Daah, umefanya vizuri sana dad angu nimechaguliwa kusoma coz hii Tumainj ila nilikuwa nawaza sana ku comfirm maana nilikuw sijjua inahusiana vip kiundani asee asante sana❤❤❤
@mwasoprince34592 жыл бұрын
Mm nimesoma pia hii kozi ndio maana nimeona tueleweshane, ni kozi nzuri Sana ni collar job, mshara mnono
@bekakasambala71082 жыл бұрын
Nahitaj kuisoma Naomba unifahamishe inakuaje
@bekakasambala71082 жыл бұрын
Napia ni module zipi za kusoma Ili niwe human resources
@leonardmarcello2163 Жыл бұрын
Oy
@mwasoprince34595 ай бұрын
@@bekakasambala7108 course Iko vizuri na Haina complication, very simple afu kazi nzuri
@IdrisaWise4 ай бұрын
Thanks madam🎉🎉kwa kutujuza
@witnessmallya5114 Жыл бұрын
Je kwa mtu aliyesoma certificate ya Community development and gender anaweza kusoma diploma ya HR, na ipi nzuri zaidi kati ya hizo mbili
@elizabethbugota2 жыл бұрын
Information and Technology (IT)👍
@aminajuma12157 ай бұрын
Good explanation
@NajmaSwalehe-d9f Жыл бұрын
Je ukisome hotter management..vitu gani usomee hiri hiwe kwenye msahada kwenye kazi yako
@PaulMwinuka-r1c6 күн бұрын
saidie kozi ya busness planing and management
@YusraSule-vn4re Жыл бұрын
Mm ningepend kusomea kozi hii ktk chuo ch mwalimu nyerere
@IssaHabibu-k3t11 ай бұрын
Ataye soma kozi hiyo awe ame pasi vp masomo
@PaskaliKilua-ok7df6 ай бұрын
Sawa gharama zikoje na unasoma mda gani? Na masomo yananza mwezi ?
@BenedictherLibelatus5 ай бұрын
Soma tu nasoma pia hio three twoo one unasoma
@mtotoWaushenzini2 жыл бұрын
Mm nimesoma hkl,,nina 1.9 lakin nina F ya math O_level je naweza kusoma HR
@mwasoprince34592 жыл бұрын
Ujaeleweka bado, kusoma HR uwe na GPA kuanzia 4.0 yaan principal passes mbili kwa masomo yako mawili katika combination. Mathematics it's not matter in HR basically based on business matter which is few calculation. Like principal of accounting, labour economic, finance etc
@mtotoWaushenzini2 жыл бұрын
@@mwasoprince3459 ok thx🙏
@aminakunja2772 жыл бұрын
Shukrani
@HalimaBomeza3 ай бұрын
Mm naomba kujua kuhus business administration in human resources management inahusu nn na ukisoma unakua nani
@johnchapwa83442 жыл бұрын
Kujuaaaa Deep xanaaa khx civil engineering nimepagiwa chuoo Cha misungwi
@RevocatusMlinga7 ай бұрын
Nataka pia kujua kuhusu watu wanaosoma mic finance management kazi zake ni zipi
@JaliyaAbdul5 ай бұрын
Iyo kozi nimeipend san
@DayanaSelaman10 ай бұрын
i like this program
@scolavicent4 ай бұрын
Napenda kujuwa upande wa mkopo vip ina farour?
@rehemahilali279310 ай бұрын
Dada mie nasoma secondary lkn natamani kuwa hr sasa nisome combination gan?
@doricevalerian92662 жыл бұрын
Thanks co much m nmechaguliwa mocu
@MaishayaChuo2 жыл бұрын
Oh wow, hongera sana! Hongera sana rafiki
@omari5782 Жыл бұрын
Jaman mm nina certificate ya human resource management naomba mwenye connection za ajira tusaidiane
@MedalaPlumbing7 ай бұрын
Viwango vyake vya ufaulu unatakiwa na pass mark ipi au division gan kwa matokeo ya form six
@FaridaJuma-g1q10 күн бұрын
Div 1 ya 3
@suleimantalib-nq5ym Жыл бұрын
Habar zenu? Namm nimetikea kuipend hii course HRM je vigezo vyake ni nn
@scolavicent4 ай бұрын
ila nawaza juu ya mkopo wa hii coz my
@aminaomari4201 Жыл бұрын
Anaetakiwa kusomea nafasi ya hr anapaswa awe ma bigezo vip?
