WACHAWI WADHALILIKA - Episode 22

  Рет қаралды 66,721

KTV TZ ONLINE

KTV TZ ONLINE

Күн бұрын

SHIFAA HERBALIST CLINIC - SHEIKH SALIM MARIDHIYYAH
ATHARI ZA SIHRI NA MASHAYTWAN NA TIBA ZAKE
~-~~-~~~-~~-~
Please watch: "LIVE:SHUHUDIA WAZIRI MKUU AKIWASILI UKEREWE"
• LIVE:SHUHUDIA WAZIRI M...
~-~~-~~~-~~-~ #hakikahiinifahariyetu #hakikahiinifahariyetu

Пікірлер: 136
@asa121aminahta.nakshfrombu5
@asa121aminahta.nakshfrombu5 Жыл бұрын
Allahuma. ameen. 🙏🏻🙏🏻🙏🏻shukran. sheikh. mungu. akuepushe nahasad
@halimasaid8992
@halimasaid8992 2 жыл бұрын
Ma shaa Allah Sheikh Jazakallah hii Dua naisoma nilipata KZbin ya Sheikh Shariff yusuff marafiki zangu wamenihama na wengine nimejua nia zao kumbe ni maadui zangu
@user-kj8nh9iu5d
@user-kj8nh9iu5d 2 ай бұрын
Wao ,na sisi itatusayidiya inshaAllah
@farhatbates9302
@farhatbates9302 Жыл бұрын
Assalam aleikum, shukran sana sheikh wetu, Allah akuhifadhi, sheikh maji tutayafanya nn baada ya kuyasomea, shukran jazzakah Allahu
@rufaydabaskut2230
@rufaydabaskut2230 3 жыл бұрын
Mungu atakulipeni mema hapa duniani na kesho akhera inshallah
@hadijaalpha7547
@hadijaalpha7547 2 жыл бұрын
Bi idhnillah in shaa Allah ☝️🤲🤲🤲🙏
@madiyaahmad2749
@madiyaahmad2749 6 жыл бұрын
Mashallah Allah kakupa kipaji akulinde na watu wabaya ama Mungu mkubwa sasahivi tunapata neema kubwa kwa dua zako hasa hapo msikiti ngamia napia maustadhi wako mashallah Allah awalinde Ameen
@mulhatnurdin4749
@mulhatnurdin4749 6 жыл бұрын
Mashallah😢😢😢 mola akuzidishie elimu ndani ya kifua chako sheikh salum
@mohamedjamil937
@mohamedjamil937 3 жыл бұрын
Mashallah
@zwinsalhabsu264
@zwinsalhabsu264 6 жыл бұрын
Shukrani shekhe allah akujalie kila kheir
@asa121aminahta.nakshfrombu5
@asa121aminahta.nakshfrombu5 Жыл бұрын
Walaykumusalam. warahmatullah wabarakatuh
@ahmedyoung7300
@ahmedyoung7300 6 жыл бұрын
"Ameen" .Maa shaa Allah sheikh kw dua. Allah atakulipa kw wema wako In shaa Allah
@fallymetoo191
@fallymetoo191 Жыл бұрын
Jazakallwahul'khair Sheikh 🤲🏼
@lovely10emoji49
@lovely10emoji49 6 жыл бұрын
MashaAllah Inshaa Allah dua maqbool yaraab!
@salmasady4465
@salmasady4465 4 жыл бұрын
Shukrani sana kwaduwa hii nilikuwa sijaifaham allah akupe umri mrefu udhidi kutupa duwa amiin
@habibakhlifa8534
@habibakhlifa8534 6 жыл бұрын
Mashaallah mashaaaallah Mashaallah mashaallah Mungu akulipe Inshaallah
@alimatambwe3402
@alimatambwe3402 5 жыл бұрын
MashaAllah Sheikh so exactly with you 👌👌👌👌👌👌👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
@zamzamzam3920
@zamzamzam3920 3 жыл бұрын
MaashaAllah
@aminaomar1170
@aminaomar1170 6 жыл бұрын
Wa alaykum salaam warahmatullah wabarakatuh.Allahumma aamiin shukran sana sheikh.
