Mungu akubarik pastor Robert wewe ndo umekua mtetez WA wanao tesek na nguvu za qiza mungu akupe maish Bora🙏🙏
@RobertTvTanzania9 ай бұрын
Amini Endelea Kubarikiwa Na Mafundisho Ya Robert Tv Tanzania
@MagrethKimbulu7 ай бұрын
Amen pia nahitaji maombi
@cecilianyamai8771 Жыл бұрын
Mungu ni muweza
@MagrethKimbulu7 ай бұрын
Amen sana natamani kupata maeasiliano
@IbrahimNkuli3 ай бұрын
Amina mtumshi
@cecilianyamai8771 Жыл бұрын
Nimependezwa na kuhubiri kwako mungu akuongezee
@cecilianyamai8771 Жыл бұрын
Nakusikiliza na kukutazama kutoka Kenya
@lindakapita7751 Жыл бұрын
Muchungaji na kusikiliza sana ,sijuwe nifanye nini sababu niko mbali .niko Drc Congo.
@JacklineOtieno-tc7gf Жыл бұрын
Amen
@umazisaumu5982 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏
@faridaabbas7199 Жыл бұрын
Amen niombee sana pastor
@Esther-Bri Жыл бұрын
Woooooiiiii! MUNGU tusaidie Hekima vile tutakaa na watoto wetu tusiwapeane kwa marelatives katika Jina La YESU KRISTO
@jackiemaggy2484 Жыл бұрын
Ameeeen
@cecilianyamai8771 Жыл бұрын
Pastor mungu akubariki kwa kuokoa watu wa mungu
@LeahCharles-e7b Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu.
@esthermliga4875 Жыл бұрын
Amen amen amen!!! Unayoongea ni kwel mtumishi Mungu atusaidie san ili tupende neno lake na tutaman kujifunza kwan vita ya mlokole ni kubwa sana, so hutakiwi kusinziasinzia hata kidog!! Nimebarikiwa mama wa huyo bint alikuwa amesimama ndo maana hawakuweza kumuua!!!! Asante Yesu kwa kumuokoa huyu Yesu, na damu ya Yesu imefuta dhambi zote!! Jitahid kujifunza neno la Mungu kwa bidii sana ukidum katka kuomba usije rudi kwa shetan mbaya sana!!!!!
@valencia3744 Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏 sincerely let the truth to b said it's not easy to coop up with this gulf lyf if adult lyf is very hard wat Abt this young daughter
@petronianahimana7282 Жыл бұрын
Amen Amen Amen Amen Amen
@luckyjuliet2329 Жыл бұрын
Eeeh mungu kumbuka hi familia
@evachuw8092 Жыл бұрын
MUNGU WA MBINGU NAKUOMBA UTUSAIDIE 🙏 haya mambo unaweza fikiri ni usingizi kumbe kweli yanafanyika
@carensimon5577 Жыл бұрын
Ubarikiwe Sana mchungaji nimependa mafundisho yako, tumechoka kusikia maji mafuta na takataka zingine
Naona mambo makubwa sana ni matata ni mimi josephine na toka Texas amen amen mutumishi
@gidionkasenene4992 Жыл бұрын
Akika yesu ni Bwana
@mariamfrnk1170 Жыл бұрын
Joyce Godfrey from omani
@notbrugakiwia35658 ай бұрын
😮uko wapi mchungaji huu
@venitarugemalila9290 Жыл бұрын
Jamani huduma hii ituguse nasi tupone afya zetu zirudi
@petronianahimana7282 Жыл бұрын
🙏🙏👋👋❤❤👏
@notbrugakiwia35658 ай бұрын
Kanisa liko wapi?
@farhannahomary5505 Жыл бұрын
Uuwe Kisha uwe huru jmn mmmmmh episode B
@maxwalsh1724 Жыл бұрын
Ni tarehe ngapi utawasiri kigamboni?
@timotheoalbati9791 Жыл бұрын
Namkalibisha kanisa la kaana sumbawanga
@sudymgeni701 Жыл бұрын
Wawapi nalini kwanza tujue mwanzo sio wewe mchungaji ndio utuadithie
@leahalmasi8834 Жыл бұрын
Z
@dinafaizi Жыл бұрын
🥰🥰🥰😊
@hanifaalbalushi2483 Жыл бұрын
wapi polis upuuzi gani sema mtu kala kaka yake ila mijitu ya bara mikatili duh
@MaulidKhamis-i6k Жыл бұрын
L
@HesbonChahale9 ай бұрын
Jocnna w w d
@venitarugemalila9290 Жыл бұрын
Mama mkubwa huyu
@hafidhali3020 Жыл бұрын
Uongo mtupu, mavi ya kenge, hakuna kuokoka kazi yenu ushirikina, makafiri wakubwa
@Godelivanana Жыл бұрын
Wewe mungu atakutana na wewe kafiri ni wewe na family yako kama ni Uongo kwanini huna hufatilia wewe vp ebu nenda kalipe madeni stess za mahicha zinakusumbuwa kwedraaaaaaaaaa
@adiliatharweikiza3885Ай бұрын
Ndio tuache cc makafiri ongera wewe mwny dini inayokufundisha kutukana watu Yesu akusaidie umepotea
@cecilianyamai8771 Жыл бұрын
Nimependezwa na kuhubiri kwako mungu akuongezee
@ruthjames2735 Жыл бұрын
Amen mtumishi mungu akupiganie utangaz neno lake ktk roho na kwer