No video

WACHAWI WAZOZANA MADHABAHUNI BILA KUMUOGOPA MUNGU.

  Рет қаралды 380,942

Robert Tv Tanzania

Robert Tv Tanzania

Күн бұрын

Please SUBSCRIBE to Robert Tv Tanzania official KZbin channel, Anointed Man Of God Pastor Robert Raphael:
/ @roberttvtanzania
#RobertTv #RobertRaphael #PastorRobertRaphael

Пікірлер: 282
@neemanyimbi2355
@neemanyimbi2355 2 жыл бұрын
Jamani ata apa KWENYE koment wachawi mnajijua embu acheni siku NTAKUJA kuumbuka KWA jina la yesu🙏
@ShabiSadiki
@ShabiSadiki 4 ай бұрын
Amen🙏
@MAUREENKNIGHT-qs8cx
@MAUREENKNIGHT-qs8cx 2 ай бұрын
Maombi ni silaha ya wa kristo ❤❤ bila maombi labda huyo mchungaji angelikufa Yesu aliubiri, kufunga na kuomba. Alisema ombeni bila kukoma🙏🙏🙏
@rachelmollel5460
@rachelmollel5460 2 жыл бұрын
Nmecheka sn leo wachawi wanabishana ..watu wa kagera 🙌🙌
@agnesnangela2689
@agnesnangela2689 2 жыл бұрын
Wenye wamekiri wasamehewe na Mungu, walio kataa wauwawe kwa damu ya yesu Kristo maana Mchawi Hana haki yakuishi
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 2 жыл бұрын
Ni bora kuwe na mwendelezo wa hawa wachawi ili tujifunze zaidi kuwajua, labda nasisi tunarogwa bila kujua. watu wengi wanataka kujua kuhusu wachawi. asante mchungaji kwa kuwafichua hawa wachawi.
@everlinekemunto267
@everlinekemunto267 2 жыл бұрын
Mungu ni wa neema kubwa,Asante askofu kwa huu ushuuda.
@natashaamanda6234
@natashaamanda6234 2 жыл бұрын
Naona ni vizuri wenye wamemkubali Kristo waombewe wafunguliwee..wengine walizaliwa kwenye ukoo za wachawi na hawapendi
@monicamajebele9165
@monicamajebele9165 2 жыл бұрын
MUNGU BABA Wa Mbinguni akubariki sana sana sana sana mtumishi wa BWANA YESU KRISTO naomba hao mabinti waombee sana sana naomba waombee sana
@baya7067
@baya7067 2 жыл бұрын
Weee wachawi niwengi mungu awafungue katika jina la yesu
@user-rb2il5rq9m
@user-rb2il5rq9m 8 ай бұрын
Awesome mchngaj may da lord of heaven bless you
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 2 жыл бұрын
Amen Amen Mungu wa Canaan yu mwema wachawi wafunguliwe kwa jina la Yesu
@fortunatasimon6431
@fortunatasimon6431 2 жыл бұрын
God Wonder 😳
@valenakomba9218
@valenakomba9218 2 жыл бұрын
Hata hivi Hapo kumejaa wachawi wengi Sanaa. Huoni hapo kama unayumba Sasa?. Sasa hapo umefikia wapi kuhusu Hilo tatizo lililozungumzwa hapo ?. Yaani hapo unafuga wachawi .Na hapo tayari umeshatengeneza mauwaji .utakuja kusikia hivi karibuni .
@gadyjamohamed1350
@gadyjamohamed1350 2 жыл бұрын
Ameen wachawi wafunguliwe kwa jina la Yesu
@pettybrown2655
@pettybrown2655 2 жыл бұрын
Ongera sana pastor Robert nimetokea Kenya
@Dieumerci-bv2wl
@Dieumerci-bv2wl Жыл бұрын
Mungu nimkumbwa,katika ulimwengu kunamambo,mungu mwenye ndiye atakaye saijiye kanisa
@maryeer6392
@maryeer6392 Жыл бұрын
Mchungaji hapa kuna kazi, Mungu akupe nguvu za kupigana na hawa wachawi🇰🇪🙏🙏.
@lazaruskevo3599
@lazaruskevo3599 2 жыл бұрын
Ameen mwendelezo tafadhali tunajifunza
@deborahrehema5819
@deborahrehema5819 2 жыл бұрын
Amen Mchungaji neno nila muhimu sana kweli 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@annapeter4994
@annapeter4994 2 жыл бұрын
Kwakweli Yesu mwenyewe tu arudi. Haitakuwa rahisi kwa viumbe sisi.