@Maryam-vj1rb
@Maryam-vj1rb 6 жыл бұрын
Mashallah sheikh Salim mungu akuzidishiye Elimu yako
@mohamedbabu2054
@mohamedbabu2054 5 жыл бұрын
Jazaka Allah Allah Allah kupe pepo ya firdaus
@cellynesombi6569
@cellynesombi6569 6 жыл бұрын
😂😂😂nimependa kwa jini mtu yaani nasikiliza hii clip nimeweka sauti kubwa.... Hayo maneno yamefanya mpka wanune... Kwasababu kila nalowafanyia jema lazima akuseme.. Asante Shekh
@ramlaali8315
@ramlaali8315 6 жыл бұрын
jazakha ALLAHU kheri shekh Salim
@aminanuru6526
@aminanuru6526 6 жыл бұрын
Allah akufanyie wepesi katika kusaidia watu
@ziadaalute6836
@ziadaalute6836 6 жыл бұрын
Dua nzuri,ndefuu tumeshindwakuihifadhi kwa haraka haraka sijuitutaipataje
@saumusanjiama6991
@saumusanjiama6991 Жыл бұрын
Shukran
@rahmaalfarsi403
@rahmaalfarsi403 6 жыл бұрын
Mashaallah nimesikiliza hiyo dua hadi nimelia
@mwatumsaidi5104
@mwatumsaidi5104 6 жыл бұрын
Ameen yaraby shuqran Shekh Allah Atakupeni ujira wenu inshallah
@habibakhlifa8534
@habibakhlifa8534 6 жыл бұрын
Shukran Shekh kwa Dua Mungu akulipe inshaallah
@aminaabdallah16
@aminaabdallah16 6 жыл бұрын
shukrani jadhira kwadua shehe Salim maridhia
@sheikhasalim7415
@sheikhasalim7415 6 жыл бұрын
Shukran sheikh. Niko nayo inshaallah iwe Mwisho wa mateso
@stephencharo4749
@stephencharo4749 3 жыл бұрын
Kazi nzuri
@muslimamuktar1151
@muslimamuktar1151 6 жыл бұрын
Masha Allah Sheikh Salim Shukran Jazakaallahu kherr 🤗👍👍
@aminatwalib339
@aminatwalib339 4 жыл бұрын
Jazzaka allahu ghaira sheikh wetu mardhiyyah kwa duaa jaaazakaallahu ghaira marraa
@zawadially6006
@zawadially6006 3 жыл бұрын
Ibariky fikhy
@khadijaga5757
@khadijaga5757 6 жыл бұрын
Jazakallah kher shekh
@halemamohammed2381
@halemamohammed2381 5 жыл бұрын
niliwakadilikia kwa kufuta hiyo episode sasa tuko pamoja shukrani
@sardieali3024
@sardieali3024 6 жыл бұрын
Waaleikum salaam warahmatullahi wabarakatuh shukran kwa dua kwakweli ni dua nzr sana Hadi imenitoa machozi
@jumahboy5282
@jumahboy5282 4 жыл бұрын
Shukran sana Ustadh Salum, nakufuatilia sana tena kwa makini mno!.sasa naomba utufahamishe kuhusu pale mtu anaposhikiwa nyota yake.jee aya gani kwenye Quran zinazohitajika kusomwa ilimambo yaende sawa.shukran nipo Nairobi.
@adam5ramadhan154
@adam5ramadhan154 4 жыл бұрын
Ahsante shekh salum mardhwiya Allah akuzaidishie kila kher
@muslimamuktar1151
@muslimamuktar1151 6 жыл бұрын
I hope to see you next time insha Allah I can't wait part 24 insha Allah ☺☺
@Ss-uk9fw
@Ss-uk9fw 6 жыл бұрын
Asante saana Sheikh MARDHIYYAH , lakin me naomba hiyo Dua uitengezee kitabu tupate kusoma vizur , maana maneno mengine wayasema kwa haraka haraka kwa iyo Ni vigum kuyafahamu
@khadijaga5757
@khadijaga5757 6 жыл бұрын
Jazakallah kher.
