Sitoki kwenye Uislamu ng'o! Allah aniongoze na ndugu zangu Waislamu mpaka kifo. Surat Imran 3:102) Surat Imran 3:85) Masha,Allah. Mashekhe Allah awalipe kheri.
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Ameen
@naimaabuualii5783 жыл бұрын
MASHA ALLAH
@zakiaanwar677 Жыл бұрын
Wallahi uisilamu ni dini ya walimwengu wote amiin
@zohoraramadan45404 жыл бұрын
Asanteni mashekhe wetu ALLAH awalindd na maadui wa uislmu muwezr kuendeleza mutu inayowaka ktk dunia ba atukutanishe MTUME S.A.W Siku ya malipo inshaallah
@shifaazawadi44384 жыл бұрын
Hawana maswali yakuuliza cz wame elimisha kiusawa Ma sheikh wetu Allah awaongoze kwakila mulinyalo liwe lepesi
@kijanahodari20804 жыл бұрын
Maa Shaa Allah masheikh wetu Allah awalipe mema peponi na ageuze makanisa yote kuwa misikiti,habari wameipata ila fundi mitambo ajitahidi kupunguza ecko
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Allahuma ameen
@ashleypetertv58944 жыл бұрын
Ingekua kweli Yesu asingetokezea vast of muslims ambao saa hii ni wakristu..tafuta youtube ujionee.
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Ujumbe wako haueleweki umejaa hisia
@uwezoseleman55304 жыл бұрын
@@StraightPathDawah poleni Sana Kama ndivyo mnajifariji
@ashleypetertv58944 жыл бұрын
@@StraightPathDawah Si hisia ni facts.
@mohammadalfani80043 жыл бұрын
Jazakah Allah ma sheikh wetu Mungu awape umri mzidi kupeena daawah ya Allah
@jamalathman62194 жыл бұрын
Mashallah masheikh wetu Allah awajaze barka,mada mzuri sana yakua Muhammad ndiye myume wa mwisho aliyetumilizwa kwa watu wore,wala sio warabu tu
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Shukran jazeelan
@jamilaomariomari83284 жыл бұрын
MashaAllah sheikh Yusuf umefunza vyema.jazakallah!
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Shukran jazeelan
@fatumamwalimu57654 жыл бұрын
MASHA ALLAH, mashekh wetu Allah awalinde na awape humri mrefu pamoja na afya njema
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Allahuma ameen
@oman77104 жыл бұрын
Allahumma amiiin Yarabb
@omarijydtdjjjkmussa52454 жыл бұрын
Go
@iddyally72284 жыл бұрын
Allah awajalie mashekh wetu kwa kazi nzuri sana mnafanya na awaepushe na madui wa uislam
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Allahuma ameen
@kutailadifi28544 жыл бұрын
Maa shaa Allah Allah akulipeni Khery masheikh wetu Kwa Elim mnayo endelea kuitoa na kwa Ndugu zetu Allah akuongozen ktk njia y hakh inshaallah
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Allahuma ameen
@jasminjuma63904 жыл бұрын
Mashaa allah tabarakallah hakika dini ya uislam ni dini ya haqi alhmdulilah alla niematil islam🙏🙏🙏
@Asiyah20003 жыл бұрын
Allahu akbar ☝️
@khalifahamdan10294 жыл бұрын
S.A.W ❤
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Allahuma swali alaa Muhammad wa aali Muhammad
@fatimahhassan59044 жыл бұрын
MASHAALLAH.....ALLAH SUBHANA WA TAALA AWAHIFADHI MA SHEIKH ZETU MUZIDI KUTU ELIMISHA 🤝
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Ameen
@jasminmohamed61454 жыл бұрын
MashaAllah Shukran Jazakallahu kheir
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Allahu akbar
@greysonforrest33233 жыл бұрын
i realize I am kinda randomly asking but do anyone know of a good place to stream new series online?
@claytonlyric27483 жыл бұрын
@Greyson Forrest Meh I would suggest Flixportal. You can find it through google :) -clayton
@greysonforrest33233 жыл бұрын
@Clayton Lyric thank you, I went there and it seems to work :) I really appreciate it!
