WACHAWI WADHALILIKA - Episode 28

  Рет қаралды 56,426

KTV TZ ONLINE

KTV TZ ONLINE

Күн бұрын

SHIFAA HERBALIST CLINIC - SHEIKH SALIM MARIDHIYYAH
ATHARI ZA SIHRI NA MASHAYTWAN NA TIBA ZAKE
~-~~-~~~-~~-~
Please watch: "LIVE:SHUHUDIA WAZIRI MKUU AKIWASILI UKEREWE"
• LIVE:SHUHUDIA WAZIRI M...
~-~~-~~~-~~-~ #hakikahiinifahariyetu #hakikahiinifahariyetu

Пікірлер: 98
@mohamedjamil937
@mohamedjamil937 3 жыл бұрын
Mashallah
@nanana8795
@nanana8795 3 жыл бұрын
Ameen ameen .Barakallahu fikum
@hussnasaad7503
@hussnasaad7503 3 жыл бұрын
Masha Allah..... shukran shekh nakitaka hiko kitabu... vile unasoma mwili yote inasisimka
@fatimaalrawahi4482
@fatimaalrawahi4482 4 жыл бұрын
asante sana sana
@evelynengilah523
@evelynengilah523 Жыл бұрын
Amen
@jeanbb1385
@jeanbb1385 3 жыл бұрын
Aaamin
@saidsule9395
@saidsule9395 6 жыл бұрын
Masha allah shekh
@mrsliverpool4235
@mrsliverpool4235 5 жыл бұрын
Shukran jazillah hii dua nitahakikisha inshaallah naiihifadhi
@maisaalawi5399
@maisaalawi5399 4 жыл бұрын
Ameen yarabilalamin, jazzakhalahu kheri.
@عايشهسعيد-ض5ذ
@عايشهسعيد-ض5ذ 6 жыл бұрын
waalaykum salaam warahmatullah wabarakatuh shukraan sana nyote
@sharifa2274
@sharifa2274 6 жыл бұрын
W msalam shukran shekhe
@عايشهسعيد-ض5ذ
@عايشهسعيد-ض5ذ 6 жыл бұрын
Hahahahaha njooo sheikh vizuri sana
@rutahalima1400
@rutahalima1400 6 жыл бұрын
Allahumma Amin. Ma sha Allah barakallahu fikum
@zwinsalhabsu264
@zwinsalhabsu264 6 жыл бұрын
Shukrani shekhe allah akujalie kila la kheir
@ababuumwanazanzibar4908
@ababuumwanazanzibar4908 4 жыл бұрын
Shekh Allah akuzidishie Uzidi kutupatia Elimu InshaAllah
@ahmedyoung7300
@ahmedyoung7300 6 жыл бұрын
Shukran Sheikh dua na ss tunazid kukuombea dua
@shaheenhaddad3817
@shaheenhaddad3817 6 жыл бұрын
Wa alykum salaam warahmatullah wabarakatuh. Naomba kuogeza usomi wangu kdg kuhusu Hizbul Bahr. Mtume wetu Muhammad s.a.w aliisoma alipokua kwa dau baharini na alikueko Imam Shahdili akam uusia kuihimiza watu wasome sana na wafundishe watoto wao. Kuepukana na maadui hasid saahir na kila baya. Ni kinga kubwa. Na ina utaratibu wake wakusoma. Kama unaposema shatir wujuuh una gonga mkono chini kua na bia ya kumaliza adui wako. Kuna mahali unamtaja adui wako na inappsomwa q h y a s.. unafunga vidole na kufungua. Na zaidi ajua Allah s.w.t.
@zhnnnsafisanamweshimiawata1312
@zhnnnsafisanamweshimiawata1312 6 жыл бұрын
Mashaallah mwenyezi atuongoze katika njia hirionyooka
@aguaguasy6484
@aguaguasy6484 6 жыл бұрын
Wsalam warahmatullahi wabarakatu shukran kwa darsa nzuri na dua
@aminatwalib339
@aminatwalib339 4 жыл бұрын
Jazzaka allahu ghaira sheikh wetu sheikh wetu kwa dua na m/mung akujaaalie kila lenye kher aaaamin
@aminaabdallah16
@aminaabdallah16 6 жыл бұрын
shukrani shehe kwetu kwazawadi yadua unazo tusomea
@yahyamajid9924
@yahyamajid9924 6 жыл бұрын
Waaleikum Salaam Warahmatullahiy Wabarakatuh.
