Wangapi wanasema anafaa kuwa waziri mkuu 2025 nipe like yako.
@joycemfuru47527 ай бұрын
mnapenda sana kisifia ni kazi yake na uwaziri hafai
@upendotarimo29657 ай бұрын
@@joycemfuru4752Anafaa kuwa hata raisi maana ni kiboko ya wazulumaji, waonevu na wenye aleji na haki, ukwel kila anaemchukia makonda ni wasiopenda haki
@MtatiroMtatiro6 ай бұрын
Awe raisitu pia aongoze miaka 20
@AnnoyedBonsaiTree-cl5svАй бұрын
Sio wazir ingefaa rais kabisa
@AnnoyedBonsaiTree-cl5svАй бұрын
❤
@nailaomar48108 ай бұрын
Mashaallah makonda amepata malezi bora hongera mama makonda mungu akuhifadhi jembe❤
@AllySalum-h4j8 ай бұрын
Ni baraka tu za Mungu zimemshukia makonda asilimia kubwa amelelewa na watu baki ndo maana ana huruma sana anazijua shida
@devothasimbi64956 ай бұрын
Yote tunayoyaona ni matokeo ya malezi Yake alipokuwa Mtoto.
@jumaabubakar73688 ай бұрын
Makonda mungu akupe afya njema na umri mrefu;ili akimaliza mama samia awamu zake wewe uwe raisi wawanyonge magu 2 ❤
@hafsalucky10887 ай бұрын
Amen 🙏
@JosephLoy-k2g7 ай бұрын
Mimi ni mzaliwa wa Arusha,Ila kweli kabla ya makonda sijawahi kumjua mkuu wa mkoa wa Arusha, God bless Makonda
@dorcaskidoti2498 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌 mm sijamuelewa masai, Makonda kamwelewa vzr na kutatua hongeraa baba
@salumkarim698 ай бұрын
😂😂😂 shughuli wallahi
@nurdinismail89617 ай бұрын
😅😅😅
@cosmaskapwepwe72037 ай бұрын
Mimi mwenyew sikumuelewa hakiamungu.
@bakarizinga85567 ай бұрын
😂😂😂😂 wallah mm mwenyewe sijamuelewa pia😂😂
@macknonkibona24016 ай бұрын
kwenye hii kesi ndo nimeamini Makonda anaupeo mkubwa mana ameelewa kwa 100% kweli makonda kiboko
@HelenaMatiasi7 ай бұрын
Mungu ni mwema sana, kafa makufuri kaibuka makonda, ila ni mtazamo wangu. Nisamehe lakini kwa wale ambao si waona mbali.
@ProductionWinderBulyanhulu7 ай бұрын
Huyu Makonda ana maono makubwa sana. Mungu aendelee kumlinda.
@AbdulmalikFredrick8 ай бұрын
Mueshimiwa makonda Alha akuongoze
@allyrashid10858 ай бұрын
Mashaallah makonda wewe kiongozi kila unapo wekwa unatusua baada ya mama chukuwa fom tuta kupa urais broo
@radhiambwana33537 ай бұрын
Hongera sana Mhe Rais kwkumteuwa huyu Rc 👏
@JosephFredrick-ev1tw7 ай бұрын
You are more than a leader God bless you mheshimiwa Makonda❤
@Carolina-sm5zt8 ай бұрын
Makonda ufunikwe na Damu ya Yesu
@RestitutaTarimoАй бұрын
Makonda una Akili nyingi sana kaka MUNGU akubariki kumbe hata Bibilia unaijua unawapa watu neno la Faraja?? Hongera BABA
@israeluronu99588 ай бұрын
Daaah kazi ngumu Kweli, kama hunaroho wa Mungu huezi.
@mataypanga52627 ай бұрын
Inatakiwa roho ya shetani
@komanyomaduhu61237 ай бұрын
Bora nmsikilize makonda kuliko bunge la Tz
@MahaSaeed-hf3gs7 ай бұрын
Nimekuunga mkono hiyooooo
@shadyahamad37246 ай бұрын
😅😅😅🙏🙏🙏👍
@halimamsafiri28827 күн бұрын
Kweli ❤❤❤❤
@jumannemagawa50957 ай бұрын
Muheshimiwa makonda naomba mwenyez mungu aendelee kukulinda kwa kazi kubw unayo ifanya.