@salimmasai3962
@salimmasai3962 6 жыл бұрын
Jazaqallah kheira
@laizerog3220
@laizerog3220 6 жыл бұрын
jazzakallah khery
@halimahalim3816
@halimahalim3816 6 жыл бұрын
Shukrani allahu baarik
@salmasalim6055
@salmasalim6055 6 жыл бұрын
Mashallah shekhe
@mudinipagala3949
@mudinipagala3949 6 жыл бұрын
Good inshallah god please help us Dua is good
@karibunikenyamaasalama706
@karibunikenyamaasalama706 6 жыл бұрын
Amiin shukran kwa dua nzuri
@asmaabubakar2614
@asmaabubakar2614 6 жыл бұрын
Allahumma Amiin shukran sheikh
@user-hn6tz2mx5v
@user-hn6tz2mx5v 25 күн бұрын
Kwa sisi tusiosoma!
@shabanikitogo6613
@shabanikitogo6613 6 жыл бұрын
JAdhakalaallah kheri.
@salmakhamis8181
@salmakhamis8181 5 жыл бұрын
Amin yaa Rabb shekh naomba unitumie namimi Duwa hii tafadhali
@ashaswaleh3281
@ashaswaleh3281 6 жыл бұрын
Hasbiallah waneemal wakil Allah awashinde
@sheikhasalim7415
@sheikhasalim7415 6 жыл бұрын
Ameen Ameen Ameen
@maryamalbahry1387
@maryamalbahry1387 6 жыл бұрын
Mashaallah 👏 kwa dua na mawaidha
@sheikhasalim7415
@sheikhasalim7415 6 жыл бұрын
Naam kweli sheikh
@ziadaalute6836
@ziadaalute6836 6 жыл бұрын
Wanaofuta video niwachawiii
@eunicesaumu7486
@eunicesaumu7486 6 жыл бұрын
Ameen Masha Allah shukran
@ZonlineTV
@ZonlineTV 6 жыл бұрын
Shukran Maridhia
@sheikhasalim7415
@sheikhasalim7415 6 жыл бұрын
Waaleykum msalam warahmatulla h wabarakaatu
@habibakhlifa8534
@habibakhlifa8534 6 жыл бұрын
Waallaikumussalam warahmatullah wa ba rakatu
@aminaabdallah16
@aminaabdallah16 6 жыл бұрын
Aamiin yarabii aramiin
@maisaalawi5399
@maisaalawi5399 4 жыл бұрын
Ameen, mashaAllah.
@salmasady4465
@salmasady4465 4 жыл бұрын
Shukrani kwaduwa sheikhe
@bahatihadijabahati7456
@bahatihadijabahati7456 4 жыл бұрын
Ma Sha Allah 🙏
@mrsliverpool4235
@mrsliverpool4235 5 жыл бұрын
Mashaallah yani kuanzia hapo Lau anzalna alaajabali laraitahu, naomba muniandikie
@aguaguasy6484
@aguaguasy6484 6 жыл бұрын
Shukran kwa dua njema
@mwanaurabakara9574
@mwanaurabakara9574 5 жыл бұрын
Mashaallah tabaraka Allah
@yahyamwadini4991
@yahyamwadini4991 6 жыл бұрын
Sub hana Allah laailaaha ilallah
@hawata7614
@hawata7614 6 жыл бұрын
Allahumma amin thuma amin yarabby
@mohamedsiadi8144
@mohamedsiadi8144 6 жыл бұрын
mashallah sheikh mimi nakupenda sana na mungu awalani awo watu wanao futa hivi vipindi vyako vizuri
@hadiyajuma683
@hadiyajuma683 5 жыл бұрын
Asante kwa ushauri nzuri
@twa9565
@twa9565 5 жыл бұрын
Asante😉
@Subhanallah567
@Subhanallah567 6 жыл бұрын
Assalaamu Alaykum wa Rahmatullaahi wa Barakaatuh, nafuatilia vipibdi vyenu kutoka Mombasa na Allaah awajaze kila la khayr. Masikitiko ni Episode 19 na 20 sijaziona kama inawezekana kuziweka tutafurahika na faida iliyomo ndani, InshaAllaah.