@halimahalim3816
@halimahalim3816 6 жыл бұрын
Shukrani allahu baarik ya shekhe Allah akupe umri mrefu
@mozamansour7912
@mozamansour7912 6 жыл бұрын
Walykum salaam warahmatullah wabarakat, MashaAllah shukran sana ustadhi jazzaka Allah kheri
@rutahalima1400
@rutahalima1400 6 жыл бұрын
ma sha ALLA Allah akuhifadhi akulinde husda tunakuombea afya njema na umri mrefu hakika tunafarijika kwa duaa unazo tukirim ALLAH akulipe janat firdaws .
@ahmedyoung7300
@ahmedyoung7300 6 жыл бұрын
Maa Shaa Allah shukran sana kwa Dua.
@AliBHaji
@AliBHaji 6 жыл бұрын
Ameen nsha'Allah kher Allah akuzidishie umri mrefu sheikh wallah kipindi nikizr xana..
@salimmasai3962
@salimmasai3962 6 жыл бұрын
Jazaqallah kheira hatuna cha kukulipa ila Allah atakulipa .bado tunaendelea kufuatilia vipindi vyenu.
@mohamedsiadi8144
@mohamedsiadi8144 6 жыл бұрын
Asante sheikh hi dua imenisadia sana siku izi napendwa mpka na wanawake wa kazini
@AliBHaji
@AliBHaji 6 жыл бұрын
Ameen yarabb masha'Allah
@saadamasa8276
@saadamasa8276 6 жыл бұрын
Mashallah sheikh
@aliabdulla2447
@aliabdulla2447 6 жыл бұрын
MASHALLAH SH.SALIM MARDHIYA NAJARIBU KUWASILIANA NA LAKINI SUKUPATI HATAKWA MSM.
@ahmadajamal7524
@ahmadajamal7524 6 жыл бұрын
Mashaa Allah
@haimalhamoddawood2425
@haimalhamoddawood2425 6 жыл бұрын
Mashaa Allah sheikh kweli una kipaji maana naskia roho yenda mbio subhanallah dua kubwa sana hiyo
@mwajabually5404
@mwajabually5404 6 жыл бұрын
Mashaaalah Oman tutashukuru
@Ss-uk9fw
@Ss-uk9fw 6 жыл бұрын
Asante saaana Ustadh, Allah akupe umri mref wenye afya njema
@zahramunir8596
@zahramunir8596 6 жыл бұрын
Mashaallah..Shekh......true...
@shaikhamct3744
@shaikhamct3744 6 жыл бұрын
😂😂😂😂mashaallah njoo karibu sana. Maana wamezidi hawa hatuna amani na maisha yetuu shukraan sana😍
@salmaally877
@salmaally877 6 жыл бұрын
Shehe fungua tawi dsm majini wanatuumiza sana
@laizerog3220
@laizerog3220 6 жыл бұрын
ameen shukraan
@ahymokash9640
@ahymokash9640 6 жыл бұрын
Mashallah shekhe tutafata dua mana ulipokuwa unaisoma wengine tulikuwa tunahisi kizungu zungu sijuwi ndo tumepigwa na hayo majini au hasada
@fatmat6883
@fatmat6883 6 жыл бұрын
Mashallah allah akupe maisha marefu inshallah.
@hadiyajuma683
@hadiyajuma683 5 жыл бұрын
Asante kwa ushauri wa kitaalamu kwa sote kwani kwa njia za mawasiliano kwa ajili yao ya msingi kwa kila kitu kitu kitu ambacho ni t ya kuondoa umaskini na magonjwa ya moyo na ari ya kufanya kazi kwa bidii na maarifa ya kutosha na hivyo kuwa
@nazmakneya4642
@nazmakneya4642 6 жыл бұрын
Mashaallah Allah akupe umri mrefu sheikh utupe tiba za Qur'an ...
