Naomba unijulishe course ya Sheria chuo ada shingapi na inaumuhimu Gani kusomea Sheria maana mwanangu anataka xana ila naulizia ada shingapi na chuo kipi Cha Sheria ambayo ni nzuri xana yenye mazingira mazuri. Naomba unijulishe haraka nimpeleke mwezi wa kumi
@MBAJOOFFICIAL2 жыл бұрын
hii sis napenda unachofanya nakuomba utume vyuo ambvyo vnatoa course ya mass media communication kwa ngazi ya degree na pia faida zke ukihitimu ngazi hyo
@MaishayaChuo2 жыл бұрын
Asante sana Amos, sawa nitafanya hivyo rafiki🤗🤗🤗 asante kwa kuendelea kuangalia video na kufuatilia chaneli hii🖤
@ashrafmazruitz2 жыл бұрын
Kuna vyuo umevirudia zaidi ya mara moja wakati vyuo vingine hujavitaja mfano KIUT
@MaishayaChuo2 жыл бұрын
Asante sana Ashraf kwa kukitaja hicho chuo, muda mwingine wakati wa editing tunakosea. Asante sana kwa marekebisho haya