I will never forget haya machafuko 😢ndugu zake mama yangu wote waliuwawa huko kanisani na wote walikuwa watusi💔 halafu babamkwe wa kaka yangu alikuwa muhutu( kibendera shinani)alishiriki kwenye mauwaji ya watusi mwisho akaja kujuiwa cause alikuwa na kesi yake ilikuwa koti kubwa arusha kutokana na mauwaji ya kibari ,aljua atafungwa maisha akaamua kujiua ziwa Victoria bukoba.. cha ajabu mke wake alikuwa mtusi, lakini bado akala njama watusi huko Rwanda wauwawe 🤦🏽♀️😩
@edsonkennedy80279 күн бұрын
Tanzania umeiogopa .Kuna mtu alikuwa kitengo hapa tz aligundua yale mapanga bandarini wakamkatisha uhai
@gregorybakuza57969 күн бұрын
Propaganda tupu, wengi waliouawa ni Wahutu. Kwa idadi ya Watutsi kipindi hicho kama wangeuawa idadi hiyo inayotajwa basi kizazi chao kisingekuwepo tena nchini humo, kilichotokea ni jamii ya Watutsi kufanya mauaji na kuwageuzia ubao Wahutu na wajinga wasiopenda kuhoji wakabeba propaganda hizo na kuzisambaza!!!
@nsanzabaganwahabibu94049 күн бұрын
Anavo vilipoti ni ukweli au ulivilipiwa? Uongo mtupu soma historia vizuri acha propaganda, je mtu ataamka asubuhi na kuanza kuua tu au mzozo kuanza enzi za farume za kitusi??
@joanitamedard51057 күн бұрын
Unaanza propaganda za uchaguzi ujao eti?
@bonita3297 күн бұрын
Ehhh 😮😮Wewe umezaliwa mwaka gani ?? I'm half Rwanda tusi and half Tanzanian Ndugu wa mama yangu waliuwawa wote katika hayo machafuko.. habari nyingine zisikieni tu kwenye radio au social media lakini zisipige hodi manyumbani kwenu ndio unajua ilikuwa kweli au uongo 😢