All the best guys,tunajua munaweza,mungu awatangulie jamn,make wonders 4 us,tuna iman kubwa na ninyi,God bless them,,,AMEN
@ntakakasendebayi9992Ай бұрын
Yanga raha sana naipenda yangasc 💚💛🔰
@sizabintrajabu6709Ай бұрын
Kila lakhery jamani team yangu pendwa yanga Africa mungu awatie nguvu na awaondolee mabaya yote yaliyoko nyuma yenu mbele yenu kulia kwenu kushoto kwenu ameen nawapenda sana kila nikiwaona nyie akili yangu inavurugika sana hata kama nipo mbali mungu awabariki siku ya tarehe 26 ameen
@hamisamajoka3284Ай бұрын
Ameen🤲🙏
@mamboshepea8888Ай бұрын
Ameen InshaAllah
@UzalendoNaUtu27 күн бұрын
Vipi, ulipata bahati ya kuangalia Mpira jana? Au nikuache tu? 🤐
@mamboshepea888827 күн бұрын
@@UzalendoNaUtu Niliangalia sana!!! Wala sina wasiwasi na yanga ni swala la mda tu!! Na uchawi una mwisho wake....mashabiki wa yanga hawanaga hasira za kipepo!!!
@UzalendoNaUtu24 күн бұрын
@@mamboshepea8888 😁😁 leo hii na nyie mnalaumu kuhusu uchawi?
@naliakafatuma9870Ай бұрын
MUNGU ni mwema kazi njema kila la kheri kwenu nyote barikiwa Sana Yanga
@mitinjemazikuАй бұрын
God bless Young's African sports club Naipenda yanga daima mbeleeeeee tulipotoka never turn back
@YohanaCharles-x4tАй бұрын
Nawapenda sanaa wachezaji wetu mungu awalinde tupate ushindi💚💚💚💚
@kaundimehasan5556Ай бұрын
Napenda umoja wenu timu yangu. Mungu ibariki Yanga yetu
@gloryngunda9664Ай бұрын
Mungu ibariki TANZANIA Mungu ibariki Yanga 🙏🙏🙏🙏
@mwajumampokileomckapela7541Ай бұрын
Daima mbele nyuma mwiko wananchiiiiiiiii tupo pamoja 🟢🟢💚💚
@MohamedSalim-g2iАй бұрын
Kila la kheir chama langu💛💚💛💚
@Fei-l4xАй бұрын
Yanga nilidude li kubwa sana❤❤
@madamfarajakigula8423Ай бұрын
Sana
@abdallahjuma382Ай бұрын
All the best Muhimu wachezaji wetu watambua mechi ni ngumu wanapaswa kujitoa asilimia 100 kiwanjani na kucheza kwa maelekezo ya mwalimu.
@LucaiyaKyakaАй бұрын
Nakuomba M/Mungu Ijaalie Timu yetu ushindi na njia sahii yenye Mafanikio Inshaallah
@fatmaomar8335Ай бұрын
Kila la kheri inshaallah daima mbele nyuma mwiko kikubwa point 3💚💚💛💛
@mansooralaisri5200Ай бұрын
Jitihada ndio msingi wa Ushindi, mengine tumwachie Mungu.
@DirectorihАй бұрын
Yanga To International
@LeahMathayo-zm9wxАй бұрын
Mona.simuonimzize
@rukiamtegoАй бұрын
Hizi jezi za mazoezi ni🔥🔥🔥
@octavian54Ай бұрын
MUSONDAA🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻Fashionable
@chrisantusdavid358Ай бұрын
Hakika kwa sasa Yanga ni timu kubwa na inayoendeshwa katika misingi ya Professional Football club.. Mungu azidi kuibariki ifike mbali zaidi.. Daima mbele nyuma mwiko..
@watupipoАй бұрын
Shekhan is going to be fire this season
@panchovalentino3576Ай бұрын
Let's Go Wananchiiiii 💯💥🌟⭐💫🔥💚💛
@musamakuhana2200Ай бұрын
Wapiganaji wetuakamanda wetu piganieni benders ya yanga na Tanzania daima mbele 💛💛💛💚💚💚
@LouisKatundaАй бұрын
I love this club 💚💛🖤🔥
@musamakuhana2200Ай бұрын
Tunawapenda sana wa chezaji wetu benchi la ufundi na Vio gozi wetu uwongozi wote kwa ujumla daima mbele 💚💚💚💛💛💛
@hafia.056Ай бұрын
The power fully team hamjambo amaHatujambo soote lakini eee eee apo vipi lakini wananchi eee again apo vipi lakini. Tunaona mbona swaffy amaSio.heee wachatu eeee wachatu.Okay Youngs Africans oyeee oyeee hayaa Twendeee kazi iwe none Stop none stop Twendeee kazi all 😅
@pascalemmanuel2557Ай бұрын
Kila La Eli 🎉🎉🎉🎉🎉
@مريم-ث5ذ9ع28 күн бұрын
Yani, sina, cha, kusema, nawatakiya, ushindi, mwema💪💚💛💚💛💯💯
@CharlesJoseph-et1olАй бұрын
My team 💛💚💚💚💚💚
@SaidFungo-n7fАй бұрын
Jaman hyo jez mbn nzur hv
@endubiАй бұрын
Good to see African players living the life in Africa. That Velar.........
@MartinLabanАй бұрын
Jamani anaelewa anieleweshe , hivi matangazo ya kidijitali waliyahamisha au sielewi jamani mi Niko Kenya nijuzeni tafadhali