@claytonlyric27483 жыл бұрын
@Greyson Forrest Glad I could help xD
@fadhilshafi29474 жыл бұрын
Assalam Aleykum. .. nawapongeza sana sana., hii nikazi kubwa sana mnayoifanya na Allah atawalipa inshaallah... msikome kuendelea na hii program plz
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Wa aleikum salam, shukran sana
@jasminmohamed61454 жыл бұрын
Swalla Lahu Alaiyhi Wasallam Wabarik Alaiyhi
@FarxiyoSomali4 жыл бұрын
clear mashalah
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Shukran jazeelan
@josemu8708 ай бұрын
Barikiweni sana sana
@abdur-rahmanmuhammad28984 жыл бұрын
As-salaam Alaykum warahmatullah wabarakatuh Masha Allah Jazeeran kwa mafunzo mazuri , ujumbe umewafikia Lakini kuna echo nyingi sana
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Wa aleikum Salam, Shukran
@oman77104 жыл бұрын
Walaykum salam warahmatullaah wabarakatuh
@mwajumamwajuma37564 жыл бұрын
Mashaallah wisilam maustdh mungu awape kheri 🙏❤️🤝 na baraka
@omarysalum17234 жыл бұрын
Maashaallah
@fakijuma75494 жыл бұрын
TAAKIHEBIR ALLAH AKBAR SILIMUNI BASI WACHUNGAJI KWA UKWELI ULIODHIHIRI NDANI YA BIBILIA KAMA MUHAMMAD S/A/W KIPENZI CHA ALLAH NAKIPENZI CHA UMAH WOTE DUNIANI. YAANI KUTOMPENDA MTUME MUHAMMAD S -A W NICHUKI TU LAKINI KUTOKANA NA REHMA ZA ALLAH ANAPENDWA NAKILA KITU SISI MITI WANYAMA NAKADHALIKA NAKADHALIKA HAS SHAA ALLAH UJUMBE UMEWAFIKA BALI NIKUTOAMINI KWAO NA ROHO ZAO ZILIZOPIGWA MUHURI NA CHAPA NYEUSI SILIMUNI KWA UKWELI MULIOUONA
@Legendinchrist2 жыл бұрын
MASHALLAH
@leon-pl3ox4 жыл бұрын
MashaAllah
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Alhamdulillah
@kalamajulius61074 жыл бұрын
Hivi nyinyi waislam ilianza lini kuingia makanisani mkiwa naujasiri wakuwahubiri wakristo jameni. Sinihivi majuzi tu mlipokuwa mnawapiga mabomu mkiwauwa wakristo nyinyi lakini sasa umefika ule wakati ambao Yesu alisema manabii wauongo watatokea wengi siku zamwisho. Wakristo wanahitaji kujipanga sasa
@adijahmunyasia14494 жыл бұрын
Weee waislamu hawajaenda kanisani kwa lengo la kutaka kuwa wakristo,LA! Ila walienda kuwapa elimu wakristo na tena hawakujipeleka wenyewe bali walialikwa. Ukisema kuwa waislamu wamewaua wakristo kanisani,vipi nikisema pia wakristo wamewaua waislamu misikitini? Kwani hilo hukiliona? Wakristo wacheni kuwa na ubinafsi someni vitabu vyote vya Mungu mjirekebishe na maasi yenu kabla Mungu hajawateremshia adhabu yake!
@kalamajulius61074 жыл бұрын
@@adijahmunyasia1449 hata Mimi sjasema waislam walienda kutaka kuwa wakristo ila walio okolewa na Yesu ni Shehe jumaa Omar mnyeshani na shehe amir kutoka Tanzania na Adam hajj Muhammad kutoka Somali. Waangalie kwa KZbin huko utawaona
@hombelozabroni92264 жыл бұрын
Ni kuuluze wewe una dungu yako nani aliens lipuliwa au unaongea tu
@kalamajulius61074 жыл бұрын
@@hombelozabroni9226 weangi tu garissa. Pia likoni ndani ya kanisa hadi risasi ikabaki ndani ya kichwa chamtoto hadi akafanyiwa operation Nairobi
@stoispapi23802 жыл бұрын
Tumia akili waislamu hatujawahi kujiita manabii ni nyinyi mpaka mkona manabii wanawake
@adijahmunyasia14494 жыл бұрын
Natumai kuwa masheikh wetu mliketi nje ya kanisa bali sio ndani in Shaa Allah...