@MaulidKomboza-wh2ki7 ай бұрын
Hivi mama samia haoni watendaji wengine wazuri safi Sana Kama mh Makonda !!!!!!!!!!!!?.
@fikirimwakibibi93837 ай бұрын
Mungu ambariki mwanamke alikulea ktk njia ya haki,ili uje utetee haki za wanyonge Mungu akulinde na maadui wotee wasiopenda haki❤❤
@jescaedwardkurumela43336 ай бұрын
Napenda unavyotatua migogoro. Roho wa Kristu azidi kukupa maarifa na hekima kwa ajili ya utukufu wake
@MaulidKomboza-wh2ki7 ай бұрын
Hongera Sana Makonda Mungu akubariki SANA.
@godfreynaisikyelaizer17607 ай бұрын
Mh Rc mungu akulinde na kukutunza daima wewe na familia yako
@neemamollel60577 ай бұрын
Mungu tulindie uyu mwamba wetu. Mlinde bure Mungu wangu❤
@nancygitonga32827 ай бұрын
Nakuheshimu sana Mhesh Makonda God bless you for the good work
@LittaMushi7 ай бұрын
Nakupenda Kaka...MUNGU akuweke miaka mingi Baba❤❤❤❤Mtetezi wa wanyonge.
@AlphoncenerLimbweni24 күн бұрын
Hongera kaka yangu kweli kiongozi awe na mifano hai ya Biblia
@halimamasai22348 ай бұрын
Makonda mungu akupe afya njema na maisha marefu inshaallah
@sabrinaandrew42457 ай бұрын
Mwenyezi mungu akubariki Mh mkuu wa mkoa.Utavuka hapo kwenda viwango vingine🎉🎉🎉🎉🎉❤
@BobMollel8 ай бұрын
This is explanation of the Name kiongozi huyu Bwana nizaidi ya neno kiongozi
@NdeshaPaul-uz9bw7 ай бұрын
Makonda ubarikiwe sana. Heri wenye kupennda amani maana wataitwa wana wa Mungu. Umri wako ni mdogo lakini unawazidivwaliokuzidi. Uishi hivyohivyo usibadilike mwenye kuleta amani
@MarbleBaswige7 ай бұрын
May the almighty God bless you honorable RC Makonda for being good leader
@georgedamas70977 ай бұрын
RC Paul Makonda omba Sana hekima... Mungu akupe hekima zaidi ya mfalme Suleiman.
@naomelizabeth43257 ай бұрын
Makonda u are a sweet vibe... Following u closely from Nairobi Kenya .. King Solomon of our day
@mrhekimasuleiman38847 ай бұрын
haki ndio kitu Cha msingi, na sio magari majumba na pesa! hivo ni fahari ya macho tu. Mkuu wa mkoa Yuko sawa sana sana!! Mimi napenda haki na nimemuona hana ujanjaujanja yuko straight forward.
@emanuelavaleriani86467 ай бұрын
Baraza la kata lilifanya hata mama yangu kudhulumiwa, na mama yang alifariki. Lakini tumemwachia Mungu. Hakuna haki ya mjane itapotea.