@bimumaulid1171
@bimumaulid1171 4 жыл бұрын
Amiin inshaallah. ....lakini unaongeza kidogo uzito mashallah. ..upungueeee
@asiakheir3846
@asiakheir3846 6 жыл бұрын
In shaAllah Dua iwapate wote wabaya wanaojulikana na wasio julikana.Amiin.
@halemamohammed2381
@halemamohammed2381 5 жыл бұрын
asante sana mmezirudisha tena
@saeedtauhid8721
@saeedtauhid8721 5 жыл бұрын
Maashaallah
@hadiyajuma683
@hadiyajuma683 5 жыл бұрын
Asante kwa dua Ameen
@zahramunir8596
@zahramunir8596 6 жыл бұрын
Amiinn Yarrab.! Shukran sana MMungu akupe zaidi na zaidi.!
@aliyahaji8512
@aliyahaji8512 6 жыл бұрын
MashaAllah faida
@medinastevenson3680
@medinastevenson3680 6 жыл бұрын
Mwenyezimungu. Akulinde. NA. Husda. Za. Nafasi. Zote. NA. Awalaani. Wenye. Wivu. Wa. Quraan. Ambayo. Ni. Kauli. Ya. Kinga. NA. Shifaa. Kwa. Kila. Anayoiyamini. NA. Sisi. Tunayoisikiliza. NA. Shida. Zetu mbalimbali. NA. Family. Zetu. Mwenyezimungu. Atupe. Shifaa NA. Awape. Misukosuko. Wabaya. Wetu wote. Wa. Nafsi. Zote. Kama. Alivyopewa. Firauni. NA. Wasaidizi. Wake. Ameen. Mwenyezimungu. Mungu. Atupe. Ushindi. Sote. Tulioonewa kwa. Sababu. Mbalimbal. Kwa. Maneno. NA. Matendo. Ya. Maadui. Wa. Nafsi. Zote. Ameen... Mwenyezimungu. Akuhifadhi. Mwanangu. NA. Family. Yako. Ameen
@alimatambwe3402
@alimatambwe3402 5 жыл бұрын
Nipo nawo Sheikh,pls natumika nawo
@ahmedyoung7300
@ahmedyoung7300 6 жыл бұрын
Shukran sheikh kw dua na sis tunazid kukuombea dua In shaa Allah
@karibunikenyamaasalama706
@karibunikenyamaasalama706 6 жыл бұрын
Nimahasidi hao wanaofuta sisi yatusaida ambae hataki asisikize
@sharifasaid906
@sharifasaid906 4 жыл бұрын
Nime furahi kukujua
@mzeeyahya2516
@mzeeyahya2516 6 жыл бұрын
Ni kweli Shk. naona kuna episode kibao zimefutwa..
@mulhatnurdin4749
@mulhatnurdin4749 6 жыл бұрын
Kwanini husikia kulia na hulia mara nyingi ikisomwa kuran? Unaeza kuniambia sheikh salum please
@camillas.edrees6155
@camillas.edrees6155 6 жыл бұрын
Assalaam Aleikum Warahmatullah Wabarakaatuh,, Sheikh Nina haja sana nifike mliko jee utaratibu we ni vipi???tafadhwal
@tumahalifa7351
@tumahalifa7351 6 жыл бұрын
Aleykumussalaam sheikh. Hii dua sheikh nilipoisikiliza imenifanyia kazi kubwa kwenye kichwa changu . Na nikawa kila nikiplay inanitupa chini nikajuwa kuwa inafanya kazi lakini nilikuwa naomba ututumie maandishi ya hii dua ili nipate kuisoma kila siku. Jee tunaweza kupata maandishi ya dua hii?
@swidatyomary1380
@swidatyomary1380 6 жыл бұрын
MashaAllah.. M/mungu akutilie wepes katik kutupatia duwa njema Aliamdulilaah..... Ubarikiwe.. Lkn. Mm ninaitaj kuongea na wew je??? Nitakupataj????