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Hakuna tatizo kukaa ndani
@adijahmunyasia14494 жыл бұрын
@@StraightPathDawah kheir in Shaa Allah...la muhimu ni da awah kufikishwa
@hassanjuma27723 ай бұрын
@@StraightPathDawahnimependa sana chanel yako,ila sipendi uendelee mjadala na ndacha kwa sababu anachoongea ni mabishano sio kuelimisha watu
@gideonlangat50354 жыл бұрын
Uislamu ni balaa!
@zuhuraabdulrehman87153 жыл бұрын
Uislam no dini ya kweli
@hassanjuma27723 ай бұрын
@@zuhuraabdulrehman8715umekusudia vip uislamu no dini ya kweli fafanua tukuelewe
@alqaasim_a_tz24124 жыл бұрын
Huku kuna Makuffar Wanasumbua Na Hawana Wa kuwalingania Mnaweza fika wazee?? Pia naweza pata clip zenu Whatsapp??
@husnaodhiambo68484 жыл бұрын
Mashallah
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Alhamdulillah
@zakiaanwar677 Жыл бұрын
MaashaAllah nimacho yangu au huyu si makenzie....?????
@shabanirukundo42724 жыл бұрын
Mdawenu nimchache mnaoweka Dakika kumi zinatosha san.ongereni kwa mjadalawenu mashiekh.
@hajimakame10624 жыл бұрын
Msiodoke apo mazinge anakuja apo
@Lky5894 жыл бұрын
Mzee wa 🤘🤟✌️👌 fremasson😁😂
@yusufathman24784 жыл бұрын
Muhammad (PBUH)
@Shadadihamis254 жыл бұрын
Sorry what is the meaning of PBUH sorry
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Peace Be Upon Him
@balloondecorationtz31904 жыл бұрын
Wanasikiliza kweli awo wakristo
@josephmwaisobwa66503 жыл бұрын
Wamaaa tafaraka ladhina utu likitabi
@husha63724 жыл бұрын
Wapi HAPO
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Kilifi
@saulyulaya51703 жыл бұрын
Eeee kweli shetani ameingia anadanganya hadi wakristo ndani ya kanisa nyie wachungaji mmeanguka tena anguko kubwa
@medimisi69303 жыл бұрын
Kwaiyo ww hujaamini au
@zuhuraabdulrehman87153 жыл бұрын
Mohamed ni mtume wa mwisho
@malaikawatatutv.ufunuo14.844 жыл бұрын
Yaani mngejilengesha kwangu ninyi mashekhe mngeumbuka wadanganyeni hao wasiojitambua
@adijahmunyasia14494 жыл бұрын
Ungewaumbua vipi waislamu ww uliyekwisha kupotea?
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Njoo tuone
@malaikawatatutv.ufunuo14.844 жыл бұрын
@@adijahmunyasia1449 Aliyepotea siku zote huwa hajui Kama kapotea ww ndo umepotea ila hujui Kama umepotea utakuja uamshwe na moto uspoachana na Uongo wa Mohammad.. Waswahili husema Nzi asiyekuwa na mshauri huing'ang'ania maiti hata akazikwa nayo.. Pole
@shamissuleiman11224 жыл бұрын
@@malaikawatatutv.ufunuo14.84 ALLAH AKUONGOZE HUJUI ULISEMALO
@medimisi69303 жыл бұрын
Kwaiyonhaujaamini yote hayo,haya nikuulize ni mtume gn aliotoka arabuni kama si Muhammad jibu
Nyoti mkae uwanjani mmseme alafu muwite nawatu mashehe cku ya pili msende kanisanj
@J4UPro4 жыл бұрын
Ni mtume ndiyo
@emilyshooga63194 жыл бұрын
Hicho kitabu wanachokiamini kimekosewa mambo mengi maana kiliandikwa na mawazo ya MTU mmoja tofauti na biblia mfano sura 72:1-3 hii kweli anaweza kuluhusu Yehova kweli?