@hellenkabithi2974
@hellenkabithi2974 2 жыл бұрын
may God bless this man of God
@simbabogbedabochance6334
@simbabogbedabochance6334 2 жыл бұрын
Muchungaji aksanti kwa kazi kubwa yenye Mungu amekupa ya kuponesha Wa chawi. Utalipwa na Mungu.
@elinajoram4738
@elinajoram4738 2 жыл бұрын
L
@faithmakena9988
@faithmakena9988 2 жыл бұрын
God is the only healer.Praise the Lord 🙏
@elizaelizabeth8988
@elizaelizabeth8988 2 жыл бұрын
Hallelujah hallelujah hallelujah 🙏🙏🙏. Natamani hii church Pia pastor
@rechomethod8288
@rechomethod8288 2 жыл бұрын
Mungu Asaindie, uchawi unawapa faida gani Sasa kula nyama za watu jamani 😪
@marykarebeti9410
@marykarebeti9410 2 жыл бұрын
Wekeni mwendelezo wa hizi shuhuda, kuna mambo tunajifunza, jinsi shetani anavyopanda watu kanisani. Tusiwaamini kila mtu unaekutana nae kanisani. Na pale wanapoongea kilugha, tafadhali awepo mtu wa kutafsiri kwa kiswahili.
@rosyhelen9956
@rosyhelen9956 2 жыл бұрын
Amen
@tabithajeremiah2657
@tabithajeremiah2657 2 жыл бұрын
Huwezi kuomba mtu aache uchawi kama hajahiari ndani ya moyo wake na kuamua kuacha.
@goskyWS-1
@goskyWS-1 2 жыл бұрын
Hatua ya kuingia kanisani ni kusema wameamua kubadilika.
@kennywilliam2466
@kennywilliam2466 2 жыл бұрын
@@goskyWS-1 wengine wanaingia kujaribu imani za watu sio kila aingiae kanisani au msikitini ni mcha mungu wa kweli umo wamejaa wanafki washirikina wazinzi na waongo mungu atunusuru
@safiaseifhamad4100
@safiaseifhamad4100 2 жыл бұрын
Atukuzwe Mungu Baba, Yaani wanachambana na kuongea Siri zote, Mungu yu mwema sana, astahili sifa na utukufu
@ivonaevarista4654
@ivonaevarista4654 2 жыл бұрын
Kwakweli Mungu awasaidie sana watumishi wake yaan Hawa wachawi jaman mmmhmm inahuzunisha sana
@sophialazaro1006
@sophialazaro1006 2 жыл бұрын
Yesu anaweza
@sarahkapange252
@sarahkapange252 2 жыл бұрын
Mungu akubariki baba askofu Mungu .nakutianguvu
@rosemarymaleva1601
@rosemarymaleva1601 2 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu..hakika neno ndo kila kitu
@owenomwanawayesu6961
@owenomwanawayesu6961 Жыл бұрын
Kaa tayari kutrainiwa na wachawi kama huamini miujiza ya YESU Kristo !
@estherkerubo8932
@estherkerubo8932 2 жыл бұрын
AMINA AMINA MUNGU anaponya na anasamehe
@judithcheptonui9764
@judithcheptonui9764 2 жыл бұрын
To-anga sadaka mzuri kwa mungu na uchawi zitachomeka zote
@marthamurigi7371
@marthamurigi7371 2 жыл бұрын
When the countenance of God shines upon you all darkness will free .
@naomieliasmanyilizu761
@naomieliasmanyilizu761 2 жыл бұрын
naomba no za mtumishiwachawi lzm wafeee ht biblia imeagiza
@MerryElias
@MerryElias 7 ай бұрын
Mungu wasaidie jaman uchawi aina faida yoyote mwee
@MathiasAbishua
@MathiasAbishua 5 ай бұрын
Mungu tuhurumie daaaa
@ireneabrahamu4436
@ireneabrahamu4436 2 жыл бұрын
Kuomba lazima hii haitoki isipokua kwakufunga nakuomba .
@skolafadhly4899
@skolafadhly4899 2 жыл бұрын
Ministry of word and prayer they go together
@loicewayesu.official
@loicewayesu.official 2 жыл бұрын
Wah 😲😲😲nomaree..wewe sio pastor wewe ni nabii wa Mungu
@valenakomba9218
@valenakomba9218 2 жыл бұрын
Yaani hicho kikundi chose ni wachawi , wanakucheeezeeni tu akili. Pole Sana Mchungaji. Ndo maana kanisa limeade watu sababu wanaona humo ni rahisi kuhuzuria hata kama wanauchawi maana huwezi kuwakamata sababu huna Macho ya Kiroho. Mwombe Mungu akupe nguvu za kuwatambua .