@Maryam-vj1rb
@Maryam-vj1rb 6 жыл бұрын
Dua ndefu hatuwezi kuhifazi please sheikh andika utume
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 6 жыл бұрын
Mariam Al-Hajri, mm nimei google kile kipindi aloitaja, Alhamdulillah ninayo copy nimeitolesha. In shaa Allah isearch online
@salimmasai3962
@salimmasai3962 6 жыл бұрын
Love Mummy
@islamicswahilidaawahajege8341
@islamicswahilidaawahajege8341 6 жыл бұрын
Ni baadhi ya Ayaat na Surat alikua akizisoma أَعُوذُ بِاللهِ مِنَ الشَّيْطَانِ الرَّجِيمِ A'uudhu billahi mina ash-shaytwani ar-rajiim بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ Bismillahi ar-rahman ar-rahiim Surat Al-Fath (48:1) إِنَّا فَتَحْنَا لَكَ فَتْحًا مُّبِينًا Inna fatah'na laka fat'han mubiinan Hakika tumekufungulia Ushindi wa dhaahiri Quote from the Holy Qur'an: Al-Fath (48:2) لِّيَغْفِرَ لَكَ ٱللَّهُ مَا تَقَدَّمَ مِن ذَنۢبِكَ وَمَا تَأَخَّرَ وَيُتِمَّ نِعْمَتَهُۥ عَلَيْكَ وَيَهْدِيَكَ صِرَٰطًا مُّسْتَقِيمًا Liyagh'fira laka Allahu ma taqaddama min dhambika wama ta-akh'khara wayutimma ni'imatahu 'alayka wayah'diyaka siratan mustaqiiman Ili Mwenyezi Mungu akusamehe makosa yako yaliyo tangulia na yajayo, na akutimizie neema zake, na akuongoe katika Njia Iliyo Nyooka, Al-Fath (48:3) وَيَنصُرَكَ ٱللَّهُ نَصْرًا عَزِيزًا Wayansuraka Allahu nasran 'aziizan Na Mwenyezi Mungu akunusuru nusura yenye nguvu - ☘☘☘☘ Surat Al-Ahzaab (33:69) "... ۚ وَكَانَ عِندَ ٱللَّهِ وَجِيهًا "...wakana 'inda Allahi wajiihan "...naye alikuwa mwenye hishima mbele ya Mwenyezi Mungu." ☘☘☘☘ Surat Aal-i-Imraan (3:45) "... وَجِيهًا فِى ٱلدُّنْيَا وَٱلْءَاخِرَةِ وَمِنَ ٱلْمُقَرَّبِينَ "...wajiihan fii ad-dunya wa al-akhirati wamina al-muqarrabiina "... mwenye hishima katika dunia na Akhera, na miongoni mwa walio karibishwa (kwa Mwenyezi Mungu). ☘☘☘☘ Surat Al-An'aam (6:79) إِنِّى وَجَّهْتُ وَجْهِىَ لِلَّذِى فَطَرَ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلْأَرْضَ حَنِيفًا..." Innii wajjah'tu waj'hiya liladhi fatwara as-samawati wa al-ardhwa ...." Hakika mimi nimeuelekeza uso wangu sawa sawa kwa aliye ziumba mbingu na ardhi, ☘☘☘☘ Surat As-Saff (61:13) "...نَصْرٌ مِّنَ ٱللَّهِ وَفَتْحٌ قَرِيبٌ ۗ وَبَشِّرِ ٱلْمُؤْمِنِينَ "... nasrun mina Allahi wafat'hun qarriibun wa bash-shiri al-muminiina "... nacho ni nusura itokayo kwa Mwenyezi Mungu, na ushindi ulio karibu! Na wabashirieni Waumini! Surat As-Saff (61:14) يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ كُونُوٓا۟ أَنصَارَ ٱللَّهِ كَمَا قَالَ عِيسَى ٱبْنُ مَرْيَمَ لِلْحَوَارِيِّۦنَ مَنْ أَنصَارِىٓ إِلَى ٱللَّهِ ۖ قَالَ ٱلْحَوَارِيُّونَ نَحْنُ أَنصَارُ ٱللَّهِ ۖ ..." Ya