@mohameddhidha64013 жыл бұрын
Uzuri hakuna unabii uliotokea Europe
@zuhuraabdulrehman87153 жыл бұрын
Ni kitabu kisicho kuwa na Shaka quran
@malaikawatatutv.ufunuo14.844 жыл бұрын
Acheni Uongo Hivi mnadhani Biblia ni kama Quran? Musa alifunga siku alobaini Je Mohammad alifunga alobaini? Aliyefunga alobain ni Yesu tu.. Na hilo fungu linamhusu Yesu sio nabii wenu wa kujitungia
@adijahmunyasia14494 жыл бұрын
Hahahaaa kweli ukafiri ni mtihani mkubwa! We kama mkristo wafunga siku ngapi kama alivyofanya yesu mtume wako? Hakuna chochote nyie wakristo mnafuata yesu ila mnamzuilia tu uwongo na kumsingizia! Mwislamu pekee dunia mzima ndiye anampenda na kumfuata yesu inavyostahilika bali sio mkristo! Wacha kutapa tapa kwa yale usiyoyajua!
@malaikawatatutv.ufunuo14.844 жыл бұрын
@@adijahmunyasia1449 wewe unamfuata Yesu wa namna gani maana kuna yesu wa waislamu ambae ni Jinny aliyezaliwa na kuzungumza na Kuna Yesu kristo aliyejitoa akafa kwaajil ya ulimwengu wote sjui wew Yesu wako ni yupi?
@medimisi69303 жыл бұрын
Kwani yesu ana baba na mama
@medimisi69303 жыл бұрын
@@malaikawatatutv.ufunuo14.84 hujui chochote kuhusu biblia
@malaikawatatutv.ufunuo14.844 жыл бұрын
Mkitoa Aya kweny Quran Muhammad amechaguliwa kuwa mtume MIMI NASLIMU
@adijahmunyasia14494 жыл бұрын
Hata hakuna anayekutaka katika uislamu kafiri ww! Bila uwepo wako uislamu utakuwepo na utaendelea bila ww! Wapo makafiri kuliko ww waliotamka kama ww na zaidi yako tena lakini wanapozidi kuuangamiza uislamu ndipo unazidi kupanda kupita kiasi...so ww baki hapo na kejeli zako za kikafiri
@malaikawatatutv.ufunuo14.844 жыл бұрын
@@adijahmunyasia1449 tatizo lenu sasa ni hilo hampendi muambiwe chochote mkiambiwa mnakuwa wakali na mm sjawahi kuona muislamu hata mmoja anayependa kujfunza dini.. Wewe Elimu yako ni 1+1=2 unataka uishie hapo na useme unajua kusoma?? Unashndwa kujfunza zaidi ya hapo.. Baki hapo hapo na ukali wako ila uspo mwamini Yesu kuwa alikufa na kufufuka jiandae kuchomwa
@askofupeter23294 жыл бұрын
Sure
@malaikawatatutv.ufunuo14.844 жыл бұрын
@@askofupeter2329 sure we toa mm naslimu Leo... Mohammed kachaguliwa kuwa mtume na Allah sio unitolee aya anazojisema yeye kachaguliwa utoe aya isemayo mm nimekuchagua kuwa mtume... Naslimu naapa kwa Mungu
@hassangalgallo84964 жыл бұрын
@@malaikawatatutv.ufunuo14.84 kachaguliwa na bi kadhija na Waraqa ndipo akaanza kujitangaza ati yeye ni nabii
@zakiaanwar677 Жыл бұрын
Kama wakristo waelewi hawatelewa milele
@rinovarthiliwi13144 жыл бұрын
Acheni kupoteza watu.
