorenceokila69637 ай бұрын
PRESIDENT ali sema hataweka sahahihi lakini wabunge wanaenda likizo by the time watarudi bungunie 14 days sitakuwa zime isha na that bill will automatically become law,hakuna kitu cha kufurahiya hapa sir
@PresenterFeiOfficial7 ай бұрын
Hello withdrew ....how can something withdrawn become a law
@RosebellaDianah-ou4jp7 ай бұрын
RUTO MUST GO
@HELLENNdungo7 ай бұрын
Mpaka 2042 ukisikia hivo
@maximus-7-m3j7 ай бұрын
This proves ruto does not care about us
@markpishon7 ай бұрын
Ruto has to go
@johnkalulukalulu95217 ай бұрын
He is going no where until 2027 . U guys chose him , unless u want blood shed use the legal system to impeach him . Force breeds force . I’m
@charlesisaboke16437 ай бұрын
KDF defends the country against external attack
@Jackson353207 ай бұрын
IMF & world bank they seem to have a hand in this bill behind the scene.
@ElastoMashine-nw2dz7 ай бұрын
Da aisee naomba mungu awajalie wanamch wapate ushindi
@RobinOyie7 ай бұрын
KDF are in our side 💪💪
@JaredOgola-um6fm7 ай бұрын
Okay Ruto declares war on millennials and Gen z we are coming for you
@abigaelmatata29717 ай бұрын
Mungu tuondolee hii shetani 😢
@NicodemusMwaya7 ай бұрын
police for haiti gang/KDF for kenya citizens crazy kenya🙄🙄🙄
@Nmainga7 ай бұрын
KDF wa Kaz gan sasa Kwan sisi tumekua Al-shabaab tena😂
@Charles-jy9mg7 ай бұрын
ZTo is watching you on TV from far, you look worse than Al shabaab, therefore face the mighty KDF of you Gen Z are brave men and women, Acha kuteta
@Afrikanticha967 ай бұрын
Kdf should learn from Bukina Faso don't be used by politicians.
@JamalRamadhan-z6y7 ай бұрын
😂😂😂Aibu sana kwa hawa wanajeshi kubeba bunduki kimashuhuri kwa mtu ambae hana bunduki nifirimbi na wimbo
@moddykngala65937 ай бұрын
So does it mean we don't have government in hand mpka tuletewe Wanajeshi mitaani this is totally wrong Ruto has failed as a president and he should resign
@AlexDandu-gj7ij7 ай бұрын
This is how Milton obote was overthrown some years back