ayyuha aladhiina amanuu kuunuu answara Allahi kama qala 'Issa ibnu maryama lil-hawariyyiina man answari ila Allahi qala al-hawariyyuuna nah'nu answaru Allahi ..." Enyi mlio amini! Kuweni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu, kama alivyo sema Isa bin Mariamu kuwaambia wanafunzi wake: Nani wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu? Wakasema wanafunzi: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu..." ☘☘☘☘ Surat Al-Baqara (2:255) ٱللَّهُ لَآ إِلَٰهَ إِلَّا هُوَ ٱلْحَىُّ ٱلْقَيُّومُ ۚ لَا تَأْخُذُهُۥ سِنَةٌ وَلَا نَوْمٌ ۚ لَّهُۥ مَا فِى ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَمَا فِى ٱلْأَرْضِ ۗ مَن ذَا ٱلَّذِى يَشْفَعُ عِندَهُۥٓ إِلَّا بِإِذْنِهِۦ ۚ يَعْلَمُ مَا بَيْنَ أَيْدِيهِمْ وَمَا خَلْفَهُمْ ۖ وَلَا يُحِيطُونَ بِشَىْءٍ مِّنْ عِلْمِهِۦٓ إِلَّا بِمَا شَآءَ ۚ وَسِعَ كُرْسِيُّهُ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلْأَرْضَ ۖ وَلَا يَـُٔودُهُۥ حِفْظُهُمَا ۚ وَهُوَ ٱلْعَلِىُّ ٱلْعَظِيمُ Allahu la ilaha illa huwa alhayyu alqayyuumu la ta-akhudhuhu sinatun wala nawmun lahu ma fii as-samawati wama fii al-ardhwi man dha al-ladhii yashfa'uu 'iindahu ila bi-dh'nihi ya'alamu ma bayna aydiihim wama khal'fahum wala yuhiitwuuna bishayin min 'ilmihi ila bima shaa wasi'aa kursiyyuhu as-samawati wa al-ardhwa wala ya-uuduhu hif'dhuhuma wahuwa al-'aaliyyu al 'aadhwimu Mwenyezi Mungu - hapana mungu ila Yeye Aliye hai, Msimamia mambo yote milele. Hashikwi na usingizi wala kulala. Ni vyake pekee vyote viliomo mbinguni na duniani. Ni nani huyo awezaye kuombea mbele yake bila ya idhini yake? Anayajua yaliyo mbele yao na yaliyo nyuma yao; wala wao hawajui chochote katika vilio katika ujuzi wake, ila kwa atakalo mwenyewe. Enzi yake imetanda mbinguni na duniani; na wala haemewi na kuvilinda hivyo. Na Yeye ndiye aliye juu, na ndiye Mkuu. ☘☘☘☘ Surat Al-Hashr (59:21) لَوْ أَنزَلْنَا هَٰذَا ٱلْقُرْءَانَ عَلَىٰ جَبَلٍ لَّرَأَيْتَهُۥ خَٰشِعًا مُّتَصَدِّعًا مِّنْ خَشْيَةِ ٱللَّهِ ۚ وَتِلْكَ ٱلْأَمْثَٰلُ نَضْرِبُهَا لِلنَّاسِ لَعَلَّهُمْ يَتَفَكَّرُونَ Law anzal'na hadha al-qur'ana 'aala jabalin lara-aytahu khashi'aan mutaswaddi'aan min khash'yati Allahi watil'ka al-am'thalu nadribuha lil an-nasi la'aallahum yatafakkaruuna Lau kuwa tumeiteremsha hii Qur'ani juu ya mlima, basi bila ya shaka ungeli uona ukinyenyekea, ukipasuka kwa khofu ya Mwenyezi Mungu. Na hiyo mifano tunawapigia watu ili wafikiri. Surat Al-Hashr (59:22) هُوَ ٱللَّهُ ٱلَّذِى لَآ إِلَٰهَ إِلَّا هُوَ ۖ عَٰلِمُ ٱلْغَيْبِ وَٱلشَّهَٰدَةِ ۖ هُوَ ٱلرَّحْمَٰنُ ٱلرَّحِيمُ Huwa Allahu alladhii la ilaha illa huwa 'aalimu al-ghaybi wa