@adijahmunyasia14494 жыл бұрын
Watu wapi wamepotezwa?? Kama ni wakristo wao walikwisha kupotea kitamboooo! Hakuna mtu au dini yoyote duniani au mbinguni itakayo mpoteza mwislamu...mwislamu hawezi potezwa hata awe mtoto wa miaka mitano!
@jangombeboys45364 жыл бұрын
jangombeboys1999 safi sana
@timotheojumal8944 жыл бұрын
Mnajua WAISLAM mko na kibarua sana kuweza kuyaelewa maandiko ya TORATI,ZABURI na INJILI, shekhe huyu analingania utabili wa Yesu na Muhammad wapi na wapi, sasa swali linakuja kama anadai kuwa huo utabiri ulikuwa wa Mohammed kati ya Yesu na Muhammad nan alietangulia kuwapo na katika INJILI Yesu alizungumza nini kuhusiana na Muhammad?? , unajua kutafuta Muhammad kwa Biblia ni sawa na kutafuta nguruwe kwa msikiti
@hilalkhalfan14524 жыл бұрын
Kwani injili na taurati na zaburi zipo wapi?. Pili ikiwa yesu alikuwepo Sasa vipi kajitabiri Tena kuwa atakuja msaidizi na yesu anaondoka?. Sasa msaidizi WA yesu ni Nani?
@timotheojumal8944 жыл бұрын
@@hilalkhalfan1452 TORATI,ZABURI na INJILI ziko kwenye Biblia hakuna pahali pengine utazipata hata Kwa msikiti hazipo Mulindanganywa kuambiwa vitabu vya Mungu viliharibiwa hiyo ni mbinu ya shetani kuweza kuzigeuza akili zenu zifikirie hivyo ili mpotee vizuri, maana kwetu sisi wakristo hio hoja yenu ni mbovu sana wala hakuna Mungu atashindwa kulinda vitabu vyake na kazi ya Mungu hailindwi na mwanadamu anailinda Mungu mwenyewe Soma MHUBIRI 3:14 Mungu wetu hawezi achilia vitabu watu waharibu akiangalia huo mulitengenezewa uongo ili mfate dini ya uongo mpotee kabisa, alafu pili ,Huyo msaidizi si Muhammad mnaona sa vyenye mmechanganywa akili mpaka Roho mtakatifu Mnamuita Muhammad jaman yaani Msaidizi ambaye ni Roho wa Mungu anaeishi ndani yetu amekuwa Muhammad hapana bro huo ni upungufu wa ilimu ya vitabu vya Mungu vya kale, ukisoma YOHANA 16:17 -- anaongelea huyo msaidizi ambae ni Roho mtakatifu atapokuja atakuwa ni mwenye kumshuhudia Yesu kwa kile alichokifanya na kuwatia nguvu wote ambao wale ambao wamekwisha kuikubali imani ya kweli ya kristo, sasa swali kama Muhammad ndie Roho kwanini anazungumza tofauti na Yesu alivyokuwa akifundisha maana kazi ya Roho msaidizi ni kumshuhudia Yesu na wala si kumpinga, sasa mbona Muhammad anapingana nae yeye hayo Mafundisho anayowafundisha kayatoa wapi hata TORATI ZABURI na INJILI hayamo hata mo1?