@hawata7614
@hawata7614 6 жыл бұрын
Allahumma amin thumma amin
@munnakoja6650
@munnakoja6650 6 жыл бұрын
In sha allah kwa dua
@alimatambwe3402
@alimatambwe3402 5 жыл бұрын
Aswww Ma Sheikh wetu,nyinyi mnatupa dawa Allah awajaliye Allahuma Amiin,INShaAllah,nasema sina Husda Allah Shahid
@alimatambwe3402
@alimatambwe3402 5 жыл бұрын
Aswww na Sheikh wetu,nyinyi mnatupa Dawa,Allah awajalie InshaAllah 👏🏻nasema sina Husda Allah Shahidi👆🏻Anaona cha Siri na chazahiri ,mnatowa na clip ili sisi wa Islam tusiende kwenye mambo ya Ushirikina mnatupa na number tuwatafute ili tusimuasi mwenyezimungu,ila sasa hata nikimuandikia Sheikh wetu hata hajibu na unaona hiyi msg Sheikh wetu kaisoma ,tunaumizwa sisi kwenye ichi za watu za kigeni Ivi paka sasa nimefukuzwa kazi bila kosa week ine izi natuma msg sheikh hanijibu,nalia na hawa mayatima ninayo,hatutaki kwenda kuwashirikina na ndiyo maada mnatuelekeza wenda ukiitika msg yangu tukatumia Dua Allah angeweka wepesi,Sheikh sisi niwanaadamu tuko wa pungufu unaona kweli mtu kama hana subra sataenda kumshirikisha Mungu kweli kwa Ajili anakosa msada.Allah atukinge na ushirikina ila jibuni basi hata msg za watu.
@duniamapitosotewamungu3467
@duniamapitosotewamungu3467 6 жыл бұрын
shukran shekh salum
@beieieih9179
@beieieih9179 6 жыл бұрын
Asante ustdh kwa dua hii Allah akulipe kheir halafu mm ninaombi kdg kama itawezekana iyo dua ungetupigia jpo picha tukaiona bdae sisi tutaiona vzr na tutaiandika o unaona vp ww
@mitundafmoni7699
@mitundafmoni7699 6 жыл бұрын
nipo mascat nakufuatilia ukijaomani nifuate +9692778136 nakufuatilia kila wiki
@zuleikharashid6215
@zuleikharashid6215 6 жыл бұрын
Kitabu kiko play store... unaweza kudownload. Dua zote za hizb zipo ila sio audio
@asmaabubakar2614
@asmaabubakar2614 6 жыл бұрын
Amiin Ma shaa Allah shukran sheikh
@habeebaalriyami406
@habeebaalriyami406 6 жыл бұрын
maashaaAllah
@jaffarslim6436
@jaffarslim6436 6 жыл бұрын
Hatuchoki kuangalia kipindi hiki hata kama kitakua saa1 Allah awabaarik
@khadijamlewa1639
@khadijamlewa1639 6 жыл бұрын
Tupe namba zake Shekh tumpigie inshallah
@saadaalnaamani8293
@saadaalnaamani8293 6 жыл бұрын
Shukran sana Sheikh Mwenye Ezi Mungu akupe kila la gheri weye na famiily yako tumefurahi sana kusikiya kama unakuja Oman tunaomba sana kujuwa number zako
@zahramunir8596
@zahramunir8596 6 жыл бұрын
AMIIN AMIIIN YARAB JAZAKALLAHUKHEIR
@camdenbrentley6080
@camdenbrentley6080 3 жыл бұрын
you probably dont care but if you are bored like me atm you can stream all of the new series on instaflixxer. Been binge watching with my girlfriend for the last few days =)
@winstonlangston2504
@winstonlangston2504 3 жыл бұрын
@Camden Brentley yea, I've been using instaflixxer for years myself =)
@ramlaali8315
@ramlaali8315 6 жыл бұрын
Assalamu alaikum warahma tullahi wabarakatu maustadh ma_sha _Allah ,Allah akulipe mema inshaallah , mbona maustadh hamujanifikia Mimi nawaitaji Sana shekh Salim mardhia tafadhalini kwenye imo hamuangalii bado sijapata jibu nasubiri munijibu
@eunicesaumu7486
@eunicesaumu7486 6 жыл бұрын
Mwenyezi mungu awajalie kheri 🙏
@user-et6zo3zh1c