@haryanyawu6407 ай бұрын
Hongera sana makonda unakazi nzito sana Mungu akutangulie
@AmaniManase-x1i8 ай бұрын
Wow nmemuona mheshimiwa diwani wa matevezi kipindi hicho boss wangu Mzee Abeli wa kisongo
@abuilmailma35348 ай бұрын
Watu wa wili wenye tafauti zao wakitafuta suruhisho nendeni kwa Makonda hakika atamaliza tafauti zenu kwa dakika 5 na musipo sikilizana basi nyie adi mwende kaburini hamtaelewana
@GloriaRespice7 ай бұрын
Nakuombea maisha marefu kiongozi una hekima ya sulemani Mungu akutunze
@attupeleamon31337 ай бұрын
Nakuelewa sana Makonda .. Mungu azidi kukulinda
@ConsolataMedard7 ай бұрын
😢 Mungu akulinde Mkuu unasaidia wanyinge unatatua matatizo kama Mfalme Suleman
@EdwardPhiri-p2v21 күн бұрын
Hongera sana kaka makonda mungu azidi kukulinda ❤
@Rahellazaromungure2 ай бұрын
kweli mungu ana watu wazuri mungu akufiche mbawani mwake
@jayblack43138 ай бұрын
May Allah bless you kaka
@hurumamlowe63207 ай бұрын
Makonda you are the best
@SariaNkya7 ай бұрын
You're wise in God's important roles.
@rahmarama56697 ай бұрын
Maneno ya Ki Mungu yaan Makonda Uishi mnoooo❤
@gaudencemhagama72168 ай бұрын
Makonda ni 🔥
@moiseszacariasmoisesmoises6 ай бұрын
mh makonda, mimi no laiya wa 🇲🇿 lakini nafuatilia sana mkutano yako,hakika unastair kuwa presidente ❤makonda
@anthonytido8 ай бұрын
Mungu akulinde
@SuperCamle7 ай бұрын
Kitu ninachpkifurahia sana kwa Makonda ni Busara katika kuyakabili mambo. Ninakusikiliza Makonda kila siku kwenye gari, umekuwa ndio nyimbo zangu za Enjili. Mungu akubariki sana Rais wetu Mtarajiwa!
@mustafamandindi64347 ай бұрын
Muheshimiwa mungu akubaliki kwa busala ulikua nayo
@gilberthanjovu63407 ай бұрын
Makonda Mungu akulinde kila iitwapo leo
@Winnfrida-sx3in6 ай бұрын
Mashaallah makonda mkombozi wa wanyonge
@MrTop-wj7no8 ай бұрын
😂😂😂😂 Makonda bwana eti Ileee ilee ile iko wapi ileee😂😂
@HadijaZabroni-pu1lt8 ай бұрын
Hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha 🤣🤣🤣🤣🤣
@RizikiRiziki-bp6dx8 ай бұрын
😂😂😂😂😂MUNGU AMLINDE MAKONDA WETU
@oscarcharles96247 ай бұрын
ile ile iko wap😂😂😂😂😂
@jokhajj7 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@francomwacha22627 ай бұрын
Aisee anatumia hekima na c madaraka pekee.. maua chukua kaka nakupa 💐
@fransiscajohn43737 ай бұрын
Mh: makonda mungu akulinde kwa kazi nzuri kweli mungu anamakusudi kukuleta Arusha
@CecyGeorge-vx9uc7 ай бұрын
Makonda kakangu Mungu akulinde damu ya Yesu ikuzingire kila sehemu
@asheryngaiti55497 ай бұрын
Makonda tunaomba uwaambie wa mitandao watupunguzie gharama za bando maana hatuwezi kukaa bila kupitia you tube kuona unachokifanya Bro nakupenda napenda maamuzi unayoyafanya naomba niwe mdogo wako wa hiari
@LetciaAlto6 ай бұрын
😂😂😂❤❤❤
@agathasungura50477 ай бұрын
My komando love you maamuzi ya busara hongera sana
@samsonkingdom-xc8cg8 ай бұрын
Makonda mungu akulinde🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@GeorgeNtauka7 ай бұрын
Makonda daima yupo kweli na haki nyuma mwiko🎉🎉🎉🎉
@DorahMkonyi7 ай бұрын
Mungu aendelee kukusimamiaa daima uongoze taifa vema
@rosemaryhamilton57007 ай бұрын
Yaani hadi naogopa watu wema kama hawa Yesu tutunzie vizazi vipone
@dennisotieno80772 ай бұрын
God bless you mr makonda
@christopherdenistesha34807 ай бұрын
Mhe Makonda Mungu akubariki sana. Unafanya kazi ngumu lakini yenye Baraka Sana.