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Usilalamike number zetu ziko hapo tupigie simu utoe hoja zako
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Anajitabiri mwenyewe hata mimi nashangaa
@hilalkhalfan14524 жыл бұрын
@@timotheojumal894 soma quran Kisha utuinyeshe wapi Mtume Muhammad saw alimdharau au alimkashifu yesu?.weye hujui basi. Pili biblia inayo maandiko tele kuonyesha imeharibiwa na ukiuliza suali vipi Mungu anashindwa kulinda vitabu vyake basi jiulize pia vipi Mungu anashindwa kuzuia waja wake wasumuasi yani vipi Mungu anashindwa kuzuia watu aliowaumba mwenyewe wasimkufuru?. Nafkiri weye nimjinga hujui kuwa tumeletwa ili kupewa mtihani na tunaangaliwa tu na kitabu alioahidi kukilinda ni quran tuuu. Pia hivi Mungu alishindwaje kuwazuia watu wasiuwe mtume yake ILIOPITA kuuliwa. Alishindwaje kuzuia nabii Adamu asile tunda akakufuru?. Kwaio huo ni ujinga ulionao kichwani ya kuuliza Mungu alishindwaje. MUNGU hashindwi jambo ila hufanya atakavyo. Ni maneno alisema yakabadilishwa na hakuyalinda kwa maksudi yake. Pete injili hapa kama unayo
@naheelamohamed99703 жыл бұрын
SCW SCW SCW SCW SCW SCW SCW SCW SCW SCW SCW
@theheraldbroadcastingnetwo48363 жыл бұрын
Muhamad kwa bibilia 🤣😂😂🤣haiwezekani hate kwa dawa..... Vichekesho vya kisiilamu
@StraightPathDawah3 жыл бұрын
Ukisoma vizuri utaelewa
@theheraldbroadcastingnetwo48363 жыл бұрын
🤣😂🤣🤣kumbe hii yellow pages haitoshi😂🤣
@ramadhanilukambuzi97603 жыл бұрын
Inawezekana ikawa ni vichekesho kwa sababu Biblia sio mpango wa Mungu ni mpango wa Wanadamu walikaa chini ukaandika!
@jacksonnzai15933 жыл бұрын
Wachungaji gani hao, haya wamuona akifanya nini kwa Biblia, mumeandika kama kivutio watu watazame tu.
@zuhuraabdulrehman87153 жыл бұрын
Wewe hujaamini Kama muhamad ni mtume uko kwenye hasara
@jacksonnzai15933 жыл бұрын
@@zuhuraabdulrehman8715 afadhali niwe hasara machoni pa dini hyo Ila niwe faida kwa Yehovah
@balloondecorationtz31904 жыл бұрын
Tatizo LA wakristo kweny midahala kama hii huwa awa base katika vitabu wanatoa wanayoyawaza kutoka kichwai kwao ( Imagination) wanaongea sana pasipo kutoa reference kutoka kweny vitabu mbali mbali.
@juliusmzengaboma98924 жыл бұрын
Haiwezekani mtu aliye mfu akaonekana. Huyo Ndugu mnayesema ameonekana kanisani sio kweli. Propaganda za kuwavuruga wengine zisiingizwe kwenye Ukristo. Wakristo waihubiri injili vizuri na bila kuweka propaganda yakuvuruga imani za watu wengine.
@faraji4984 жыл бұрын
@Christian Kachare 😂😂😂 .Mwenyewe unajiona umeandiika vya maana! Soma sana kuongeza maarifa hayo
@faraji4984 жыл бұрын
@Christian Kacharekama umeamua nikuletee ushahidi tukichati kwa muda mchache kama utakuwa mwelewa ,kwa kuituliza akili yako basi utamwelewa Mtume Muhammad(rehema na amani ziwe juu yake) ni nani na usije kuchukia uamuzi wako wa kuingia Uislamu. Maana nitakudadavulia kuanzia maana ya dini,uislamu,nguzo Zeke za Imani ambapo utakuta waislam wala hawampingi Isa(a.s) ambaye mnamuita Yesu.Waislam wanaamini alikuwa nabii na mtume wa Allah. Lakini wewe ni shahidi kwa mnavyojichanganya wenyewe kwa kumuita Mwana wa Mungu,mara sometimes mnamwita Mungu kabisa.Karibu kwenye mazungumzo
@stoispapi23802 жыл бұрын
Ukristo si dini
@josephkiswili19554 жыл бұрын
Yaani uislamu ni dini yakundandia tuu,kwa biblia hakuna uislamu ila wanainga tuu
@hombelozabroni92264 жыл бұрын
Tunashukulu Sana mana cc tuna dining je wewe una dini
@jackiekerry3243 жыл бұрын
@@hombelozabroni9226 dini gani hiyo ya urongo,Musa hakumtabiri Mohammad bali alimtabiri Yesu Kristo,tangu lini Mohammad akawa myahudi