@salomejomo9367
@salomejomo9367 2 жыл бұрын
Mungu ni mwema
@pianapaschal7285
@pianapaschal7285 Жыл бұрын
Ameen yesu anaweza hakuna wa kushindana nae
@maria_mutondioriginal5
@maria_mutondioriginal5 2 жыл бұрын
Nafikiri wangeombewa zaidi kuliko kuwahoji maana bado wana mapepo na uchawi kama Lydia bado kabisaa ni mchawi na ana mapepo.
@carolynmutenyo6984
@carolynmutenyo6984 Жыл бұрын
Kuombewa sio issue, ukitoa Siri zao hapo ndio unapona
@euniceokello7718
@euniceokello7718 Жыл бұрын
Lazima wahojiwe tupate ukweli kutoka kwa wachawi wenyewe ndipo watubu dhambi zao na waombewe na Kisha wakombolewe mbele za Mungu kwa imani
@maria_mutondioriginal5
@maria_mutondioriginal5 Жыл бұрын
@@euniceokello7718 unamuhoji mtu ambae hayuko tayari na anafurahia kuwa mchawi! Utapoteza muda bure wenyewe hapo wanaona kama sifa
@mulenzifaila8825
@mulenzifaila8825 Жыл бұрын
Muchungaji Mungu asifiwe haowachawi uwaombeye kabisa wangaliki na uchawi kwasababu huyo ekonapepo zenye zingali na mwangusha uwaombeye wapone uchawi wao wooote njo yalazima Sana
@innocentfrancis1367
@innocentfrancis1367 2 жыл бұрын
Kuomba ni agizo la neno kwahiyo Maombi ni razima maombi na neno havitengamani
@florenceluyanje7215
@florenceluyanje7215 2 жыл бұрын
Amen ongeheni kiswahili
@sarahwaswa5819
@sarahwaswa5819 2 жыл бұрын
Mungu tusaitie na haya mambo...ni huruma aki
@phaniceariviza4399
@phaniceariviza4399 2 жыл бұрын
May God bless this man of surely
@tausadamu8281
@tausadamu8281 2 жыл бұрын
Habar hii tunaomba ifike mpaka mwisho tunajifunza kitu kikubwa sana,maana unaweza kuwa na mtoto alafu usijue kama mchawi kama huyo binti chapati zimemponza.asante mchungaji kwa kutujuza
@catherinelandas1938
@catherinelandas1938 2 жыл бұрын
Maagent🤝 askofu mungu akubariki sana
@magangiralucas6516
@magangiralucas6516 2 жыл бұрын
Mtumishi hapo kazi unayo ao watu shetan kawakamata sana wanaupenda uchawi wanapenda kula nyama za watu
@janenyaga1459
@janenyaga1459 2 жыл бұрын
Kwa kweli Mungu ni wa vajabu kuona wachawi wakitoa maneno ya ychawi baada ya mwingine. Dunia ina mambo!
@anastaziajohn6308
@anastaziajohn6308 2 жыл бұрын
Amina mchaw han hak ya kuishi
@veronicakennedy9594
@veronicakennedy9594 2 жыл бұрын
Niombeeni sana,tumbo linanisumbua na kifua
@nitemunishi229
@nitemunishi229 2 жыл бұрын
Mungu akubarikisana babamchungaji kwelikabisa siwotewasemao bwanabwana wataokoka nenondio kilakitu kanisalakanani niwatendakazi kumbe wengi nivivuli nenonimwiba amina
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 2 жыл бұрын
Wana hawA Mungu Wana imba nyimbo Gani ningependa kuijua
@marthamurigi7371
@marthamurigi7371 2 жыл бұрын
Pray all times in the spirit and truth as you continue to know God through His word. Watch and pray for the days are evil.
@NamahoroFanny-yl7mc
@NamahoroFanny-yl7mc 11 ай бұрын
Tanzania Inakafirisha
@JC-lk3me
@JC-lk3me Жыл бұрын
Hao wachawi hata mawigi hawana wamevaa vitambaa kama kila mutu. Mungu awasaidie waokoke kweli kweli maana ni hatari YESU simamia Karagwe na mikoa yote yenye watu hao wanaoharibu watoto na kuwaingiza kwenye mambo hayo
@kalumbugideon4159
@kalumbugideon4159 Жыл бұрын
Mungu Tuhurumie Sana 👏
@ivonaevarista4654
@ivonaevarista4654 2 жыл бұрын
Alafu ukiwaangalia kwanje n wazuri jaman lakini matendo ya shetan yanayowatumikisha mmmhmmm hatariii lakini Yesu kiboko yao.