ash-shahadati huwa ar-rah'manu ar-rahiimu Yeye ndiye Mwenyezi Mungu, ambaye hapana mungu isipo kuwa Yeye tu. Mwenye kuyajua yaliyo fichikana na yanayo onekana. Yeye ndiye Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu. Surat Al-Hashr (59:23) هُوَ ٱللَّهُ ٱلَّذِى لَآ إِلَٰهَ إِلَّا هُوَ ٱلْمَلِكُ ٱلْقُدُّوسُ ٱلسَّلَٰمُ ٱلْمُؤْمِنُ ٱلْمُهَيْمِنُ ٱلْعَزِيزُ ٱلْجَبَّارُ ٱلْمُتَكَبِّرُ ۚ سُبْحَٰنَ ٱللَّهِ عَمَّا يُشْرِكُونَ Huwa Allahu alladhii la ilaha illa huwa al-maliku al-qudduusu as-salamu al-muminu al-muhayminu al 'aaziizu al-jabbaru al-mutakabbiru subhana Allahi 'aamma yushrikuuna Yeye ndiye Mwenyezi Mungu ambaye hapana mungu isipo kuwa Yeye tu. Mfalme, Mtakatifu, Mwenye salama, Mtoaji wa amani, Mwenye kuyaendesha Mwenyewe mambo yake, Mwenye nguvu, Anaye fanya analo litaka, Mkubwa, Ametakasika Mwenyezi Mungu na hayo wanayo mshirikisha nayo. Quote from the Holy Qur'an: Al-Hashr (59:24) هُوَ ٱللَّهُ ٱلْخَٰلِقُ ٱلْبَارِئُ ٱلْمُصَوِّرُ ۖ لَهُ ٱلْأَسْمَآءُ ٱلْحُسْنَىٰ ۚ يُسَبِّحُ لَهُۥ مَا فِى ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلْأَرْضِ ۖ وَهُوَ ٱلْعَزِيزُ ٱلْحَكِيمُ Huwa Allahu al-khaliqu al-baari-u al-musawwiru lahu al-as'mau al_husna yusabbihu lahu ma fii as-samawati wa al-ardhwi wa huwa al-'aaziizu al-hakiimu Yeye ndiye Mwenyezi Mungu, Muumbaji, Mtengenezaji, Mtia sura, Mwenye majina mazuri kabisa. Kila kilioko katika mbingu na ardhi kinamtakasa, naye ni Mwenye kushinda, Mwenye hikima. ☘☘☘☘
@mawndiswalhi9192
@mawndiswalhi9192 6 жыл бұрын
Bigirimana Rehema ما شاء الله
@rahimaibrahim7646
@rahimaibrahim7646 5 жыл бұрын
hao wanao futa ni wachawio hataki wanao wanaadhirika
@amanoffewwords8714
@amanoffewwords8714 3 жыл бұрын
16:11
@emaidha9175
@emaidha9175 6 жыл бұрын
Assalamu aleikum Sheikh. Leo siku ya pili naona clips zako. Mimi niko Mombasa Kenya, Kwa miaka 9 nauguwa sihr na hasad, na jinn asheeq. Jee Sheikh Salim nitakupata Vipi niwasiliane na wewe? Kwa whatsapp itawezekana? Pliz nijibu. Jazakallahu kheyr
@salumkhamis9065
@salumkhamis9065 6 жыл бұрын
Fifi Jaguar +255658399919
@asiakheir3846
@asiakheir3846 6 жыл бұрын
Kweli kabisa Shekh mahusda ni wengi sana.
@tumahalifa7351
@tumahalifa7351 6 жыл бұрын
Assalaamu alaykum sheikh Salum, sasa sie tulokuwa mbali sheikh tutakupataje maana tuna mashaka kibao na tunajitahidinkwa walimu kupata visomo ila ndio kwanza yanazidi na wewe hupatikani kirahisi tutafanyaje?
@aliabdulla2447
@aliabdulla2447 6 жыл бұрын
Ameen ALLAH Humma Ameen.SHEIKHE SALIM
@nebulanhiijjj
@nebulanhiijjj 4 жыл бұрын
Asalamalekum sheikh. Mashallah lakini unaweza kumusomea mtu kama yupo mbali ?