@BarakaWilliamRugolas-lt7ji Жыл бұрын
Naomba unifafanulie Inahusiana Na mambo gan?
@IBRAHIMMOHD-zn7jg Жыл бұрын
Nyerere university
@AzizaAbbas-kw4we7 ай бұрын
Kwa anaetaka kujiunga inakuaje
@FaidaJonas-w6h2 ай бұрын
Naenda cuom
@faridahtwaha8812 жыл бұрын
Vipi kozi ya business administration
@YusraSule-vn4re Жыл бұрын
N vigezo vyke unatakiw uwe n credit gni n gni?n
@AppyChalesi-ve3qw Жыл бұрын
Na Kam ana F ya mathe anawez somea hii kombi
@khadijashabani55092 жыл бұрын
Ufaulubwake ili ukasomee hikozi unatakiwa kuwa na ufaulu gani mimi nina D 2
@halimashabani780 Жыл бұрын
Da me I wish kwenye isw
@MedalaPlumbing7 ай бұрын
Je koz hii inapatikana katika vyuo gan
@BenedictherLibelatus5 ай бұрын
Tia
@DayanaSelaman10 ай бұрын
jamniii mm nimesomea hii course utafanyaje ili upate ajira kwa urahisiii?
@awadhihusseni31528 ай бұрын
Samahan mwaka wa kwanza ulifanya field gani?
@RivisonRwita6 ай бұрын
Ah samaan Kuna kitu nakwaza ivi katka chuo iki Kuna mkopo wa serikali au unajitegemea Kama wewe
@BenedictherLibelatus5 ай бұрын
Kina mkopo
@HalajkLulyalya5 ай бұрын
Vp kuhusu health system management
@eliajuma16952 жыл бұрын
Good
@scolavicent4 ай бұрын
❤❤❤❤
@AppyChalesi-ve3qw Жыл бұрын
Je huyu mtu anawez kusomea kombi Gani asa
@JaliyaAbdul5 ай бұрын
❤❤
@Omari-he4yq Жыл бұрын
IAA
@lightnessmsovu60352 жыл бұрын
Je nimesoma hgk naweza kusoma hii
@mwasoprince34592 жыл бұрын
Exactly unasoma chamsingi uwe na ufaulu wa Principal passes 2 kwa masomo ya comb lako.yaani GPA 4.0 nakuendelea, ( HKL,HGL,HGE,HGK) wote wanasoma sifa ufaulu tu.
@RabiaJuma-l4m Жыл бұрын
Mim nimepat kGl jenawez kusom
@saidikitambulio62642 жыл бұрын
Ajila yake ikoje
@doricevalerian92662 жыл бұрын
Ubarkwe
@monicaleopard Жыл бұрын
Namb za cm
@MaishayaChuo Жыл бұрын
Za chuo kinachotoa kozi hii ama?
@monicaleopard Жыл бұрын
Ndio
@monicaleopard Жыл бұрын
Ni2mieni bc nahitaj
@michaelmwalubaba9118 Жыл бұрын
Iko poa san
@RabiaJuma-l4m Жыл бұрын
😢
@AlexBukwimba4 ай бұрын
Chuo cha kizumbi
@AlexBukwimba4 ай бұрын
ada ya human resource.management nishingapi?
@zawadimlelwa6334 Жыл бұрын
Shida hujibu commentbdaaah
@MaishayaChuo Жыл бұрын
Najitahidi kujibu ndugu yangu, nisamehe kama kuna swali uliniuliza sikujibu
@PaulMwinuka-r1c6 күн бұрын
saidie kozi ya busness planing and management
@MedalaPlumbing7 ай бұрын
Viwango vyake vya ufaulu unatakiwa na pass mark ipi au division gan kwa matokeo ya form six
@mwasoprince34595 ай бұрын
Uwe na Two principal pass tu. Ili uwe na 4.0 points from any subject