@user-et6zo3zh1c 6 жыл бұрын
dua ni nzuri sana lakini kwa jinsi akiisoma si rahisi kuhifadhi vile vile kunaingia baadhi ya daaya za biashara hii pia inchangia kutopata umakini mzuri mimi naona ungelifanya njia nyengine haina maingiliano na vitu vyengine ndani yake...washukran
@mwanakhamishaji4236
@mwanakhamishaji4236 6 жыл бұрын
😁 sheikh unatutisha au 😀😀njooooo
@zainabalaraimi1142
@zainabalaraimi1142 4 жыл бұрын
Me nakitaka echo kitabu
@saidsule9395
@saidsule9395 6 жыл бұрын
Amiin
@Aaa-nh7gw
@Aaa-nh7gw 6 жыл бұрын
Amiin yarab'Amiin
@user-qs9rn2je4c
@user-qs9rn2je4c 6 жыл бұрын
waalykum salam warahmatuh sukuran shekhe lwa dua
@aminaali2435
@aminaali2435 5 жыл бұрын
Ameen
@emaidha9175
@emaidha9175 6 жыл бұрын
Assalamu aleikum Sheikh Salim Mardhiyyah, Allah akuhifadhi akubariki Kwa kila hali, Ameen. Please mimi naitwa Naeema, niko mombasa. Nilikuandikia kwa whatsapp kuwa nnatatizo la jinn asheeq ambae mshupavu Hataki toka na anaeleta wenzake. Mimi najisomeya Mwenyewe ruqya na kujipaka mafuta habatsoda. Tatizo jengine ni fujo masikioni kama firimbi haisangai. Nilipimwa na madaktari zaidi ya mara tatu, wote wasema haina dawa. Fujo hizi masikioni hazisangai. Nisaidiye Sheikh.
@eunicesaumu7486
@eunicesaumu7486 6 жыл бұрын
Shukran
@alimuthoni9667
@alimuthoni9667 5 жыл бұрын
Sheikh utakuja Dubai lini?
@fahtmajuma5760
@fahtmajuma5760 6 жыл бұрын
Wàalaikum salaam warahmatullah wabarakatu sheikh salum na mzee wa taman hakika nawapenda kwa ajili ya ALLAH ....ALLAH akufanyie wepesi tuxidi kupata manufaa kutoka kwako ALLAH takabal duaa......
@Hezzasworld_
@Hezzasworld_ 5 жыл бұрын
Fahtma Juma 🥶😡🥵😳🤯🤬
@biashaserenje8468
@biashaserenje8468 6 жыл бұрын
Waalaikum salaam warahmatullah wabarakatuh, Alhamdullillah ntajitahidi kujifunza hii dua in shaa Allah ila cjui ntaishika lini sababu kuiskiza pekee roho yadunda. Asanteni sana ndugu zetu katika imaan Allah awalipeni kheri na afya ilo bora muweze kutufunza zaidi ila mbona Sheikh Salum hutupitii sisi tulio Saudi Arabia ispokuwa unaenda Oman kila wakati? MUNGU atujaalie tuweze kuwashida maadui zetu hawa wachawi na wahasidi in shaa Allah.
@Maryam-vj1rb
@Maryam-vj1rb 6 жыл бұрын
Sheikh wa Oman watakasirika
@Hezzasworld_
@Hezzasworld_ 5 жыл бұрын
Mariam Al-Hajri zzz🤫🦵
@aminaabdallah16
@aminaabdallah16 6 жыл бұрын
Mimi nilipokuwa nasikiliza dua shehe ukisoma Mimi nywele nilikuwa zinasisimka sijui ndio matatizo yamejaa kichwani mwangu
@alimatambwe3402
@alimatambwe3402 5 жыл бұрын
MashaAllah Jazakhallahu khaira Sheikh dua nzuri pls unaweza kuniandikia nayo ikaisha pls
@beieieih9179
@beieieih9179 6 жыл бұрын
O ichokitabu kinauzwa OK hahaa umenifurahisha kdg eti wachawi Wa omani wakae vzr bora sana wapate adabu yao
@eunicesaumu7486
@eunicesaumu7486 6 жыл бұрын
Fika kwetu Kenya Insha Allah
@mwajabually5404
@mwajabually5404 6 жыл бұрын
Acha wa kasirike tuu lskini kinacho takiwa aende Oman
@fatumahamadi8664
@fatumahamadi8664 5 жыл бұрын
Shekhe msg hajibu
@amanoffewwords8714
@amanoffewwords8714 3 жыл бұрын
9:31
@omaar5693
@omaar5693 5 жыл бұрын
Ni dakika chache tu, ila kuisoma pana kazi Rubamba hakupi mda.