@esmailmorisho1123
@esmailmorisho1123 6 жыл бұрын
Namba hizi za mawasiliano za K TV mbona tukijalribu kuita tuambiwa tumekoseya namba? Na za sheik Mardhiyyah zinajibu kwamba namba hiyo imefungwa?
@fgjjgbnko4383
@fgjjgbnko4383 6 жыл бұрын
Mnasema wachawi wanakojolea Quran jee wachawi wakikiristo jee wao wanafanyaje
@mbmb7058
@mbmb7058 6 жыл бұрын
Duh! She iyo aya ulosoma na jinsi ulivyoipindishi tafsiri mpaka ikaelekea kwako nahofia isije ikakugeukia!!!
@fgjjgbnko4383
@fgjjgbnko4383 6 жыл бұрын
Kwanini wachawi wanojifanya waislaam wanakua wengi wanga wa kukwanga wakikiristo wanakua friimason kuna siri gani apo
@mudinipagala3949
@mudinipagala3949 6 жыл бұрын
Mashallah,👍😱
@mudinipagala3949
@mudinipagala3949 6 жыл бұрын
Lol
@michaelmrindoko2849
@michaelmrindoko2849 4 жыл бұрын
Amin
@salimaabdullah3359
@salimaabdullah3359 5 жыл бұрын
Sheikh gani wewe mwizi mkubwa ulichukuwa pesa zetu Oman ukakimbia, ukatudanganya utarudi ukaondoka bila kuaga, naskia ndio kazi yako uizi pia wanawake wawatu kuwadanganya eti weye mwalim kwanza jitibu tabia mbaya ndio ujuwe kutibu wangine, yarab naiyi ramadhani Allah akuoneshe ubaya wako wote inshaAllah na usifanyikiwe kwa ubaya wako, naskia kazi kubadili furniture nawanawake kuwadanganya eti unawatibu unawavuwa nguo mchafu mkubwa mshenzi, niko na copy ya passport yako unafikiri mie nahaja kukutolea visa. Mwizi mkubwa wewe Allah akulipe yote uliofanya naiyi ramadhani nakuombea inshaAlla ulipwe duniani niwengi uliodhulumu
@bigfarida6992
@bigfarida6992 4 жыл бұрын
Salima Abdullah Allah akbaar dada ayo usemayo ni kweli?
@ahmadsayyeed7910
@ahmadsayyeed7910 4 жыл бұрын
Swaddakta nakubali mana mgari anaotembelea kwa kuuza Qur-ani mwizi balaa
@rahimaibrahim7646
@rahimaibrahim7646 5 жыл бұрын
number yako ya simu sheikh
WACHAWI WADHALILIKA - Episode 23
22:44
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 19 М.
7 Fatiha 7 Ayetel Kürsi 7 İhlas 7 Felak 7 Nas Kur'an-ı Kerim Rukye
24:23
fussilet Kuran Merkezi
Рет қаралды 80 МЛН
Bend The Impossible Bar Win $1,000
00:57
Stokes Twins
Рет қаралды 43 МЛН
هذه الحلوى قد تقتلني 😱🍬
00:22
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 94 МЛН
KISOMO HIKI NI PIGO KWA WACHAWI
17:55
ZINJIBAR TV
Рет қаралды 225 М.
WACHAWI WADHALILIKA - Episode 28
17:52
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 56 М.
WACHAWI WADHALILIKA - episode 3
24:08
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 20 М.
HII NDIO DUA INAYOWEZA KUKULINDA NA WACHAWI
34:36
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 127 М.
ALIE ROGWA HASA ANAKUWA HIVI / SHEIKH MARDIYAH
25:03
ZINJIBAR TV
Рет қаралды 25 М.
WACHAWI WADHALILIKA - Episode 21
20:34
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 11 М.
Mzee Mwinyi Jaku - Cancer ya Koo inatibika
17:27
ZOP TV
Рет қаралды 7 М.
kisomo cha kuangamiza majini na uchawi (yaasin mubiyn)
19:08
AN-NAJM TV
Рет қаралды 1 МЛН
WACHAWI WADHALILIKA - Episode 34
21:29
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 10 М.