@ngwanafabian4612
@ngwanafabian4612 2 жыл бұрын
Je hatujapewa mamlaka mbinguni na duniani? Dawa ya wachawi ni kuwapa siku saba tu wajisalimishe na tunguli zao baada ya muda huo wale watakao kataa wafe kwa jina la Yesu.
@hellenkabithi2974
@hellenkabithi2974 2 жыл бұрын
shetani ashindwe katika jina la yesu
@christinamkalalile874
@christinamkalalile874 2 жыл бұрын
Mtumishi karibu sana iringa vijijini unaitwa pawaga mboli boli
@finiasezra7072
@finiasezra7072 2 жыл бұрын
Waongo wakubwa nyinyi wachungaji feki, ubirini injili acheni uongo
@lilianmoyo316
@lilianmoyo316 2 жыл бұрын
Mchungaji ubalikiwe kwa kazi ya mungu
@gracemwangosi9017
@gracemwangosi9017 2 жыл бұрын
Barikiwa kamanda
@editherally5088
@editherally5088 2 жыл бұрын
Mtumixhi wa mungu wafungue wamtumikie mungu
@rwandaafrika6173
@rwandaafrika6173 2 жыл бұрын
Ni Faida ngani wachawi wanaona kwenye hinzo uchawi wao jameni natamani wachomwe Moto kabisaa
@bardkibwete79
@bardkibwete79 2 жыл бұрын
YESU ni mkubwa na anapenda muujiza
@LovelyGoshawk-zm1cd
@LovelyGoshawk-zm1cd 7 ай бұрын
❤❤❤❤ame
@bethwelltarus1120
@bethwelltarus1120 2 жыл бұрын
Hawa wako kwa kundi moja mchungaji please help them they need deliverance na mafunzo
@carolinederi5690
@carolinederi5690 2 жыл бұрын
Wachawi kanisani daa imetupasa tue macho wateule wa Mungu
@saadyusuph6554
@saadyusuph6554 Жыл бұрын
Mimi siamini kama mtoto huyu Ni mchawi Ni kutafuta wateja tu kanisani
@durakamil263
@durakamil263 2 жыл бұрын
Kwajinara Yesu Christ wachawi wataokoka
@valenakomba9218
@valenakomba9218 2 жыл бұрын
Kiswahili muhimu.
@saadyusuph6554
@saadyusuph6554 Жыл бұрын
Hivi humu kanisani wamejaa wachawi tupu haisee kazi kwelikweli
@upendoerasto3964
@upendoerasto3964 2 жыл бұрын
Jamani nani alianzisha uchawi Mungu awasamehe maana hata wao hawajui ulipatikanaje
@josephatnkoleki4911
@josephatnkoleki4911 2 жыл бұрын
Ni mimi josephine na toka Texas amen
@nazarethmanase4474
@nazarethmanase4474 2 жыл бұрын
Kwani kuhangaika na Giza wakati wewe ni Nuru. Watu wanapenda kusikia mambo ya Giza kuliko Nuru. Yohana 8.12
@lailajeremia1259
@lailajeremia1259 2 жыл бұрын
Mungu wangu kweli uchawi upo
@abbakariibrahim238
@abbakariibrahim238 2 жыл бұрын
Shahari ally piti
@kingbrazioanticlockwise3667
@kingbrazioanticlockwise3667 2 жыл бұрын
Ila Mimi yote kwa yote sitokaa nikaamini kinachotendeka. Siamini kabisa. I think there is some sort of trained presenters. I will never believe about such miracle never and ever✍️✍️✍️✍️✍️✍️
@neemamasiko2104
@neemamasiko2104 2 жыл бұрын
Mmmh, miujiza ipo ndugu, Kama unaamini miujiza ya shetani bas yapasa kuamin kuwa Mungu nae Ana miujiza. Pia utakua hujawai patwa na Mambo magum
@nyambochristelle7640
@nyambochristelle7640 Жыл бұрын
@@neemamasiko2104 muache tu!.
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 Жыл бұрын
Ipo siku utaamini
@owenomwanawayesu6961
@owenomwanawayesu6961 Жыл бұрын
Shauri Zako,hautaamini chochote !