@grantler1726
@grantler1726 5 жыл бұрын
" Mimi ni Mkenya". Naishi ulaya kwa takribani miaka35. Dua hii nimeigundua yapata siku sita sasa.Natoa ushuhuda kua kuna nguvu ndani yake.Sababu ni kwamba, kuna makurabu waliokua wakipita/ kuruka kwa compaund yangu hasa asubuhi nikienda kazini, lakini saas iwaoni tena!!! Nilikua nikijiuliza, kwa nini wako Karibu na nyumbani?? sababu hawa ni ndege wanahusishwa na ushirikina. Jee walikuwa wametumwa?? Naomba E-Mail yako kwa mazungumzo muhimu. Waasalam!
@Zinjibartvzanzibar
@Zinjibartvzanzibar 4 жыл бұрын
Grantler 17 +255756876777
@abubakarimwasumilwe7293
@abubakarimwasumilwe7293 6 жыл бұрын
Naam" MashaAllah... Allah atufanyie wepesi Je huku bara link mtakuja?
@ramlaali8315
@ramlaali8315 6 жыл бұрын
shekh mbona bado hamujanijibu kwenye imo ?
@Hezzasworld_
@Hezzasworld_ 5 жыл бұрын
Ah am a muffin means it muffin time
@Hezzasworld_
@Hezzasworld_ 5 жыл бұрын
I like muffin time song it really funny and it a meme I think and really funny one 💯100% go and write MUFFIN TIME
@Hezzasworld_
@Hezzasworld_ 5 жыл бұрын
Muffin time for ya tomorrow night I wanna was the day I wanna was the jeans day I wanna was a good day to ya ya tomorrow ya ya know ya ya tomorrow ya ya know ya ya bro bro I’m going on ya tomorrow night I don’t want ya to be mad 😡 is the night you got to go belle tomorrow night and🥡🥢🥢🏀🚘 we eat at China and play basketball in a car
@Hezzasworld_
@Hezzasworld_ 5 жыл бұрын
I don’t think you could ever get a picture with your friends or anything like this to be happy to be friends and I just want you and your friends 👫 I wanna is that the way you are in my house and I am not feeling to good for that I wanna is that it will
@ahmeidyoung2410
@ahmeidyoung2410 6 жыл бұрын
Maa shaa Allah
@ramlaali8315
@ramlaali8315 6 жыл бұрын
Assalamu alaikum warahma tullahi wabarakatu maustadh ma_sha _Allah ,Allah akulipe mema inshaallah , mbona maustadh hamujanifikia Mimi nawaitaji Sana shekh Salim mardhia tafadhalini kwenye imo hamuangalii bado sijapata jibu nasubiri munijibu
@ramlaali8315
@ramlaali8315 6 жыл бұрын
shekh mbona bado hamujanijibu kwenye imo ?
@ramlaali8315
@ramlaali8315 6 жыл бұрын
shekh mbona bado hamujanijibu kwenye imo ?
@ramlaali8315
@ramlaali8315 6 жыл бұрын
shekh mbona bado hamujanijibu kwenye imo ?
WACHAWI WADHALILIKA - Episode 27
26:08
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 17 М.
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Xzit Thamer
Рет қаралды 31 МЛН
POV: Your kids ask to play the claw machine
00:20
Hungry FAM
Рет қаралды 14 МЛН
МЕБЕЛЬ ВЫДАСТ СОТРУДНИКАМ ПОЛИЦИИ ТАБЕЛЬНУЮ МЕБЕЛЬ
00:20
7 Fatiha 7 Ayetel Kürsi 7 İhlas 7 Felak 7 Nas Kur'an-ı Kerim Rukye
24:23
fussilet Kuran Merkezi
Рет қаралды 81 МЛН
KISOMO HIKI NI PIGO KWA WACHAWI
17:55
ZINJIBAR TV
Рет қаралды 225 М.
WACHAWI WADHALILIKA - Episode 22
23:52
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 66 М.
PEMBA' YABAINIKA INA MADINI MAZITO, UTAJIRI NJE NJE, RIPOTI INASEMA
6:12
HII NDIO DUA INAYOWEZA KUKULINDA NA WACHAWI
34:36
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 127 М.
Wabunifu wa Injini ya ndege (Jet Engine)
4:29
COSTECH Tanzania
Рет қаралды 14 М.
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Xzit Thamer
Рет қаралды 31 МЛН