@betricemainoya41768 ай бұрын
Baraza la kata ndio baya duniani
@marthadaffi61717 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@gilberthanjovu63407 ай бұрын
Mnooo na wazee wake wa barazaa
@Oman-p8x7 ай бұрын
Makonda Mungu akupe maisha marefu
@godfreymokoki10277 ай бұрын
Makonda, HONGERA. Mgogoro wa familia kumbe chanzo ni MASHEMEJI NA MAWIFI ambao hawahusiki ila wanateka dada na kaka kwa kuchochea/kuanzisha mgogoro na kukwepa suluhu kwa mbinu ya KUMTEKA NYARA MAMA/BIBI na mali zake zone kwa kuishi nae.
@janethjonas17007 ай бұрын
Sisi wamasai tuko short and clear
@mgonasipapune13837 ай бұрын
Mungu wa Mbinguni akutunze Mheshimiwa Makonda
@BenedictMadaha7 ай бұрын
Hongera San bro mungu aendelee kukuongoz kweny msimamo huo huo
@mollelemanuel46597 ай бұрын
Mungu Muumba naomba kwa upendo wako umtunze kiongozi wetu Makondo na Viongozi wote watenda Haki
@mungasulwamwaipokela58677 ай бұрын
Makonda Asili ikulinde!
@annamushi10577 ай бұрын
Mama ulimlea vema makonda popote ulipo ongera mama
@robertjoseph88307 ай бұрын
Big up makonda
@SamweliHozza7 ай бұрын
Huyu jamaaa Ana spirit ya maamuzi bora na sahihi
@jumaabubakar73688 ай бұрын
Mimi namuomba mama samia azidi kumsapoti makonda kwani kijana nimchapa kazi kwerii
@emmymshomi88937 ай бұрын
Ile munene . Wamasaai ukinenepaa umekwishaaa 😂😂😂
@LetciaAlto6 ай бұрын
😂😂😂😂
@MossesMollel-yv7uz7 ай бұрын
Sawa mama mueleze
@ReginaSandy-kw7tr7 ай бұрын
Mungu akubariki sana mh makonda
@babalao9108 ай бұрын
Hivi wakuu wengine wa mkoa huwa mnafanyaga nn? Mnakula mshahara wa mama bure tu, sio vizuri mtahukumiwa one day
@JumaBakari-eb3ft8 ай бұрын
makonda bonge la kiongoz hemu wengine tumuige huyu
@obedilizer34127 ай бұрын
Mungu akupatie hekima zaidi dah!
@uwimanadady65636 ай бұрын
Ubarikiwe Makonda
@SariaNkya7 ай бұрын
God is a provider.
@jayman7865Ай бұрын
Dah! Aiseee uongoz kaz aisee hawa wamasai kwa aridhi na mifugo unaweza waua aiesee
@FarajaLeonard-j7b18 күн бұрын
HIVI MIKOA MINGINE MBONA HATUONI WAKUU WA HIYO MIKOA NAO WAFUKUA MATATIZO NA KUPONYA?MUNGU AMSHA MIOYO YA VIONGOZI KATIKA NAFASI WALIZOPO KWENYE MIKOA YAO WATENDE HAKI ZAIDI AMEN,TUNASHUKURU PIA KWA HATUA HII AMEN🙏
@donathasimon92926 ай бұрын
Mheshimia mimi kwako kura yangu ni NDIO 💃
@gracekagoma32318 ай бұрын
Wanamuonea bibi yetu😢😢
@neemasalema15467 ай бұрын
Heri wapatanishi kwa kweli
@HamisiMbatyani7 ай бұрын
Nakukubali mwamba. ❤❤❤
@josephsisa81397 ай бұрын
Hongera sana muheshi wa
@rabaniAmri7 ай бұрын
Makonda ❤❤❤
@RehemaJonas-yj7ed7 ай бұрын
Dada ongera kwakujieleza nilijua utatuangusha😂😂 kumbe upo ghado ado