@owenomwanawayesu6961
@owenomwanawayesu6961 Жыл бұрын
Shauri Zako,hautaamini chochote !
@joycemilanzi5394
@joycemilanzi5394 2 жыл бұрын
amina
@maryzeno8369
@maryzeno8369 2 жыл бұрын
Hatar
@janetchinga5617
@janetchinga5617 2 жыл бұрын
Naogopa kusikiliza Jamani,muchungaji fanyakazi
@edopeter4893
@edopeter4893 2 жыл бұрын
Hakika mungu ni mwema
@mosesgikongo5307
@mosesgikongo5307 2 жыл бұрын
Kenya, wachawi huogopa kujitokeza lakini wapo wengi
@lorraineatieno6544
@lorraineatieno6544 2 жыл бұрын
Lakini uchawi ya Tanzania imezidi. Wanaingiza hata watoto wadogo kwa uchawi hadi yakuua mwalimu..na adui...hio kali. Kenya
@brendakerora1707
@brendakerora1707 2 жыл бұрын
Kweli
@mcback4384
@mcback4384 2 жыл бұрын
@@lorraineatieno6544 uchawi ni spirit, spirit like fornication, thievery, jealous etc hiyo roho inaweza kuingia kwa mtu yeyote Rika lolote sababu ina nguvu na uwezo mkubwa katika ulimwengu wa kiroho, age does not matter
@glorychalu
@glorychalu Жыл бұрын
Mungu hashindwi na kitu wachawi mtafunguka mengi
@valenakomba9218
@valenakomba9218 2 жыл бұрын
Wachawi kama Hao Lazima wauwawe.Hata bibilia inasena Umwache mwanamke mchawi kuishi. Huyo mama anastahili kufa. Maana yeye ndo chanzo cha vijana wote wachawi hapo kijjini.
@anastaziajohn6308
@anastaziajohn6308 2 жыл бұрын
Anaye kataa Na kukir Na kutubu afe Na walio tubu waponne
@rosenyabuti8381
@rosenyabuti8381 Жыл бұрын
YESU saindia watu wako
@phaniceariviza2719
@phaniceariviza2719 2 жыл бұрын
May God bless this man of God surely
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 2 жыл бұрын
Basi hamna mungu hapo
@rosecruiz4348
@rosecruiz4348 2 жыл бұрын
Ameen
@delishaluhyaqueen6950
@delishaluhyaqueen6950 2 жыл бұрын
Work of the devil today devil in Shem glory be to God 🙏
@mwitaagness455
@mwitaagness455 2 жыл бұрын
Yesu wangu
@owirewilliams
@owirewilliams 4 ай бұрын
@epifaniamwinuka7490
@epifaniamwinuka7490 2 жыл бұрын
Mwendelezo
@ekaiamoja3155
@ekaiamoja3155 2 жыл бұрын
Mungu 🙌 we ni muwesa wa yote
WACHAWI WALIOBOBEA WAGONGA MWAMBA KANISANI
2:39:23
Robert Tv Tanzania
Рет қаралды 58 М.
BINTI ACHINJA KAKA YAKE NA KUMLA
42:04
Robert Tv Tanzania
Рет қаралды 61 М.
Lehanga 🤣 #comedy #funny
00:31
Micky Makeover
Рет қаралды 30 МЛН
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 47 МЛН
Can This Bubble Save My Life? 😱
00:55
Topper Guild
Рет қаралды 71 МЛН
OMG what happened??😳 filaretiki family✨ #social
01:00
Filaretiki
Рет қаралды 12 МЛН
HUYU DADA MCHAWI
8:01
Steve Mweusi
Рет қаралды 1,4 МЛН
KWELI UCHAWI NI MBAYA SANA!! ANGALIA HAWA WALIVYOKAMATWA KANISANI
28:25
Robert Tv Tanzania
Рет қаралды 245 М.
Bahati Bukuku | Dunia Haina Huruma | Hit Gospel Video Song
13:21
Bahati Bukuku
Рет қаралды 14 МЛН
BINTI AMTOA BABA YAKE KAFARA
58:20
Robert Tv Tanzania
Рет қаралды 27 М.
WACHAWI KANISANI
40:16
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 15 М.
MAMA AFUNDISHA FAMILIA NZIMA UCHAWI
25:59
Robert Tv Tanzania
Рет қаралды 26 М.
MJERUMANI ATUA KAANAN RASIMI
28:44
Robert Tv Tanzania
Рет қаралды 30 М.
Lehanga 🤣 #comedy #funny
00:31
Micky Makeover
Рет қаралды 30 МЛН